Nimefurah sana leo coz hio gar nimenunua juz matumiz ya gear nilikuwa sijui
@samurio-b5j Жыл бұрын
Bro unajua sana alloooook
@sifuelmamuya457 Жыл бұрын
Boss nakubal sana kipind chako kimenifanya ninunue gari nikiwa naelewa
@emmansolo447711 ай бұрын
Kama Hiyo Kaka Utaniuzia Shilingi Ngapiii,
@adamkissassi7 ай бұрын
26 unapata kaka
@kelvinpeter566611 ай бұрын
My dream
@johnmethew3858 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mkuu ila ningependa nipate mawasiliano zaidi na wewe mana nahitaji ila nataka ile ya 150 2010 john from arusha
@labanijr51955 ай бұрын
💥💥💥💥💥
@thehunter5920 Жыл бұрын
Horsepower 95??
@greenluckymillers554 Жыл бұрын
Huu unyama diesel engine usipim e
@ericmkiza9204 Жыл бұрын
Tunasubiri harrier generation ya 3 na 4
@michaelmziray3193 Жыл бұрын
Kuna zenye engine pia za d4d
@amocernest2896 Жыл бұрын
Iv kwanini wanaiita prado diamond?
@roctv_ Жыл бұрын
Wanaita Prado kwasababu Msanii maarufu diamond platinumz Prado aina hii ndio ilikuwa gari yake ya kwanza kwa gari za juu na ilipewa Jina hili kutoka na umaarufu wa msanii huyo Ali iongezea thaman kwa wakati huo