MCHUNGAJI NDACHA ALIRUDI TENA JUKWAANI KUCHUNGUZA MADAI YA WAISLAMU KUHUSU YUPI WA KUMFUATA KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MUHAMMAD SAW
Пікірлер: 501
@JrPatrinceАй бұрын
Mchungaji ndacha nakupenda saana na mimi,ni mkaaji wa Congo Kinshasa,mwenyezi Mungu akulinde saana na bwana Yesu akutie katika kifua chake, ili kila adui wala ibilisi mwenyewe wasiwe na uwezo wowote ju yako isaya 54 :17
@JuliusGalido2 ай бұрын
I salute you pst Ndacha , Mungu akulinde , na Mungu akubariki
@BarakaKombe-eq7oy4 ай бұрын
Mchungaji Ndacha MUNGU akubariki sana wewe kichwa hao wakibadilisha walimu wewe una Baki ni wewe unawapa elimi kisawa sawa Amina
@MartinNjoroge-j6e3 күн бұрын
God bless you as you lead the world to know the word thru Christ jesus
@MageziBwanayambo3 ай бұрын
Asante sana mutumishi wa bwana, mungu akubariki
@HadijaHsalehe-z4k3 ай бұрын
Kweli Ndacha wewe ni Mwalimu na mwanafunzi wa Yesu Kristo kweli kweli.
@jacoblopeyok-i3i3 ай бұрын
nampenda sana mahubiri ya mchungaji ndacha.hongeri mtumishi.
@melvoLedin-cs6mr5 ай бұрын
Barikiwa sana ndacha hulinifanya nikaokoka juma from kenya
@yahyamajidyahyahilalal-har87625 ай бұрын
@@melvoLedin-cs6mr umepotea
@TumRock-vp6qv3 ай бұрын
Fanya mpango kuna yule anaitwa doctor zakir naik aje afunzwe na mwalimu Ndacha
@mutuasteve2179Ай бұрын
@@melvoLedin-cs6mr Ulifanya maazuzi hautawahi juta mpaka Yesu arudi,,, Mungu awe nawe ,, usirudi uliotaka kuwe kweupe ,kuwe kweusi
@nicholousmtemi3902Ай бұрын
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762 mbona ww ndo umrpotea sasa
@sneckyBoe25 күн бұрын
Hongera bos yesu anakupenda upo katika njia sahihi
@Leonardodhiambo-zi4 ай бұрын
Bwani akubariki sana mwalimu Ndacha
@fabianmainchanyangachika50175 ай бұрын
Asante yesu wakristo wenzetu gonga like twende sambamba
@TimothyNaibei-r9v3 ай бұрын
Asante wakristo
@stephenmwaniki2803Ай бұрын
@@fabianmainchanyangachika5017 upande wa yesu uko sahihi👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿
@DicksonWilsoniАй бұрын
Hongeren ndg waislaam ambao mnachukua uamuzi wa kuokoka hakika mmechagua fungu jema MUNGU atawalinda daima
@MatikoJames-c8m5 ай бұрын
Mchungaji ndacha mungu akubariki wafundishe
@PapyPaluku-i4j21 күн бұрын
Papa ndacha mungu akubariki sana na akulinde na awa waeslamu mimi papy kutoka Congo goma
@JosephLaizer-jh4qd4 ай бұрын
mungu akubariki ndacha
@MelamilekokoLengisho4 ай бұрын
Asante mungu kwa kusaliwa krisinto mbuna yesu asifiwe ❤❤
@EmanuKaba2 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu, pst Ndacha wafundishe Mungu akutie nguvu uwafundishe wenzetu waislam wamjue Yesu Kristo kuwa ndiye njia ya kweli na uzima Wala hawendi Mbinguni isipokuwa watubu na wamwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao
@ÉdouardMoïseilwa4 ай бұрын
Que Dieu tout-puissant vous augmentez la sagesse tu es vraiment docteur messieu ndacha
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki. Akupe neema na hekima zaidi kuhubiri neno lake
@PaulMwangi-hw2piАй бұрын
Mungu akubarirki mwalimu wetu ndacha waeleze waelwe hawa ndugu zetu waislamu
@damarisnjeri78203 ай бұрын
Ameeen ameeen ameeen...ooh may God protect mwalimu Ndacha..you are a blessing to the kingdom of God.
@robertgeofrey41185 ай бұрын
Barikiwa sana Mwinjilisti Ndacha ❤
@AbasHabimana5 ай бұрын
Ndacha hana lolote hoja zinamshinda wakristo mbona mnapenda kudanganywa kueni makini sana nahao wachungaji wenu huyo Ndacha anawapoteza kwa maslai yake
@silvesterojanji20075 ай бұрын
@@AbasHabimanaunajua nyani halioni la kudule
@JaneKyusa-xy9xz5 ай бұрын
Mnadanganywa nyie mnao abudu jiwe
@robertgeofrey41185 ай бұрын
@@AbasHabimana Toa Hoja zenye mantiki unasema Tunadanganywa na hujaeleza tunadanganywa nini..!! Au unataka tumuamini mtume aliyemuoa mtoto wa miaka 6 na kumvunja Bikira akiwa na miaka 9...🧐
@AbasHabimana5 ай бұрын
@@robertgeofrey4118 Kua na Adabu ww kafiri unamtukana mtume kweli kafiri mkubwa ww ungali unakwenda namakaratasi chooni
@KirewaLormwae4 ай бұрын
Yesu ni Mungu
@MercyKanyua-fj9sn3 ай бұрын
Praise the LORD of lord's
@BenjaminMuriithi-jx7ht4 ай бұрын
Njia ni moja tu njia ni Yesu atakaemwamini awe mkristo mislamu atauona uzima Wa milele
@MelamilekokoLengisho4 ай бұрын
Amen 🙏
@CoolPatient-vk8lg7 күн бұрын
Mungu akubariki muchungaji wangu
@sifunimgeni81417 күн бұрын
Ubarikiwe Ev. Mungu akupe ujasiri
@byakomasoka98825 күн бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu na akuzidishiye mara dufu mchungaji
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Ndacha ni kiboko ya waislamu
@seifabdulwahid45792 ай бұрын
Lbd kiboko ya Wakiristo msojielewa kondoo mlopotea
@CharlesMbise-hc2sz5 ай бұрын
🔥🔥🔥ndacha genius
@njuhinyararaofficial5 ай бұрын
Mwalimu Ndacha,mungu azidi kukubariki zaidi na kukupenda.
@SalvadorDamasio-z4h4 күн бұрын
Amém pastor ndacha.
@BernardChesoli-rj3nw5 ай бұрын
Ndacha unafundisha vizuri sana Mungu akulinde
@OriKasereka10 күн бұрын
Asante sana mualimu, inaingia moyoni mwangu
@AkramElias-uo3od26 күн бұрын
Yesu ndio njia yauzima wamilele amen
@Jessica-k8r4c10 күн бұрын
God bless you 🙏 ❤️ dacha
@Gulda-y9s13 күн бұрын
Barikiwa sana mwalimu ndacha Mungu aendelee kukupa kifua sku moja waelewe ukweli
@EmmanuelNahimana-k4x5 ай бұрын
Mchungaji ndacha Mungu akubariki sana
@Daqueenbosiborinyabika3 ай бұрын
Usichoke tuko pamoja ❤
@maxjofrey704 ай бұрын
Mchungaji ndacha nabarikiwa sana na mafundisho yako Yani napenda sana mafundisho yako yani nakuombea uahi zaidi mwalimu ndacha mungu akulinde .
@MageziBwanayambo3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa bwana
@ShedrackChristopher-m8y3 ай бұрын
Asante Sana mungu akubarik
@tomkingoro1252Ай бұрын
Yesu ni neno la Mungu Na ni Mungu Isaiah 9:6 1Timothy 3:14
@flova7022Ай бұрын
@@tomkingoro1252 nkisoma isaya 9:6 hua anafunga kila kitu . Hiyo ilikua miaka 600 BC..mtoto mwanaume, Mungu mwenyenguvu
@PeterJackson-uh2ik5 ай бұрын
Kuna Aya za Quran anazozisoma Ndacha, Waislamu hawazirudii Wala kukanusha. Lkn wao wakitumia Aya za Biblia kimakosa Ndacha anawarekebisha na wanatulia. Hii inaonesha Ndacha ni Mwalimu mzuri. Honestly Ndacha is heading to be a real servant of God. Ndacha Mungu azidi kukupa hekima, ili ukapate rehema siku Ile.
@JosephGodfrey-jv8hz5 ай бұрын
@@PeterJackson-uh2ik Kama aya zipi waislamu hawaziludii Wala kukanusha..
@MohamedMohamed-u3t1n5 ай бұрын
Taja aya moja tu? Haijatolewa ufanunuzi
@MohamedMohamed-u3t1n5 ай бұрын
Joshua 7:12 waisrael wamelaaniwa hivi hili andiko kwenye biblia ndacha aligusa?!😃😃
@EricMapendano4 ай бұрын
MUNGU akubariki sana, na akupe kuishi maisha ma refu sana hapa duniani, na zaidi aku linde sana
@zamberimturi55933 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi maana hawa waislam huwa wana bisha bila kujibu hoja za msingi MUNGU awasamehe
@jakee20413 ай бұрын
AMEN. AMEN. CONGRATURATIONS Mwalimu Ndacha .
@oscarmaloba6679Ай бұрын
Asante sana ndacha.naitwa Mohammed na nimeokoka ju y hoka zako
@faza402311 күн бұрын
Hongera Sana Yesu hawezi kukutupa
@BINTz-u5r3 ай бұрын
Umbarikiwe
@GodenBMDaniel5 ай бұрын
Njia ya kweli uzima wa milele ni Bwana wetu yesu kristo, njooni kwake.
@SylvesterAngego5 ай бұрын
Ndacha ukweli ubaki ukweli 🙏💯
@SamwelSummy16 күн бұрын
Barikiwa sana mchungaji mungu akutie nguvu milele yote.
@Kimug-255 ай бұрын
God bless you Ndacha, teach them Muslims why don’t you understand really??
@stephen-S74 ай бұрын
They have Stone hearts 🤣🤣
@ChaleeyDiis3 ай бұрын
Mungu akubariki ndacha
@emmanuelbusuti88002 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa baba
@SharonJuma-m1yАй бұрын
Ndacha upo vizuri mtumishi wa mungu alie hai wasikutishe hao wapo mwilini wanaongelea ya mwilini
@shiracque852416 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤walaaniwe nauislamu wao
@ShufaaZeinab5 ай бұрын
Ndacha mungu akubariki Kwa kutufunza ukweli
@owisoowis44652 ай бұрын
Ndacha has very wide knowledge of both the Bible and Quran, and this makes him so lethal in debating.
@MoïsesakodiKituta4 күн бұрын
mchungaji ndacha mungu akulinde Sana naendele kuku jaza elmu
@erastusmasika21 күн бұрын
Great insight pastor
@FredrickAgomah2 ай бұрын
God bless you servant of God Pst Ndacha.
@LawisonyKonzaАй бұрын
Yesu ndie MUNGU kamili... waislam tafadhar tusiishi kwa kukalili tujaribu kumwelewa yesu
Ndacha barikiwa sana hyo ndyo imani na haki umezjia hubiri na okoa waamin na kubatizwa tmechoka na uongo mungu atusaidia kabisa kungalikuwa na uwezekano angerud atusahihishe kidgo
@pasteurarmanybigirineza37203 ай бұрын
Mungu aku bariki sana Mtumishi wa Mungu.
@ezekielmasibo39549 күн бұрын
Mnaxema mhamad alitumwa na mungu wapi imeandikwa eti GOD sent mhamad,
@dasilvajr96474 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu ndacha
@dennisezakiel33805 ай бұрын
Yesu ndio njia kweli na uzima , ipo siku watajua ukweli kwamba Yesu ni nani .maana wanajua ukweli ila wanadanganya watu bule sababu watu wao hawajui maandiko
@peterntandu19193 ай бұрын
@@dennisezakiel3380 kweli mtumishi
@husnaRamadhan-di3ov2 ай бұрын
Bado hujasema mtaingia tuu mmoja baada ya mwingine hata ww ipo siku utakuwa muislamu inshaallah
@husnaRamadhan-di3ov2 ай бұрын
Kama huamini usome uislamu kwa undani na ukristo pia soma kwa undani unaugundua ukweli mzima
@Jameskasale-wt4tf22 күн бұрын
@@dennisezakiel3380 Yesu ni bwana
@MarySimiyu-g7xАй бұрын
Yesu do kilakitu chamaisha na usima wa milele amina
@TuelewaneSemahoro2 ай бұрын
ubarikiwe baba MUNGU akubariki saaaaaaaana ❤🎉😂😂❤😂🎉🙏🙏🙏🙏🙏
@niwagwenemayeye9724 ай бұрын
Ndacha unafundisha vizuri Amina
@Anthonyzombie-d2sАй бұрын
Yesu kristo mwana wa mungu,waislm waabudu majini
@LyleMukamba3 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@simonchituwe9 күн бұрын
Ndacha jamani ❤ sina maneno mengi mm
@peacemwesigaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ Jesus❤❤❤❤❤
@bravebrain6425 күн бұрын
Mwalimu wa Neno la Mungu kwelikweli Ndacha haubahatishi unaeleweka sana kwa mwenye nia ya dhati kujifunza...
@Kaylyn-z6yАй бұрын
God protect your servant in Jesus name Amen
@shepherd1x845 ай бұрын
Wamekiraba kweli kweli..Yesu ni bigwa wa mhitaji wa majinni!
@WizkidJombaАй бұрын
Kama una amini humna dini yakweli kwe nye u ulimwengu nipe like
@kathurimasimon5612Ай бұрын
Tuko Pamoja dacha may God continue being with you
@IanayekhaPsalms23Ай бұрын
God bless you ndacha
@PurityWesonga-z5r2 ай бұрын
Sisi kama wakirsto twambie nduguzetu ukweli Asante ndugu
@bensonmatiko-s9cАй бұрын
Mchungaji mungu abariki wafundishe wajue neno la mungu
@ErickJr-k5bАй бұрын
Mchungaji Mungu amekubariki
@mutuasteve2179Ай бұрын
Nampenda ndacha anajiamini sana,, Mungu awe nawe daima
@FabriceSadino28 күн бұрын
Ndacha ❤❤❤
@Santamera-fe7vt2 ай бұрын
Ubarikiwe mch ndacha. Hawana hoja ni ubishi tu
@ShukuruBekelwaselfАй бұрын
Asante sana mwalimu ndasha uwafunze wale wapate kuamini n'a kubatizwa ,nakufata kutoka DRC ,sud-kivu
@PrinceBrighton-h5wАй бұрын
Mungu azidi kuwafanya wakristo kuwa vichwa siku zote ubarikiwe mtumishi
@em-213926 күн бұрын
Mafundisho haya ya mwalimu ndacha yakadumu daima na kusambaa kila mahali. Watu waokolewe. Mwenye akili timamu na inayofanya kazi vzr wala hato umiza kichwa kuelewa. Roho wa Mungu sema na watu hawa. Amina