KICHEKESHO! SENGA na PEMBE Waingia Studio Kuimba Bongo Fleva

  Рет қаралды 359,868

Herman Mosha

Herman Mosha

Күн бұрын

Пікірлер: 177
@ITIKAGIDEON
@ITIKAGIDEON Ай бұрын
Waliokuja kuangalia hii video baada ya taarifa za kifo cha pembe mko wap 😢😢
@mwambailunga1511
@mwambailunga1511 Ай бұрын
Inauma walai
@ITIKAGIDEON
@ITIKAGIDEON Ай бұрын
@@mwambailunga1511 😢
@mariamgedi2694
@mariamgedi2694 Ай бұрын
Mimi hapa
@fideahyera2599
@fideahyera2599 Ай бұрын
Nipo hapa japo katuachia majonzi lakini kanifurahisha nimejikuata nacheka .RIP Senga
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 Ай бұрын
Pembe bwana​@@fideahyera2599
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 4 жыл бұрын
Hahahahahaha jamani mbavu zangu mie tunaoangalia hii movies 2021 gonga like tujuwane hapa
@rehemawaweru5373
@rehemawaweru5373 Ай бұрын
Waaah! This people are so lovely,aki much love from Kenya.Senga mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu.
@tresorbalume
@tresorbalume 5 жыл бұрын
Comedy za Senga na penda sana.. Congo tuna mupenda sana
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
😀😀😀hawa ndo wachekeshaji sasa Kama unakubaliana na mimi gonga like hapa
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Ай бұрын
Nipo hapa 2024 October 20 baada ya kifo cha pembe
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x Ай бұрын
Vraiment que le bon Dieu lui aceuil dans son rayaume 😭🇨🇩
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
😂😂😂😂 sili dagaa nataka futariii. Ooo pembe unaleta mawengeeee😂😂😂😂. Pumzika baba,tutakumiss
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 Ай бұрын
R.I.P. mzee pembe 😖😑
@ramasamahija6274
@ramasamahija6274 5 жыл бұрын
pembe alivyo ambiwe mawenge kazuia maji kahisi kama mwenzie kamtusi hahahahaha jamaa noma sana
@albertwilsonalbert01
@albertwilsonalbert01 8 ай бұрын
Hii kitu inaitwa PAPARA, sijui naipata wapi Mwaka 2024 naangalia
@teddymtweve8566
@teddymtweve8566 5 жыл бұрын
😂😂😂Rebeca wanisumbua
@anordprotas1976
@anordprotas1976 5 жыл бұрын
Vitumbua maandaz noma kweli!!!🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁
@fausalimu4578
@fausalimu4578 5 жыл бұрын
😅😅😅😅😅 uwiiiii mbavu zangu jamani nyie machiz kweli
@emmanuelmethusela9736
@emmanuelmethusela9736 Ай бұрын
Mimi SI like na comment nawakubali Hawa jamaa
@FerdinandNgendamayo
@FerdinandNgendamayo Ай бұрын
Rebekaa rebekaaa rebekaa nakuita mara tatu unatusumbua 😂😂 R.l.P pemba mugu akuraz mahar pema peponi 😢
@ShaibuAzenga
@ShaibuAzenga Ай бұрын
Eti unakitambi mbere na nyuma daah ila awa jamaa 😂😂😂😂😂
@ericnimpojeje9432
@ericnimpojeje9432 2 жыл бұрын
Nyiye ninawapenda sana100%
@zakariakihwelo5703
@zakariakihwelo5703 Ай бұрын
Mungu ampokee salama 2024 nipo hapa
@ConsolataMedard
@ConsolataMedard 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Awa ndyo wenye Comedy yao sasa
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f Ай бұрын
Usiniamushiyi Tama 😂😂😂😂😂 muze Senga
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s Ай бұрын
😂😂😂😂😂hapatoshiiiii...Mungu amrehem kipenz chetu
@joycemutabazi7627
@joycemutabazi7627 3 жыл бұрын
Haaaaaaa senga with pembe
@PatrickCĥangaww
@PatrickCĥangaww 3 ай бұрын
Hawa ndio walikuwa wachekeshaji,sio hawa wasikuhizi,
@samudraramadhani6303
@samudraramadhani6303 5 жыл бұрын
Huhuhuhuhu hatari nyimbo kama anapigana hahaha
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f Ай бұрын
Mbavu Zangu muze Senga 😂😂😂
@eutimiustemistocles1101
@eutimiustemistocles1101 5 жыл бұрын
Senga ni shida.apo kwenye kuona mawenge!!!!
@eutimiustemistocles1101
@eutimiustemistocles1101 5 жыл бұрын
Kalimate,chapati,vitumbua. Pembe ni shida
@lucasmsemwa2494
@lucasmsemwa2494 5 жыл бұрын
karibuni tena madibira rafiki zangu senga na pembe
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Mungu ampunzishe kwa aman😢
@WangiraCollins
@WangiraCollins Ай бұрын
Yaan waliofanya comedy Kwel hawakufanikiwa kupata kipato kikubwa Ila Senga bado ako form
@BenedictorDaniel-eb8sp
@BenedictorDaniel-eb8sp Ай бұрын
RIP PEMBEE😢😢😢
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamani niatari dunia bure
@AnnaSiame-h8m
@AnnaSiame-h8m Ай бұрын
Poleni sana ndugu na majamaaa
@kassimyahya5009
@kassimyahya5009 5 жыл бұрын
hii picha inaitwaje?
@aishamussa7246
@aishamussa7246 4 жыл бұрын
2020 like apa
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 жыл бұрын
😀😀😀yani nyiye watu noma sanaa mpaka raha nyiye ndio mngestail kuwepo god
@lucasmsemwa2494
@lucasmsemwa2494 5 жыл бұрын
Dereva anatumia leseni ya bucha hahahaaaaaa
@bornitusmwemez2179
@bornitusmwemez2179 Ай бұрын
Pumzika kwa amani pembe😢
@CosmasLeza
@CosmasLeza Ай бұрын
23/10/2023 dunia kwel tunapita
@hemedijuma6968
@hemedijuma6968 5 жыл бұрын
Nawakubali Sana 😱😱😱😱✨✨😱✨ 😱✨✨✨✨😱😱😱 😱😱😱😱✨✨😱✨ 😱✨✨✨✨✨✨✨ 😱😱😱😱✨✨✨✨
@malakali862
@malakali862 5 жыл бұрын
hahahaha duh atari sana
@thomassaiguran8736
@thomassaiguran8736 3 жыл бұрын
Nawakubaligi sana hawa wakalimani sanaaaani
@clementbankuwiha9029
@clementbankuwiha9029 5 жыл бұрын
😂😂😂😂, aise mistari hatar
@norbertnombo6918
@norbertnombo6918 5 жыл бұрын
Et mbona mm sina hii 😃😃😃
@hamzasultan6844
@hamzasultan6844 3 жыл бұрын
pembe noma San
@ashery1368
@ashery1368 Ай бұрын
Haaahaaa nilicheka sana cku ya kwanza nimerud tena
@hamzasultan6844
@hamzasultan6844 3 жыл бұрын
senga baba lao
@janemakoye3924
@janemakoye3924 4 жыл бұрын
Hatar senga
@amrishdimplestzqueen9461
@amrishdimplestzqueen9461 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@TonnyMaster
@TonnyMaster Ай бұрын
Tuliopo hapa na tumeguswa na msiba WA pembe tujuane
@JacksonKanzira-wp3wt
@JacksonKanzira-wp3wt Ай бұрын
🥲🥲🥲🖐✋️
@Aisha-om9go
@Aisha-om9go 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣
@hamisiajalimpulinga721
@hamisiajalimpulinga721 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@junemwandambo4365
@junemwandambo4365 Ай бұрын
☝️
@ReyvidVidboy
@ReyvidVidboy Ай бұрын
Tupo 😢😢😢 inauma
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 5 жыл бұрын
akili zetu hazina akili😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adinanihashim7
@adinanihashim7 Ай бұрын
Hili biti la hii comedy kama ile ya ukwa beby police
@DaudyEmmanuely
@DaudyEmmanuely Ай бұрын
Kumbe msemo wa aaaah ni pembe
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 жыл бұрын
Dah
@bahatistrongwoman
@bahatistrongwoman 5 жыл бұрын
Yani sichoki kuiangalia
@prasidonyamahanga4173
@prasidonyamahanga4173 4 жыл бұрын
Asante mapolomota
@evelyneimana9372
@evelyneimana9372 4 жыл бұрын
Hahaaaa nakufa nanyimbo
@mwambailunga1511
@mwambailunga1511 Ай бұрын
Rest in peace pembe
@HusenMushi
@HusenMushi Ай бұрын
Apumzike kwa amani pembe
@evelyneimana9372
@evelyneimana9372 4 жыл бұрын
Hahaaaa waze wanauwa jamani
@Hilderfunmoments
@Hilderfunmoments 4 жыл бұрын
😂😂😂😂nomaaa sanaaaa
@estergemella2984
@estergemella2984 3 жыл бұрын
Ety usiamshe hisia hahahahhahahah
@LuthNzunda
@LuthNzunda Ай бұрын
Dah Pembe upumzike kwa aman
@JacksonKanzira-wp3wt
@JacksonKanzira-wp3wt Ай бұрын
😢😢😢😢😢
@moussambae2082
@moussambae2082 5 жыл бұрын
I like those guys
@elubyamidu1675
@elubyamidu1675 5 жыл бұрын
haahahahahaha, nawapenda hawa watu hatareee
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c Ай бұрын
RIP PEMBE
@salumrashid3485
@salumrashid3485 5 жыл бұрын
nawapenda HD bas
@WangiraCollins
@WangiraCollins Ай бұрын
Usiamshe hisia. Mikono haziko likizo hayaaa
@GhatiGosta
@GhatiGosta Ай бұрын
Unakitamb mbele na nyuma duh 😂😂😂😂
@salhamouhamed1340
@salhamouhamed1340 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@KWIZERAFrancoise
@KWIZERAFrancoise Ай бұрын
R.I.P PEMBE
@joshmedarguitaro9084
@joshmedarguitaro9084 4 жыл бұрын
Rebecca wanisumbua aee
@agnessjosephath4330
@agnessjosephath4330 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu duhhh
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn Ай бұрын
😂😂😂😂😞😞
@petermdabwa6320
@petermdabwa6320 5 жыл бұрын
Huhuhuhuhuuuuuuuuu!!!!!
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er Ай бұрын
Rip Mzee pembe
@babafranco3366
@babafranco3366 5 жыл бұрын
ros Vegas nawapata
@conradmbusibwa3298
@conradmbusibwa3298 5 жыл бұрын
Umoja Ni nguv utengano Ni ujinga😂😂😂
@delifinusjohnson
@delifinusjohnson Ай бұрын
Rest in paradise 😢
@danielmangara251
@danielmangara251 5 жыл бұрын
hiseee atar
@CaisozarMudathir
@CaisozarMudathir 5 ай бұрын
Daah 😂😂😂😂
@ramadhaningahama2371
@ramadhaningahama2371 5 жыл бұрын
Mmmh noma sana
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 жыл бұрын
Hahahahahaha mbavu zangu mie
@swalehekidebwe6488
@swalehekidebwe6488 3 жыл бұрын
Dudu nawapenda saba
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 жыл бұрын
nice
@salewajudic197
@salewajudic197 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@agustrimoy4337
@agustrimoy4337 5 жыл бұрын
Haaaaa haaaaa haaaaa mbavu zangu jamaniiii
@elizabetifaustine5928
@elizabetifaustine5928 5 жыл бұрын
Agust Rimoy jamani nawapenda sana haw wawili pembe na senga
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
usifikili mikono IPO likizo
@YusiRapha
@YusiRapha 5 ай бұрын
Tujikumbushe
@eliamanidaniel3170
@eliamanidaniel3170 5 жыл бұрын
Kwani kidole ndio speaker
@teddymtweve8566
@teddymtweve8566 5 жыл бұрын
makitambi mbele na nyuma urohoo
@kujarodricksanga7306
@kujarodricksanga7306 5 жыл бұрын
haaaaaaa, jamani laha xanaaaa
@zizinezuzu8579
@zizinezuzu8579 5 жыл бұрын
hahahahaha wallah
@asiasalehe8569
@asiasalehe8569 5 жыл бұрын
nawapendaga hawa wazee jmn had bhaas
@juneydsaidy974
@juneydsaidy974 5 жыл бұрын
Nawapenda xan
@AbuAbu-ef4ub
@AbuAbu-ef4ub 5 жыл бұрын
nawakubali
@godfreymbwambu8367
@godfreymbwambu8367 6 жыл бұрын
Ta. Raha kinoma
@joelwanyonyi2728
@joelwanyonyi2728 Ай бұрын
Rip mzee wangu pempe
SENGA NA PEMBE KWENYE CHEKA TU
12:19
Cheka tu
Рет қаралды 1,4 МЛН
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
SANGA FILM
Рет қаралды 991 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 35 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 44 МЛН
VITUKO VYA SENGA NA PEMBE IGOMBE MWANZA
9:53
Mzawa Media
Рет қаралды 279 М.
Angalia hii joti akiwa anabishana na bosi wake
6:43
Holly Nation FilmZ
Рет қаралды 725 М.
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
PENZI LA MWANAMKE MALAYA 😢💔
20:32
MrMwanya TV
Рет қаралды 350 М.
majuto,mtanga,pembe,kingwendu
12:24
Africa shared TV
Рет қаралды 1 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 2,1 МЛН
FUMANIZI LA SENGA NA PEMBE
14:46
Doella TV
Рет қаралды 155 М.
VIOJA MAHAKAMANI  AJALI YA PIKIPIKI
9:25
KBC Classics Channel
Рет қаралды 2 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН