Nilichopenda Kutoka kwako mwana kwetu Ni Hari yako ya uturivu katika kuelezea Mambo haukurupuki Kama wengine Big up Sana .
@irenemichaelКүн бұрын
Anaheshima yaan Hawa wengine mara wanakula mambo kibao
@mwambungu12 Жыл бұрын
Nashukuru sana naamini mwisho wa mwaka huu mungu atanijalia nitapata viza hakika🙏
@amneshi Жыл бұрын
Jamani na Mimi pia
@christopherkiegezo100 Жыл бұрын
We jamaa una nondo za kweli kinoma
@graysonkatunzi5950Ай бұрын
Asante sana kaka kwa elimu nzuri
@ReganiIsrael2 ай бұрын
Uko vizuri sana brother Mungu akubaliki sana
@edwinrobert3507 Жыл бұрын
Very good video Hongereni Arrival TV
@patomoe3950 Жыл бұрын
Everyday I'm so glad to be here
@GidionMichael-d7l Жыл бұрын
Uko ok mwamba nakuelewa vzr xan
@floriansimwinga3037 Жыл бұрын
Kaka hongera sana umejaa information sana, tunashukuru kwa kutufungua akili
@UbatuHeri5 ай бұрын
Hapo umehongea mambo ya muimu saana , asante sana
@MaximilianMatambari27 күн бұрын
Hongera kaka
@eliyukomkiramweni726310 ай бұрын
Kama naenda kama trainee na training plan inaonyesha tar ya kumaliza program,,naweza kulijibu kwa namna gani boss?
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Habari kaka.mi nafuatilia sana.sana,video zako.bro unachukua muda Sana kutoa maelezo nje ya mada.samahaani lakini. Ahsante Kwa somo. 🙏
@ArrivalTv Жыл бұрын
Haya maelekezo ni muhimu kuyatoa mwanzoni ila tutalifanyia kazi ili tuwe tunapunguza , samahani kwa hilo mdau
@GabriellaMakatu-jf2lq8 ай бұрын
Ahsante kaka je haya maswali wanakuuliza kwa waswahili?
@Raphael-qi8ts Жыл бұрын
Appreciate broo
@danielkiondo9451 Жыл бұрын
Ahsante mwana kwetu pamoja sana
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Nakwelewa
@GabriellaMakatu-jf2lq7 ай бұрын
Ahsante kaka kwa kutufamisha
@janety1933 Жыл бұрын
Kazi nzuli sana ubarikiwe mno kaka yetu❤❤❤❤❤😊😊
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Minasema wewe ni genius 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇹🇿🇺🇲
@isaacmambwe654723 күн бұрын
nikiwemo
@robertmgori816510 ай бұрын
I appreciate brother
@richardscofeld9136 Жыл бұрын
🔔 Notification on brother,najifunza mengi kwako ,nakukubali
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Uko vizuri 😊
@makanageofrey9886 Жыл бұрын
Barikiwa sana mwanakwetu.asante
@ramadhaniamora7493 Жыл бұрын
Hongera sana….bro
@KevinOdhialo-tt8we2 ай бұрын
Hiyo ni baada ya green card?
@happinesscharles3457 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana, naomba mawasiliano.
@kbdesgners Жыл бұрын
Bro shukran kwa darasa huru mung akubarik
@lindacharles998 Жыл бұрын
Je ukisema unaenda kumtembelea ndugu aliopo kule cz hamjaonana macho kwa macho mda mrefu inaweza kuleta maana?
@AbigailMuthalemwa Жыл бұрын
God bless you
@MrMasterMathew Жыл бұрын
Hongera Sana mwanakwetu
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Safi
@salehmasoud2145 Жыл бұрын
Thnks bruh
@barakangoli5105 Жыл бұрын
hello brother. swali langu litakuwa nje kidogo na mada tajwa hapo juu. Ni kwa namna gani utaweza kutuma pesa ukiwa kwa mfano Canada au USA ,kutuma kwenda TZ?
@ArrivalTv Жыл бұрын
Kuna njia nyingi na aina nyingi za App tofauti
@vitymteysemere4777 Жыл бұрын
Asante sana sir
@donvinymelkidick591 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana braa . Me natarajia kwenda USA embassy hii week ila naish South Africa
@saxenahmed3405 Жыл бұрын
Kaka je kama hujui kuzungumza kingereza inakuwaje
@hamisikimbatikwa6959 Жыл бұрын
Haya mwanakwetu mungu Akbariki akupe muda mrefu-iinshalllah
@mashambakilasa5127 Жыл бұрын
Safi sana
@abdallahh.mwinyimkuu5190 Жыл бұрын
shukrani mwanakwetu
@mortencegeorge8003 Жыл бұрын
Je kama nimeshinda green card lottery naweza kuulizwa ayo maswali? Na kama wakiuliza nitajibu ivyo ivyo???
@ArrivalTv Жыл бұрын
Hayo maswali hayahusu green card
@survivortv3981 Жыл бұрын
Bro video nzury but unazunguka sana b4 going to the MAIN point
@ArrivalTv Жыл бұрын
Ni kutokana ufafanuzi ambao ni wa msingine sana
@rosemarykuhanwa9861 Жыл бұрын
Mungu atupe kibalu tupokee matokeo mazuri green card big up mwana kwwtu
@saaduonabdalla3576 Жыл бұрын
Je kwa mfano umeomba visa ya matembezi na mbunge na na mukapata halafu siku ya kuondoka ukaondka peke yako mbunge asiondke jee kutakuwa na shida airport ya markekani?
@ArrivalTv Жыл бұрын
Shida sio Mbunge shida ni je nini dhumuni au kusudi la safari yanu mlipoomba viza na mbunge
Asante kwa kutoa stress mwanakwetu,kuna tetesi hapa eti kunamabadiliko ya kuomba visa ya USA kwamba hakuna tena oral interview ni kujaza tu maswali kwenye mtandao then unasubiri ubalozi utamijibu kwa email then naenda kulipia na kupewa visa yangu, je panaukweli hapo? Nisaidie tafadhali.
@ArrivalTv Жыл бұрын
Mhhh sio kweli
@samwelqadwe-yp1th Жыл бұрын
Upo good bro nsave bhc reason kwa sis wa religion conference
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Tuko Pamoja Kaka
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Mtu Wa DV Lottery I Think hawezi kulizwa maswali ayo kwenye Visa Interview
@thuwaibaabdi1478 Жыл бұрын
Big up bro 😍
@lucykhamsin3700 Жыл бұрын
Ohooooo! Kumbe
@petermagaka547 Жыл бұрын
Ahsante sana Mwana kwetu kwa semina nzuri. Naitwa Peter Magaka,,Naomba No zako za whatsapp tuongee zaidi tafadhali.
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@yunusjohnson4170 Жыл бұрын
Tupo pamoja bro tunafurahi hasa mimi binafs huwa nakufuatiliaaa sana
Je kama ukiwa Mzee wa zaidi ya sitini na kuendeleza na unakwenda kumuona mtoto wa mjukuu wake yaani ni KITUKUU na amezaa na mzungu sababu mwanamke kakataa kumleta Tz je hio anaweza kupewa visa au atanyimwa
@ArrivalTv Жыл бұрын
Ndio inawezekana
@ashanassor-nk6gd Жыл бұрын
mwanakwetu uko tz
@mussakoba3391 Жыл бұрын
Habar mwanakwetu naomb contact zako nipate information kwa ukaribu zaid
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@ChrisMustafa-em1zq Жыл бұрын
Kwani bro ukitaka Kuja ulaya lazma uwe umesoma
@graysonkatunzi5950Ай бұрын
Kaka naomba namba yako mimi nimenyimwa pia mara kadhaa
@BimkubwaHaji-eg5je9 ай бұрын
Naomba nambayako
@abuunajmah40410 ай бұрын
Asante sana,,,naomba number yako ya simu
@MeryMichael-mg2zc Жыл бұрын
My brother nilikutafuta nitakutafuta tena
@saviongaila3546 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka. Kuna utaratibu wowote wa kiuhalali unaoruhuru kufanya extension ya Viza ukishakuwa umefika unakokwenda? Let's say labda umeumwa na huwezi kusafiri kurudi na Viza yako imekwisha, au sababu nyingine yoyote inayokufanya ushindwe kusafiri kwa wakati husika. @Arrival Tv
@ArrivalTv Жыл бұрын
Yeah uwezekano upo lakini lazima uzingatie Sheria za America na uweze kuomba extensions of Status kabla current status haijaisha
@suleimanmohd9090 Жыл бұрын
Big up brother, kwa kweli kupitia channel ya Arrival tv najifunza mambo mengi sana bila malipo. Ubarikiwe kiongozi kwa moyo wa kujitolea.
@pembemussa2804 Жыл бұрын
Mwanakwetu weka namba zako hapa nikufate private
@barakangoli5105 Жыл бұрын
Hello, Mwanakwetu ni maaswali mangapi huwa wanaulizwa kwenye ubalozi wa marekani
@ArrivalTv Жыл бұрын
Inategemea na afisa uliemkuta hapo
@bennywalase1434 Жыл бұрын
Kweli hii chanel inahaki ya kuitwa mwanakwetu kaka unatupa mwanga watu wengi tupo pamoja kaka
@BimkubwaHaji-eg5je9 ай бұрын
Mm naenda kimkutano
@ferdinanddomelo Жыл бұрын
Ahsante na kongole kwa elimu unayotupatia. Mwanakwetu, je, ninaweza kupata mawasiliano yako ya Whatsapp kwa ajili ya kuomba ushauri zaidi? Unaeleweka ktk maelezo yako kwetu.
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@mustafajuma2214 Жыл бұрын
Naomba niulize kwa Mimi ambaye niameomba green card na itatokea nimeshinda ,maswali hayo ni lazima yatanikuta na elimu yangu ni kidato cha nne ,unanisaidiaje kujibu apo
@ArrivalTv Жыл бұрын
Hayo ni maswali kwajili ya non immigrant visa viza ambayo sio ya ukaazi wa kudumu
@BimkubwaHaji-eg5je9 ай бұрын
Nisaidi
@yohanaedward-ox2py Жыл бұрын
mwanakwetu leo umenifundisha k2
@stanslausmbuta-ck5im Жыл бұрын
Habari ya kwako, Naomba. no yako
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Kuna stage unaturusha brother 😅 unazngua sana 😂 adi unatak kucheka
@janety1933 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@zainabumohamed8541 Жыл бұрын
Kwakweli mungu akujalie sana tupe namba yako ya wsp
@BimkubwaHaji-eg5je9 ай бұрын
Naomba namba yako
@lindacharles998 Жыл бұрын
Je maswali unaweza ulizwa kwa kiswahili au lazima English. Tafadhali niambie bro maana nna interview mwezi huu
@farajaboaz58623 ай бұрын
Ulipata dear??
@marymganga3201 Жыл бұрын
Naomba unisaidie nahitaji kutafuta bize ya kwenda Amerika kwa mara ya kwanza unahitaji kua kitu cha kufanya
@ArrivalTv Жыл бұрын
Sijaelewa
@BimkubwaHaji-eg5je9 ай бұрын
Nisaidiye jinsi nifundishe jinsi yakujibu
@King_Of_Everything7 ай бұрын
👊✌️👍.
@bastartaito7416 Жыл бұрын
😅😊
@trueone_tz Жыл бұрын
🤝👏👏
@princegray9164 Жыл бұрын
Kaka asante sana namba yako tafadahari
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@ahmadyussuf9804 Жыл бұрын
@@ArrivalTv Sawa broo tunaelewa na tunajifunza mengi kwako "ubarikiwe
@nizigiyimanacelestin9734 Жыл бұрын
Kaka mambo vp mkuu naomba numbar yako
@janepaul3464 Жыл бұрын
.mwana kwetu nipe number yako,nataka unisahidie hapa
@ArrivalTv Жыл бұрын
WhatsApp number +1682-368-9282
@Abdul-WahabAbeidMbarouk-mv8ie9 ай бұрын
Unamake sense
@thevoiceofdeliverance6061 Жыл бұрын
Mimi Ni Mchungaji Niko Arusha Tanzania 🇹🇿 nataka kuja America kwa masuala ya kidini naomba nipe Connection tafadhari.
@ArrivalTv Жыл бұрын
Sawa Pastor Karibu sana
@jamesmumbi8424 Жыл бұрын
Sefish man hujibu comments za watu na unabagua ukijibu na hata WhatsApp ukitumiwa texts hujibu what a selfishness you are.. na hata najiuliza kwann ulitoa namba zako while hujibu!!!!..
@ArrivalTv Жыл бұрын
Ulituma sms gani ambayo haikujibiwa ?
@jamesmumbi8424 Жыл бұрын
Kuna jamaa yangu anaitwa Moses alikutumia text whattsaap tokea jumatatu kwa kutumia simu umeisoma mpk leo hujamjibu na simu yake ninayo