Swadakta Sheikh Idd Mohammed Idd,Allah akulipe kheri,
@AhmadKambangwa-ry6qc7 ай бұрын
Mashallah sheikh Allah akuhifadh
@MaruzukuNasibu8 ай бұрын
Shekh uko vizuri nimekuelewa alwa akupe maisha malef
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Allah sio alwa
@JaffarManda8 ай бұрын
Swadaqta shekhe nnakukubali sana Tusichoke kuwaelimisha ipo siku wataelewa tu Insha Allah
@MohamedKasalama8 ай бұрын
Shekh hakika ufafanuzi umejitosheleza allah akupe kheri nyingi hawa hawaambiliki ujumbe umefika
@abubakarimussa91318 ай бұрын
Mashaallah hongera sana mwalim mwenye elim anakuelewa sana .hao jamaa wapingaji kila kitu hao wakata kanzu na salafi wanataka mamlaka
@cheapunderage82288 ай бұрын
Acha istzai we guullaf…kwaiyo swala la kanzu unatak kujenga hoja Km ni kosa
@nassorochura78388 ай бұрын
siku ina masaa 24 kama kuna nchi tunapishana siku nzima basi iwe hoja ya kubishana juu ya mwezi lakini kama ni masaa siku ileile ispokuwa ni masaa tu hivyo mwezi ni mmoja na jua ni moja mungu hakuleta idadi kubwa ya miezi
@bagalucha7 ай бұрын
Ni kweli hilo hawalioni,kila aliloliumba Allah,Lina maana yake,na kwa sisi walimwengu,tumejaaliwa mwezi mmoja kwa maana yake,tarehe ina umuhimu mkubwa katika maisha,na ni sehemu kubwa ya ushahidi katika mambo tofauti,sisi wenyewe ndio tunaotaka tarehe zetu zipinde pinde,suala hili tumejaaliwa tuwe hivi,au tumelitaka wenyewe,kutegemea tarehe za Gregor/kikiristo,waislamu hapa tumepigwa bao. Hapa ndipo tulipoanzwa kutawaliwa na manasara,hili wao wanataka libakie hivi hivi,chini ya utawala wao wa kutegemea tarehe zao,na hapa ni moja ya jambo waislamu walizingatie na muhimu katika kuweka kumbukumbu za kisheria,waislamu amkeni.
sisi Zanzibar mwezi anatangaza Mufti Maa sha Allah hakuna magenge ya kihuni yanayotangaza
@abdulrahmanmwadini59257 ай бұрын
Sheikh Abuu Idd,unanifurahisha kitu kimoja tu,unazungumza kwa References, sio huyu sheikh ambae hakutuonesha hata kitabu kimoja,kwa kweli unajua unachokesema Allah akuhifadhi.
@MsimbeRajabu8 ай бұрын
Tunafata dini sisi yaani mandiko marhiyan upo vizuri
@Sadikirajabu-h2c7 ай бұрын
Hizi elimu wanasomea wapi hawa mawahabi Wa kitanzania mtume sisi tumemuerewa asema shikeni kisichokua na shaka chenye shaka acheni mwezi wenu Wa kimataifa huu in mashaka matupu na katika elmu mmeshika mutashaabiha ktk aya za allah
@jumaally60078 ай бұрын
Jee tanzania mipaka yetu tunaishia wapi katika kuangalia mwezi? Na ninani kaweka hio mipaka na kwa vigezo gani?
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Hakuna atakae kujibu swali hili hao wapo kazini wanalinda ugari wao
Assalam aleykum sheikh iddi wacheni makumbano tofauti ya siku moja isutupeleke kugombana ,
@YusuphRamadhan-y1m8 ай бұрын
Mufti kadhi ndio wenye Malala mbona mnatangaziwa na watu kutoka juu
@CharafimalisalimoAli-qw3hk8 ай бұрын
KUNAKAZI YA KUWAFUNDISHADINI MAWAHABI NA USTAARABI. KAMA MWEZI WAKIMATAIFA UNAWEZEKANA BASI ATA SWALATANO PIA INAWEZEKANA KUSWALI MDA MMOJA SAA MOJA NA IMAMU MMOJA , TENA ASIMAME PALEPALE MAKKA ATUSWALISHE DUNIAMZIMA, TUTAMUONA KWENYE VIDEO .
@jumaally60078 ай бұрын
jee hii mipaka ya nchi kwa nchi nani kaiweka na jee nimazingatio katika muandamo wa mwezi?
@rajabchaula73057 ай бұрын
Naomba kujua hicho ni kitabu gani walichokisaini Masheikh????
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
Huyu jamaa ni mtihani sana,sasa tueleze kabla ya hayo mawasiliano ya simu hapa hapa Tanzania tulikuwa tunafunga vipi?maana hivi sasa tunafunga kwa taarifa hizo munazozikataa leo ambapo huonekana sehemu moja tu ya Tanzania?
@ibraahmbena8 ай бұрын
Nimekuelewa inshallah 🙏
@AhmadKambangwa-ry6qc7 ай бұрын
Kulikuwa na viongozi wa dini ndo walikuwa wanatoa muongozo Kama leo tunavyopewa muongozo ndugu yngu, alafu fatilia vzr ata zama izo za mtume mambo ya kutofautiana kwenye mwezi yalikuwepo, ilitokea sehem mmoja uliandama na sehem nyingne haukuandama,fuatilia
@AliSalim-yu4mo7 ай бұрын
@@AhmadKambangwa-ry6qc Miongozo iko ktk Kitabu na Sunna,yako mambo wanatolewa fatwa na wasomi(thika)lkn yako yameshatolewa Miongozo na Mtume (saw)likiwemo hili la mwandamo WA mwezi maana mwandamo WA mwezi ni mmoja Tu haiwezekani kuwa na miandamo miwili na teh mbili
@JumaPandu-d3l8 ай бұрын
Sheikh wangu hawa si Answari Sunna hawa ni Mawahabi safi Hawana doa
@nassorochura78388 ай бұрын
atakaetaka aamini na atakaetaka akufuru mi nadhani hakuna kumlazimisha mtu akubali kukufuru na yeye ndo ilimu yake aliyonayo mwacheni shekhe barryani na elimu yake na mungu wake kwa sababu yeye ndo allah atamlipa
@nassorochura78388 ай бұрын
haina haja sisi waislamu kumhukumu mtu allah ndo mwenye kumjua mja wake na yeye ndo alimuumba na yeye ndo atamhukumu
@mbwanabinmasoud32218 ай бұрын
Tusilazimishane kwenye misimamo
@yusufkisome6398 ай бұрын
Tangu Sheikh ALHAD Mussa Salum Amuulize Huyu Sheikh Kama Ameacha Kuvuta BANGI Sina IMANI nae KABISA, anataka BAKWATA waondoe Ulezi wao kwa Answar sunna na Kwamba Serikali iwasiliane direct na Answar Hajui kuwa huo ndio ushindi kwa Hilo kundi,Hajui kuwa kuna Viongozi wengi wa Serikali wanaliona hilo kundi kuwa liko sahihi.
@ALLYMATIMBWA-cz3zg8 ай бұрын
Kak nimeipenda ulivo andik ilo linatokea mda si mlefu
@zenakassomo8 ай бұрын
Mashekhe muogopeni Allah ,ukweli wa kimuogopa hii dunia tunapita jamani
@alifaki87418 ай бұрын
Hizi clip mbona kama ni za kuunga unga?
@nassorochura78388 ай бұрын
swali mi nikiuona mwezi mufti hajauona siruhusiwi kutangaza ?
@mbwanabinmasoud32218 ай бұрын
Shekh Muhammed Iddi hapa unachemsha usilazmishe lazima ufatwe weye hizi khitilafu hazikuanz leo...fuata unavoamini na waache wanavoamini
@Hamisikiumbe8 ай бұрын
huyo barahiyani anataka kuanzisha vurugu hapa nchini
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
Vurugu munataka kuanzisha nyie kupitia Mufti wenu au hili hamukuliona?
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
Au nyie ndio mulioshushiwa hii dini?hakuna KULAZIMISHANA KTK dini nyie fanyeni yenu na die tufanye yetu!sasa nongwa za nini?
@nassorochura78388 ай бұрын
tusigombanie mwezi mungu ndo kila kitu uislamu ulikuja ukiwa mgeni na utaondoka ukiwa mgeni kuhusu mwezi hiyo haina shaka mwezi ni mmoja tu dunia na siyo mwezi wa mtu
@AliSalim-yu4mo7 ай бұрын
Hii hadithi inahitaji uwe na maono kidogo yaani "UISLAMU ULIKUJA MGENI NA UTAONDOKA UKIWA MGENI" maana yake ni kwamba Kabla ya kuja Kwa Mtume (saw)kulikuwa na mambo ya ajabu ya shirk na bidaa!alipokuwa Mtume na waliomtangulia pia wakaleta haki basi watu wakaona ni mambo mapya na magumu kwao na pia kuondoka Uislamu kuwa MGENI ndio kama hivi Leo wasomi kujitahidi kuwaonesha watu yaliyo Sawa lkn watu wakaona hayo ni mambo mapya na kuwapachika majina mabaya,kuwatukana ,kuwakashifu na hata baadhi ya wengine kuwachonganisha na Mamlaka ili wadhibitiwe!sasa hapa ndipo panapotaka tafakuri ya Hali ya juu!
@AliSalim-yu4mo7 ай бұрын
Na huyu Ustadh IDD yeye ni mshabiki na anaonesha wazi anafanya dini kama ni ushabiki wa Simba na Yanga
@ibraahmbena8 ай бұрын
Ninacho jiuliza Kila siku ni kwamba hakuna siku wakapishana kwenye Ibada ya hijja Dunia nzima wanenda SAWA . Ila sijui sasa kwenye miezi mingine hua wanafuata utaratibu gani Kwa hijja na utaratibu gani Kwa miezi mingine.
@hassaniyassin16868 ай бұрын
Kwa sababu hija inafanyika sehemu moja na waislamu wote walio kwenda kuhiji, lakin Swaumu kila mtu anaanza kufunga katika mji wake na kwa majira tofauti pia.
Akili huna ww, kwani huwezi nukuu Aya za Qur an Kwa kiswahili!??????? Ni wazi kuwa hujui chochote
@nassorochura78388 ай бұрын
waislamu tunatabia ya kupeana makundi au mdhehebu swali mtume alikuwa kundi gani?
@shabanmohamed70718 ай бұрын
SHEIKH KATOA HOJA ZA MSINGI
@MzeeMponda8 ай бұрын
Dunia ina miezi ingapi shekh
@hilalkhalfan14528 ай бұрын
Ina miezi 12. Jee unataka kujibu kutumia akili zako au una kauli za wanachuoni kuhusu kufata muandamo?
@sadamyakubu10068 ай бұрын
Muhammad Idd mbona ulimkimbia Shaikh Kassim Mafuta???
@SheikhMondbinamir26-px4ej8 ай бұрын
Kwani Kuna nchi ambayo hakiingii kiza mpaka kwengine kuwe mchana si kweli
@RamadhanMwawila-n5l8 ай бұрын
Wewe unasema eti, mfano wamwezi wakimataifa km utakuwa sahihi.eti basi' ht muda waswala.kule.Mkka tungeswali kwamuda mmoja. Kwanza tunakujibu kuwa ndio tunaswali namakka kwamuda mmoja. Majira.yamakka na Tanzania niyale.yale! Nendeni shule mkasome.
@hashimsalim39518 ай бұрын
Kumbe Abnwasi wako tele
@mkude8 ай бұрын
Hili jambo linakhitilafu halafu nashindwa kuelewa huku kwetu kwanini tuufuate Tanzania na Kenya tu kwanini mipaka iwepo kwenye nchi hizo mbili tu? Kwanini hii mipaka isiende basi mpaka Uganda au Somali. Kwahiyo tunaishi Kenya tu. Serikali haiwezi kuingilia mambo ya dini.
@nassorochura78388 ай бұрын
jamani mbona uislamu wa sasa unakosa nidhamu wasomi wakubwa mnaupoteza ummati muhamadi shekhe barrayani yuko sawa tu ndo sehemu ya jihadi mungu atamlipa tu mungu amjalie kwa elimu yao
@mwalimjecha68938 ай бұрын
Shekhe kazi kubwa unayo ya kuwafahamisha hao wapinzani. Hao hawakukubali abadan kwani nyoyoni mwao mna vizibo.
@SheikhMondbinamir26-px4ej8 ай бұрын
Hoji basi na hili kwani Kuna nchi ya kiarabu ambayo tunaopishana na Tanzania Kwa siku nzima
@IbrahimRajab-rg3vm8 ай бұрын
Sisi hatufanyi ibada ki bubusa tunazo dalili zinatutosha na tuko tayari Kwa lolote mnalofikiria kufanya hii dini SI milki ya mufti
@DauderMnazi8 ай бұрын
Hii dini si ya saudia ni ya dunia kwahio tusiishi kwa kuwangalia saudia
@SeaPower-pu1mq8 ай бұрын
Ndioo kwel shekh Salim yupo sahihi
@alifaki87418 ай бұрын
Ivi mtume s w a, hakujuwa wala hakujuilishwa na mola wke kuwa dunia itakuwa kubwa? Ata asitowe maelezo yanayofafanua kuwa dunia ikiwa kubwa tufanye nini? Mbona katueleza mengi ambayo zama zke hayapo lkn yatakuja? Ashindwe kueleza hili?
@ramadhanimtetu36568 ай бұрын
Sheikh wa Mwezi huyu Baba hanaga akijuacho yeye anajua Mwezi tu 😂😂😂😂
@abdullahmasakata1708 ай бұрын
Wewe unae jua unafuata watu wanao tukana waislam kuwa ni mbwa wanao bweka hio ndio suna yenu kama mnavyojinasibu? Au kwenu suna ni matusi kutukana mashekh na vitabu vyao na maulamaa msio wapenda hio ndio suna ya mtume MUHAMMAD S. A W? Someni uislam acheni itikadi za kigaidi ambazo hata zimeshindwa kusapoti Wapalestina wanao uawa Gaza, Nyie mnasapoti wauwaji Wa waislam wenzenu Kisa ufalme wa Saudia kwanini hivi?
@ramadhanimtetu36568 ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Sio Kweli Kila ansemkosoa Muhammad Eid ni Mfuasi wa Masheikh wa Kisaudia Hicho ni kigawanyo kibaya Suala la Mwezi na mgogoro wake ni Suala la Zamani mno Mimi nafuata Mwezi wa mji niliopo ila sipendi wanatafuta Umaarufu hapa Mjini kupitia jambo ambalo Lina ikhilaafu kwa Ulamaa wetu wa Fiqhii Kiasi kisheria wote wapo sawa tu Watu Waache kupoteza muda wa kulumbana kwa mambo kama haya wanaboha tunataka Maendeleo sio Kuwagawa watu kwa mambo mfano wa haya
@muhsinimohammad588 ай бұрын
Jibu hoja za shekh qaasim mafuta za mwaka juzi hapo huna hoja
@hemedimbilikila97688 ай бұрын
Huna jipya wew na genge lako
@jumanina71038 ай бұрын
Leo unawakubali Masheikh wa Saudia ukikatazwa Maulidi Masheikh wa Saudia huwataki
@SolomomAdams-pf5zy8 ай бұрын
Hahahaha
@SheikhMondbinamir26-px4ej8 ай бұрын
Halafu watu wanafunga mwezi unapoindama popote nchi si lazima Saudi usizushe
@ahlusunna89328 ай бұрын
Wewe nawe hujielewi. Kwani umeskia wao wanafata mwezi wa saudia tuu au wamesema wanafata mwezi wa kimataifa? Kwani lazima ucomment kudhihirisha ujinga wako? Do your research kabla hujaropoka kitu
@nassorochura78388 ай бұрын
hii dini ni ya mugu hakuna kulazimishana soma suratul kahf haina haja ya kumfosi mtu aombe msamaha we unajuaje kuwa uko sahihi?
@YUSUFUFADHILI8 ай бұрын
Kuhusu kuwagawa watu nipale ambapo jamaa itakua yahaqi ila jibuni hoja ambayo sheikh aliwafunguza watu halafu yeye akafunga sasa hapo tumfuate kivipi? Anyooke kwanza asimamie haqi halafu tumfuate ila akiendelea kupokea oder kutoka serekalini hatuwezi kumfuata
@imranbanda39638 ай бұрын
I think sheikh Barahiyan has only grudges its nothing about understanding Deen
@SheikhMondbinamir26-px4ej8 ай бұрын
Lakini mbona chirsmas inakuwa siku moja Dunia nzima hebu tujibu na hili we mzeee
@SirajuChilindo-b4y8 ай бұрын
Sasa Christmas ni Nini na ww wahabi jaahil
@RamadhanMwawila-n5l8 ай бұрын
Shekh' IDDI' tunaijua chuki.yako dhidi ya Ansar kwamuda mrefu. Wewe nimwanazuoni mbaya sn,.unayefarakanisha waislaam. Wewe NIMTU hatari sn ktk MAENDELEO.ya.Uislaam..DUNIANI.
@RamadhanMwawila-n5l8 ай бұрын
Hoja zako hazina uzito! Hebu tuambie KALENDA YAKIISLAAM DUNIANI ZIKO.NGAPI? UTUJIBU.WEWE IDDI' MOHAMED.SHEKH.WAMAULID! UKISHINDWA HILI BASI YOOTE.UNAYOYAZUNGUMZA NIUPUUZI MTUPU.
@johariabdalla33198 ай бұрын
Ustadh Shafi tuwekee na upande wa pili tusikilize,ikisha tupime,au umeweka wa upande wako?maana nyie ndo walewale
@yuniskinkopela32248 ай бұрын
Nawewe ni mnafki shke lddi
@SolomomAdams-pf5zy8 ай бұрын
Kinachozungumziwa Mwenye Mamlaka ya Kutangaza ni nani??? Naona Mwaenda mbali mpaka Mwatusi Masheikh Tuwe Makini Nyama za Wanazuoni Zina Sumu.
@PutinYahya-z1o8 ай бұрын
Tatizo lenu mlishakalili sunna nikukata suluali nakufuga ndevu tu hamjui hata kutembelea wagonjwa ni sinna mlishajifanya nyie ndo mnafunguo za pepo,muache kuwachonganisha waisilam mnatabia mbaya sana nyie mnaojiita answali sunna.
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
Hata huyo anayedai kuwa na mamlaka ya kumtangaza mwezi amekwenda mbali zaidi ya kutaka wengine wakamatwe!unadhani upande wa pili watasema nini?na hayo mamlaka kapewa na Nani?na Serikali isiyo na dini?mamlaka ya mtangazaji yanatokana na kiongozi wa Waislamu atokaye miongoni mwao!sasa je Mufti aliyechaguliwa na Mamlaka isiyo na dini ndio sahihi?mbona Wakristo hawasemi mwenye mamlaka ni yupi ktk tofauti ya madhehebu Yao!
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
@@PutinYahya-z1okwani wewe wachukia ndevu!na kuchumia kuvaa nguo za kisheria?Kwa kweli nyie Maghulafi munaovaa nguo za kububutika kama maharusi wa kikafiri ni shida sana!hamujitambui maskini like la kisheria munalikataa na tale mepenzi yenu munayang'ang'ania
@muhsinimohammad588 ай бұрын
Yaani bakwata haiwezi kukupa cheo kwa sabab wanakujua
@abdulykahera42738 ай бұрын
Mohemedi iddi huna jipya mbona kuna siku yawanawake duniani mbona hua inakua siku moja wewe unachanganywa na muda sio siku nzima
@AbdalallaBrahimam8 ай бұрын
Ndugu soma siku ya wanawake hwaangalii mwezi
@mohamedkhamishamad8 ай бұрын
Kwa sababu kilikuwa hakun utenda wazi simu zingekuwepo ungetekelezwa
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Kwahyo uislamu wawakat wa mtume ulikuwa na upunguf kwa kuwa hakukuwa na simu we ni jaahil na hyo syo hojjah msikilize shekh maana ananukuu syo maneno yake
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Hlf ujue hauhitaji utandawaz wala hauhitaji media kwasabab Allah hakushindwa kuleta utandawaz wakat wa mtume na uislam ulikamilika kwa wakat wa mtume uislamu umejitosheleza acha porojo Barakallaah fiika shekh Abuu Idd
@CharafimalisalimoAli-qw3hk8 ай бұрын
KWANZA HUOWEZI WAKIMATAIFA ATAKAEUTANGAZA NI NANI AMBAE NI KIONGOZI WA KIMATAIFA TUNAEE ???
@MwajumaMkali8 ай бұрын
Elimu nipana haina haha ya mabishano kwa waisilam
@nassorochura78388 ай бұрын
hata maulidi na hitima ni bidaa lakini kwa kukosa ilimu ya dini tunafanya bidaa hizo na mashekhe tunaangalia tu na wala mashekhe hutaona wanaonyesha hadith ya mtume inayozungumzia hitima wala maulidi
@sudisalehe1928 ай бұрын
Vibaraka wa bakwata,sasa we unamjuaje muft wa Oman
@hilalkhalfan14528 ай бұрын
Kama humjui ni wewe. Na aliokuwa hamtambui walii wa na Kipenzi cha Mwenyezi Mungu sw MUFTI WA OMAN, basi una hasara kubwa kusikiliza mufti wa mayahudi wa saudia
@SalimAli-wz3mi8 ай бұрын
Tufuate katiba ya nchi. Tanzania haina dini Usifuate mufti wa oman
@yusufkisome6398 ай бұрын
Unatushauri turudi kwenye dini ya kukata mauno kwenye Maulid
@kessynassoro28478 ай бұрын
kitu ambacho sikielewi ni kuwa mashehe leo ni ramadhani ya 13 bado mnasigana juu ya nani atangaze mwezi "this is bullshit" watu hawajui dini yao! watu hawajui sheria za kiislam mwezi huu mgeutumia kutufundisha mambo ya maana ya dini yetu mekaa mnasigana juu yakutangaza mwezi je mlisoma ili tuje tuwasikilize mnavyolumbana mnavyooneshana ubingwa wa kujenga hoja, mm ningesoma dini nisingebishana kwa mambo ambayo hayajengi umoja wa waislamu bali mnazidisha mipasuko kwenye jamii ya waislamu! kwa nn msiachane na hayo mambo kwani huyo shehe balayani akitangaza mwezi na mufti akitangaza mwezi kuna tatizo gani? mungu si atamuuliza huyo aliyewatangazia watu wakafunga ama kufungua nje ya muda? au kama akitangaza mufri pwkw yake nchi nzima nako kuna tatizo gani si ni yeye ataulizwa n mungu kwa nn alizuia wengine wasitangaze mwei tatizo liko wapi. kumbukeni ramadhani inaish hakuna cha maana mnachoongea ni pumba tupu. tumieni platform hizi kuwashawishi wengine wasiokuwa waislam waupende uislam lkn ninyi wiki ya pili sasa huy anasema huyu anaropoka, acheni bhana
@iddijuma-rk9xf8 ай бұрын
Umesema kweli
@MohdAliHaji8 ай бұрын
Naona sheikh Kassim mafuta kumkimbia ww bwana mkubwa
@bagalucha8 ай бұрын
Angalau siku hizi unaweka vijidevu,lakini hizo sharubu zitoe,wacha fitna hizo,Allah anakuona,wacha kujipendekeza.
@MwajumaMkapali7 ай бұрын
Kwani ww haunamacho allah alivomleta mtume muhammadi mbona alikua pekeake mungu hakuleta mitume wawili si kujua kama patakua na vulugu wakiongoza mitume wawili sasa balahiyan
@MwajumaMkapali7 ай бұрын
Balahiyan amekosea tu
@MzeeMponda8 ай бұрын
Kwani dunia ina miezi mingapi, mwezi wa kimataifa ni upi na mwezi wa tanzania ndo upi?
@hilalkhalfan14528 ай бұрын
Unajibu kwa akili au kauli za maimamu na wanachuoni?. Kama unatumia akili basi Mtume saw amekataza. Mwezi ni mmoja ila machomozo ni mengi sana, Qur-an ndio imesema "MAWAQIITU" machomozo ya mwezi si mchomozo wa mwezi. Hayo Mwenyezi Mungu sw ndio kasema. Kwahio kila mtu atafata mchomozo wake sawasawa na jua ni moja ila machomozo ni mengi na kila mmoja atafata swala ya mchomozo wake
@r.m.a75708 ай бұрын
Arafa ngap jaman naona Tanzanian ina rafa yao
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Usiropoke we ni jaahil sikilza wasomi wenye Elimu
@uthmanmaluja70058 ай бұрын
Huyu Mohamed idiy anataka sanaa uongozi hasa kwa mufti ili apewe nafasi lakini wp anajitahidi sanaa kubwabwaja hoja ya msingi hana kabisaaaa
@mavulunzatv92808 ай бұрын
Si kweli anatetea dini
@shabaniissa34648 ай бұрын
Ni kiongozi kwasababu ni mshauri wa Mufti
@SheikhMondbinamir26-px4ej8 ай бұрын
Usitudanganye ogopa kuwapoteza watu
@nassorochura78388 ай бұрын
elimu siyo wahabi tu ni ya kila mwislamu aliyekatika ummati muhamadi
@nassorochura78388 ай бұрын
na jihadi haita simama mpaka kiyama
@r.m.a75708 ай бұрын
Mbona maulid ilkua hamna na leo nyiny muna shadidia vp hapo shehe na ww muonga au
@kagetaabdallah37128 ай бұрын
Uyu ni mropokaji sio sheikh
@abdulykahera42738 ай бұрын
Unataka cheo bakwata wewe acha kuongopea watu
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Toa hojjah syo kutukana mburura wa kianswar munashikiwa akili
@MohamefMullah8 ай бұрын
Mawahabi hata uwatolee ushahid kwenye vitabu vyao 'vya kiwahabi au'vya wa wafadhil wao wamarekani na mayahud hawatakubali maana mawahabi siwaelewa
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de8 ай бұрын
Hawa answari wamechanganyikiwa
@اسماعيل-ه4ه8 ай бұрын
hizo niakili zako mwenyewe zakwmba mwezi wa kimatahifa hakuna nyinyi bakwata nendeni mkasome kwa barahiyani sheriya hamuijui
@abubakarimussa91318 ай бұрын
Mwezi wakimataifa upoje?
@yussuphsultan14008 ай бұрын
Kwa hiyo kuna miezi miwili, na nyumbani(mwandamo) na wa kimataifa?
@manixawadh71988 ай бұрын
Hana jipya huyu sheikh ywajitatiza mwenyewe... Qiyama kitasimama siku moja tuu ww kimbia kule ambako siku ya Qiyama itakuwa bado haijafika kwao tuone utanusurika vipi... mambo yako wazi mwatatiza tuu watu kwa kuipiga makamama bid'ah.
@اسماعيل-ه4ه8 ай бұрын
Sheikh hujui géographia na hakuna siku mbili dunian usidangany umma allah yuakuona
@AbdallahIssaShekhan8 ай бұрын
Wewe ni kihiyo kama Baruhany
@yussuphsultan14008 ай бұрын
Hili nalo lako ni jipya, kasome tena jiografia yako hiyo
@matanohassan96678 ай бұрын
We nenda kajiongeze mwezi Ni MMoja tu duniani kote ila Huo mwezi uko Na chomozo Nyingi Kwa mda tofauti Kwa duniani kote hapo ndio matwali Na ikhtilafu zimeanza Na Allah ndivo alivosema katika QURAN tuku (Yas alunaka anil ahillah qul hial mawaqetu )Hadi mwisho Wa Aya so UKITAKA FUATA usipotaka Wacha usitukanae watu
@yussuphsultan14008 ай бұрын
Kuna nchi zinawahi kuingia siku na kuna wanaochelewa, Tanzania ikiwa mbili usiku kaangalie Marekani ni saa ngapi! Marekani wenyewe wana time zones ngapi?