ahsanteni mashabiki zangu🙏🙏🙏🙏nawapenda sana msisahau kusubcribe hii channel ili munipe nguvu ya kuwaletea kazi nyingi zaidi😒sapport zenu ni muhimu
@CollisBill-mu3zp5 ай бұрын
Tupo pamoja kaka... Sema kaka actor wako ni wakaliii yaanii ni cute sana .. hongera
@NasmaHussein-qk2yw5 ай бұрын
Wawooo mashaallah nakusaport❤❤❤❤
@DinaKitandala5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@LovenessMichael-j9s5 ай бұрын
Nakupenda ila umezingua kubangua wakristo
@hildanyomolelo65245 ай бұрын
Tunakupenda pia tena sana kazi zako nzuri sana kaka
@DamarisDammie5 ай бұрын
Any Kenyans 🇰🇪🇰🇪 in the house 🏡 lets congratulate our bro here for good job 👍 tunaikubali sana broo endelea hivyo hivyo ♥️♥️
@luluhoney46225 ай бұрын
Congrats
@MarthaMartha-tz6rl5 ай бұрын
Nko APA mkenya mwenzio yaani hizi filamu utadhani n really life kumbe kuingiza tu
@MilkaSumbati5 ай бұрын
Niko ndani ya nyumba kama kawaida naipenda sana
@alhajiFashions75635 ай бұрын
Here I am byb❤❤❤ am from mombasa
@PiliMundu5 ай бұрын
Good job I say 👏 🎉🎉🎉 mimi binafsi naenjoy
@SnappyChristine5 ай бұрын
Wa kwanza toka KENYA GEN Z mombasa nakukubali sana mr hemed chandi hauna tofauti na hemed suleiman phd big up sana mazeee
@allymwashambwa59205 ай бұрын
No , this man is so much creative as compared to Mr PHD
@paskalinapa61775 ай бұрын
Huyu chande nampenda sana❤❤ yaani kazi zake ni safi, nakuombea mungu akulinde hemedy chande🙏🙏
@DeboraConstantine-op1nt5 ай бұрын
Kazi nzur chande wanaompenda chande tujuane kwa like😂😂❤❤🎉🎉
@MariamMusa-jz6us5 ай бұрын
Jmn apunguze kukis 😢wadada kaaaa
@MulongoCollins-zb4ieАй бұрын
Ako sawa bro 🎉🎉🎉 naipenda kazi yake nzri sana
@MagrethMganga-d7u28 күн бұрын
Duuuuuuh movie Kali Ila daaah unabagua San wakristo kk
@JoyceElias-h7m5 ай бұрын
Napenda kuwa muigizaj wako siku moja hemedy ❤❤
@PeacePuma5 ай бұрын
Watakupiga madenda
@Ellywangu5 ай бұрын
@@PeacePuma😂😂😂😂mwambie huyu huko kuna madenda
@zuberhamza78525 ай бұрын
@@PeacePuma😅😅😅😅😅
@official_kingnabiryOg5 ай бұрын
Dah kusema ukwel Nime miss wadau wako wa pazia ❤
@Pierejr5 ай бұрын
Tunaomkubali chande like apa
@BertrandTuyikeze-ev7qx2 ай бұрын
Nakupenda hemed wang nibbling sijiamin nataman kupat mwanawum kamawew kwanza wew mzuli namustalab kama unavyo ingiza njoo ulivyo Nakupenda pia
@Emily-k985 ай бұрын
Eehh Hey amkeni jamaniiii watu wangu like hata kumi na maua ya DJ ❤❤❤❤🌹 🥀 🌹 🌹 🌹 🌹 🎉🎉🎉❤❤titre inaonyesha utamu wa mafunzo hapa 🎉🎉❤❤my brother thank youuuuuuuuuuu so much hujawai kuniangusha nakubali acha niketi kwa utulivu🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Wa 4 leo kutoka Mozambique Msumbiji ❤❤, kazi nzuri 🤩
@MarcoAmoni-sq5do4 ай бұрын
wenzako wanateseka na vita ww unaangalia movie
@FatmaAbdallah-l7n5 ай бұрын
Wale wanaoangalia leo Gonga like apa❤
@PatrickiGodfrey5 ай бұрын
Daah mwana umezingua ugeendeeleaaa ata
@FredAchi-i2k5 ай бұрын
Story nzur sana pia kila muhusika amefany vuzur sana gudjob
@thommasemanuell43205 ай бұрын
Mepia natokea kenya nimfwatiliaji mzuri sana familiahii❤❤ nawapenda wote
@ndayansetv26725 ай бұрын
Kiukweli wasanii chipkiz wanafanya vizur kulik akina wema haha ,nic sana now wasanii tunaowafaham hana kit wanatafta kiki tu
@thumalove18865 ай бұрын
Hapa pakuuliza eti nimkiristo mumezingua mm nimuisilam bt sibagui kwakweli pili unauliza nimkiristo wakati alivyo vaa dadako hata haifai kiisilam kwahapo mumezingua kama shabiki yenu nasema😂😂😂
@percymullah2803Ай бұрын
Jamn msameh ni ujumbe tuu alikuwa anafiksha ili mrad watu wasiwe wanabaguana ila so kam yey yupo hvi😢😢😢
@fatuma-fg9en5 ай бұрын
KAZI nzuri hemedy bigup Sana broo
@haleemahhamisi25345 ай бұрын
Congratulations Team chande👏👏❤❤🎉🎉Asha wangu Nakupendaga 😊
@anjelinamukabane3465 ай бұрын
From Kenya I enjoyed it was worth watching ❤❤❤
@MwanakombomohammedKimbonja5 ай бұрын
Kuna wanaume wanafanikiwa kupitia wanawake wanao ishi nao jmni eeeehhhh ❤❤
@SaadaMfaume-y4oАй бұрын
Mungu akulinde chance Kaz nzuri sana❤❤❤❤❤🎉🎉
@CollisBill-mu3zp5 ай бұрын
Nimerudiii Nyumban hii ndio kalii kuliko❤
@VinyCent-tz1dzАй бұрын
mashaallah nikitizam muvi zako naisi kama uko pemben yngu mweeeee♥♥♥♥♥
@SULE.V5 ай бұрын
Mwanangu sana hemedy chande nakukubali brother.
@SusanWamalwa-wq2cm5 ай бұрын
Kazi nzuri kaka movie imezewa ❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
@DanielOlodupo5 ай бұрын
Nimefuatilia movie zako nyingi na nimependa sana endelea kuachia bro hemedy
@PrinceAmos-y8t5 ай бұрын
Nakubali sana chande unatoa movie nzuri sana brother ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😅😊😊
@IssaAbdillah5 ай бұрын
Hk hii movie hta sichoki kuiangalia kweli haya hutokea Kwa wengi wetu 🎉🎉🎉,,,
@KipalaChampwinto4 ай бұрын
jamn mbn hamleti chombo kingine napenda san kazi zako hemedy
Napenda sana unavyopiga kazi hongera sana my brother.
@ZubriMo5 ай бұрын
Hemedi chande unajua Sana Kaka Allah azidi kukuongoza 🔥🔥🔥🙌
@Kentianmanirakiza5 ай бұрын
Ila chande bwana movie 🎥 zako huwag zinaisha kabla ya hamu kuisha kuitazam it’s me once again a girl from burundian🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥😘😘
@NousNovah-5 ай бұрын
Support
@DogoFive-m1q3 ай бұрын
Kweli 😢😢😢kbx
@JullianaEmmanuel-tm5xg5 ай бұрын
Hemedy movie zako nzr sanaaaah Alf zinafundsha sana, bas tu
@havyarimanaemery8585 ай бұрын
Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 Niko nyuma yako hemedy
@Carloshamis5 ай бұрын
Me naomba like yako hemedy chande mwenyewe,,
@GraceNahash5 ай бұрын
Yaan hemedy napendaga akiwaga serious daaah kaz nzur kakaa umeupiga mwingi naombeni likes zen hat kumi❤❤❤❤🎉
@Aishybeb5 ай бұрын
Chande hauna show mbovu big up ❤🎉
@OmbeniRulandala-d3s3 ай бұрын
Vizur sana blo movie zako zina nigusa sana thank you my brother najifunza vingi sana kupitia wewe endelea na kazi yako nzuri utafika mbali sana blo hemedy chande 🎉🎉🎉
@manhussein62335 ай бұрын
Munipe like zangu na mm
@ZephaniahSekwa-fl2go5 ай бұрын
Fungua KZbin channel 😅
@EstherBushesha6 күн бұрын
Napenda mv zako my brother Esther emmanuel kutoka mwanza
@RayBMusic5 ай бұрын
Ivi watu mkoje mbon mim sjawahi kubahatika kua no 1
@SpinacahSpinacah5 ай бұрын
Hahahaha 😂😂watu wnakesha KZbin kama ww unapitiwa n usingizi utakuaje no 1
@rukiahnasrah-lt9lb5 ай бұрын
😂😂😂
@MariamEmanuel-i7j2 ай бұрын
Tunaomba mwenderenzo wake move nzuri sana
@neemasumary77835 ай бұрын
big up sana my brother I love your movie
@violetcasity471712 күн бұрын
Asante chande kwa kazi mzuri naitazama kutoka Kenya 🇰🇪
@zulfayusra87475 ай бұрын
Wow Leo nmekua wa kwanza ajab💗💗💗💗
@samsonkahindi1895 ай бұрын
Hey bro I'm your fast that I love your job am from Kenya bro i love you bro ulinitoa Kwa hemed fwad Niko kwako bro ❤❤🎉🎉🎉🎉
@MayengDulu5 ай бұрын
Kali sana hii kazi poa tumeipenda sana❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dominickalama67955 ай бұрын
So amazing from kenya🇰🇪🇰🇪
@Fathma-fg3vq5 ай бұрын
Tena nizaidi ya Kali..ila hemedi..uyo ana kufaa mana ata rangi mumefanana👌
@nasraramadhani45155 ай бұрын
Wakwanza like zangu
@Jr238025 ай бұрын
Daah bonge moja la movie yaaan unaangalia kama vile movie ya nje ya nchi kumbe ni bongo hongera Sana kwa. Kazi nzur🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NasraJuma-b4v5 ай бұрын
Ukikiona chanini wenzio wanasema nikipatalini😍😍nice move,god bless all character❤❤
@uwizeyechristine27042 ай бұрын
Huyu chande tunampenda mno kutoka rwanda❤
@MashaMbwana5 ай бұрын
Chande naomba unijibu ile filam ya TAHARUKI mbona imeishia part. 1 tu😮
@ZainabuAbubakar-z3w2 ай бұрын
Brother hemedy hajawahi feli kwa kazi zakee upewe mauwa yakoooo🎉🎉🎉🎉
@ShaymaaSule5 ай бұрын
Vzur nimependa hii video mashallah 🎉sweety story
@Emilykid75 ай бұрын
My GOAT🐐🐐🐐 in bongo movie sema directors wanakuangusha
@EdsonNiyimwungere5 ай бұрын
Chande big up we love u
@ZurphaRobert18 күн бұрын
One day yes ntakuwa na mm Kama wewe napenda Sana❤❤❤
@eddykizz15 ай бұрын
Mr chande🤍 tunataka 🇧🇮filamu 🎬 hizo hizo za mapenzi ❤❤
@AmenaMm-r5t5 ай бұрын
Mashaallah saf san ❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yak ayo
@DeboraSaidiy5 ай бұрын
Naweza kupata nafasi ya kuigiza. Natamani
@SuzanPaul-z9f3 ай бұрын
tupo pamoja, mwenyez mungu aendelee kukutia ngguvu🙏
@SUNNY-ij9to5 ай бұрын
Kati ya love story zote hiii imetixh aiseee🙌🙌🙌🙌🙌
@LauhiyaSalumu4 ай бұрын
Good job bro chande.. ❤❤❤
@muniraahmedawadh26195 ай бұрын
Pamoja sana kaka chande
@Timotcharagwe5 ай бұрын
Dah! Now days hauvungi kwenye kuyakamua mate
@JacklineMtuta5 ай бұрын
Tunakupenda sanaaa
@Lukambaofficial965 ай бұрын
Nakukubali sana brother hemedy chande
@NanaMilfath5 ай бұрын
WA kwanza😅
@SaidiKazungu-f8m2 ай бұрын
From Kenya nawafuatilia mko vzur I say good.
@HamisiMdawali5 ай бұрын
Mim mtu wa kwanza like zangu
@HappyKibure-iz9xk5 ай бұрын
Wa kwaza au wa 100
@QualityHaroub-tf2ns5 ай бұрын
Chande unajuwa sana tunakupenda pia mwanetu pambana ufike mbali zaidi 🥰🥰🥰🔥🔥🔥💪
@Ahmedbukhatir-fz2jm5 ай бұрын
Kazi mpya
@AghHh-v3f5 ай бұрын
Wa 🇧🇮 tujuwane kwajiri ya Hemedi chande tunakufatiriya sana kaka ❤❤❤
@Moh...45 ай бұрын
Wa kwanza ❤ naomba subscription please 😊
@volonteprotv5 ай бұрын
Kiongozi umeuwa sana we ni noma nakukubali from congo drc
@happinessjulius-up3sw5 ай бұрын
Ana anatexeka jamani
@residominik48855 ай бұрын
U killed it bro keep running the game to beyond
@Allistar-20245 ай бұрын
Wao amazing xn
@justinjames0355 ай бұрын
Kaza buti uko vizuri sana Mungu akuongoze kwenye njia ilio sahihi
@theofanskombenge55735 ай бұрын
Bonge la movie
@SaraA-r8w5 ай бұрын
Kwaupendo chande uko vizuri sana🎉🎉
@SnappyChristine5 ай бұрын
Wakwanza toka
@alhajiFashions75635 ай бұрын
Oeeeeee Chande Pokea maua yako Brother!! Much more love from mombasa 🇰🇪!! Gotea sana watu wangu wa Tanga hapo Donge ndio Home🎉🎉
@saum96975 ай бұрын
Wapili❤
@FredrickKasayaАй бұрын
Kalisana bro Good job ❤❤❤❤❤❤
@ZeinabAbdallah-d2t3 ай бұрын
Kazi mzur kka allah akutangulie kwenye kzi yko
@shabaniiddy54655 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@حسنا-ض3ز5 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri saana guys 💪 keep it up 👏👏👏😮😮😮😅😅😢😢