JOHN HECHE: BUNGE NI DHAIFU/MWIGULU ANAMPANGO GANI?/JPM ALINIAHIDI UWAZIRI/BODABODA SIO AJIRA

  Рет қаралды 19,733

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#heche#samiasuluhu

Пікірлер: 78
@mazeejohnie
@mazeejohnie Жыл бұрын
Huyo ni mwanaume kamili na mfano wa kuigwa na wanaume wote TZ. A WALKING THE TALK man from TARIME.
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f 3 ай бұрын
Namkubali sana mwamba eche nataman sana aludi mjengon na pia mungu ampe maisha malefu
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 Жыл бұрын
Tunakuona heche una uwezo mkubwa Sana mungu akulinde ili uje kuwa mkombozi wa nchi
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester Жыл бұрын
Tanzania bila watu kama Hawa ni hasara na hatari Kwa raia Wake. Asante sana heche
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Жыл бұрын
Safi sana Heche. ✌️✌️
@brysonmeena1086
@brysonmeena1086 Жыл бұрын
Mwenyekiti ajaye wa Chadema💪
@jerrymfinanga3773
@jerrymfinanga3773 Жыл бұрын
HECHEE BIG BRAIN
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 Жыл бұрын
Yani heche pambana nitakuchagua uwe raise wa Saba wa Tanzania inshallah mungu atupe uhai tufike 2025.
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 Жыл бұрын
Ni kweli heche uko vizuri aisee shika nchi baba tubadilike jamani.
@mathiasmgimba6537
@mathiasmgimba6537 Жыл бұрын
Maoni yangu mh heche ongeza exclusive zako ziwe nyingi tunakuelewa sana
@mathiasmgimba6537
@mathiasmgimba6537 Жыл бұрын
Perfect my role model
@josephfrancis9943
@josephfrancis9943 Жыл бұрын
Yan heche ni tunu ya taifa vijana tumuunge mkono huyu
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Tiny Ya Taifa la nyumbani kwako Labda. Huyu mjinga na Nusu ndio tuin ya Taifa gani? Labda sio Tanzania
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Heche Mimi nakukubali sana
@drallan6879
@drallan6879 Жыл бұрын
The man is genius
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Huyu mwamba huwa namkubali sanaaa. Huyu ni jasiri, hatakama hajui vitu vingi, lakini vichache , vya kawaida huwa anasema adharani na anasimamia anachoamini. Tunataka viongozi kama huyu. Siyo kujificha kuongelea ndani kinafiki
@josephamos6636
@josephamos6636 Жыл бұрын
Unajipambanua vizuri heche wewe ni moja ya watu makini nimeshaanza kukuelewa
@babajohn8308
@babajohn8308 Жыл бұрын
Me naona we ni Rais wangu kabisa
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Жыл бұрын
Bonge ya madini tumekuwa wavivu wa kufikiri na kuwa wabunifu baadhi ya wakipewa madaraka hujifikiria wao na familia zao kuliko maendeleo ya watu wa taifa hili
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
ni rahisi kusema kuliko kutenda. tupe mikakati tuoneshe utakavyoweza kupinga ufisadi au rushwa bila kugusa maslahi ya wahalifu (wasio waaminifu). utucheza vipi huo mchezo?
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Mwenzenu akifanya kazi mzuri si mumsifie jamani? mbona mzee baba alijituma tukaona matokeo makubwa? katika kutumbua majipu lazima kuna watu wataumia hapo tusidanganyane. Sasa wewe na chama chako mtatumbuaje jipu bila mtu kuumia? Tuambieni ukweli mtatekelezaje hayo majukumu kwenye nchi iliyojaa ufisadi kama unavyosema? Acheni story tapeni mikakati....tumechoka kupigwa changa la macho na wanasiasa
@levidavid1156
@levidavid1156 Жыл бұрын
heche. safi saana unatakiwa uwe mwenyekiti
@NajMonggg-yq3uh
@NajMonggg-yq3uh Жыл бұрын
Kikokotooo no Atari kwa watumoxhi
@andriessegotsane
@andriessegotsane Жыл бұрын
Point tupu from27
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 Жыл бұрын
Una akili nyingi Sana heche unafaa kuwa raisi.
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Жыл бұрын
Tupambane kuhusu katiba mpya au sheria ya uchaguzi. Tuyatoe maccm
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Watanzania wote tuwe na Nia na uchungu kama father heche uishi mile mzee
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 Жыл бұрын
Kwani Tarime ni jimbo la wakurya na sio la wakazi wa Tarime au sio Jimbo la Tanzania ?
@RobertshijaMakumi
@RobertshijaMakumi 17 күн бұрын
Mmmh hio ni yako
@Winstonfying
@Winstonfying Жыл бұрын
Mbunge wangu kabisa huyu, safi sana Heche
@cottamanywele1396
@cottamanywele1396 Жыл бұрын
Bunge ni dhaifu % 100, wabunge wapo bungeni kutetea matumbo yao na familia zao, na spika ni dhaifu anapaswa ajiuzuru uspika, bunge ni dhaifu kuliko mabunge yooote duniani
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Жыл бұрын
Jpm akuwaaid uwazir takataka kama ww,,ulikua wap kusema wkt yupo hai ? cheap politics,kuku kwel ww
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Kwaani hawakusema
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Ninyi hata siwaelewi. Alikuwepo mheshimiwa JPM, aliyepinga wizi na ubadhirifu wa fedha za umma, mkampinga badala ya kumuunga mkono. Alikemea uzembe kazini, mkamwita dikteta . Nashauri mnyamaze Tu , wale kila mmoja kwa urefu wa kamba yake.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Vijana wa udsm walipo toa picha za nyufa katika hosteli za magufuli, wali fukuzwa chuo na magufuli. Prof Asad alipo ripoti uwizi wa 1.5 trillion alifukuzwa na Magufuli
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
@@birianination7097 Mkuu umeeleweka,. Na sina ubushi. Sasa nini kifanyike.
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Hakupinga aliyoyafanya isipokuwa njia alizotumia
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
@@mwassamwassa7264 Mkuu, mtazamo wangu. Ukali kidogo unahitajika kuwabana wezi wa fedha za Serikali. JPM aliwabana kidogo Tu, wakarejesha. Sokoine, aliwabana kidogo Tu, wakatupa barabarani
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 Жыл бұрын
👌
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 Жыл бұрын
👏👏👏
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Жыл бұрын
Ccm naanza kuichuika tartbu sw
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Maneno mazuri sana natamani yangekuwa yanatoka moyoni na si habari ya kusaka tonge. Natamani angemsifia japo kwa sentensi moja JPM kwa kazi yake nzuri ya kupambana na rushwa na ufisadi bila woga na kuinua uchumi. Alijenga miundombinu muhimu kwa kukuza uchumi na wananchi tuliona na kukubali kazi yake. Kama yote hayo yeye hakuona au haungi mkono sasa anataka kutuambia atakuja na mbinu gani tofauti na bora zaidi? Aseme wazi atafanya au watafanyeje wao kama chadema. vinginevyo bado ni maneno ya kisiasa tu. Ni danganya toto za kutafuta tonge tu. watu tuna akili zetu. Wanasiasa mna maneno sana.
@markangel1588
@markangel1588 Жыл бұрын
Saka tonge😮 we jamaa hiyo akili ni wabunge wote waliopo bungeni, amsifie nani? Yule aliependa akili dhaifu, aliyewapa watu wake uwezo wa kupora mali za watu, yule aliepora mamlaka ya mahakama, yule aliepora muhimili wa bunge, au yupi huyo??? Hayo maoni yote aliyotoa hapo yule mungu wenu alikuwa ataki kusikia
@TEMUCALVINWILBARD-cl2xi
@TEMUCALVINWILBARD-cl2xi Жыл бұрын
Makuamini kamanda Heche natamani niwe mpiga kura wako
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Marieco ndgyangu magufuli amefilisinchihii ajabu ebufatilia vizuri utaelewa leo kunamakesi kibao kwenye mahakama zakimataifa tunadaiwa matilioni
@marieconnect6389
@marieconnect6389 8 ай бұрын
@@josephmakutano7067 kwani hujaelewa nini hapo? Hizo ni deal za wala nchi ndugu…hakuna kesi hapo. Mbona hawakuzileta wakati wa Magu? Mbona acacia/barics walikiona cha moto? Boss wao alikuja toka canada kupiga magoti kuomba msamaha na kukubali kulipa alichotakiwa kulipa kwani wewe hukuwepo nchini? Au hukuelewa somo? Acheni mawazo finyu ya kuchomekewa vitu bila kufikiri kwa kina. Hayo makesi kama tuliweza kushinda wakati ule tunashindwaje sasa? Deal hizo za wanasiasa wajanja. Haikuwa rahisi kutetea madini yetu tena kwa kampuni kubwa lkama ile akini tuliweza. Why not now? Kumbe wengi hawajielewi aisee. Tunahitaji kuelimishwa sana aisee
@marieconnect6389
@marieconnect6389 8 ай бұрын
@@josephmakutano7067 amefilisi nchi ipi? Ilikuwa na nini? Mapesa? Au ameuza mbugia ipi ya wanyama? Amebinafsiha madini yepi? Kauza bandari ipi? Kukataa aubkukomesha Ufisadi ni kugilisi? Kufunga njia za kitoto she’s pesa yetu nje ni kufilisi? Kuzuia biashara haramu ya madawa ya kulevya ni kufilisi? Kufindishwa watu uwajibikaji na uadilifu kwenyebkazi ni kufilisi? Acheni hizo bwana…..tunafharaulika mbele ya mataifa wengine hasa ya Afrika ambao walikuwa wanatuangalia kama taa ya mfano wa kuigwa. Kukataa kuwa pipet wa wazungu ni kufilisi au kujipa heshima? Kutangazia uma kwamba sisi siyo masikini ninkufilisi au kufumbua watu macho na kuwapa fikra sahihi? Achrni mawazo I hears bwana tuangalie nchi za wengine ziko iendelee zimefanya nini siyo maneno matupu ya wanasiasa.
@davidkangulu862
@davidkangulu862 Жыл бұрын
Heche mmoja ni wabunge 100 wa ccm
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Hawa ndo viongozi tz inawahitaji
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Viongozi wakiafruka niving'ang'anizi vyamadaraka kishenzi kwasabbu wamekosa usitaarabu kwahiyo wanaogopa aibu akiondoka kwenye madaraka kwamaovu aliyofanya yaani wizi ufisadi ukatili mauaji n,k
@migerajacob581
@migerajacob581 Жыл бұрын
Huyu jamaa Namkubali,,
@charlesibrahim4696
@charlesibrahim4696 Жыл бұрын
Wewe ni raisi wa 2025.
@lameckhenrymayolo7369
@lameckhenrymayolo7369 Жыл бұрын
Mengine yooooote aliyoyazungumza nakubaliana naye Heche, lakini Kwa habari ya bodaboda Noooo. Vijana ni wengi mno kuliko anavyofikiri.
@RobertshijaMakumi
@RobertshijaMakumi 17 күн бұрын
Ni wengi kuzidi wachina?
@abdulymsafiri6463
@abdulymsafiri6463 Жыл бұрын
Dar 24samahn nyuma yenu naona picha za kitamadun lakin kina langi ya bendera ya kusaport ubwabwaa Kaka au ninmimi kutojua
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Heche anatoa fact ngumu na aidia ya taifa
@JohnMalambo-hk5hk
@JohnMalambo-hk5hk Жыл бұрын
Mlishashindwa huo ndio ukweli
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Mtu anaempinga huyu mwamba basi either ni mpumbavu na hana akili kabisa or mwizi mkubwa na sio mzalendo
@cottamanywele1396
@cottamanywele1396 Жыл бұрын
Unaongea ukweli bunge la jamhur ya muungano wa tz ni dhaifu ni bunge la ovyo sana spika wangu nahisi hajaenda shule, haiwezikani watu wameleta ufisadi mkubwa wa matirioni, ya pesa thn unasema tutalijadir mwezi wa 8 why mwezi wa 8?
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 Жыл бұрын
Unajua chadema bwana wana mawazo mazuri sana tena sana shida ni kwamba siku tukiwapa ridhaa watafanya hivyo kweli??? Shida inakuja hapo
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Жыл бұрын
Wape uone kama watakua kama wale
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Lini mliwapa nchi walifanya ujinga,kama ccm wamefeli siyo vibaya na wao tukawapa
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Жыл бұрын
Cmde Heche, hili la mbunge wa Kibamba kuomba picha ya rais iwekwe kwenye sarafu lilinipita, nashukuru nimelipata kwako. Ebu Heche, tumpe mbunge huyo the benfit of dought, yawezekana wananchi wa mbunge huyo walimtuma hitajio lao la picha ya raisi iwe kwenye sarafu. Kama ndivyo, mbunge huyo akadiriwe tofauti! Alitekeleza wajibu wake kwa wapiga kura wake!
@Djroja_mo
@Djroja_mo Жыл бұрын
Tatizo la tanzania kunailan ya chama hakuna ilani ya nchi hilo pia nitatizo
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Hilo ni Tatizo la CCM
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l Жыл бұрын
Utawala wa majimbo wao ni bora zaidi hawalii hivi chama cha upinzani nikimoja tu? Tuende na busara
@omaryidd4373
@omaryidd4373 Жыл бұрын
Heche hujawahi niangusha kwenye mjadala
@iconramar9366
@iconramar9366 Жыл бұрын
Nyie dar 24 n kama mnasapot LGBTQ coz naona hizo picha Huko mnajifanya n za culture kumbe Wala hata
@sirajbakari104
@sirajbakari104 Жыл бұрын
Watu mikini San haw da
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Huyu Jamaa bado akili zako ndogo sana na huo Ualimu haijulikani alikuwa akifundisha Ujinga gani wakati yeye mwenyewe akili bado ni Matope. Anajiona kuwa yeye ni sehe muhimu ya Nchi wakati anajua sana kuwa watu wasio na Chama ni wengi na watu waliopigia Chadema kura sio watu wote ni wananchama wa Chadema. Shida ni kwamba haoni chama kinaingia shimoni kwasababu ya Ubabe wa Viongozi wa Chadema usio na Maana. Mtu atakayewapa Chadema Nchi ni Kuchaa tuu na haitakii mama Nchi. Chama bado ni cha Wahuni na wenye mawazo ya Kigaidi ndio wa kuwapa Nchi?
@saddychavala2052
@saddychavala2052 Жыл бұрын
Hoja yako Haina mashiko nimeludia kusoma mara 2 sijaona point Asante Kwa kushiriki
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 3,9 М.
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 336
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15