HII HAPA SASA REVIEW YA TOYOTA BLADE USIPIME, BY DR.MECHANICS

  Рет қаралды 12,834

Roc TV

Roc TV

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@rich-lr8tq
@rich-lr8tq 10 ай бұрын
aisee wewe jamaa umenifanya nianze kuwa na mwanga mwingi kuhusu magari, BIGUP sana brother, endelea kutuelimisha
@ericbuberwa7828
@ericbuberwa7828 Жыл бұрын
i have this car and suprisingly the consuption is more or less to toyota ist by decimals only. and it ia an eye catcher due to the fact that like in Arusha, there are only 3 as i speak.
@telengoboy
@telengoboy Жыл бұрын
First time nimeisikia review ya toyota blade kwa yule mshkajinwa Eastafrican cars, I was surprised na consumption yake. Maybe this will be my next car. Nice review, gari ipo very classic
@fredrickfilbert3922
@fredrickfilbert3922 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri sana.Leta Toyota Noah ya 2008-9
@JosephMhecha
@JosephMhecha Жыл бұрын
Toyota blade ni noma, naomba ufanye review ya Honda Fit
@edwinmlingi2268
@edwinmlingi2268 Жыл бұрын
Unyama mwingi dr.mechanics..shule nzuri sana
@daudimollel6596
@daudimollel6596 Жыл бұрын
BigUp sana Dr. Mechanics bonge ya review. Nina Recommendation mbili kwa mtazamo wangu; 1). Logo ya ROC tV hapo katikati ya screen iondolewe pale juu kwenye kona inatosha, videos zitakuwa clean sana. 2). Breaks ni nyingi mno kutoka segment moja kwenda nyingine, zipungue tupate continuity kwa utamu zaidi. Otherwise kazi nzuri sana.
@kennygadau1774
@kennygadau1774 Жыл бұрын
Tutoe logo ili waibe content, thats for security purpose
@jamesmwita
@jamesmwita 6 ай бұрын
Almost kila shot mtangazaji anaonekana, watu wanaibaje content? Na mwizi ni mwizi tu hata ukiweka logo ataiba, haya mawazo wangekua nayo wakina Mr.Beast au car reviewers wakubwa sidhani kama wangefika walipofika sababu ni vitu vidogo vidogo vinavyomkera mtazamaji​@@kennygadau1774
@jamesmwita
@jamesmwita 6 ай бұрын
Very good content ila punguzeni transitions zenye hyo kama intro na camera ingefocus zaidi kwenye gari na sio mzungumzaji ingekua poa zaidi.. Keep up the good job 👍
@TariqAlly-m3t
@TariqAlly-m3t 9 ай бұрын
Inafanana na toyota auris
@raphaelonyango5690
@raphaelonyango5690 Жыл бұрын
Toyota Blade, powerful car
@jimmykimaro4250
@jimmykimaro4250 Жыл бұрын
Naomba review ya Toyota grand mark 2 bro
@6ix750
@6ix750 Жыл бұрын
tunaomba Toyota harrier next
@jamesmakala9548
@jamesmakala9548 Жыл бұрын
Review nzuri sana
@MohamedMbaraka-b2d
@MohamedMbaraka-b2d Жыл бұрын
Naomba review za magari haya ma3 Jaguar XF Bentley bentayga
@SuperMsaki
@SuperMsaki 6 ай бұрын
Option gani Nzuri kwenye Mafuta Kati ya FWD OR 4WD?
@bonnybernad
@bonnybernad Жыл бұрын
Mtumishi, Kwa hio Toyota blade, naweza adjust suspension na kuiwekea tairi za 17" ili kupata Ground Clearance rafiki zaidi hasa kwa barabara zetu za madongoni huko bila kupoteza balance ya gari hasa ukizingatia ni ya mithili ya sportcar? na kuna uwezekano wa kubadili taa za nyuma pia cuz kiukweli naona kama kwa upande wa taa za nyuma hazijakaa kuvutia kiivyo kwa takribani matoleo yake mengi. Ama ni mimi mwenyewe nimeliona hili???
@bahatimahungo1163
@bahatimahungo1163 Жыл бұрын
Dr niko na nissani dualis nije kuvunja?
@chihediwehamza2987
@chihediwehamza2987 Жыл бұрын
We gerryit
@HassanHassan-nd4tj
@HassanHassan-nd4tj Жыл бұрын
kaka naomba namba ako nkucheki
@godwinshayo3766
@godwinshayo3766 Жыл бұрын
Toyota Blade🔥🔥
@glorytemu913
@glorytemu913 Жыл бұрын
Mi nataka kujua fuel consumption ipo je kutofautisha na ist
@AbHalim-o8n
@AbHalim-o8n Жыл бұрын
Toyota blade🔥
@johnkessy6023
@johnkessy6023 Жыл бұрын
Bei gani kwa sasa
@zahoroibrahim6219
@zahoroibrahim6219 Жыл бұрын
Toyota blade
@abdallamzungu5809
@abdallamzungu5809 Жыл бұрын
Toyota Blade
@bonnybernad
@bonnybernad Жыл бұрын
Naomba review ya TOYOTA YARIS na HONDA FIT
@abdallamzungu5809
@abdallamzungu5809 Жыл бұрын
Tupe Bei Rafiki Brother
@sulemanmito4578
@sulemanmito4578 25 күн бұрын
Brooo Kuna ukweli hapo mbona kama Kuna uongo Yani speed 100 afu rpm 1500? Mie najua speed 100 unakuwa gia 3_4 Naomba kueleweshwa hapo
@bonnybernad
@bonnybernad Жыл бұрын
Ipo ya 4WD? ishu ya engine za CVT kua kipengele je!? kwa upande wa toyota si kipengele??? na je hii blade yawezana kwa safari za mikoa walau kwa sisi wa 10-20% safariz but thru out tupo mjini???
@victaboy7273
@victaboy7273 11 ай бұрын
Kigari kizuri
@maximillianmagesa2758
@maximillianmagesa2758 Жыл бұрын
Hello hello Dr. Mechanics vipi kuhusu wale wa 2GR V6 nayo ina timing belt?
@maximillianmagesa2758
@maximillianmagesa2758 Жыл бұрын
2GR V6 engine Toyota blade nayo ina timing chain au belt?
@kennygadau1774
@kennygadau1774 Жыл бұрын
Timing chain
@sir-david6244
@sir-david6244 Жыл бұрын
Aisee unatoa elimu kubwa sana ya bure kwa watanzania,madalali wana-hype sana magari ambayo sio sahihi kwa watanzania
@bahatimahungo1163
@bahatimahungo1163 Жыл бұрын
Inaptikana kwa gharama gani
@Mtizii
@Mtizii Жыл бұрын
Ukifikiaga kwenye kipengele cha kusema sasa tunahamia ndani nakuona how you feel 😅
@paciencegratian
@paciencegratian Жыл бұрын
Bei sh ngapi mpaka mkononi.
@detunche1160
@detunche1160 11 ай бұрын
Ssa gari kali afu hakuna 0-100 mkuu
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 Жыл бұрын
Gari gani inakula mafutaaaa😅😅😅
@thehunter5920
@thehunter5920 Жыл бұрын
Ipi ambayo haili
@jimmodallas
@jimmodallas 10 ай бұрын
Have an experience with one, this car is a Ghost..
@BenjaminNuru
@BenjaminNuru Жыл бұрын
Toyota blade
@abubakariibrahim5375
@abubakariibrahim5375 Жыл бұрын
Toyota blade
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
TOYOTA CROWN 13th GENERATION (GRS 200) - DR MECHANICS
29:28
TOYOTA RUMION -  DR.MECHANICS (Gari lako).
26:30
Roc TV
Рет қаралды 21 М.
2008 Toyota Blade
2:33
Greenland AUTOS
Рет қаралды 5 М.
MAAJABU NA BALAA LA TOYOTA PRADO : (Gari lako)
27:35
Roc TV
Рет қаралды 11 М.
THE TOYOTA BLADE - EVERYTHING YOU NEED TO KNOW
17:32
AFRICARS UG
Рет қаралды 5 М.
Toyota Kluger Tanzania | Toyota Tanzania |
11:06
Ndinga za Bongo
Рет қаралды 48 М.
Toyota Blade 2010
9:13
AUTO MODERN
Рет қаралды 6 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН