Mafundisho mazuri Sana mungu akupe maisha marefu mtume
@EmmyPhilimon12 күн бұрын
Mimi ombi langu kwa Mungu akupe miaka mingi sana mahana ekima zako ni za juu
@marysbeautyempire806 Жыл бұрын
Haya Mafundisho Yamenigusa Leo tarehe 16/10/2023.. Nimepata kusikia Neno ambalo litabadili historia ya maisha yangu. Mungu tusaidie sanaa. Semina hii Ilikuwa kwa ajiri yangu na ni kusudi la Mungu kwa ajiri yangu. Nimebarikiwa sanaa
@EmmyPhilimon12 күн бұрын
Mimi naomba neema ya Mungu ionekane kwenye maisha yangu
@shirimaoliva76956 ай бұрын
Mungu naoma unisaidie mimi na mume wangu maana kwenye majaribu tunayopitia tumefika mwisho bila msaada wa Mungu atuwezi kabisa ,
@EliudCostantine2 ай бұрын
Amen
@MuyanjaMkamaАй бұрын
Mungu naomba unirehemu mimi mwenye dhambi
@veronicajoshua4116Ай бұрын
Nashukuru Mungu, nimepata nafasi ya kusikiliza haya maombi Leo 16.10.2024 Ninaamini Mungu anaenda kubadilisha maisha yangu kuanzia sasa, fursa zangu zinaenda kufungua na napokea kwa jina la Yesu
@tumainiModern Жыл бұрын
Baba unaniongezea Imani Mungu akubariki na akupe miaka mingi
@mwanaharakati838 ай бұрын
Mungu niunulie watu watakaomba kwa ajiri yangu
@francialaizerLaizer2 ай бұрын
Kwa mafundisho haya Mungu amponye Mme wangu na mtumishi Mungu akutuze na akulinde ww na familya yako
@MaasaicultureGuide-cr2ct Жыл бұрын
Crabbshakarabakora mandorosharoboshaka katika jina la yesu
@JAPHETMWATUJOBE-nj4hcАй бұрын
Jina la Bwana libarikiwe sana asante Mwalimu kwa mafundisho , ninaomba mlango wangu ufunguke Mungu ingilia kati❤
@ChrstopherPeter2 ай бұрын
Amina mtumish wa bwana
@Joyce-ux2suАй бұрын
Nalibari jina Yesu Kwa ajili mtumishi wake Kristofa.Mungu akutunze
@HarrietSannah3 ай бұрын
Nakushukuru Mungu wangu mkuu
@NeemaMdumaa-up9vdАй бұрын
Mungu naomba unisaidie naomba rehema na Toba🙏🙏🙏
@UeniceBukuku-rk4st4 ай бұрын
Daaa asantee baba kwa mafundisho mazur Mungu akuinue
@teresiahasan85352 жыл бұрын
Mungu akutunze BAB kupitia masomo yko Kuna viwango tunavushwa na Mungu
@shirimaoliva76956 ай бұрын
Amina Mchungaji Mungu naomba unisaidie nikufuhamu wewe zaidi na niwe mwepesi wa kuomba Toba ili nikawe nguvu ya familiya yangu
@EliudCostantine2 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU akutunze mtumishi wa MUNGU
@gastonekivuyo35773 ай бұрын
Namuombeaga Sana Mwl Aishi miaka mingi hapa duniani aendelee kutupa Mana mpaka tutoke Jangwani
@KagadjuChristophe18 күн бұрын
Amen mungu akubariki
@ChristopherChunga-t3k2 ай бұрын
Mungu akubariki wajina Rev chunga Ddm mkutan
@JohnThomas-o5z Жыл бұрын
Nakupenda mchungaji na mwalimu wangu
@peterisack5016 Жыл бұрын
MUNGU akulinde sana mtumishi wa MUNGU
@bestcakes709810 ай бұрын
Asante Yesu kunihudumia leo kupitia mtumishi wako. Utukufu kwa Mungu🙏
@EligiverShoo-o2m8 ай бұрын
Jaman naomben mawasiliano ya huyu mwalimu MWakasege ntashkuru sana
@OmegaLema-gg6dx2 ай бұрын
Napokea kwa jina la YESU
@WallecMYohana-ur7pf Жыл бұрын
Mungu akubaliki baba
@eliyadiga3482 Жыл бұрын
Ee MUNGU 🙏🙏 muinue mtumishi wako
@NoelMunganga-o6t9 ай бұрын
Ubarikiwe sans mtumishi wa mungu neno hili limenikumbusha baba yangu mzazi mungu amulaze Magali pema
@teresiahasan85352 жыл бұрын
Mungu akutunze BAB kupitia wew Kuna viwango tunavushwa na mungu
@MagdalenaAyubu-ox5fz Жыл бұрын
Amen Mungu anisaidie na mimi niinuke kwa viwango
@jojotanzan609 Жыл бұрын
🙏Amen barikiwa mtumishi
@TulasupaSanga9 ай бұрын
Narúdi kwa bwana mwalimu naomba uniombee ubarikiwe sana🙏🏿
@wilywilliam817910 ай бұрын
Hakika YESU ni mwema
@janejacob1402 Жыл бұрын
Asante MUNGU wa mbinguni nimebarikiwa ameni MUNGU ni mwema sana 🙏
@pascmedia17132 жыл бұрын
Amina Baba ubarikiwe sana
@RickMartin-gs2rv5 ай бұрын
Amen Baba yangu wa IMANI
@cassiandomina71839 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu, ubarikiwe
@elizabethelias31308 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunikutanisha na hili somo
@mercychebetchematwa1344 ай бұрын
Neno lawakati Kwa Hali yangu 2/7/2024
@odiliaedward14172 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa Bwana
@MALIKIACONCHESSA9 ай бұрын
Asante sana Kwa kutullisha neno zuri MUNGU akubariki
@JonasMusa-t9b Жыл бұрын
Uwena miaka mingi ❤ mtumish,
@ChausikuMachota9 ай бұрын
Namshukuru Mungu Kwa neno hili
@aureliamlundi4506 Жыл бұрын
Amina mungu ni mkubwa ubarikiwe mtumishi wa mungu
@chrispineonyango793 Жыл бұрын
Amen 🙏
@BahatiMakoga9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalim
@QUEENJoseph-kh6cb6 ай бұрын
Amin Mungu funguwa lango nivuke salama
@EmanuelEtlawe-nr8co Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa na masomo yako mungu azidi kukupa mafunuo
@vumiliaedward1631 Жыл бұрын
Ninaota mara kwa mara ninazungukwa na maji baharin nakimbia kutoka kunawakat naona nimechoka na maj yanatak kunifurikisha nifanyeje mtumish
@user-exauceimani Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho na maombezi, u barikiwe sana mchungaji na kanisa
@Studiokatoro Жыл бұрын
Mungu akutunze uishi sikunyingi mafundisho yako yanatusaidiya
@lucasmaro41723 ай бұрын
AMEN Mtumishi.
@ValentinaMapunda Жыл бұрын
In JESUS name AMEEN 🙏
@delphinakitali912511 ай бұрын
Amen, Mungu akubariki na kukuinua kila saa
@ChausikuMachota9 ай бұрын
Mungu akutumze
@ritagregory5064 Жыл бұрын
Baba ubarikiwe San na mungu akulinde daima
@edinamkoko Жыл бұрын
Ahsante YESU Kwa ujumbe huu mzuri mno.
@JophFidel Жыл бұрын
Asant mungu kwakila jambo
@suzandeniss8948 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba kwa neno zuri
@jacklinestraton255 ай бұрын
Ameeen Halleluyah Nabarikiwa
@SonkoJackosoni Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na neno hili sana Amen
@gabrielahmwakyembe8498 Жыл бұрын
Mungu akutubze baba neno la leo ni kweli na amina
@gracebesya Жыл бұрын
Amin mungu akutunze
@msuya-r4c3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Tunaomba aliye upload arudie kuangalia hii video kuna sala baada ya dakika 40:03 imekatwa na kurukwa mpaka kwenye kumshukuru Mungu.
@Mboka-x6c7 ай бұрын
Ameni barikiwa baba
@froidamahenge70436 ай бұрын
Mungu akubariki baba
@DianaShayo-io1pz Жыл бұрын
Mungu apake mafuta mabichi zaidi mwl ili uokoe hiki kizazi cha leo
@apolinabahati2168 Жыл бұрын
Muzuri awabariki sana watumishi wa Bwana
@njemetiezekieli7658 Жыл бұрын
Ahsante Yesu kwa watumishi wako
@GiftSanga-b1j Жыл бұрын
Mungu akjtunze
@EsterHizza9 ай бұрын
Amen thank you for the nice words of god is so wonderful
@jameslesingita1612 жыл бұрын
Roho yangu yafarijika Sana mungu akubari sana
@AgnesMgina-ud6ho Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi❤❤❤❤
@mariahamis1708Ай бұрын
Ameen Baba
@AugusterJackson-eb6er5 ай бұрын
Yesu nisaidie pale ninaposhidwa unipe nguvu baba yangu
@mwasebejeulingana1744 Жыл бұрын
Utukufu kwa mungu
@LaurentDeemay-sb8wf Жыл бұрын
More blessed a man of god
@halimacharles34952 жыл бұрын
Amina mutumishi
@JescaMwakipesile11 ай бұрын
Glory to God.
@hillarytwoli6789 Жыл бұрын
Mungu akuinue sana...
@resamaria46172 жыл бұрын
Asante Yesu amena
@kevinMwiva Жыл бұрын
GOD bless this work from you man of GOD.Glory to GOD
@agripinamgema36562 жыл бұрын
AMINA BABA 🙏
@margrethjonesmshana85552 жыл бұрын
Ameeern MUNGU WA MBINGUNI Nifunulie Nione Kwa JICHO la 3
@veronicambeleseroisaya4539 Жыл бұрын
AMEEN MTUMISHI
@gladyskerubo607511 ай бұрын
Hallelujah
@johnbernardmwakipesile49346 ай бұрын
Amen 🙏 ❤❤❤❤
@gladyskerubo607511 ай бұрын
In Jesus name 🙏
@elizabethalphonce99065 ай бұрын
Huu ujumbe umenibariki Leo 6/6/2024
@ModestaNyakiti5 ай бұрын
Amen
@BridgethNjau3 ай бұрын
Kweli kabisa kama alikua ananiongoza bwana fungua Lango langu
@beatricechembagulabeatrice89912 жыл бұрын
Amina baba
@MagangaMasunga9 ай бұрын
Ameen
@JophFidel Жыл бұрын
Ubalikiwe san mutumishi nabalikiwa kupitia ww
@LilianRaymond-l7jАй бұрын
😮Ameni 36:49
@monicalasway3795 Жыл бұрын
Amina sanaa
@florencemackenzi825520 күн бұрын
NINAKUSHUKURU MUNGU KWA SOMO HILI MUNGU ASANTE SANA NIKO HURU SINA HATIA YOYOTE NA MALANGO YANGU YAMEFUNGULIWA , NA ASANTE ROHO MTAKATIFU KUNIHUDUMIA.