HEKA HEKA: Ukweli kuhusu binti aliyeng'ang'ania kuolewa na Ustadh wake

  Рет қаралды 37,084

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@loner_wolf
@loner_wolf 6 жыл бұрын
Ustadh tatizo anaoa na kuacha...ndio kaka anachoepusha.... Huyo ni mzinifu
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
hyo ustadhi n mchawi tu
@ameenaoman7416
@ameenaoman7416 5 жыл бұрын
nikweli kabisa kka kweli awalikuwa wanaitaji mume tajiri kumbe binti kalidhka na maisha ya ustdhi,tamaa mbaya dunia tunapita tu tusiadaike na utajiri wa watu wengine ridhka na kutosheka kile alichokujaalia Allah.
@salhamm742
@salhamm742 7 жыл бұрын
Geah mtu mfup bhan anaraha yk huyo mm nawapenda sana haoo ustadhi mnjoo kwangu bhana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani tumuachiye mungu atajibu
@sharafinaraja7102
@sharafinaraja7102 4 жыл бұрын
Kuwafundisha wanawake ni mtihani mkubwa sanaa na ukimuona ostadhi ambaye anayependa kuwafundisha wanawake ujue huyo ni ostadhi ni mzinifu kwani wanawake ni mtihani sanaa
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
uyo kaka ni mjinga anataka dada yake aolewe na wenekazi nzuri ili wafaidike kidunia inawezekana ustadh ni mtu wadini atakua na pesa za wao kujinufaisha wao
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu Me nahic
@ameenaoman7416
@ameenaoman7416 5 жыл бұрын
tena mjinga kwanza angalii mbele uwenda mali za mume zikawa sumu baadae kwa mdogo wake
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
sio mbaya kuolewa na mwanaume mwenye pesa ni suna pia kuolewa na mwanaume mwenye pesa
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Yan mwanaume ameoa zaid ya mara sita alafu wew unafrahi asee akili huna😅😅😅
@leylahchesavio9551
@leylahchesavio9551 4 жыл бұрын
Mmmh jaman acha mungu afany Kaz yake
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 3 жыл бұрын
Huyu kaka si aolewe yeye...kama ndoa raha
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
😂😂😂
@dianaernest7712
@dianaernest7712 7 жыл бұрын
Ostaz kavutia kwake
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Uyo sio hositandi ni kichefu chefu
@amerphone9527
@amerphone9527 3 жыл бұрын
Huyo ustazi mmmh atajuta
@nayigaagnes746
@nayigaagnes746 6 жыл бұрын
Ostazi anamakosa sna kwani wadada wote watakawo mpenda atawaowa sabaki na mke wake eeeeh
@deviirene6245
@deviirene6245 6 жыл бұрын
Oyoaliye fariki omani nisehemu gain ? Mbona mimi nipo omani allhamra
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 5 жыл бұрын
Maustadhi wengi kazi yao kuwataka wanafunzi wao..
@azizauledi4108
@azizauledi4108 7 жыл бұрын
huyo kaka muongo wamuogope mwenyezi mungu kuwachafua viongozi wa dini
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 жыл бұрын
Si muongo kweli adanganye ili iweje usimuamini mtu hata kama ostadhi
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
​@@ashamganga6636mwambie huy
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Kuna Ustadhi Fulani,aliwapa mimba watoto kama 8.
@amerphone9527
@amerphone9527 3 жыл бұрын
Wanatabia mbaya wanisamehe
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Uyo anawaroga sio ostandi muadrifu mchafuzi watu wa kigoma malaya sana na hawatosheki na mke na wachawi kbsaa
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 4 жыл бұрын
Ndio uyo kamfanyia DAWA HASA.
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 жыл бұрын
tujuwe hii baloz inamaana gani huku
@autorichdiagnosis3632
@autorichdiagnosis3632 5 жыл бұрын
Hakuna anaependa mtoto wake aolewe alafu avunje mji. Mama pambania mwanao
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Duh!
@heavenlightnkini987
@heavenlightnkini987 5 жыл бұрын
Mmm ustazi na ustazati ila mna majanga sana maustazi
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 6 жыл бұрын
HahahHa mie ukinipangia mtu wa kuniowa mbona utaolewa wewe. Ama kweli vyuma vimekaza watu wanatafuta masilahi na sio utu chaaaa.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
katika kuolewa ni lazima mxaxi aangalie nyumba ya kuolewa sio ilimradi mume kuwa na akili
@amerphone9527
@amerphone9527 3 жыл бұрын
Mm sitokuja orewa na ustazi wana msingizia mtume😀😀
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 5 жыл бұрын
Ostath mungu anamuona 😂
@sabrinaboss5881
@sabrinaboss5881 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 жыл бұрын
naombe nambar zenu kwani kuna mtanzania mwengine amefariki omani
@fatumaomari8115
@fatumaomari8115 6 жыл бұрын
Maryam Maryam omanii sehemu gani na nini mtu wa wapii tz tuambie vizurii plzzz
@fatmarashidi8353
@fatmarashidi8353 6 жыл бұрын
Maryam Maryam ee mbona kuudhunish tena imetokea liniioten
@lukmanalbimany1815
@lukmanalbimany1815 5 жыл бұрын
Maryam muongo kwani oman hakuna ubalozi wa tz .na no mnazo piga upeleke habar
@yudakalinga7582
@yudakalinga7582 5 жыл бұрын
Hbari
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 4 жыл бұрын
Noooo uyo ni mshilikina kamlogaaa nyieee. Uyo ni mchawii
@mankamushi3738
@mankamushi3738 5 жыл бұрын
Shetan humpa mja wa mungu majaribu makali lakin mwenyez mung humkingia kifua...
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Mausitadh nao jamaani.
@عليعلي-ز6ح2ث
@عليعلي-ز6ح2ث 7 жыл бұрын
lession imepanda mulaa😂😂😂 wacha vituko viendelee hapa dunian na hivi magu anatumbua watu wnyw wanawataka wa airpot hahaaa ni shigida tuu
@امينهامينه-ع6ه
@امينهامينه-ع6ه 6 жыл бұрын
jomon hatar
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Karne hii mtu achaguliwi mume yakhe
@aishaawadhimalokimaloki9953
@aishaawadhimalokimaloki9953 4 жыл бұрын
Ukewenza nyoo sitakihata kasikia mama pambana mwanao wewe ushakua unajua mbivunambichi huyo ostaz had.sinafanya hayoyote alikuwaanamtaka huyobinti nawaliliongea nahuyobinti
@zuhurahamisi3225
@zuhurahamisi3225 7 жыл бұрын
wakubwa wanaon mbali binti anataka kujalib ndoa apo sio seemu yakuingia yy bint mdg ndoa ya mataka sio ya kuichzea ki mtoto t awez kukaa kwnye ndoa y matala
@nayigaagnes746
@nayigaagnes746 6 жыл бұрын
Ivi nani atawez furahiy mwanae aolewe kwa uke wenza afu wakimasikin nyoooooh acane blaaaaah
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Ukitak wapeke yako utachelew au unda dunia yako mali zinatafutw jiuliz wazee wako walivyoowan walikuw matajir au walizitafut baad yakuw pamoj?
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Wazazi ndo mnamakosa sio ustazi pia kwann mumlazimishe mtt kuolew ikiwa ni ridhaa yke.?
@halimaomari7589
@halimaomari7589 5 жыл бұрын
Huyo kaka Ana tabia kama za kike, anavyoongea anajulikana ni muongo na mnafiki
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Heee kumbe bint ana majini? Kwa hiyo huwezi kumuombea? Kweli shetwani wana kwao
@klausschmidt9288
@klausschmidt9288 7 жыл бұрын
unamchaguliaje dada yako mume?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
aah wushbik khouya una degu wewe.,kitu lkini metisha
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 5 жыл бұрын
Kwa hiyo ostadh umejifanya una roho nzuri umemuonea huruma asipandishe pressure au kujiua! kha! kumbe una roho ya utu bhn😂😂😂😂
@umiy1971
@umiy1971 6 жыл бұрын
Mie naona ustadh hajafanya kosa lolote hayo mambo ya picha na video ni ya kutunga kama ni kweli mbona hajaongea waziwazi Na kama alikataa mtu mfupi huko nyuma alikuwa hajapata mfupi alompenda tu .
@mariamkombo5325
@mariamkombo5325 7 жыл бұрын
raana turhaa hao hata dini imekata za kumchagulia mtu mchumba
@praisesteven7774
@praisesteven7774 5 жыл бұрын
Himamu kachanganyikiwa 😂😂😂hajbuu swali aloulizwa ssa izo huduma zinahusuuu😁 unataka kulipwa elf 70😁
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
wamuache tu aolewe
@sadiaabed6687
@sadiaabed6687 5 жыл бұрын
Ajitetea huo shehe wengine wako wanatongoza
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 жыл бұрын
cyo mjinga ivi iwislamu unakataza talaka jee yy huyo mkaka ni mzinifu wanawake sita loooh
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
ao family wajinga tena ni waisilam jina maana katka diniyetu ili ndo iwe imeswii nirazima kuwepo na ridhaa ya bint muusika sasa wao wanaradhimisha aolewe na mwanaume mwenepesa
@adambolingo8097
@adambolingo8097 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu uislaam jina ndio upi?
@kimzhavia2653
@kimzhavia2653 5 жыл бұрын
Awaja wataka wamuoe tatzo wazazi Wana fosi wantk masirahi kuliko utu xjui mnafeli wap 😏
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
dini yetu katka hadith ilizo swahihi zina sema atakapo kujieni mwanaume mchamungu na tabia njea muozeshoni sasa wanacho kifanya family awamtaki ustadh ila wao wanataka mwene pesa na kizi nzuri kwasababu ustadh ni mtu wadini wanajua awatapata fahari mtaani kwao iyo family ni wajinga sana
@raiyanally7748
@raiyanally7748 5 жыл бұрын
Shenzi ustath 🤣🤣🤣
YA DUNIA HAYA!MZEE WA MIAKA 80 AFANYA UTAPELI KAMA HUU!!!
14:07
Geah Habibu
Рет қаралды 22 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН
Hekaheka ya mtoto wa miaka 12 aliyejifungua mtoto
22:08
Millard Ayo
Рет қаралды 39 М.
Original Komedi walivyoingia kwenye Harusi ya Masanja na sare za Polisi
11:53
Sikiliza HekaHeka iliyomtokea Mdada Ajuta Alichofanya
7:07
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 25 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН