Highlights | Tanzania (W) 3-0 Togo (W) WAFCON Qualifiers 30/11/2023

  Рет қаралды 45,390

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Magoli mawili kutoka kwa Opah Clement na moja la kujifunga kupitia kwa Yawa Konou yameipa timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Togo, katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu AFCON kwa wanawake #WAFCON2024 .
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Пікірлер: 36
@komkpo-lw6qi
@komkpo-lw6qi 9 ай бұрын
L'équipe togolaise a bien jouer mais il manque juste peux de concentration en défense et en attaque ; sinon on à plus de qualité de jeux que l'adversaire, je suis sur que nous les aurons en match retour; félicitations à mes sœurs togolaise.🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬👏👏
@aleoforex6945
@aleoforex6945 9 ай бұрын
Oppa anatulia anapokuwa Karibu na lango. Goal keeper wetu ni mtulivu anapokuwa langoni. Masaka kaliangusha Taifa, Maana kakosa goli la wazi kabisa, Mechi ijayo atulie anapokuwa mbele, asiwe mchoyo wa pasi anapoona kuna mwenzake ana nafasi kubwa ya kufunga. Mbinu ya mwalimu imefanikiwa Sana👏👏, ingawa wachezaji ndo hawakuwa na ushirikiano mzuri.
@aud548
@aud548 9 ай бұрын
Tumepata bahati...madada wa Togo wanaupiga sana asee
@fidelisjabu9238
@fidelisjabu9238 9 ай бұрын
Twiga wanatakiwa wajipange upya kwenye defense, wamefanya makosa mengi sana. They have to improve in that area
@elibarikilairumbe5462
@elibarikilairumbe5462 9 ай бұрын
Masaka sahivi sio mkatili kwenye lango kama zamani ila safi sana dada zetu👏👏👏🤜🤛💪🇹🇿
@raybirry3816
@raybirry3816 9 ай бұрын
Kiwango kimeshuka dhahiri
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Twiga stars hamchezi kama timu sijui formation gani mnacheza kila mtu anataka kufunga hampeani pass stamina hamna mnakimbia tu na mpira
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 9 ай бұрын
ongera sana twiga star ushindi ndiyo cha kwanza show game peleka sokoni
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 9 ай бұрын
Togo Walikuwa Kwenye ubora na utulivu kuliko sisi Tanzania. Kocha wetu anatakiwa kuwatahadharisha wachezaji wake katika mechi ijayo...
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
True na tumekosa magoli mengi kweli watulie
@nassorosalehhazard2450
@nassorosalehhazard2450 9 ай бұрын
Muda mwingine tusiwe tunapenda kulamu mechi kama izi aziitaji ubora zinaitaji matokeo ili upite kwaiyo kama mnasema togo alikuwa bora kwanini kapigwa tatu
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 9 ай бұрын
​@@nassorosalehhazard2450😂😂😂 hujaona kama tebebwa wew 2kiwafuata hawa 2takula nyingi
@raybirry3816
@raybirry3816 9 ай бұрын
Kama kiwango ndio hiki,kocha Bakari Shime ana kazi kubwa SANAAA kule Togo,kwa kweli walituzidi kila kitu,defense ya Tanzania HOVYO,basi ni mungu tu mipira IMEGONGA MWAMBA,WAMEPIGA MIPIRA NJE!
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 9 ай бұрын
😂😂😂 hacha uongo na mbwembwe wewe, tumewazidi magoli, na points
@hottie3621
@hottie3621 9 ай бұрын
Opah anajua mnoo...hii ni dhahabu❤
@mgayan1222
@mgayan1222 9 ай бұрын
Yaaaaaaaaaaani 🙌 hizi sifa za kutaka kutrend mitandaoni zimetukosesha MAGOAL kupitia huyu mchezaji wetu AISHA MASAKA😢 Alitaka afunge yeye tu 🙌 akawa mchoyo wa PASI KWA WENZIE😭
@assionapedogan920
@assionapedogan920 9 ай бұрын
VAINCRONS OU MOURONS MAIS DANS LA DIGNITE. ALLEZ LES CHAMPIONNES. VOUS POUVEZ MIEUX FAIRE A LOME
@ackimibrahim2973
@ackimibrahim2973 9 ай бұрын
wabinafsi sana wanapofika gorini inaboa wanasahau ushindi ni wa wote
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 9 ай бұрын
Penalty kweli?
@nasonchisota6241
@nasonchisota6241 9 ай бұрын
Togo wameupiga mwingi, bahati tu haikuwa kwao Ila wangetufunga mengi 😂
@danielelikana2615
@danielelikana2615 9 ай бұрын
Defence ni mbovu sana!! Togo wangekuwa makini Twiga mlikuwa mnapigwa nyingi nyumbani....Huyo Masaka naye amejaa ubinafsi tu...
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 9 ай бұрын
Timu Lina cheza kama Simba wa NBC😅
@listerkongola6872
@listerkongola6872 9 ай бұрын
Nadhani tunahitaji kocha mwingine,aliyepo hana jipya tena!! Defence hamna kitu kabisa!! Strikers wetu kiukweli,wamefunga goli moja tu,la tatu! Penalti tulishakosa,goli la pili wamejifunga wenyewe!!
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
Kwa hiyo penalty na goli la kujifunga sio magoli?
@user-uq2mo7mw2l
@user-uq2mo7mw2l 9 ай бұрын
Tz itakula nyingi togo
@benorddesideri
@benorddesideri 9 ай бұрын
Hawa wanawake ipo siku TFF itakuwa yao
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
Wanawake niwanawake tu😂😂😂😂 wazi wazi unashindwa kutoa pasi
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
Nyie mngekuwa mnaweza si mngekuwa mmefika mbali ,Bora hata hao wanawake kuliko Ile timu yenu pendwa
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 9 ай бұрын
Asha masaka Hamna kitu
@aud548
@aud548 9 ай бұрын
Asingecheza Ulaya kama ndio hivyo kaka ...kuchuja kwenye game ni jambo la kawaida
@emmadora7848
@emmadora7848 9 ай бұрын
Jana hakuwa vzr ,but ni mchezaji mzuri sema kocha kazingua kumuacha dkk zote 90
@user-uq2mo7mw2l
@user-uq2mo7mw2l 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Yani mtu na kipa hafungi duuu
@user-zc4yn2gp9x
@user-zc4yn2gp9x 9 ай бұрын
Amuoni mi wanawake aisee😂😂
@tumainherbalclinicnadrjose1299
@tumainherbalclinicnadrjose1299 9 ай бұрын
Jaman hizi mambo tuwaachie tu wanaume bhana,,Sasa hawa kila saa wanaanguka anguka halafu mishuti hakuna,,oooooiiiiiiiiiiii hawa wabaki kushabikia tu Simba na Yanga bhana
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 9 ай бұрын
Ww unaweza???
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 60 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
The Match That Made Ronaldinho Hate Lionel Messi
20:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 3,6 МЛН
CAF CL | ANGALIA MAGOLI YOTE | SIMBA 3-1 ASEC MIMOSAS  | HIGHLIGHTS
8:17
TV3 TANZANIA
Рет қаралды 1,1 МЛН
Senegal vs Togo Résumé du match 2023 Togo vs Senegal
10:26
Label Vidéo production
Рет қаралды 26 М.
Ronaldo & Ronaldinho will never forget Zidane's performance in this match
12:54
VSP7 FOOTBALL EXTRA
Рет қаралды 7 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН