hatuwezi kuuzaa nchi yetu kwasababu ya tonge hizi mbili haziwezi kuelekea moja aaaa
@saidrakwe87272 ай бұрын
Huyu jamaa hana mbaya ❤
@salummussa98712 ай бұрын
Wewe mwizi TU ulishaiba sana serikalini.
@khatibal-zinjibari69562 ай бұрын
ZANZIBAR NI KOLONI YA ✝️TANGANYIKA✝️ Hakuna DHULMA Kubwa kuliko Kutawaliwa. Kwani MTAWALIWA ni MTUMWA hana UHURU wala HAKI.
@ommymehmed88802 ай бұрын
Haya
@BakariHassan-b1kАй бұрын
hata makafiri husilim kwa Kuona ukweli upo wapi Sasa hata kama kashiba ila kajuwa ukweli upo wapi
@khatibal-zinjibari6956Ай бұрын
UMAR BIN KHATAAB (RA) ALIACHA UKAFIRI AKAWA KHALIFAH 0:52 @user-uc8ee8eq9m KWELI KABISA. Umar bin Khataab alikuwa Kafiri na kuchukia Uislam. Alitoka na panga kwenda kumuuwa Mtume Muhammad (pbuh) kusudi asitangaze Uislam. Alipojuwa ukweli Umar alisilim. Mtoto wake Hafsa (RA) aliolewa na Mtume Muhammad (pbuh) na baadae Hafsa (RA) Mlinzi wa Msahaf wa Kwanza. Umar bin Khataab (RA) akawa Khalifa wa Waislam Duniani wakati huo Uislam ulishafika Zanzibar.☪️ Mtume Muhammad (pbuh) ametuachia QUR'AN ya Allah kuwa Mwongozo wa Binadam wote Duniani. Bilal bin Rabbah (RA), Mwenye asili ya Afrika Mashariki ametuachia ADHAN na Umar bin Khataab (RA) ametuachia KALENDA ya Kiislam☪️
@mohamedhaji2200Ай бұрын
Hupo ww anachokitafuta huyo ni kupata nafasi ya uwaziri arudie kupiga hela tu @@BakariHassan-b1k
@IssaJuma-rk5qb2 ай бұрын
Tumekuelewa broo
@HemedYusuf2 ай бұрын
Asielewa haya maneno ni punguwani kweli
@issakhamis95812 ай бұрын
Safi san tunakuelewa ccm basi tena maisha Magumu kweli
@SazafKiba2 ай бұрын
Mashallah
@HemedYusuf2 ай бұрын
Yani tukiondoa ubinafsi act ni walim sahihi ukiwasikiliza kwa mwenye uelewa nzuri asielewa
@OmarKombo-h2j2 ай бұрын
Natumemjua kweli kama yy si wakwetu na mbabaishaji wala hajui anakisimamia kitu gani
@Abs-tz8dlАй бұрын
Ccm = shetani
@mohamedhaji2200Ай бұрын
Mansour kwanza kachukue majanereta yako pale Mtoni. Mwizi mkubwa ww. Watakiskiliza mapunguani wenzako
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
INATAKA BASHA HUNAJENGINE
@AhmedSalum-s9m2 ай бұрын
Nikweli anastahili sifa
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
MABUNUWASI KWA MABUMBU WAZI
@zanzibarboyzanzibar5092 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SalumRwambo2 ай бұрын
Unamaliza umeme tu hapo
@salumhassanallymkurdistan70062 ай бұрын
MNASOR WEWE NI MWANA MAPINDUZI YA MAGEUZIBYA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
WEWE SEMAAA CCM MPAKA KIAMA
@ommarallyhamad74352 ай бұрын
Hakuna la milele
@kassim12622 ай бұрын
😅😅😅😅Tatizo lenu nyinyi wtnganyika
@omarmohammed51572 ай бұрын
Kiama kwaio sifa ya ALLAH mushaichukuwa nynyi??
@Is-hakaRuweikh-k9s2 ай бұрын
Hashaichukuwa hao ni makafiri et ccm
@Is-hakaRuweikh-k9s2 ай бұрын
Ccm ni makafiri tuuu!!! na kinaongoza kikafiri
@MuhiddiniMuhidini2 ай бұрын
Huyu at akili hana bor at chadema ,mamlaka kamili swa ila usiponde maendeleo ya Dr mwinyi ,la sivyo hakun mzalendo atawakubali
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
MNAPOTEZA MUDA WENU TU HAO SISIEMU NA SERIKALI WAPUMBAVU?
@SaidHassan-ot3un2 ай бұрын
Hatuna mda wakukujibu
@kassidpandu8662 ай бұрын
wee Tunakujua sana ukikuwa CCM ulichokifanya Tunakijua tena bora unyamaze kimyaaaaa!
@KassimAlly-xp4dz2 ай бұрын
Nyamaza ww
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
KAA NYUMBANI USIFE
@ZAMANI-2n2 ай бұрын
Mboma hyu anamiliki mahoteli na viwanja alivyovichukua kwa wanyonge wazanzibar leo hii anasema nn hyuu
@SaidHassan-ot3un2 ай бұрын
Kwaiyo?
@SazafKiba2 ай бұрын
Ccm munalana
@salummussa98712 ай бұрын
Issue ya muungano ndo inawamaliza ,,hakuna mtu anaye WEZA kushinda Kwa kuwagawa watu...uchu wa madaraka ,,kwani serikali Moja Kwa upande wa wananchi inawanyima Nini na kama si uchu wa madaraka?
@salummussa98712 ай бұрын
Hauna ushawishi wewe ,,
@issakhamis95812 ай бұрын
Tuachiwe tupumue tena
@salummussa98712 ай бұрын
Marekani ni nchi yenye maendeleo makubwa DUNIA je Ina haki?
@zanzibarboyzanzibar5092 ай бұрын
Ndo wanaongo kwa Kuuwa watu na kuingilia Uhuru wa Nchi nyengine, wanawauwa Wa Palestine kwa Miaka na miaka plus Black American wanawapija Risasi kila siku
@fakihdarusi43852 ай бұрын
😂YES
@Abs-tz8dlАй бұрын
Marekani inajukipana kwa uhuru wake, sio kama ccm
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
CCM NI MANDONGA UKIPIGWA UMEPIGWA UKIPIGWA UMEPIGWA.
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
KAUFYATA MAMAAKO UKAWA HUNA RAZI.
@Ahmarhassan-lk3ms2 ай бұрын
Kileja
@Is-hakaRuweikh-k9s2 ай бұрын
Acha zarau ww!!
@BimkubwaJuma-ew5dg2 ай бұрын
Unasema nini mansour wewe mwanzo ulituibia pesa kibao ulivyo Kuwa waziri nyamaza ustiriwe
@harithwhite5892 ай бұрын
Bwana wewe huna hoja madhubuti,unasema barabara ya airport imevunjwa hali ingeweza kuwepo hadi miaka ishirini ijayo,sikukatalii maana hata soko lililovunjwa pale mwanakwerekwe lingelikuwepo hata miaka ishirini mengine ijayo lakini lilivunjiliwa mbali. Lakini jee tujiulize,soko la leo pale kwerekwe ndo sawa na soko lile lililovunjwa,mwenye akili zake atasema hapana hili la leo ni bora mara 20 kuliko lile la awali, Hivyo hivyo basi na barabara hii ya leo ya airport ni bora zaidi mara 40 kuliko kile kichochoro cha awali,mamsour acha unafiki usitufanye wajinga tusiojua ubora wa mambo.
@huyu19932 ай бұрын
Hawa wazushi wasidanganye watu, yeye kahudumu miaka mingapi jee alileta maendeleo gani? Katika miongoni anayoyasema mfano mkubwa ni yeye baada ya kukosa cheo ndio akatimkia upinzani,chama chenu kina wafuasi wa pande mbili bara na Zanzibar ila wewe ndio wakwanza kufanya ubaguzi na mfano mdogo ni katika hotel yako iliyopo Bwejuu ,nyinyi nyote mnatafuta vyeo
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
hhhhhhhhh rudii tena kasema upewe story mana kusoma hujasoma
@Grataaaaa2 ай бұрын
Watu wanaongelea asaiv ww shoga la ccm
@SuleimanMussa-x5i2 ай бұрын
Huyu 1993 we huna akili una ambiwa nchii haina mamlaka ata endelea vp na maendeleo ndio watu wanataka mamlaka kamili bwa shoga ww
@zanzibarboyzanzibar5092 ай бұрын
Hajaama CCM walimfukuza kuhusu Ubaguzi me naona upo kotekote kina Lisu Majuzi tu hapo walimtukana Mama Samia Matusi ya Nguoni sababu ya Kibandari chao
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 hichoo ndo kinacho tuuma wazanzibar wengi samia kila leo anatukanwa na watanganganyika sisi tukimsema mwinyi kidog tuh bas kelel
@AhmedSeif-il1xx2 ай бұрын
CCM kma punda tu
@MuzneOthman-l7i2 ай бұрын
KUANZIA KUPIGA DISCO HADI KUWA WAZIRI HALAFU UNASEMA NCHI HAINA HESHIMA NA HAIJALI WATU. AMAKWELI FADHILA MFADHILI MBUZI...........
@mangofish90792 ай бұрын
Sio hoja hio kuwa mpiga disco au kuvuta bangi kwani mansour huyu huyu akina Jussa walimsema sana tu ktk majukwaa ya kisiasa wakati wa utawala wa shemegi yake lakini jee hayo anayoyasema kuhusu hii nchi yetu kwani uwongo nyie munataka watu wabakie ktk utumwa wa mawazo ya mwenyekiti ambae kashakufa miaka 25 iliopita watu na mambo yanabadilika nyie mumebaki na fikra za kitumwa na chuki basi msifieni huyu aliekuwepo kama hao waliopita na akija mwengine muje kumsifia kuliko huyu wa sasa.
@haroubhbm57282 ай бұрын
Ukweli unauma😂
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
heeee nahisi unamzungumzia Baah ilaa kwa mansuri umeshemshaa huyo msomi kuliko uko wako wotee wauza magenge nyau wee
@MussaMussa-v4x2 ай бұрын
Ww ukiona inaheshima.Emu angalia wabongo wanavyoachiwa huru wajekujiuza ndio silka na utamaduni wetu.Nahaijali watu.mbna wanapigwa kwenye uchaguzi nakubaguliwa kwenye ajira
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar2 ай бұрын
Mansour hajawai kupija Disco alikua anashuulikia Guest ya Marehemu Mama yake ipo Malindi inaitwa Malindi Guests House badae Shemeji yake Amani Karume kupata Uraisi ndio akampa Uwaziri wa Nishati mbaka badae CCM wenzie wakamfukuza Uwanachama
@MuzneOthman-l7i2 ай бұрын
WAKATI WEWE WAZIRI WA NISHATI ULIOHONGWA NA SHEMEJI YAKO YALE MAJENERATOR YAKO MBONA YALITUMIKA SIKU MOJA TU.SI NDIO BANDUKA BANDUA ILE?
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
huna hojaaa unaongea ujingaaa na upuuzi unajifanya umekunyaa maji ya bendera eehh
@MaryamSalim-g4c2 ай бұрын
@@fahmysaid-zw4npety
@zanzibarboyzanzibar5092 ай бұрын
Majenereta sio kama aliongwa na Shemeji yake alienda kuyanunua Norway yalikua Mabovu, Serikali za Ki Africa Viongozi wake asilimia kubwa wanakua Wizi hiyo wala tusitetee sema kinachatakiwa wawaletee Maendeleo Wananchi wao na walinde Nchi na Nchi zao ziwe Uhuru kujiamulia wenyewe sasa Zanzibar haipo Uhuru kuamua Mambo yake
@harithwhite5892 ай бұрын
Safi ndugu,umetukumbusha
@MuzneOthman-l7i2 ай бұрын
MASHEIKH WANATUAMBIA IBILISI ANAITWA ABAASIJIDA. ALIFANYA NINI MBELE YA MWENYEZI MUNGU?. BINAADAMU YEYOTE MUAMINI KIBINAADAM HUYO UNAYOMSIFIA YEYE ANAUTAKATIFU GANI
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
na huyoo mwinyi wako ana utakatifu gani au wakuuwa watu 21 wa kubaka wake za watuu wa kupiga watu mpaka wakawa vilema maisha ndo utakatifu eehh
@MuzneOthman-l7i2 ай бұрын
JUKUMU LA MHE.RAIS DKT. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI LINAANZIA SIKU ALIPOSHIKA MSAHAFU NA KUAPA MBELE YA MWENYEZI MUNGU ATAITUMIKIA ZANZIBAR . TUANZIE HAPO NA SEIF SHARIF ALIZINGATIA HILO NDIO AKASAFIRI NAE KWENDA CHATO KUUNGA MA.@@fahmysaid-zw4np
@R10_Rajab2 ай бұрын
Hivi una akili wewe MANSOUR au ndio chuki tu na roho mbaya !!!!Sasa ile ya Airport ndio ilikuwa barabara kweli barabara umo kwenye gari unadundadunda mpaka unafika kweli hiyo ndio barabara ya kufika miaka 20 dah
@fahmysaid-zw4np2 ай бұрын
acha unafiki weee bara bara ya uwacha wa ndege serikal ya sheni awamu ya mwisho imefanyiwa maboresho makubwa usiseme bara bara ina mashino labda mashimo unayo weyee
@AbdulhaamidSoud2 ай бұрын
Jibuni hoja sio mtowe matope tu kama volcano basi
@R10_Rajab2 ай бұрын
@@AbdulhaamidSoud Barabara haikuwa nzima ile hoja gani unataka Balahau
@R10_Rajab2 ай бұрын
@@fahmysaid-zw4np Sijasema mashimo kijana , soma ili uwelewe na sio kusoma ili kutaka kujibu ,,zipo barabara ambazo hazina mashimo ila huwa hazina ubora ikiwemo ile Airport, Utawala wa shein kapigwa sana yule mzee na wasaidizi wake na ndio maana hana alichokifanya,,,Ila kwa huyu Daktari ni balaaa kabisa weka mbali na watoto.
@R10_Rajab2 ай бұрын
@@fahmysaid-zw4np Ile barabara kwa sasa ndio imetengenezwa maana barabara zenye ubora ni lazima zichimbwe ile ilichimbwa? Na ndio ukiwa kwenye chombo cha moto unadunda dunda Why isivunjwe ,Mwache aseme pia basi kuwa Mapinduzi ilikuwa meli mpya na ameamua kuiuza na ikashindikana akaiuza kama chuma chakavu si unaona maigizo ,Huyu ni Daktari Shehe anautofauti wake.