Mbarikiwe sana watumishi kwakweli huo ndio ukweli kabisa.
@furahag30988 ай бұрын
Amen watumishi wa mungu nawapenda sana kwa kujitolea kwa kazi ya mungu 🙏
@OLUNGAJOSHMAH8 ай бұрын
Utukufu ulio nipa nimewapa hawaJhn17:5 waona vle watumishi wanapatana kwa somo hili...Mungu atukuzwe
@StellahGirgis8 ай бұрын
Ndacha nakupata vizuri niko morogoro sauti inasikika
@peterndungu69808 ай бұрын
Mwalimu niko pamoja nanyi kabisa nalifurahia juu mlifika salama naomba tafadhali nitumie namba yenye nitatuma pesa nayo
@James-fh3js8 ай бұрын
Bwana awabariki zaidi. Tushikane sote katika kazi ya Mungu kwa njia zote, ili iendelee.
@stephenkisuli56438 ай бұрын
Amina! Bwana awatie nguvu watumishi
@OLUNGAJOSHMAH8 ай бұрын
Pazeni sauti zenu wapendwa kwa Ushujaa huo..barikiwa
@peterwambua18978 ай бұрын
Mungu awatie nguvu ya kuhubiri ujumbe huu wa wakati
@ezekielmwamba91068 ай бұрын
Amen Barikiwa sana walimu
@Thruthministry8 ай бұрын
Wapenda BWANA asifiwe,, hiki ndicho chakula kwa wakatii ,, nipende kuwaomba ndugu zangu tuzidi kujitoa kuchangia kwa kadri MUNGU alivyotubarikia ili wapate kuokolewa wengi ,, BWANA awabariki
@elizabethnzula67048 ай бұрын
Hawa watu wanatujenga sana na kutuelekeza kwa injili ya kweli tunawaombea sana MUNGU WA MBINGUNI AWALINDE MILELE mmejitolea sana kuhakikisha watu waokolewe .asante MUNGU KWA KUINUA HAWA WATUMISHI WA KWELI.
@nehemiekwizera12778 ай бұрын
Michael ni Yesu mwana wa Mungu. Maana hata tafusiri lenyewe la jina Micha-El , lina maana “Who is like God or Being like God “( Alie sawa na Mungu).
@Elizabethsidi-b9j8 ай бұрын
Amen mbarikiwe Sana walimu
@japhetndoro65338 ай бұрын
Mungu awabariki Sana wapendwa
@JosephShauriPata8 ай бұрын
Hamjambo matumishi
@Bibleanditswarningvoice8 ай бұрын
Kwa Nini simuoni paulo
@musarogito88758 ай бұрын
Be blessed
@mkphxaztv46098 ай бұрын
Napenda hiki kipindi sana
@DannyJoseph-dr1ep8 ай бұрын
Michael is Jesus Christ, the begotten son of the almighty God, no doubt to this
@richardkajura29407 ай бұрын
Tusaide ufafanuzi Isaya 9:6....
@paschalcosmas60938 ай бұрын
YESU sio malaika mikaeli, japokuw ni kweli malaika mikaeli ndiye malaika anaeruhusiwa kubeba jina la Bwana lkn yeye si Bwana mwenyewe...Lkn Yesu ndiye Bwana mwenyewe na si malaika mikaeli mwenye kubeba jina la Bwana. Na pia popote malaika mikaeli anapoongea kama Bwana basi huongea Kwa niaba ya Bwana.
@historiayangu8 ай бұрын
Habari zenu, kwa kua mnadai kwamba Mikaeli ni malaika, mkanukuu kitabu cha Mwanzo na vingine, na mkadai kua ni Yesu, ningependa kujua kama vinaendana na fungu hili… Waebrania 1:5 Kwa maana alimwambia MALAIKA YUPI wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?