HII HATARI MADEREVA UBER NA BOLT WAAPA KUANDAMANA/WAMUOMBA RAIS SAMIA AWASAIDIE/WALIA KWA UCHUNGU

  Рет қаралды 14,806

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@amosrusana8979
@amosrusana8979 2 жыл бұрын
R.i.p jpm agekuwepo hilo agelimaliza mapema mnoo
@kamalissabig1795
@kamalissabig1795 2 жыл бұрын
Waizi wakubwa nyinyi Madereva munaiba cmu za watu mbwa nyinyi nmeibiwa Cmu nilikuwa nmelewa siwapend nyinyi mbwa lakin office za Bolt nmeenda wamenipambania adi nmeipata Sasa pelekeni usenge wenu
@abdiathumani919
@abdiathumani919 2 жыл бұрын
Dah! Hawajakunanihii
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 жыл бұрын
wekuma kweli babako musenge mbwa mukubwa falawewe kauze unakouzaga mukundu
@eliphazpetwell8089
@eliphazpetwell8089 2 жыл бұрын
Pole Sana hapa namkumbuka magu angekuwepo haya ingekua hayakutokeya from 🇧🇮 tulikosa kiongozi kweli kweli
@kasabukuanthony6208
@kasabukuanthony6208 2 жыл бұрын
Sasa lakini kwani ni lazima kufanya kazi na hao bolt na uber
@mrsalam1094
@mrsalam1094 2 жыл бұрын
RAIS SAMIA HASIKILIZI VILIO VARAIA WAKE YY ANAWASAMINI WANGENi SaNa
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 2 жыл бұрын
Hii mtandao kama imeshindikana waifunge tuendelee kama tulivyokuwa tunafanya zamani
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 жыл бұрын
Huu ni unyonyaji kwa kweli.
@kamalissabig1795
@kamalissabig1795 2 жыл бұрын
Nyie Mikund nn Sasa Kama Bei haiwatoshi kilicho fanya mutumie hizo App ni nini c muache Kwan n lazma kutumia hizo App tulize nyeg maana musije fanya tuka ongezewa bei
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 5 ай бұрын
Pole kaka zangu msijiunge nao
@supermodelent255
@supermodelent255 2 жыл бұрын
Dah safi sana pongezi kwenu
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
Kila kitu Rais
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 2 жыл бұрын
Poleni sana aise
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 2 жыл бұрын
Kwani mmelazimishwa kujiunga na hiyo mitandao?!? Fanyeni kutoa hiyo huduma wenyewe kama bodaboda wengine. Poleni sana ndg zangu!!!
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Sio huko 2 hata huku Uber and Lyft sucks sema tu ukifanya Uber Black and Uber XL unaweza ukaweza kupiga pesa
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Mishkaki ni moja ya kusababisha Ajali, hatutaki bodaboda tanzania. Full stopp
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 жыл бұрын
kama wewe utaki bodaboda Tanzania basi mamaako awe anawagea key one day
@barakaezekia3382
@barakaezekia3382 10 күн бұрын
Bolt wanazingua
@sanisani5266
@sanisani5266 2 жыл бұрын
Kabda ya mama simlienda mkakubari icho mnacholipwa badae mnalalamika inakuja yale ya harmonise
@AbuuMsongoro
@AbuuMsongoro 8 күн бұрын
Sikia ukianza nao wanakubembeleza kwa malipo mazuri kamisheni mzuri ila baada ya hapo kinachofuata maumivu tuu
@jumannerajabu6324
@jumannerajabu6324 2 жыл бұрын
mbona nchi za wenzetu madereva wa hon line wanaheshimika sana kwann apa imekua iv
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
C Kuna viongozi wenu wapo mnalialia Mana kuna njia nzur za kufikisha ujumbe
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 жыл бұрын
Ukiona mwanamme analia juwa kuna jambo hapa pana mushkila
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Mpaka, taks wawekezaji, he. Siyo sawa, uwekezaji siyo , mbona ulaya hawatufanyii hivyo, haiwezekani siyo sawa, vijana wakafanye kazi wapi
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 жыл бұрын
Hii sio kazi ni utumwa kwa kweli tuangalie huko tunapokwenda unyonyaji na ukabaila.
@mwesblind8990
@mwesblind8990 2 жыл бұрын
Wamelazimishwa kwani
@abdiathumani919
@abdiathumani919 2 жыл бұрын
@@mwesblind8990 mfumo umebadalika abilia wengi wapo mtandaoni ukikaa kijiweni hamna kazi ukiingia mtandaoni unabanwa
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Huyu uchebe anaenda anarudi..mbona haongei?
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 2 жыл бұрын
Mbona acheki
@fidelisvenance6431
@fidelisvenance6431 2 жыл бұрын
Hakika nimewaelewa sana madereva
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Shida ni hamna application yenye kuzingatia maslahi yenu? Je abiria watakubali application zenye kuzingatia maslahi yenu? Je app zifutwe hizo?
@alphayokibangali378
@alphayokibangali378 2 жыл бұрын
Broo nauli sio shida,shida makato ya app wanakata asilimia kubwa
@mpmrcctv9262
@mpmrcctv9262 2 жыл бұрын
Kwani ni lazima
@mpmrcctv9262
@mpmrcctv9262 2 жыл бұрын
Si ni hiari kujiunga na hizo kampuni kama mmiliki wa chombo chako ukiona haina maana una achana nao mi pia nilijitoa bila kulazimishwa
@erickdeus4177
@erickdeus4177 2 жыл бұрын
Kwa kwel latr saiv kupata ina process ndefu San ndo maana tunaamua kufanya Kaz bila latra wakitukamata Ni kulipa fain maisha yanaenda lkn it's not good
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
Anzisheni vijiwe achaneni na mitandao kama mnaonewa, kwenye nauli kama no ndogo achana na hio App, ila mm naona mngekua na bima ingekua Jambo la msingi ila kwenye nauli nooo
@jonasjimmy9478
@jonasjimmy9478 10 күн бұрын
Rais atafika mbinguni amechoka sana
@mpmrcctv9262
@mpmrcctv9262 2 жыл бұрын
Kwani si ni hiari ya mtu au mmiliki wa chombo
@FINGATanzania
@FINGATanzania 2 жыл бұрын
Lalamikieni serikali sio hayo makampuni,, mpo huru Kama aunufaik si mujitoe mpige kawaida,,, serikali ipungize Kodi jemen hii yote sababu ni iyo
@romyrae_tz587
@romyrae_tz587 2 жыл бұрын
Kupiga kawaida aiwezekan kwa sabb washaalibu bishara kwa ajili ya competition zao
@imaamgharithauri1059
@imaamgharithauri1059 2 жыл бұрын
Suluhisho ni kwamba Serikali iunde app hapa nchini ambayo itaendana na mazingira ya nchi yetu
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Serikal haiwez kufanya biashara
@ezronmika866
@ezronmika866 2 жыл бұрын
Izo App zitoke bhana mambo yasiwe mengi
@zuberikalenzi5262
@zuberikalenzi5262 2 жыл бұрын
Sasa Si Mjitoe Kwan Mmelazimishwa
@isaacjaphet1314
@isaacjaphet1314 2 жыл бұрын
Hii mnajisumbua kama unaona huwez acha toka... huwez pangia soko la online...
@raphaelpatrick1016
@raphaelpatrick1016 2 жыл бұрын
Pole
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Hakili hauna
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 жыл бұрын
Mmelazimishwa kufanya hiyo biashara? Mbona mnajitoa akili na kutaka kupangia watu na App zao? Fanyeni kazi nyingine.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Magu alishindwa kuzima moto wa wamiliki wa magari ya abiria mpaka anakufa au unongelea magu farao
@isackmosha4283
@isackmosha4283 2 жыл бұрын
Jitoeni kwenye hizo online transport
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Hpn hio n biashara tena nchin kwao
@erickmlyuka8719
@erickmlyuka8719 2 жыл бұрын
Poleni madereva ila niulize hivi vyombo vya usafiri ni vyenu hamkulazimishwa kujiunga huko, na kama mmeona hamna faida jitoe humo ubaki kawaida kuliko kulalamika hapa nakupoteza muda wa kufanya Kazi hapo
@erickmlyuka8719
@erickmlyuka8719 2 жыл бұрын
Kwani kabla ya hizi kampuni KUINGIA nchini si walikuwa Wanafanya KAZI zao kawaida kama Hawa wenzao? Sasa huu usasa walioukimbilia wakiona unafaida Leo umeanza kuwaumiza wanaumi na kugoma NIOMBE ikiwezekana waache wawe huru Ili kupunguza majukumu kwa MHE RAISI MAANA KILA KITU HATA VYA KUJITAKIA NI MAMA TUSAIDIE JAMANI VINGINE TUJIONGEZE ILA PIA TUWE WAKWELI KAMA KUSINGEKUWA NA FAIDA MSINGEKUWEPO HUKO MADEREVA WOTE NYIE HILO MBONA HATULISEMI? NAJUA HII CHOKOCHOKO YOTE NI BAADA YA MAFUTA KUPANDA NDIO MAANA SO TUACHE KUONGEA SANA TUWE WAKWELI
@mwesblind8990
@mwesblind8990 2 жыл бұрын
Amjaforce wa kujiunga na hizo app
@georgesamwelihuri7562
@georgesamwelihuri7562 2 жыл бұрын
Kama biashala haikulipi Kwanini unga'ang'anie huko,Kwani usijitoe
@raphaelpatrick1016
@raphaelpatrick1016 2 жыл бұрын
Pole
@romyrae_tz587
@romyrae_tz587 2 жыл бұрын
Sio biashara ya maandazi ii kwamba unajitoa tuu..
@raphaelpatrick1016
@raphaelpatrick1016 2 жыл бұрын
@@romyrae_tz587 Wengi wanaotoa majibu kama haya ni wale ambao hawafanyi hii kazi. Wanatoa comment kwa jambo wasilolijua
@abcxyz3740
@abcxyz3740 2 жыл бұрын
R.I.P Jpm
@kelvinkinabo8001
@kelvinkinabo8001 2 жыл бұрын
Umuhimu wahizo app utaonekana wakiondoka tukutane kijiweni
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Ahaaaaaaaaaaaaaaa
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Magu alishindwa kuyajua hayo mpaka anakufa
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 10 ай бұрын
Pumbavu sana 🚮
@muonambali
@muonambali 2 жыл бұрын
Hawa mabeberu hawafai kokote. Hata huku Marekani wako hivyo hivyo na madereva wanahoma kilasiku. Kuna baadhi ya majimbo madereva wa uber wamepeleka swala hili mahakamani ili waajiliwe kama wafanyakazi tena wenye benefits kama za wafanyakazi wengine maofisini. Ila unyonyaji wao upo kila mahali. Mbaya sana. Msichoke kupigania haki zenu.
@erickmlyuka8719
@erickmlyuka8719 2 жыл бұрын
Hivi ndugu unataka kuniambia bila kuwepo kwa faida Hawa madereva wangejiunga huko? Na je walilazimishwa kujiunga ama ilikuwa hiari Yao wenyewe na kujaza FOMU wenyewe? Leo mafuta yamepanda wanaitisha mgomo please TUACHE Kila jambo kuibebesha serikali TUJIONGEZE watanzania jambo ambalo hujalazimishwa kulifanya kama unaona hunafaida NALO liache! Lakini pia WAKATI WA KUINGIA mikataba serikali ilihusishwa? Au Sasa Ndio tunataka iingilie?
@muonambali
@muonambali 2 жыл бұрын
Unataka kuelimishwa ama ni mjuaji sadikika?
@philej
@philej 2 жыл бұрын
Kwani lazima ujiunge uko bolt au uber
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Shida
@bonifacebenedicto3138
@bonifacebenedicto3138 2 жыл бұрын
Hapo kwenye kumpigia makofi saasa 🤣
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
😄😄😄
@walidsultan7486
@walidsultan7486 2 жыл бұрын
Upumbafu kwani mmelazimishwa simfanye tax ya kawaida ama boda Boda kawaida
@raphaelpatrick1016
@raphaelpatrick1016 2 жыл бұрын
Pole
@abdullkarimmvungi2206
@abdullkarimmvungi2206 2 жыл бұрын
Df
@kelvinkinabo8001
@kelvinkinabo8001 2 жыл бұрын
Angalizo tu kama bei za hizi application zitakua kama za bodaboda wa kawaida au kukaribiana sana watu hawatotumia hizo application. Ndio maana ilikupenya lazima ziwechini kuliko bodaboda za kawaida.
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 2 жыл бұрын
Unaongea upuuzi nauli ipande na maisha haya nendeni mkalime
@erickdeus4177
@erickdeus4177 2 жыл бұрын
Huna akiri ww kaa kimya hujui chochote wenye vyombo tunaumia
@stephanolumato
@stephanolumato 2 жыл бұрын
Nunua gari yako hujui hata bei ya mafuta wala commission tunazo walipa
@romyrae_tz587
@romyrae_tz587 2 жыл бұрын
Usipende kitoga utaingizwa
@mwesblind8990
@mwesblind8990 2 жыл бұрын
Tafuteni abiria
@elvisbahati243
@elvisbahati243 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@elvisbahati243
@elvisbahati243 2 жыл бұрын
Bei
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Acheni mambo ya kijinga kwani mmelazimishwa? Nyie mmeenda kuomba kazi mmekubaliana wenyewe sasa uyo mama samia inamuhusu nini? Yaani raisi awache kazi zske awafate nyie?
@angelusmbawala7199
@angelusmbawala7199 2 жыл бұрын
Oya vipi ndungu unatembelewa mini wewe unakijua unachokiongea au limekutoka tu kama bao la shahawa goli la kwanza
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 132 МЛН