UST:SHAFI AMGEUZIA KIBANO MCHUNGAJI NDACHA//ELIMU YAKO BADO SANA

  Рет қаралды 49,858

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 204
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 2 ай бұрын
Mbona Ndacha anatumia Nguvu sana. Wislamu ni Neema kubwa Wallahy..❤
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
@@najimsuleiman3690 UISLAMU ndiyo unatumia nguvu....jihadi....unabisha....hivyo injili ya ndacha ni ya amani
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 3 ай бұрын
mazinge shafii na wote waislam katka mdahalo allah sw awalipe kila ka kher mzid kutuelimisha
@Elecovid
@Elecovid 2 ай бұрын
Hawana hoja kabisa
@rukidady13
@rukidady13 2 ай бұрын
Hakika Ndacha una mwalim uyo ndo shafy
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 2 ай бұрын
Daaa ndacha umetisha baba yani nimeskiliza mpaka dam imesisimka ashukuriwe mungu nayesu kristo alie kutuma ongera sana tena sanaaaa
@BnBm-p1s
@BnBm-p1s 3 ай бұрын
Alhamdhulillah🤲🎉najivunia kuw muislam n p.a namshukuru Allah kw kutujaalia kwa neema ya uislam
@ibrahimadan7563
@ibrahimadan7563 3 ай бұрын
Shafii we ndo saffi kabisa bana kukabiliana na ndacha, jazzakAllahu kheiran we na masheikh wetu wengine katika mdahalo.
@Johndestar470
@Johndestar470 2 ай бұрын
Pastor Ndacha unajua Sn Maandiko ya Biblia Takatifu na Quran Pia 👏👏👏👏 endelea Kuwafundisha Waislaam Wote Neno la Mungu Kwa undani sn 👏👏👏👏👏👏👏
@abdallahally842
@abdallahally842 2 ай бұрын
Umesikia17 3 yohana hujui hio yesu anasema wakujue ww mungu wapekee kristo uliomtuma ukitumwa ni mtume Kuna mungu na mtume aliemtuma. Yesu ni mtume wa mungu. 5 31 matendo mtuhuyo yesu awape waisrael Toba na msamaha wa dhambi. Waislam wanasema yesu mtume wa mungu. Kataa hayo maandiko
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 5 күн бұрын
Exactly mungu yuko yesu ni mwana wa mungu na njia nzuri ni kumujua mungu❤❤❤
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 ай бұрын
Masha Allah Ustaz.Ndacha debe tupu kelele nyingi.
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
mmepatikana nyinyi waisiramu leo
@Nambazamani
@Nambazamani 2 ай бұрын
Alhamdulillahi Rabbil Àlamiin kwa kunijaalia neema ya kuwa mwislamu
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
Wote waliompokea YESU alimpa uwezo wa kufanyika Wana wa Mungu INJILI YA YOHANA 1:12.
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 3 ай бұрын
Allah awalipe kheri Dunia I na siku ya qiyama
@MdachiHashimu-hi8xg
@MdachiHashimu-hi8xg 2 ай бұрын
Ostadh hyo ndo njia yako kwel ujakosea kuingia madrasa umeiva mungu akuhifadhi inshallah
@AdanDahir-li3th
@AdanDahir-li3th 2 ай бұрын
ال حمد لله على نعمت الإسلام
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
Ndacha ni MHUBIRI special kwa kuwaongoza waislamu kumjua YESU na kubainisha mamlaka yake MBINGUNI NA DUNIANI
@MichaelMartine-u8s
@MichaelMartine-u8s 2 ай бұрын
Hujuwi acha kuchangia
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
@@MichaelMartine-u8s Kwa hiyo hupendi Maoni yanatofautiana na mtazamo wako? Unataka WATU wanaoitikia Kila kitu...hata kama hakuna mashiko?...EEE!!! Wanasema ndiyoo ndiyo.!!
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
@@MichaelMartine-u8s HUNA POINT mdahalo ni ELIMU Kwa uma wa kiislamu na Kirito. Vitabu ndo vinatumoka...kutoa hoja na kujibu hoja.
@ZenabAli95
@ZenabAli95 2 ай бұрын
😏😏😏😏😏😏😏sikiliza muhubir wenu vizuri.ni kuropokwa tuuu.kusikika hasikiki.kelele mingi for nathing😂
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
@@ZenabAli95 sama Aya za vitabu vyote.... BIBLIA ndiyo KITABU Cha awali kabla ya QURAN. Pia wakristo walikuwepo kabla ya UISLAMU. Hivyo baba na mtoto hekima LAZIMA anazo baba....yaani BIBLIA ni KITABU baba ....basi ndacha amesimama katika mwambani
@abdullahomar8083
@abdullahomar8083 2 ай бұрын
Mungu awazidishie mashekhe zangu
@binkhamis2597
@binkhamis2597 3 ай бұрын
Shekh shafi Allah akupe umri mrefu ww na wenzako kina mazinhe ili mupate kuzid kutuelimisha
@Muhindojamaldin-r1r
@Muhindojamaldin-r1r 2 ай бұрын
Shukran kwa kazi mnayo ifanya masheikh wetu Allah awalipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy
@ShabaniBaibai
@ShabaniBaibai 2 ай бұрын
Waerimishe hao wanae sema yesu mungu walijue hilo isha ishaa allah
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 ай бұрын
Waislamu ni bahari kubwa sio mchezo wakristo leo wenyewe watangaza yesu ni mtume ametumwa bila kulazimishwa siku zote twaambia yesu ni mtume wakata lakini subhanallah hikma jambo kubwa ndio wakaambiwa hii ni mdahalo wa kiilimu 😊😊😊the fastest growing religion in the world ISLAM
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k 2 ай бұрын
Ukubwa uko wapi wakujilipua namabomu
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 ай бұрын
@@EmmanuelMandela-f7k paka sasa wauwaji kuanzia world war1 hadi sasa mamilion walokufa ni innocent people and children's,,na wanao waua ni ? ndio wauwaji napaka sasa Japan hiroshima Vietnam nakwengine kwengi nani muuwaji ,,wewe Huna ujualo keti hivohivo kudanganywa ,,,kama nyinyi ndio tunawaita deaf dumb and blind people
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 ай бұрын
Elimu ya dini hauna, relax don't be time taker.
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 ай бұрын
@@daudimchileg307 wajua simakosa yako ni ukosefu wa elimu hamna nyinyi ,,kwa sasa mushapokunywa mungu yulemunae mtarajia kilasiku kumbe sio mungu ni mtoto wa mungu kulingana na walimu wenu wenyewe tena wakali kweli wanapinga vikali kua yesu ni mtoto wa mungu wakali sana ,,wamesahau kua huyo ndio alikua mungu wao na sasa wamemshukisha daraja ya hali ya chini sana kua ni mtoto
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 ай бұрын
@sosdododo5653 niamini mimi navijua vitabu vya dini kwa elimu ya juu saana. Wote hao wanachofanya hapo ni ushindani tuu lakin ukweli waujua, mtume Muhammad kwa sababu ya ufalme aliokuwa nao wakati ule juu ya imani yake akajipa utume watu wakamtukuza, watu wanaweza kukuita majina ya kila aina ili kukutukuza lakini unabi wa yesu unamamlaka kutoka kwa mungu,
@AhmadLijodi
@AhmadLijodi 2 ай бұрын
Kongole kwa mashekh wetu. Allah Awalipe nyote Kwa wema
@guyogalora-gl2lu
@guyogalora-gl2lu 2 ай бұрын
masha Allah...Barak Allahu feek sheikh shafi
@sadyoh
@sadyoh 2 ай бұрын
Hapo ndacha kajitia shimoni,mada ni yesu ni mtume ila sio Mungu kwa uwelewaji wangu hpo
@IdrisaSaidi-u9b
@IdrisaSaidi-u9b 2 ай бұрын
Alhamdulillah namshukuru Allah kuwa muislamu ni njia ya kwenda peponi ,tatizo hao wamepotezwa na hao mazuzu wanao jiita wahubili wa na wachumgaji wao
@legera63
@legera63 2 ай бұрын
Ndacha anaongea vitu adimu sana ngumu kumuelewa hadi uteuliwe na mungu kiyaelewa haya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 2 ай бұрын
Tangu nianze kumfatilia shafii daah mashaallah Allah awalipe heri
@honeydarling5825
@honeydarling5825 2 ай бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote.
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 2 ай бұрын
😂😂😂😂 shingo ngumu sana wewe Hutaki kukubali kua yesu ni mwana wa mungu😂😂 Siku moja utakubali tu
@AliJuma-v2s
@AliJuma-v2s 2 ай бұрын
Masha Allah.. Allah awabadilishe Wakristo woote waslimu wawe Waislaam..
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 2 ай бұрын
Shindwa kwa jina la Yesu Mwana wa Mungu aliye hai.
@SariathAbbakar
@SariathAbbakar 2 ай бұрын
Allah awazidishie umri mrefu Awahifadhi Duniani na Akhera
@Kimug-25
@Kimug-25 2 ай бұрын
Ndacha God bless you, teach them let them know the truth Jesus Christ is the way to heaven.
@HassanAli-sd7ti
@HassanAli-sd7ti 2 ай бұрын
Hehehe kweli ww ni miongoni mwa waliopotea 😂😂😂
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 2 ай бұрын
​@@HassanAli-sd7tiwewe pole kwa maana mnajitakia jehanamu ninyi wewe.
@JosephWanjiru-n4c
@JosephWanjiru-n4c 2 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu ,na mungu huwapa awapedao elimu ya binguni haustahili kwenda shule juu yesu hakueda shule Bali walikua wanamuita mwalimu
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 3 ай бұрын
MaashaAllah sheikh shafii umemupa ndacha kibarua kizito kbs
@LawiMponzi
@LawiMponzi 2 ай бұрын
Mashaallah ust shafi
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 2 ай бұрын
Ongera sana ndacha umejua kuwanyoosho
@Rahma94Oman-cn5qo
@Rahma94Oman-cn5qo 2 ай бұрын
Hongera shafii mungu akubariki kwa kumchana makavu live
@anthonyndungu5636
@anthonyndungu5636 Ай бұрын
Mwalimu dacha hongera roho mtakatifu kakufumulia hayo yote. Ni kweri tusibabaike mioyoni tutawanjibu vipi wakati watatuleta bere ya umati,kwa maana roho mtakatifu atatupea maneno yakuwanjibu
@RaufaAlly
@RaufaAlly 2 ай бұрын
eti yesu ni mwana wa mungu subuhanallah 😭😭
@dominicmakau-jm7rb
@dominicmakau-jm7rb 2 ай бұрын
Ndacha God with you
@ElsieMunezero
@ElsieMunezero 3 ай бұрын
Shafii nakupend kwa ajili y mungu yani unajua kunyoosh mada
@NdikumanaAmani-p8i
@NdikumanaAmani-p8i Ай бұрын
Amiin jaza kalllah
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s 2 ай бұрын
Ndacha ni mwamba❤
@WillyAlfred-n4t
@WillyAlfred-n4t 2 ай бұрын
Waislam msifikiri hii mijadala ni ya vichekesho bali ni ushuhuda wa milele, Neema bado ipo ya kumfwata mtoto wa Mungu, Bwana na Mwokozi Yesu kristo.
@nourdinpro
@nourdinpro 2 ай бұрын
Wana masikio hawasikii, wakristo wote viziwi
@HAWAABUBAKAR-r4b
@HAWAABUBAKAR-r4b 2 ай бұрын
Uyu ndacha nikuulize mungu ni wakiume au vip bona kelele zakumukufulu mwenye zimungu
@joelsechela8250
@joelsechela8250 2 ай бұрын
Ndacha hakika ,Mungu akulinde Kwa KAZI nzuri?
@HasnatMustafa-n1q
@HasnatMustafa-n1q 2 ай бұрын
Allah akibr ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@muliamadi859
@muliamadi859 2 ай бұрын
Wachristo kweli amna hoja kabisa😂😂 sheikh shafi we kiboko, mwenyezi mungu akupe kila la heri kaka hangu.nakupenda kwa ajili ya Allah kaka.
@jabirihanthu
@jabirihanthu 3 ай бұрын
Mwana wa mungu ni mungu mungu ni mungu unatumia akili kweli?????
@adamsalim587
@adamsalim587 3 ай бұрын
Allah barik. Maa Shaa Allah 🤲 shafii ndio kiboko ya ndacha kwa kweli 😅😅
@fadhilyassin5772
@fadhilyassin5772 2 ай бұрын
Alhamdullilah for islam
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 ай бұрын
Assante Mola mimi nina neema yakuwa mwislam
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 2 ай бұрын
Hakuna hata sehemu moja iliyiisema Mungu wewe Yesu ni mwanangu bali wanaingiza jina la yesu hapo lakini hapajasema hivyo
@allythabiti8150
@allythabiti8150 3 ай бұрын
WAISLAM SASA TUMEONDOA ILE SHIRIKI KUBWA HATIMAE LEO TUMEONA WAKRISTO WAKUBALI YESU NI MTUME.
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 2 ай бұрын
Muhammad S w NI mtume wa Allah ISA bin Maryam ni mtume wa Allah na Allah hana mshilika hakuzaa wala haku zaliwa nyinyi endeleeni na hizo hoja na mtayakuta huko 😢
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
Amepewa mamlaka yote duniani na mbinguni. Atahukumu wote waislamu na wakristo na wasio na Imani. YESU NI BWANA WA MABWANA.
@HassanAli-sd7ti
@HassanAli-sd7ti 2 ай бұрын
Labda bwana yako ww 😂😂😂
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 ай бұрын
Bwana wako wew na familia yako
@OmariAlly-k6p
@OmariAlly-k6p 2 ай бұрын
Wafundishe I hao kina Ndacha waelewe vizuri ama wamuulize Dr Geodevie
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 2 ай бұрын
HAPO NIMESOMA USTADH SHAFI KAMGUSA PABAYA NDACHA
@Bashiru-l6v
@Bashiru-l6v 2 ай бұрын
Mwalimu wangu shaffy ndacha anajua vizur ila anaendele kuwapotosha wakirsto wasiojua ,kwahiyo mwalimu wakiislamu wafahamisheni wasikilizaji kwakufichua ujanja wandacha kukatakata Aya ili wakirsto waendele kupotea
@AllyNjagila
@AllyNjagila 3 ай бұрын
Ww ni mwalim mkufunzi endelea kumtawakkal Allah
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk 2 ай бұрын
Waislamu hoja hakuna mje kwa Yesu uondio ukweli msipoteze muda.
@VitalisMmassi-oh4jb
@VitalisMmassi-oh4jb 2 ай бұрын
Kweli Ndacha unawaumbua waislam.
@luckysimbeye8997
@luckysimbeye8997 2 ай бұрын
Pole sana
@ZenabAli95
@ZenabAli95 2 ай бұрын
Allahu Akbaru .
@omarmakame3027
@omarmakame3027 2 ай бұрын
Ndacha karibu katika uislam usalimike
@JohnLorunyu
@JohnLorunyu 2 ай бұрын
Waislamu hawatawahi elewa mafundisho ya wakristo
@DrjosephKingo
@DrjosephKingo 2 ай бұрын
Huyo msomaji wa kiislam ana mambo ya kitoto kubwa zima
@stephanojulius66
@stephanojulius66 2 ай бұрын
Ifike wakati muamini tu maana ukweli mnaujua ila mnaugumu wa mioyo waislam
@LawiMponzi
@LawiMponzi 2 ай бұрын
Uislam ni neema kubwa sana
@joelsechela8250
@joelsechela8250 2 ай бұрын
Ndacha umefunuliwa kweli, ubalikiwe.
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
Mpinga kristo ni mtu ye yote asikiri kuwa YESU ni mwana wa Mungu
@IssaMustafa-y6i
@IssaMustafa-y6i 2 ай бұрын
Anaongea bila kufikiria na hazingatii waliyo ongea mashekh Yuko anarukaruka tu watu hata hawamuelewi
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 2 ай бұрын
Kila alipopanda shafii, ndacha alidhalilika,chaajabu Hadi nje ya mdahalo kadhalilika tena,itafute video ya uongo ulio kithiri wa mchungaji ndacha ,
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
Yesu ni MUNGU MATHAYO 1:23. Tito 2:13 Mwokozi na Mingu MKUU
@HassanAli-sd7ti
@HassanAli-sd7ti 2 ай бұрын
Toa ayaa inayosema yesu ni Mungu ukipata nakuzawadia gari
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 2 ай бұрын
@@HassanAli-sd7ti isaya 9:6,7 na Tito 2: 13... MUNGU MKUU....
@saidira726
@saidira726 3 ай бұрын
Ndacha muongo, Shafii hajasema kwamba yeye ao wengine ni wana wa mungu bali amenukuu yalio ndani ya Bibiliya yao
@kebasonyotham1111
@kebasonyotham1111 2 ай бұрын
Huyo Ndio ndacha bana
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 2 ай бұрын
Shafiii bado sana
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Hivi nyinyi waisilamu akili zenyu mlitupa wapi Eti baada ya mungu kutuma manabii ,mwana,mitume ,wachunganji na baadaya ya yesu kufa ili kuokoa mwanadamu eti mungu anatuma mtume wa mwisho kuja kusema haya ya torati ,injili ,zaburi yaliharibiwa kweli mnatubeba ufala nini
@josephbills2099
@josephbills2099 3 ай бұрын
Ndacha ongela sana 🙏🙏
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 3 ай бұрын
Pole sana wew na ndacha
@saijize
@saijize 2 ай бұрын
Hapo waislamu hamna hoja
@faridayusufu2045
@faridayusufu2045 2 ай бұрын
Kwahiyo alizaliwa au alishuka kutoka mbingun yaan mnajikanhaga wenyewe mnajipa pole
@nonovatus5114
@nonovatus5114 Ай бұрын
Ndacha nakubari
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
Allahu akbar
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 3 ай бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Ivi ambao hawaamini Kristo aliteseka, kufa a kufufuka msamaha wa dhambi zao wanautolea wapi… Angalia Mawazo ya kibinadamu/ibilisi ambayo hata petro kabla hajajua alikuwa nayo.. Mathayo 16:21-23 [21] Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka. [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata. [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu. Kwa damu ya Yesu tunapata msaaha wa dhambi tuliupata kalvari( Alilipa deni zetu kwa sisi tunaookolewa)… Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yote aliyoyapitia ilileta suluhu kwamba yeye ambaye hakutenda dhambi alipitia aliteseka(alitukanwa, alidharauliwa, alitemewa mate, aliitwa amechanganyikiwa, ndugu zake walimkataa alipigwa na kuharibiwa licha ya hilo tu alienda kaburini yaani alikufa.... Isaya 53:3-5 [3]Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu. [4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. [5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Waebrania 4:15 [15]Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi. Sasa hayo yote aliyoyapitia kama sisi wenye dhambi tunaweza fanyiana dhambi na kusema tumeonewa ni mfano tu wa habili ambaye alivyuliwa na kaini na kulalamika mbele za Mungu (Mwanzo 4:10 [10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.) lakini Sasa kama sisi wenye dhambi tunaweza kukoseana na kulalamika mbele za Mungu( kuacha madeni) kwa maana maandiko yanamuonesha kwamba Yesu Pekee ndio hakuwahi kutenda dhambi hivyo Mungu aliweza kuleta suluhu za dhambi kwamba akimtazama Yesu Kristo mbona huyu hakutenda dhambi ambaye hakufanya dhambi lakini aliteseka mpaka kufa hiyo ilikuwa inaleta suluhu bila bila na kuleta haki kwamba kwa njia ya hayo aliyoyapitia ndipo tupate msamaha / Ondoleo la dhambi… Yesu Kristo alitukanwa, alidharauliwa, alipigwa, alikataliwa na ndugu zake( Wayahudi), alikufa lakini waliyo yafanya Yote hay oni watenda dhambi…… TUMEPATA USHINDI KWA DAMU YA YESU… Waebrania 2:17 [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake. Amini Amini... Hakuna ondoleo la dhambi bila damu yake Yesu... Mwamini Yesu Kristo kwamba alipitia hayo kwa ajili ya dhambi Maana wapo wanaohubiri Yesu Mwingine ambaye siyo wa kweli kitabu chochote mfano kila mwandishi wa biblia lazima aandike habari za Yesu Kristo wewe ni nani ukatae.... 2 Wakorintho 11:4 [4]Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye! 1 Wakorintho 1:18 [18]Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. injili ni kuteseka, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.. NDO USALAMA WETU NA KMBILIO LETU TUMTAZAME YEYE ALIYEWEKWA KAMA MUSA ALIVYO MUINUA NYOKA WA SHABA... Mathayo 12:40 [40]Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. ~ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AMA KUKUPOTEZA.....YESU KRISTO NI HAKI ALIOONESHA MUNGU NI UZIMA WETU... Wapo ambao wanasema hivi wanasema vile ili kudanganya... Wapo wanao sema malaika amewatokea.... Kuwa makini Hta shetani anaweza jigeuza kujifanya kama malaika... 2 Wakorintho 11:14 [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. TATIZO KUBWA LA MWANA DAMU NI DHAMBI NA SOLUTION YAKE NI YESU KRISTO....Kwamaana dhambi ndio iliyotufarakanisha na Mungu... Mwamini Yesu Kristo upate msamaha wa dhambi... Nje ya hapo utakuwa umeluka step... Manabii wote Musa, isaya, nehemia, Ezekiel, Daniel kwa ujumla vitabu vya agano la kale(Manabii) na Agano jipya(Mitume) lazima mwandishi andike habari za Yesu Kristo aliteseka, kufa na Kufufuka…..Mwandishi ambaye hajaandika hayo epuka upoyevu… Matendo ya Mitume 3:18 [18]Lakini mambo yale aliyohubiri Mungu tangu zamani kwa kinywa cha manabii wake wote, ya kwamba Kristo wake atateswa, ameyatimiza hivyo. Apo anasema manabii wote lazima waandike ukombozi ulio katika Yesu Kristo kuteswa….
@AdanDahir-li3th
@AdanDahir-li3th 2 ай бұрын
Ndacha alitoroka kenya hana lolote kiswahili haelewi sijui kumbua tuu
@EnockManase-df9sf
@EnockManase-df9sf 3 ай бұрын
Ndacha safisana
@estakenia
@estakenia 2 ай бұрын
😂😂😂 Shaffi alipatikana na kubanwa vilivyo
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 3 ай бұрын
Ustadh shafii 🔥 🔥 wewe ni mtu hatari sana 😅😅 dah
@mohamedmwabeha
@mohamedmwabeha Ай бұрын
Dini ya haki n uislam wakristo funguen macho akili na nyoyo zenu zione hili
@expeditionquran
@expeditionquran 2 ай бұрын
Ndacha sasa anasema kuna mungu baba na mungu mtoto, hata haamini mungu holy spirit...lol wakristo wanamchezo kweli
@EddyMwangwale
@EddyMwangwale 2 ай бұрын
Ndacha wewe unajua aaa babaaa
@AllyJuma-wk6ed
@AllyJuma-wk6ed 29 күн бұрын
Saf shaffy ndacha ni ubao watu wajue haki😂
@egidideule7285
@egidideule7285 3 ай бұрын
Ndacha wew nihatali mno hao jamaa watakuja kuzila wasije maana siyo kwa kibano hicho
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 2 ай бұрын
Haaaahaaa haaaahaaaa eti na sisi ni Mungu
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 2 ай бұрын
Ndacha ni hatari sana waislam wanapasuka vichwa
@amisiabedi3462
@amisiabedi3462 3 ай бұрын
Mwisho utakunja silimu Ndacha una njuwa haki una unaipinga
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 2 ай бұрын
Sasa kwa mjibu wake mungu kalala na mariam wakapata Yesu au anasemaje?
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 2 ай бұрын
Ndacha hamna kitu kiswahili hujui maana tatizo
@alimwinyi3808
@alimwinyi3808 2 ай бұрын
dini ya kislam munaifanya dili
@binkhamis2597
@binkhamis2597 3 ай бұрын
Ndacha silimu acha ubishi
@iddisaidiibrahimu
@iddisaidiibrahimu 2 ай бұрын
Ndacha Rudi darasani huna uwezo wa kutetea
@khitamcaptainveca5045
@khitamcaptainveca5045 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Mungu ametumwa kukuwa Mwana wa Mungu , na yeye ndio Mungu Wallahi wa christo muwache kufuata hii jama
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 2 ай бұрын
Leo waislamu mmekamatwa😂😂😂
@donatienbest6043
@donatienbest6043 2 ай бұрын
Acha nifate yesu tu
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 384 М.
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 88 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 87 М.
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 22 М.
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН