HII HAPA DUA MBAYA WANAYOIOMBA MASHIA DHIDI YA MASWAHABA JALALA AJAZIA MANENO YAKE YA CHUKI

  Рет қаралды 1,965

IBUN JUMUA TV

IBUN JUMUA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@ramygichero1016
@ramygichero1016 8 күн бұрын
Anza kumlani Maluuni Yazid kwa kumuuwa Hussein kabla ya Mashia
@nassorshebee22
@nassorshebee22 9 күн бұрын
Muongo huyo wao siwanasema Ali radhia ALLAHU ANHU NI SHUJA KULIKO MASWAHABA WOTE VIPI LEO ALI ABURUZWE WAONGO HAO LAANATULLAHI ALEIHIM
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 күн бұрын
ukweli sisi ahlusunnat waljamaa,mayahudi na wanaswara ni bora kwenu kuliko MASHIA!!maana MAYAHUDI na WANASWARA hawajafhubutu kusema maneno machafu kama hawa MASHIA!!
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 9 күн бұрын
Sio tu mayahudi ni wema kuliko shia ila ninyi ndio mayahudi wenyewe
@ramygichero1016
@ramygichero1016 8 күн бұрын
Hawa mashekhe wote ni maubwa tu sioni jipiya kwao wanapambania pesa za wakubwa wawo manguruwe
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 8 күн бұрын
@@ramygichero1016 Hujaambiwa utukane wewe
@Mwanamisi-q2v
@Mwanamisi-q2v 8 күн бұрын
Usitukane masheikh ww sikiliza pekee yake acha matusi kwa comments ama laana itakufata
@Dhawani-t8s
@Dhawani-t8s 7 күн бұрын
Haifai kutoa kauri chafu mnaswihi alipo koseq na so kutoa kauli chafu na za kikafiri kwani hakuna mkamilifu katika dunia hii uwenda unaam8ni kunamtu ndo msema kweli huwezi jua na yeye pia anamapungufu yake na madhaifu yake kutoa kauli chafu so ndo wewe utawekwa kayika kundi la watu walosalimika na moto wa jahanam llaa tujifunze kuongea vizuri na watu na kuelekezana kwa wema
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 күн бұрын
@Dhawani-t8s hakuna Shekhe wa kuheshimu wafitinishaji wamevunga wasilamu kwa miaka mingi maubwa hawo wanachezea akili zetu
@Mwanamisi-q2v
@Mwanamisi-q2v 7 күн бұрын
@@ramygichero1016 kauli unazo sema ipo siku zitakuumbua ww chukulia mzaha na masheikh acha matusi ingekua ni mzazi wako anatukanwa hivo ww kama ww utaskiaje chunga kauli yako tafadhali
@hamynas
@hamynas 9 күн бұрын
swali la pili...hadithi swahih ya mtume inasema ....USIWATUKANE MASWAHABA ZANGU...HAPA ALIKUA ANAAMBIWA SWAHABA KHALID BIN WALID....KWA MANTIQ HIYO SHEIKH RUSAGANYA ATAKUA NA UADUI NA KHALID BIN WALID FI DUNYA WAL AKHERA?
@FaridSaleh-i8b
@FaridSaleh-i8b 9 күн бұрын
Pia ktk hadithi sahihi ya mtukufu mtume S.A.W.W. ktk kuwatakia rehema na amamani ziwafikie mtukufu mtume S.A.W.W. na alliy zake ninyi ktk mafundisho yenu mmeongeza neno na swahaba zake ambalo hilo neno swahaba mmelizusha nyie. Je,hiyo sio bidaa? Kuongeza neno ambalo mtukufu mtume S.A.W.W. hajasema?
@hamynas
@hamynas 9 күн бұрын
swali hapa,,hivi kipindi mtune saww anafariki waislamu walikua wamoja au wamegawika makundi makundi? nani alileta mgawanyo huu?
@MgazaMhina
@MgazaMhina 9 күн бұрын
Waislam walikuwa pamoja ila makafiri wakawatia fitna mpaka wakagawika
@hamynas
@hamynas 8 күн бұрын
@@MgazaMhina kwa hiyo ukafiri na makafiri waliwashinda waislamu?
@ramygichero1016
@ramygichero1016 8 күн бұрын
Mashia ni wa kweli kabisa nawapenda sana mashia
@FaridSaleh-i8b
@FaridSaleh-i8b 9 күн бұрын
Bw. Lusahanya ina elimu yako yote uliosoma madina je, hujui kuwa miongoni mwa maswahaba kuna wema na waovu waliooteleza ktk baadhi ya amri za Allah SW na mtukufu mtume S.A.W.W.? Sasa niambie kuhusu swahaba Dhalaba hakuacha swala kusali jamaa na hakukataa kulipa zaka mpaka mtukufu mtume akakasirika sana? Acha kutengeneza chuki miongoni mwa waisilamu.
@MfaumeMajugwe-e5p
@MfaumeMajugwe-e5p 7 күн бұрын
1Hadithi dhidi ya kisa cha swahaba huyu aliye kataa kutoa zaka na kuacha sala za jamaa ni Hadithi dhaigu 2 .sahaba huyu ni katika Ahlu badr na ktk vita vya badr hakushiriki hata mnafiki mmoja 3 watu wa Bdr wamesha samehewa na Allah ( rejea hadithi za mtume)
@soudsoud335
@soudsoud335 9 күн бұрын
Katika unafiq unaoendelea kwenye jamii ya kiislam kupitia wanaojiita mashekh mmoja ni huu mbona zamani watu wakiabudu dini hii ya uislam husikii shia husikii suni husikii salaf nk watu wote wakiabudu la ilaha ila llah Mohammad Rasulullah leo ajabu watu imekua mitafaruk Kwa hawa mashekh pesa kupitia viewers wa mitandao ili walipwe hawapo kwenye adabu za dini leo mtu nafikiri anazungumza nini anasema nini linaathiri haliathiri jamii wao huzua tu hivi sivyo Muhibu wetu alivyosema hemu kama unaamini imani yako amini na anaeamini imani yake aamini hukmu aachiwe mwenyewe Azza
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 9 күн бұрын
Mpumbavu mkubwa wewe Yaani watu wanafanya kufuru waachwe tu kisa kuogopa madhara kwa jamii VIPI MADHARA KWA ALLAH KWA KUWAFICHA WAOVU NA WASHIRIKINA?
@soudsoud335
@soudsoud335 9 күн бұрын
@kakulenzebene Mpumbavu nani Akhuy hii dini si yako wala mama yako weye amini ulivyiamini usitukane watu na waachie waliomini imani zao muhukumu Allah musitubabaishe hii mihemko yako ya nini akhuy na Kwa hili jina inaonesha kwamba hii dini umeivamia tu kama si wakusilimu basi huna kitako ulichopata Kwaiyo usiwe na jazba Muhibu namna iyo mwisho wa siku muumba ndio mwenye kuhukumu dini hii si yenu musijimilikishe leo imekua kelele namna moja kuchukiana je nikuukize Mtume Mohammad SAW alikua dhehebu gani ? Shia ,Sunni, Salafi sijui Wahabi sijui nani hemu twambie mtu alikua dhehebu gani? Musitukane watu humu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 9 күн бұрын
Shia ni maadui wa dini ya Allah wale Allah awaraani, kwa matusi yao dhidi ya maswahaba.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 күн бұрын
dini ya MASHIA ni dini ya watu wajinga!!hivi kweli unawalaani maswahaba waliohusubisna na kwa wema na urafiki mmpa mtume akawaowa mabinti wao!!halafu eti hao ni watu waovu!!watu wema kwao ni kina Khomeini!!? haiwezeksni!!
SHEIKH QASIM MAFUTA QASSIM AWAJIA JUU WANAOKATAA VIGAWANYO VYA TAWHIID
18:10
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 11 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
KAMA MUNAKUBALI TAWHIYD INAGAWIKA SASA YANINI MUPIGE KELELE || Muhammad Bachu.
1:04:10
MTOTO WA BACHU NI PUNDA ALIE BEBA VITABU VINGI BILA KUYAJUA YALIOMO NDANI YAKE
1:14:48
SHEKH QASSIM MAFUTA UNAMUOGOPA DOKTOUR ISLAM HUWEZ KUMJIB#العلم_والحكمة #muhadhara #fypシ゚vira #sub
10:00
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 3,9 М.
IJUE AMALI ITAKAYO TAMANIWA NA KILA ANAEKATA ROHO / SHEIKH HASSAN AHMED
36:05
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 11 МЛН