HECHE ASIMAMISHA MJI WA SIRARI , AMCHAMBUA WAITARA " SIONI ANASHINDIA WAPI HUYU ,APOKELEWA KISHUJAA

  Рет қаралды 48,673

MARA DIGITAL

MARA DIGITAL

8 күн бұрын

Пікірлер: 203
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 12 сағат бұрын
Moja ya kipenzi changu Tanzania ❤❤❤❤❤❤ Heche wewe ni mwamba
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 14 сағат бұрын
🎉🎉 Akili kubwa Heche , Kweli ushindii ni wakoo ,
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 9 сағат бұрын
Heche noma nakukubali saaaaana❤
@user-us5xl4zu3r
@user-us5xl4zu3r 9 сағат бұрын
Mimi nipo Moro,lakini Heche nampenda sana.Anafaa sana mwamba.
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k 12 сағат бұрын
Heche nimwafirika muzalendo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 12 сағат бұрын
Heche Mungu akubariki sana una uwezo na unakubalika
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 14 сағат бұрын
Dah! Heche si subiri tena mwakani, huko mbali sana ngoja nivunje katiba nachukua fursa ya kukutangaza kuwa mbunge wa sirali kwa nyomi hiyo! Waitara basi bana.
@minazsaid2470
@minazsaid2470 14 сағат бұрын
MashaAllah watu wameitika
@ElishaOisso
@ElishaOisso 12 сағат бұрын
Waitara kayakanyaga, must go
@rogersiddy
@rogersiddy 14 сағат бұрын
Tumbo tumbo alishalijua hili kitambo sana kuwa hili jimbo sio lake kbs sema plesha inampanda na kushuka anaogopa kulikosa jimbo asubuhi kweupeeee anajua mwanzo alipitishwa bila kupingwa sasaivi hofu imemtanda shubaamiti chezea Tarime wewe Heche ndo wanamuelewa li Waitawara hoi😂😂😂😂🙌
@AishaNdinadyo
@AishaNdinadyo 14 сағат бұрын
Hatari kwa ccm
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 9 сағат бұрын
Heche kichwa cha Sirari nakuelewaga kaka Heche
@JoyceMuhuli
@JoyceMuhuli 12 сағат бұрын
Asante Heche kamanda mwaminifu 💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 7 сағат бұрын
Weitara arienda kusaini barua komarera wanaichi wakabomolewa miji ety anasema nitegesha hatumtaki waitara tarime hatabure aende kurima usukumani mupanga
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 14 сағат бұрын
Mtaukamata uraisi natabiri hii. Twendeni pamoja
@daudysanga8492
@daudysanga8492 16 сағат бұрын
Huyu jamaa kichwa sana huwa nafurahiaga sana uwepo wake
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 2 сағат бұрын
Safi sana Heche chuma
@barakakevela245
@barakakevela245 14 сағат бұрын
SEMA HUWA NAKUELEWA SANA MWAMBA
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 12 сағат бұрын
Mtu makini sana Defense minister wetu 2024-25 John Heche rafi pendwa wangu mtu mvumiluvu sana si msigwa.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 12 сағат бұрын
Ningeweza ccm wote unadumbukiza kwenye shimo tunaanza upwyaaaaa wanachosha aseeew
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 67 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 67 МЛН