Sema Mh, Mungu akupe maono zaidi simama Imara baba
@KamwandaNzowa-eo4ur7 ай бұрын
Hongera sana John Heche japo wapo wenye vichwa ngumu hawakuelewi lakini asiye kuelewa lazima hukumu impate tu
@prospermalala66367 ай бұрын
MH John heche elimu kubwa unayoitoa, hakika IQ yako IPO juuuu sana ktk maisha ya watanganyika waelewe uozo uliopo ndani ya Taifa letu, Mungu akuongoze Kwa kuwafumbua macho watanganyika wafahamu hiki kinachotokea Leo hiiiiiiii nchi kwetu Tanganyika, spana zinawabana CCM wameziba masikio yao kujifanya hakuna kitu kinachoendelea nchini kwetu Tanganyika, Hakika IQ ya uwalimu uliosomea umeifanyia ❤❤❤❤❤ Haki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Moto wa gesi,
@godfreybitakama98457 ай бұрын
Nakukubali sana mwamba bado tunasafali ndefu sana
@emmanuelmasele95857 ай бұрын
Hongera sana.
@AmaniGodwell-nz8iw4 ай бұрын
Heche ni niongoni mwana siasa mwenye maono makubwa sana mungu akubariki kiongoz
@aloycemruma65527 ай бұрын
Wanao mbeza .Heche. Atakuwa mchawi au ana masilahi na maovu yanayofanyika. Kupandisha ushuru mpaka mashudu..Yani taka inadaiwa
@MwangaNkayagwa7 ай бұрын
Hii ni elimu tosha Kwa mtu mwenye akili hongera Heche
@adaNahimana-y7b7 ай бұрын
Inaelekea Unaowaambia Hawaelewi. Mwenye Kuelewa Utawaona
@SaigiluSankale6 ай бұрын
Mungu ni mwema tutashinda
@mtewelemtewele02607 ай бұрын
Jembe la chadema lililobaki nalikubal sanaaa usiwe msalit kama msigwa alieunga juhud
@daudysanga84927 ай бұрын
Huyu jamaa very important
@illomowerner76907 ай бұрын
Gotten you @daudysanga, this man Heche is so materialistic
@WivaNonkwe7 ай бұрын
Ukweli mtupu piga kazi kamanda ujumbe umefika
@HassanKangwa-sz4gn7 ай бұрын
Akili kubwa zaidi ya mwalimu
@stevenfumbi95667 ай бұрын
Naamini siku moja utakuwa mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya mh Mbowe kutoka madarakani
@maendeleoleo25947 ай бұрын
Huyu jamaa jembe
@honesthenry9017 ай бұрын
Heche hichi kitu unachokisema ndivyo alivyokuwa akivifanya John magufuli lakn bado mlimpinga. Sasa tuwaeleweje mbn mnakuwa vigeugeu.
@nestor3847 ай бұрын
Wananchi wanapaswa/tunapaswa kuchukua hatua
@machujamathias71657 ай бұрын
Hakikaa heche ana nondo, Kila mkutano awe anahudhuriaa
@abdalahgunda13197 ай бұрын
Eche matiriol into chadema political party has lmotion into chadema political party has capacity explain clear Antilles tanzania people get point from eche
@victaboy72737 ай бұрын
Kwamba? Yaani sijakuelewa mwenzio
@MmbagaMmbaga7 ай бұрын
Baba zetu sisi,wote tumefundishwa elimu ya kukarr hilo ndio tatzo
@DavidKagulu4 ай бұрын
Mwenyekiti ajaye wa cdm
@OscarKasalile-u4k7 ай бұрын
Jembe ninalolikubali
@sangomamourice35397 ай бұрын
Inasikitisha kwa kweli
@saimonisichimata85597 ай бұрын
Hiz ndio sera tunataka
@paulombay68847 ай бұрын
Hapo kweny wazee sas lazima mshinde wanaume
@bundalaizina6527 ай бұрын
Bado kwenye mafuta ya kula, na dizel na petroli kuna shida sana bei kubwa mno jamani
@Esteriajoseph-yk8bq7 ай бұрын
Wana chadema tujenge Sana la Heche
@yokoi39707 ай бұрын
Wake up Tanzania kuna siku tutalia kisa CCM. Ni watu wa ajabu
@artsonkimath29177 ай бұрын
Mwambaaaaa
@moriskalegeleshusha26197 ай бұрын
Hapo kwenye kutubakizia mabaki ya nguo mkuu
@LushidulaJidamawi7 ай бұрын
Heche nakishimba nakabudi wanafaa
@MaryamAbubakar-c2d7 ай бұрын
Wake up Tanganyika
@TabuMasanja-y5f7 ай бұрын
heche wewe ni onjoni schana na haso skins m heche wewe ni njembe siyo huyu msingwamgaga njaa kwanza kanisa lake Lina waumini 20, Sasa piga
@victorkisenha59337 ай бұрын
Pokea 100%
@MustaphaSeleman-z7c3 ай бұрын
Uyu jamaa anakitu
@TabuMasanja-y5f7 ай бұрын
heche wewe ni onjoni schana na haso skins mdingwa wagaga njaa
@BorySaronge7 ай бұрын
Wewe umeanzisha uwekezaji upi Toka umekuwa mbunge Hadi Leo wewe ni mtu wa ajabu mambo yote unayoyazungumza hakuna hata jambo Moja ambalo unaloliongea linye tija na watu wanaokuzunguka wanasikiliza ujinga na uongo na mifano ambayo wewe ni mmoja wao maana hata wewe ulipo kuwa bungeni hakuna ulichokifanya zaidi ya kelele mlizopiga bungeni endelea kupiga kelele kama chura
@jumamohamed31687 ай бұрын
Usiangslie anae sema sikiliza snachokisema ni kweli au la.
@MwangaNkayagwa7 ай бұрын
Tunahitaji viongozi Kwa ajili ya watanzania sio vongozi maslahi Kwani CDM inahitaji maslahi ya watanzania wote sio kikundi Cha watu wachache
@francismomo70677 ай бұрын
Ukiwa mbunge unaskliza na ktekeleza sera za chama tawala.......imagine mbunge wako wa Chama kilichoongoza miaka sitin na Zaid ameanzisha mradi gan Zaid ya Ile inayojadiliwa bungen
@francismomo70677 ай бұрын
Siku chama kingine ikatokea kikashika Dola,watanzania watajiuliza kwann walicheleweshwa na ccm
@francismomo70677 ай бұрын
Lakin Kwa uelewa wa mtanganyika itachkua miaka 50 demokrasia kukua na vyama vingine kchkua hatam....
@maspro62947 ай бұрын
Wewe utabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa Nchi hii Mavibaraka ya mabeberu
@sebastianmwantuge55977 ай бұрын
Nani kibaraka wa mabeberu kati ya Heche na aliyewapa wageni rasilimali za Nchi? Pumbavu wewe
@gangan46187 ай бұрын
@@sebastianmwantuge5597kwel hilo jamaa @maspro6294 halijitambui kibaraka wa madaraka-CCM.Akili zake matope yanayonuka yamtokayo baada ya kula.
@ramadhanchenga46067 ай бұрын
Ww ni kajinga kupita kiasi vibalaka ni ccm waliwapa waraabu bandari,wazungu mkawapa madini, wachina mkwapa gas