MCH. MSIGWA ATAJA VIGOGO WA CHADEMA WATAKAOMFUATA, WAPO LISSU, LEMA "HAWATAKIWI NA MBOWE KISA UUHOJI

  Рет қаралды 46,840

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 349
@aloycejulius5940
@aloycejulius5940 4 ай бұрын
Msigwa umeongea points sana,
@melch3097
@melch3097 5 ай бұрын
Kusema kweli naipenda hii tv. Msilete tena huu uchafu hapa. Mda simrefu hata ccm watafukuza
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 5 ай бұрын
Hata Mzee tupe ajira
@RajabuOmar-er2lp
@RajabuOmar-er2lp 4 ай бұрын
@@KaburuKimath-eu5nf ..
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 5 ай бұрын
Msigwa Muongo,Mbowe Amewahi kugombea urais mala moja,Mala zote anawachia wenzake,Na CCM inashinda Kwa wizi,Ameamua kuungana na wezi wa kura,Pole sana Msigwa
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 5 ай бұрын
Msigwa pole ila siasa ndivyo zilivyo unaaanga Lia wapi day ni kubwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
CCM haijawahi kuiba kura, upinzani Tanzania (Tanganyika) ni dhaifu lazima wakubali hilo.
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 6 күн бұрын
​@@hajihassan5433Hao wapinzani wasiokuwa dhaifu huo upande wa pili wa Tz wako madarakani au?
@Elizabeth-mw2of
@Elizabeth-mw2of 5 ай бұрын
Jina la Peter ni Petro Kwa Kiswahili, Petro alimsaliti Yesu kwa kumkana kuwa hamjui! Ombi langu kwa wazazi, angalieni sana majina mnayowapa watoto wenu.
@starlily07
@starlily07 5 ай бұрын
Umeongea yote, 🤣🤣 Petro msaliti 🤣 naaache kujiita Mchungaji mana Hana hadhi ya uchungaji
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
Kweli kabisa uyo msaliti
@adiaygo8546
@adiaygo8546 7 күн бұрын
Mnaosema Huyu msigwa miyeyusho Naona Ni viziwi huyo chair Man for life miyeyusho
@rindenimwanga6355
@rindenimwanga6355 5 ай бұрын
Msigwa uko sawa,sasa anza kutupa sera za kubadili uchumi,ulinzi wa mali na utajiri uliopo,ajira n.k.
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
ACHA KUONGOPEA WATU, UTAJILI WANAFAIDIKA WATU WACHACHE, AMEENDA KWENYE CHAMA CHA WEZI SHAIDI DR JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ALIKUWA NA HURUMA SANA, AMEFALIKI NCHI IMEJAA WAPIGA DILI WAKINA MAMA WAMEFUKUZWA KUFANYA BIASHARA WAKATI MAGUFULI ALISEMA IKIWEZEKANA ATA WAKIKOSA MAHALI PA KUFANYA KAZI WAENDE IKULU, PUMZIKA KWA AMANI RAISI WETU MAGUFULI 😢😢
@mmassfashiondodomatz
@mmassfashiondodomatz 5 ай бұрын
Chadema inaongoza kutoa viongoz mpk mawazir😂😂😂😂
@AndersonLyandala-du1rt
@AndersonLyandala-du1rt 5 ай бұрын
Maneno maneno 🤩🤩🤩
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 9 күн бұрын
Huyu msigwa ni kichaaa
@phabiankagoma5144
@phabiankagoma5144 5 ай бұрын
Uwezo wa Msigwa ni mdogo sana kueleweka!
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 5 ай бұрын
Ungetoka na kikaa kimya utangaze sera za ccm ungeeleweka lkn kupambana na Mbowe ni udhaifu mkubwa na hutaitumbisha chadema Sana sana unatuharibia CCM yetu sijui walikupokea vp
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 5 ай бұрын
Ukweli uliotukuka.Amekuwa fala sana tu
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
Huyo NJAA INAMSUMBUA.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 ай бұрын
Pumbavu Unadhani Sisi Hatumsikilizi Mbowe Hotuba zake?
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 5 ай бұрын
We si WA kumsema mwenyekiti bila ye we usigekaa ujulikane
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 10 күн бұрын
Mbowe hana uwezo wa kutoa hotuba ya maana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 6 күн бұрын
​@@RenatusMatungwa-o7cAcha bwana!! Are you serious?😊
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
Acha kuongea uongo.
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 6 күн бұрын
@@Brunn-mh2bq nikumbushe hotuba yake aliyotoa ikakushawishi juzi alisema aongezewe muda ili afikishe miaka 68 eti hiyo ndo hotuba
@jofreykivambe6520
@jofreykivambe6520 5 күн бұрын
Asante Mtumishi
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v 5 ай бұрын
Mch unazingua sana
@barnaba3037
@barnaba3037 5 ай бұрын
Dah Yan Mchungaji kabisa ndo anaenda kuitetea ssm😂😂
@rogersiddy
@rogersiddy 5 ай бұрын
Fala huyu hajielewi pumbavu kbs
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 5 ай бұрын
Kumbe msigwa ni poyoyo kabisa,ana vijimsemo vya Aina flan unaweza sema point kumbe ni ujinga,,,,,
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Sikutemea kuwa huyu ana akili ndogo hivi
@FutiweloMwamlima
@FutiweloMwamlima 8 күн бұрын
Mchungaji ahsante ukweli umetosha tumeshiba mbowe amezalilisha watu wote tutaondoka akijipitisha
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 ай бұрын
Analalamika Kwanini Mbowe Haondoki... Jiulizeni Kwanini Yeye Baada ya Kuwa Mwenyekiti wa Kanda Vipindi Viwili Asiondoke Akaachia Wengine? Mbona Aligombea Mara ya Tatu Kama Kweli Hiyo Ndiyo Principle yake? BS
@mmassfashiondodomatz
@mmassfashiondodomatz 5 ай бұрын
Hana akili uyo hawa lolote
@mmassfashiondodomatz
@mmassfashiondodomatz 5 ай бұрын
Amemfungulia nani macho kibogoyo uyo
@SharifuBakari-tr7hd
@SharifuBakari-tr7hd 5 ай бұрын
Njaa mbya mnooooo qmmke
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
Uyo njaa ndio inamsumbua
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 5 ай бұрын
Ongea point juu ya sugu aliyekushinda ukaamua kukimbia
@festoclassic4386
@festoclassic4386 2 күн бұрын
Itakuwa kwenye uchungaji hauna waumini umekata tamaa ya maixha umejiunga kundi la kijambazi nice paster
@JuliusMhina
@JuliusMhina 5 ай бұрын
Ulishajulikana ni msaliti tangu zamani.ulikuwa na kazi maalum ya ccm
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 5 ай бұрын
Chadema haitakufa kamwe. Chadema kitawatete watanzania hata siku ya kiama mbele ya mwenyezi Mungu. Chadema kitabandirika on its formation time by time. Msigwa ametoka kwa yesu amekimbilia kwa shetani. Ivo yesu na shetani hawakai nyumba moja
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 5 ай бұрын
Msigwa njaaa sana na sio mchungaji ni msanii tu na watu awapo chadema sababu ni msigwa ni kutaka mabadiri
@JohnKalega
@JohnKalega 5 ай бұрын
Wewe msigwa. Hizo ni Tamaaa
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 5 ай бұрын
Hiki kijamaa nilikuwa nakifuatilia sana siasa zake nanilizipenda sana kumbe sikujuwa kama ni kinafiki kiasi hiki kipumbavu kabisa
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Mfumo wa nchi yetu, ndugu ni hatari sana, siasa zetu ni za maji taka, hovyohovyo tu.huyu msigwa atachakaa vibaya, sijui kama anafahamu hilo!
@reginas1832
@reginas1832 5 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 5 ай бұрын
Msigwa ni maji taka. Ubongo wake umejigeuza MATOPE. Nani afuate MATOPE?!
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l Күн бұрын
Sio hawa hawa ni wana democracy wa kweli
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 ай бұрын
Chaguzi Mbili Za Mwanzo Ulibebwa Na Mbowe, Safari Hii Alikataa Kubeba Mtu Uliona Kubebwa Ni Haki Yako... Waambie Watanzania Ukweli.
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 5 ай бұрын
Mbowe ana uwezo wa kumbeba mtu?Yeye mwenyewe anabebwa na Tundu Lissu .Mbowe anakifanya chama kama mali yake binafsi ndio maana watu karibu wote makini waliondoka chadema kama Zitto,Proffessor Kitila,Profesa Beregu,Professor Safari nk.
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 5 ай бұрын
Una uhakika na unachosema
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 5 ай бұрын
Kisu na lema sio wa aina yako, hilo igo beba mwenyewe aibu yako, kwani mligawana ulichopew
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 5 ай бұрын
Lisu aende ccm? Itashangaza watu
@shabanadam4476
@shabanadam4476 5 ай бұрын
Peter mbona unatia aibu sana achana na media
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 5 ай бұрын
Jamani mbona haka kana karibia kuwehuka!
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 5 ай бұрын
TENA MAMA SAMIA RAIS WANG. KAMA ANA NISKIA MPE MSIGWA UWAZIRI NI MSAADA MKUBWA KWETU CCM SIKUCHAGULLII NI WIZARA GANI ILA NAKUOMBA SAAAANAA MAMA YANGU
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 5 ай бұрын
Kumbe ni muhangaikaji siku nyingi tu😢
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 5 ай бұрын
Mbona nyie wandishi hamuulizi elimu yake?
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 5 ай бұрын
Alishajibu akaruka ruka swali na kusema we tufanye nimeishia la saba tujust that kwa mujibu wake mwenyewe, halafu shida waandishi wa habari wengi hawana shule na wenye shule hawafuwatilii historia ya nyuma ya mtu wanae muhoji hivyo maswali yanatoka tu vinywani vyao na si maswali ya mpangilio ni kama wanapiga story na si kuuliza maswali, mfano msigwa alishawahi kusema nikihama chadema nyumba yangu ichomwe moto je ikichomwa atasema amehujumiwa na chadema au? Je ulisema kimihemko ama ulisema ili chama na wanachama wakuamini zaidi? Je kwanini uligombea uchaguzi wakati umeshaona chama kimepoteza muelekeo? Kwanini ulijiingiza kwenye uchaguzi? Je kwanini usinge baki kwenye chama ukaendelea kupambania mabadiliko? Tunamuona mbunge wa CCM ambae kila siku hupewa adhabu na hata kufukuzwa bungeni na kuzomewa na wabunge wa chama chake lakini haami na amesema hata hama na mpaka kitaeleweka tu iweje wewe, iweje wewe umeenda kwenye chama ambacho ulikuwa unakipinga sana kwa mambo mengi? Yaani sijasomea habari ila naona nina maswali mengi mno dhidi ya huyu mchungaji.
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 5 ай бұрын
Wabongo wengi tunapenda mseleleko ndio maana ndio maana mbowe anatupelemba
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 5 ай бұрын
Imeisha iyo.
@V24hrs
@V24hrs 5 ай бұрын
Eti Mbowe alikimbilia ikulu hata koti halijanyooshwa😂😂😂
@philemonmollel7630
@philemonmollel7630 5 ай бұрын
kweli msigwa umechqngànyikiwa sana
@bonifaceibunga9443
@bonifaceibunga9443 5 ай бұрын
Huyu Msigwa ni PANDIKIZI LA CCM. Kwa hiyo anafanya kazi ya CCM
@JohnKombole
@JohnKombole 5 ай бұрын
Hunalolo msigwa nakiduku chako icho mnafiki
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 5 ай бұрын
Wewe umekimbilia CCM baada ya MSUKUMA kusema ana SMS zako 😂😂😂
@GidisonMarco
@GidisonMarco 5 ай бұрын
mjinga sana
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Hayo yote mmeyazungumza,leo ndiyo umejua kwamba unafikiri,miaka mingine yote ulikuwa huna unalojua?
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 5 ай бұрын
Msigwa ni mwanasiasa makini ,mkweli kuliko Mbowe anaekitumia chama kama mali yake binafsi na anakitumia chama kwa maslahi yake binafsi.
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 5 ай бұрын
Huyo ni msaliti tu mchungaji uchwara hawezi kuaminika tena kaamua kuchagua feza kuliko utu ni Bora akakaa kimya tu kuliko kuwaponda viongozi wa chadema muulize anasemaje kuhusu kauli ya nape?
@FrankPonsian
@FrankPonsian 4 ай бұрын
Wewe fara mchungaji gan mnafiki unatoka kwa watu wa mungu unaenda kwa mashetan
@SirajiHamis-pc1kh
@SirajiHamis-pc1kh 5 ай бұрын
Wew mungu ana kuona
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 5 ай бұрын
Ubaya ubwela😂
@seifjuniorrashid7597
@seifjuniorrashid7597 4 ай бұрын
Kwel sisi wachin hatujui ....mi nmekuelewa....prof safar kitila n.k wako wap????😢😢😢
@gidongailo7174
@gidongailo7174 5 ай бұрын
Ameshaanza kupauka kisiasa😂😂
@ChristianLimo-k8t
@ChristianLimo-k8t 17 күн бұрын
😢njaaa mbaya sana ase
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 5 ай бұрын
Looo!, utawangoja sana
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 5 ай бұрын
Msigwa nakuelewa sana chadema kunamambo ya kijinga sana nilitolewa kwenye group la chadema dodoma kisa naanza na Mungu kwenye group kila siku wakasema et group halina mambo ya din hili nilichoka na mimi ni mwanachama wa chadema dodoma
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 4 ай бұрын
Msigwa usije ukasema ulikuwa muhimu sana ndani ya chama cha chadema. Hata ungegombea ubunge wa CCM hutapita.
@goodlucktarimo2716
@goodlucktarimo2716 5 ай бұрын
Huko ulikoenda kama mchungaji wanafanya yaliyo mema na hamna unafki?
@DeejDullah
@DeejDullah 5 ай бұрын
Mwambie msigwa asome comment za wananzengo😂😂
@Yama-l7b
@Yama-l7b 5 ай бұрын
Mimi ni mwana ccm lkn nilipo mwangalia huyu jamaa ameishiwa na hoja alikuwa wapi kipindi hicho na anajita mtetezi wa watu miaka 20 yupo chadema lkn hakuwahi kuongea juu ya chama chake Leo anaropoka nadhani anajitafutia tu namuna ya kula lkn ccm kuweni makini na hawa wasaliti hawa ndio watakuja kumuaribia Rais wetu
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 9 күн бұрын
Njaa imekupeleka ccm😂😂😂😂😂
@johnrichard3177
@johnrichard3177 7 күн бұрын
Kila mmoja ana njaa mengine tutadanganyana
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka 6 күн бұрын
Ndio baada ya kukosa uongozi ndio ameamua kuhama chadema ameshindwa na mwanaume SUGU , JOSEPH MBILINYI.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 ай бұрын
Msigwa huna hata aibu umenunuliwa na ccm kama kifaransa cha kuku🤣🤣🤣🤣 pole sana yote unayo fanya ya kumtukana mbowe, yalishafanywa na kina waitara, Silinde, lijualikali, katambi na wengine wengi walio hama chadema kwa kunuliwa na ccm lakini chadema bado iko imara wewe unafanya marudio tu huna jipya
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Miaka 20, leo nd'o unajua kwamba chadema kuna madudu? Zungumza mazuri ya huko,siasa za maji taka tz.
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 4 ай бұрын
sawa kwann mtu anabadilika wakati akijuwa kwann watu ambao wakatoka chadema kwamtindo uwo uwo
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 5 ай бұрын
Zamani msigwa ulikuwa wapi
@thetas08
@thetas08 5 ай бұрын
Njaa mbaya sana ukiwa na njaa huwezi uvumilivu utu wako unauuza mapema sana mwalimu nyerere alisema.
@furaha7154
@furaha7154 5 ай бұрын
SASA UNATAKA KUSEMA KWAMBA MBOWE NI MBAYA KULIKO CCM ALOTUTESA MIAKA 60?
@NDEWARA
@NDEWARA 5 ай бұрын
Unajua maana ya mateso wewe?😂😂
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 4 ай бұрын
Nimuasi huyo mfumo wa akili umesha wekewa sumu
@philipongenzatv
@philipongenzatv 5 ай бұрын
Yani angekuwa karibu ningemchapa makofii ya mashavuni nyi mnatuludiaha nyuma Kwa uroho wakijinga watu kama hao mfano akifa huwezi kulia
@paull8659
@paull8659 5 ай бұрын
Sawa Bwana Msigwa ungeshinda uenyekiti wa kanda ungebaki. Hivyo wewe unataka madaraka tu..
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 9 күн бұрын
Msigwa nakuelewa mzee
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 5 ай бұрын
Ukiwa Mchungaji Wa Mifugo ni Raisi sana kuwa Mwana siasa Lakini kuwa Mchungaji Wa kiroho sio Raisi kuwa Mwana siasa kwakua Mwana siasa saa zote sio Mkweli Siuna ona Msigwa Alitu ongopea Akiwa Mwenyekiti Wa Kanda ya Nyasa Ameshindwa huko Ame Anza Uongo Mwingine Sasa Hadai katiba Tena Ana Itaka hihi Aliyokua Ana ikataa Tuwe Macho
@luthermartin1098
@luthermartin1098 5 ай бұрын
Wewe Mzee muogope Mungu acha kusema uongo wewe vile umeshaa Hamaaa mbona inakuwasha nini? Mbona huachi kuzungumza mambo ya CDM?
@giftkalenge418
@giftkalenge418 4 ай бұрын
ujue was kwanza kukufuata ni mbowe he itakuwaje?
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 9 күн бұрын
Hawa ndo wapiga deal,amefanya vema kuludi kwa wapigaji wenzake,japo mwizi hapend mwiz mwenzake.
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka 5 ай бұрын
Msigwa bhana😂😂😂 acha kuongea bhana😂😂😂 wewe shule huna bhana😂😂 kauze mitumba bhanaa😂😂😂😂 kawa tete wa hehe 😂😂😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Hata Yesu unamsaliti leo utashindwa kumsaliti Mbowe?
@glorymiko6830
@glorymiko6830 5 ай бұрын
Petro,Petro,petro. Nimekuita mara tatu. Wacha tamaa.angalia usije jinyonga baadae.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 5 ай бұрын
NASHUKURU MBOWE HUWA HAJIBU CHOCHOTE JUU YA WANAO MTUKANA NA HAWA WOTE MBOWE KUWASAIDIA MPAKA WAKAJULIKANA LEO WANAMTUKANA NA MBONA WOTE WALIO MTUKANA MBOWE HAWAHESHIMIKI
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 5 ай бұрын
UKWEL UKISEMWA TUUPOKEE HONGERA MSIGWA
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Whose Peter Msigwa kwa sasa hivi reptation yake na sasa anaweza akawa muuza viazi. Huna cho chote cha uchungaji kwa sababu ungekuwa mchungaji usingekuwa unaongea mambo yakuonyesha kuwa unauchungaji? Kumbe ulikuwa chini sana kabla ya kuingia CHADEMA. Usisshau kule ulikotoka.
@V24hrs
@V24hrs 5 ай бұрын
Msigwa ni msema kweli siku zote
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 12 күн бұрын
😂😂😂 kunja ngumi paka kieleweke
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 13 күн бұрын
Duh wanasiasa kweli yahitaji wananchi tuanze kujifunza nini maana ya siasa ni mchezo mchafu. Yaani mnafikia pahala mnakiri kwamba mnakuwa hamjitambui halafu mnataka kutuaminisha itapatikana katiba mpya ( umma) kutoka kwa wanasiasa nchi hii?
@deusvincent1489
@deusvincent1489 5 ай бұрын
Msigwa ANATOA MBWA nyumbani kwake😮😮
@festoclassic4386
@festoclassic4386 2 күн бұрын
Njaa iyo mchungaji mchwara umefilisika kisiasa msigwa huna point kabisa.kifup unajizalikixha tu watz wengi tunaakiki timamu mno.
@gastonethadeo328
@gastonethadeo328 8 күн бұрын
Peter Msigwa mwongo kwamba Mbowe hataki mtu agombee Urais? Mtu akiwa anaongeza msikilize vizuri !Mbowe Kagombea Urais Mara Moja tu ! Kwa hiyo Msigwa hajui Mbowe Kagombea Urais mara Moja tu ! Msigwa ni Mwongo ktk hoja zake nyingi
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 5 ай бұрын
Wasaliti wataendelea kuwepo!
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 3 ай бұрын
Lema na lisu hao ndo watakuja kuwa viongozi wakuu kwenye chama mbowe akisitaafu,maana hao wana uchungu wa kweli na lasilimali za nchi hii,hawawezi kwenda chama chakavu hao.chadema hata muisemeje sisi wanaichi ndo tuna imani nayo
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 5 ай бұрын
Kuna siasa safi na uongozi bora. Hivyo kuna siasa mbaya na uongozi dhaifu ki yume chake. Msigwa anachafua chadema sasa anasifia chamade gani? Ccm aliyoichafua kw. Miaka 17 au!
@adiaygo8546
@adiaygo8546 7 күн бұрын
Chadema kama Mende 🦉🐞🇹🇿
@asherykambona9168
@asherykambona9168 5 ай бұрын
Maana peter ni Petro yaani Msaliti
@oseamkama
@oseamkama 5 ай бұрын
Mara nyingi sna nafufatilia mch but kitu nilichogundua kutoka wako unauchungu ndani ya moyo kwasababu ya madaraka
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 5 ай бұрын
Huyu jamaa huenda ikawa kweli lkn Sina uhakika koz hatukutegemea kama msigwa ataenda ccm
@TrustElbashil
@TrustElbashil 5 ай бұрын
Maisha Sasa ivi ni mazuri sababu amenunuliwa na CCM
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 5 ай бұрын
Msigwa nilikuwa nampenda Sana ila kwa Sasa nikama sipana ya malaya
@stunningtv8426
@stunningtv8426 2 күн бұрын
Tamaaa na uroho wa madaraka!!
@nsajigwasilisye4416
@nsajigwasilisye4416 5 күн бұрын
Tatizo la chadema ni kutengeneza viongozi na kushindwa kuwasimamia
@johnrichard3177
@johnrichard3177 7 күн бұрын
Kwenye uongozi wa siasa kikubwa malisho yakikosekana pande kuhamia upande wa pili sio dhambi. Yuko sahihi angalia kina Kitila Mkumbo, David Kafulila na wengineo.
@godwinyohana5934
@godwinyohana5934 2 күн бұрын
Msigwa sasa vijana hawana ajira ni mbowe ndo wakulaumiwa au serikali ? Na ni namna gani upinzani utashinda kwa katiba iliopo?
@emmanuelmarko8442
@emmanuelmarko8442 5 ай бұрын
Huyu jamaa atapata shida sana. Anatapatapa alipenda starehe sana kitega uchumi chako ni sehemu ya kuogesha magari. Sasa hata uongee ni kazi bure atakujibu nani? Unajikweza na kujilinganisha na mh Mboe huwezi kumchafua hata kidogo kukaa kimya kwa viongozi wakuu wa chadema ni jibu pia. Unatumika kumpaisha mboe juu zaidi. Hoja zitakapokuishia utaanza kuongelea ya familia yako kichwa chako hakipo vizuri. Ngoja tuwaambie wakakupime mkojo ili tujue unasumbuliwa na nini mpenda vyeo msigwa.
@TuruBuza
@TuruBuza 3 күн бұрын
Hogela sana musigwa kwamaneno yabusala
@KenethMwambegele
@KenethMwambegele 5 күн бұрын
Anasema habari za CHADEMA kwasababu mnamfuata kumuuliza,ACHENI kumuuliza Kama atasemasema!
@Peterchipemba
@Peterchipemba 5 ай бұрын
Ivi Elimu ya msigwa ni darasa la ngapi...
@V24hrs
@V24hrs 5 ай бұрын
Ni kweli ..kuna haja ya kujifunza kwa ZITTO KABWE.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Zito nae mjinga ma puppet yote hayo yamekukw rushwa yote .
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Madalali hawa
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
🔴LIVE: WENJE ANAZUNGUMZA MUDA HUU JIJINI MWANZA...
26:07
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 10 М.
Msaidizi wa Lissu afunguka mazito dhidi ya Wenje
39:01
Land Dwellers
Рет қаралды 32 М.