Haya Ndiyo Majibu ya Makonda kwa Wanaouliza Anatafuta Nini

  Рет қаралды 67,457

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Пікірлер: 112
@FloraIloko
@FloraIloko Ай бұрын
Serious bro maisha yetu nimafupi ipo siku utaulizwa kwa huduma uliopewa lazima ufanye kwa makini shida watu wanafikiri huduma ni uchangaji tu hapana lazima uangalie kazi unayofanya na ipo siku isiyo na jina utatoa hesabu uwemakini ndugu my bro makonda ni kweli tunapita duniani tunapigania taji more grace mu bro long life sir
@faridabakari8511
@faridabakari8511 7 жыл бұрын
i congret u poul makonda natokea kenya nanapenda fatilia stori zako zote nikiwa Dubai sikosi kukuangalia. kibinafsi nmetokea kuku penda kama kakayangu mkubwa......una maoni mazuri namwelekeo na wajiamin kwakazi Allah akuzidishie. ..chapa kazi nawatanzania. 2020 wakupee tena kiti cha kwama rayengine ....cc pia tungepata kaa ww wawili apa kenya wangeli nyooka namwenendo mzuri inchini kenya ......nakuombea kila laheri poul. i salut u
@daudimariseli3627
@daudimariseli3627 7 жыл бұрын
makonda asante mkuu wamkoa mkuu wamkoa twakukubar miaka million namungu atakuvusha usipo patachangamoto hujakuwa sasa nakuomba kiongoz wetu wewefanya kaz kwel kweli..chadema wapuuzi tu acheni maneno yenu yakifala...tunaipenda awamu ya 5 yahapakaz tuuu much love p makonda na baba yetu rais asante sana tunawapenda kwakaz zenu...2020 upinzani hautakuwepo mlijue hilo nyie niwashind tayar...
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
God bless you young man, utafika mbali kama kijana Daudi katika Bibilia, alionekana mdogo lakini Mungu alikuwa ashauona uthubutu wake. Rarua waalifu kama Daudi alivyommaliza Goliath. Mungu akulinde na kila lilobaya, damu ya Yesu ikufunike usiku na mchana.
@laynerngole2119
@laynerngole2119 7 жыл бұрын
Damaris Zuckschwert amina
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 7 жыл бұрын
+LAYNER NGOLE amen kwa unyang'anyi wa magari ya watu ubakiwe mno
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 7 жыл бұрын
nakukubali sana mungu azidi kukuongoza,akuepushe na husda za viumbe,nakupenda sana napenda kazi zako,achana na nzi watasubili sana,mungu ndio msimamizi wako.
@FloraIloko
@FloraIloko Ай бұрын
Maneno mazito ooh God there is leader ship in you my brother more grace what a future leader we have mungu bariki nchi yangu im proud of you my bro
@mariammgosi9668
@mariammgosi9668 7 жыл бұрын
Eeee mwenyezi mungu mjalie afya njema mjaa wako mkinge na majini watu wanaompinga vita kila kitu watakacho kifanya kibaya kimludie mwenyewe inshaa Allah
@ruqaiyaibrahim1865
@ruqaiyaibrahim1865 7 жыл бұрын
umeona eeh huwezi kumridhisha binadam kaka yangu we myegemee Allah
@iddysufiani6116
@iddysufiani6116 7 жыл бұрын
ewee mungu mlunde mh makonda na maadui zake aymen
@eliasabel1099
@eliasabel1099 7 жыл бұрын
utamkosoaje mtu yupo kwenye system? nani alikuambia kufanya kaz hadi uwe na chet?we look 4content not form!
@mamymamy8971
@mamymamy8971 7 жыл бұрын
nakupenda sana bashite japo huna cheti nakupenda tuu mungu yupamoja nawe kiukweli ni mchapa kazi mungu atakulinda
@joshuawwalwa3533
@joshuawwalwa3533 7 жыл бұрын
mungu atakulinda tuko pamoja Keller za chula hasizuii tembo kunya maji songa mbele
@rehemasimkoko7055
@rehemasimkoko7055 7 жыл бұрын
piga kazi makonda usisikilize ya watu. Rais wetu anataka anayechapa kazi. walikuwa wapi wenye vyeti kupigana vita zidi ya madawa ya kulevya, mtegemee Mungu ktk kazi zako zote
@farajakisinda976
@farajakisinda976 7 жыл бұрын
mungu akutangulie xana umekuja kwanjia ya wizi kupitia madawa yakulevya unaiba magar yawatu ukijifanya unapinga kumbe unataka kutumia vitu haramu kweli bagamoyo kumekunogea,jaribu kukumbuka mungu yupo kaka cku zamwisho nihatarii pigania madawa tu mengine weka pemben nawenye vyeti feki pia kaz wanaweza warudishen kazin mungu anawaona kwauonez uwo mrudieni mungu,
@naimajuma6659
@naimajuma6659 7 жыл бұрын
allah azidi kukupigania kwa madui wako piga kazi kaka nakupenda buree hapa kazi to
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mh Makonda Big up
@kweyungajacob6677
@kweyungajacob6677 7 жыл бұрын
bashite bwana anamahubir kama yuko kanisan
@hasani565
@hasani565 7 жыл бұрын
Roma ana mabaya gani ?SAA nane yupo wapi wewe ni jini tu
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 7 жыл бұрын
Fanyeni kazi kwa manufaa ya nchi taifa ni letu sote wanapiga kelele ipo cku aibu itawashika na kamwe huwezi kumridhisha kila mtu penda sana nchi yangu na viongozi wangu
@zainahamis8974
@zainahamis8974 7 жыл бұрын
mungu akuweke kaka fanya kaz ulikwepo wap
@kelvinkawea9506
@kelvinkawea9506 7 жыл бұрын
makonda Mungu awe na Wewe amina
@seifmohamedchambo3402
@seifmohamedchambo3402 7 жыл бұрын
Mimi binafsi nakubali kazi yake so sihitaji vyeti nahitaji utendaji safi
@amedeustemba9586
@amedeustemba9586 7 жыл бұрын
lakini yote kwa yooote weka vyeti tuamini kàma hujakimbia umande.
@mikongotijaneth5900
@mikongotijaneth5900 7 жыл бұрын
wewe vya kwako viko wapi fala. wewe ukute huna hata pa kulala
@zandakingfujo7707
@zandakingfujo7707 7 жыл бұрын
hao wa vyeti miaka yote walikuwepo walifanya anachokifanya makonda? chapa kazi kijana very brilliant guy
@samwelimaliseli4216
@samwelimaliseli4216 7 жыл бұрын
napenda watu wanaothubutu daima,,bring it on
@queenbby2863
@queenbby2863 7 жыл бұрын
nakupenda sana mungu akulinde makonda wetu kiongoz boraa
@kallahassan4896
@kallahassan4896 6 жыл бұрын
Makonda fanyakazi usimwogope mmbwa wsnaobweka kalengo lekukuludisha nyuma tatizo madawayakulevya
@mutakabaka5481
@mutakabaka5481 7 жыл бұрын
habari zake mlikubaliani hamuweki, vp tena mmesamehe, mnatuacha njia panda!!
@DeusiSetivin-ls9uz
@DeusiSetivin-ls9uz 10 ай бұрын
Nakuhurumia nakukuonea huruma kwamambo uriopitia kweri mungu ukonae lakini uwe mwangarifu sana kwa kutengenezewa bom ukanza kuangaika nalo Tena
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 7 жыл бұрын
mungu akusimamie makonda wa taishia
@hasani565
@hasani565 7 жыл бұрын
kweli du! kama kweli anamjuwa mungu da!bashite mikosi
@georgefaustini5679
@georgefaustini5679 7 жыл бұрын
piga Kaz dogo hata ungekuwa hujaanza shule haituusu kitu.sina chembe ya ubaya kwako piga Kaz MUNGU anakupigania.wacha wakuite hata mav usijal.kuna msemo unasema hiv.ukiwa unaoga ukaibiwa nguo na kichaa.ukatoka unamkimbiza ukiwa uchi.sasa hapo kichaa atakuwa NANI? kaa kimya watakuandika tuu.
@duuudaud3816
@duuudaud3816 7 жыл бұрын
Aman yenyewe hunaa
@othumansuleiman6372
@othumansuleiman6372 6 жыл бұрын
Mtu yeyote alie na akili timamu, na hana chuki na ww, hawezi kupinga wala kuzalau kz unazoendelea kzfnya. Najua kila binadamu hakoswi maadui, waweke km changamoto na njia ya kukusukuma uzd kutenda mema zaidi.
@perischarles2121
@perischarles2121 7 жыл бұрын
mimi na mpenda huyu kaka sana, kwa sababu huwa anaongea kwa heshima sana!!
@kasika1307
@kasika1307 7 жыл бұрын
kaka piga kazi wanaokusema vibaya wote ni weli lkn pia wengne wanafata mkumbo wakichochewa na wanasiasa wapenda pesa zisizo za halali
@kasika1307
@kasika1307 7 жыл бұрын
wameishiwa maneno maana yote yanafanyika ndani ya chama tawala magufuri oyeee makonda oyeee ccm oyeeeeeeee ccm mbele kwa mbele
@furahaema6000
@furahaema6000 7 жыл бұрын
amen makonda ubarikiwe sana mungu azidi kuku piganiya baba
@reychapo9402
@reychapo9402 7 жыл бұрын
hongera kaka
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 7 жыл бұрын
congratulations my dear brother for your sweet tangue and gud taste of blood to be loved by all GOD creature much love frm 254 and may Allah give you more strength and confidence to to your work
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Binti Rashid Antybaby ameen ameen thumma ameen
@stawakhan4341
@stawakhan4341 7 жыл бұрын
ubalikiwe kk kwa kazi bora
@michaelnyankali1131
@michaelnyankali1131 7 жыл бұрын
chapa Nazi Broo mpaka kieleweke
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
safiiiii
@saidmsomaly7285
@saidmsomaly7285 7 жыл бұрын
mbona wananchi wako wamenuna au umewakosea mi cjui
@jeannahayo588
@jeannahayo588 7 жыл бұрын
chapa kaz nipo nakukubali kinomaaaa
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 7 жыл бұрын
nice
@pastoryrichard1257
@pastoryrichard1257 7 жыл бұрын
¿????shitiiiiiiii
@robertjunior9916
@robertjunior9916 7 жыл бұрын
sasa naanza kukuelewa Makonda
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
chadema bila ccm hamuend lolote.hamuon?
@jumaahmad4464
@jumaahmad4464 7 жыл бұрын
nimchapakazi ambae hanavyeti halali
@rehemaelliottsuleiman6465
@rehemaelliottsuleiman6465 7 жыл бұрын
preach what you practice
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 7 жыл бұрын
kutoka povuuu apa kazi tuu
@floramwanjonde9968
@floramwanjonde9968 7 жыл бұрын
Mlisema hamtaandika habari zake sasa veeep global tv????
@mikongotijaneth5900
@mikongotijaneth5900 7 жыл бұрын
wambie waandike habari zako wewe kama wanakujua ukiona Makonda anaandikwa ni amekuzidi kwa hiyo jichunguze utafute shuguli ya kufanya mana huna kazi ya kufanya
@emmanuelmuba6554
@emmanuelmuba6554 7 жыл бұрын
Piga kazi kaka
@kalifasaed8682
@kalifasaed8682 7 жыл бұрын
chapa kazi baba
@hadijasaidhabdallah8986
@hadijasaidhabdallah8986 7 жыл бұрын
kaka piga kazi tuuuu
@francesngailo8773
@francesngailo8773 7 жыл бұрын
haya baba
@kwayamassunga1483
@kwayamassunga1483 7 жыл бұрын
Nc
@georgeavelin815
@georgeavelin815 7 жыл бұрын
we all believe in God this Guy his too much courting from bible famous verses which shows his not reading by meaning rather than finding phrase to make as an example to his speeches his politician that's his work he has to relate things with realm of current situation still elimu yake inakuwa proved not worth to his chair tupe mifano ya jamii yako
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 7 жыл бұрын
Hongera sana, usijali maneno ya watu we fanya kazi wenye akili zetu tunaona
@zuuniece6635
@zuuniece6635 7 жыл бұрын
bashiteeeeee
@loycesalumu1602
@loycesalumu1602 7 жыл бұрын
makonda we jembe chapa kazi
@joramlondomanyika6612
@joramlondomanyika6612 7 жыл бұрын
Watu wamekubaliana wasiandike habari za huyo mtu mnaleta ujinga hapa ni kuusubsribe tu
@mikongotijaneth5900
@mikongotijaneth5900 7 жыл бұрын
sura nzito hata mbwa unaemfuga kwako hhakujui wewe utapambana na Makonda?kazoe takataka upate hela ya kula.mana njaa itakuwa inakuma mwenzio anakula kwa ulaini wewe unachoka na makelele
@josephtarimo7842
@josephtarimo7842 7 жыл бұрын
wewe bashite bwenget2 Ben san yako wapi unajufanya ndungu na yesu jukum ganla kuteka wata ndio kazi
@jummamnyaturu550
@jummamnyaturu550 7 жыл бұрын
kuandika penyewe ujui
@jummamnyaturu550
@jummamnyaturu550 7 жыл бұрын
ww kama unajua Ben sanane si tuonyeshe acha kuchangia ujinga
@zuhuraally8916
@zuhuraally8916 7 жыл бұрын
chapa kazi mkuu mungu akusaidie
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
makonda mi napenda kazi yako inaendana na kazi ya Rais wetu kipenzi.
@adelqueen2049
@adelqueen2049 7 жыл бұрын
mungu u pamoja nawe kakangu
@brunovindallar1517
@brunovindallar1517 7 жыл бұрын
Kijana mdogo alafu anafanya maajabu,piga kazi mh Makonda,fuck vyeti!fuck snitches!!ikiwezekana wanao kuponda wateke tu,fuck them too!!Mh Makonda piga mzigo kama kawaida mzee baba!!!
@kapizoman5772
@kapizoman5772 7 жыл бұрын
Tatizo wabongo tumezoea umayai yai so inatuwia vigumu Sana kumkubali yule anaesimama ktk haki na kutetea maslahi ya wanyonge hata hivyo tulizoea kuibiwa kutoa rushwa ndipo tufanikishe kile ulichokua unakihitaji. Ushauri mkuu wa mkoa angalia mbele na iwekeni Tanzania ktk mfumo thabiti wa uchumi kwani hao wanao lalamika na kukuzushia ndo vibaraka wa wale waliokua wakipga deal. Hapa kazi tu waache makundi makundi ya kujadili vitu ambavyo si vya maendeleo bali wazungumzie maendeleo ya nchi yanako elekea
@chubimabassa4460
@chubimabassa4460 7 жыл бұрын
Kakafanyakazi
@emmanuelmlowe1311
@emmanuelmlowe1311 7 жыл бұрын
piga kazi wanaoongea ni nguvu ya madawa yakulevya.
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 7 жыл бұрын
Emmanuel Mlowe umeona yote hayo yamepoza kufuatilia hawa watu tu hamnaa lolote ndo maana wanafuata futa wabogo washazoweya rushwa na magendo sasa itamkuta kazi sana kwake lakini mimi nampenda hawajibu
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 7 жыл бұрын
kaka Fanya Kazi usiathiriwe na mbinu za mateja ili walipe kwa hali na Mali rais akulinde vinginevyo ni hatari sana.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
nakukubali Sana rc makonda wanyooshe
@yusufalmamari4236
@yusufalmamari4236 7 жыл бұрын
mungu ata kujaliya makonda
@zenakatimle8527
@zenakatimle8527 7 жыл бұрын
Hongera fanyakazi watanyooka2
@benezethbwikizo3158
@benezethbwikizo3158 7 жыл бұрын
hapa kazi tu
@dakoteliumba9476
@dakoteliumba9476 7 жыл бұрын
fanyakazi tunakupenda sana makonda wetu
@graceleonard6150
@graceleonard6150 7 жыл бұрын
l Love u my brother in Christ keep running u will win the race amen
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Mmmmm..
@Saida-fh4sq
@Saida-fh4sq 7 жыл бұрын
makonda,mungu azidi kukuongezea hekima na akili yakuweza kuongea maneno ya busara na yenye kutia moyo na nguvu.mungu akutangulie kwa kila baya.
@Saida-fh4sq
@Saida-fh4sq 7 жыл бұрын
piga kazi bhana ww,ukubwa wa puwa c wingi wa makamasi,kulikuwa na wakubwa wangapi waliopita mbona ilikuwa nchi ishapiga goti hii namaukubwa yao .ww mtangulize mungu utaona mafanikio yake.
@anethlissu206
@anethlissu206 7 жыл бұрын
may God bless u
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Tnx Aneth
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Okay
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 жыл бұрын
mmmmmmmmmmmmmm
@duuudaud3816
@duuudaud3816 7 жыл бұрын
leta vyet kwanza unajifichia kwenye madawa...towa vyet acha kubwabwaja! unaoneka kama mtu hv kumbe jambaz la kutupwa mfyuuuuuuuuuu
@happynnko1193
@happynnko1193 7 жыл бұрын
mnyang'anyi anayejidai anatend haki kumbe mnyang'anyi jmn
@RoseRose-qm4lb
@RoseRose-qm4lb 7 жыл бұрын
vyet ndio vinavyofanya kaz au mtu ndio anaefanya kaz, angalia utendaji bana vyet makaratas
@sarahhappy1886
@sarahhappy1886 7 жыл бұрын
+happy Nnko yaani acha tu hili jitu limejificha chini ya kapeti
@modestuskibwana8996
@modestuskibwana8996 7 жыл бұрын
DUU WEWE MLOPOKAJI UNA UHAKIKA HUYU NI JAMBAZI? TOA USHAHIDI
@marwaboniphace
@marwaboniphace 7 жыл бұрын
Piga kazi kiongozi shupavu makonda
@farajiswaleh4393
@farajiswaleh4393 7 жыл бұрын
acha unafki
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 10 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,1 МЛН
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 34 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,6 МЛН
А ЧТО С ЗУБАМИ ТО?😂😂🦷
0:54
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 2,7 МЛН
Rang Pi Liya Mama 😂 #shorts #tiktokvideo #funnyshorts #comedy #ytshorts
0:46
Sukhasan Ka Rahman Bhai
Рет қаралды 22 МЛН