For sure I need to learn more about this country. I was born in tz mpanda but I am not Tanzanian unfortunately. I pray for this country. God save Tanzanians
@richardasiimwe37265 ай бұрын
Tanzania takes care of its people and leaders. Mwalimu Nyerere set the perfect example for the rest of Africa. GOD BLESS Tanzania.
@user-kh2bm4ug9t9 ай бұрын
Ni jambo jema sana kwani hata Magufuli alikabidhi Kikwete nyumba iliyojengwa na serikali safi sana alianza na umeendelea safi sana ❤❤❤❤❤
@florachogo2439 ай бұрын
Asante sana mh Raisi kumkumbuka mpendwa wetu Mgufuli.na Mama yetu Janeth . nimefurahi sana Asante sana ❤❤❤
@nyandwijeanbosco80415 ай бұрын
God is in Tanzania and life starts with u I'm happy to be your neighbor. Rwandan citizens we all know that Tanzania be stars 🌟 of ourselves as Africans.
@wanzambinya85014 ай бұрын
I am not Tanzanian, but may Almighty God bless u abundantly Prezo mama Samia. Infact in the world world, I loved Dr. John Magufuli with all my heart. Mtetezi wa wanyonge, Zero corruption Man, and above all man of great faith. I pray one day to meet u on the glorious morning, the day of Resurrection.. rest in peace JPM
@SuleyGodwin-eg1fh5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu Rais wetu mpendwa we love yu
@shaluamagandi21849 ай бұрын
Ni moyo wa upendo sana. Hongera sana Rais wetu. God bless you.❤❤
@profemmanuelmbennah55999 ай бұрын
Nimeguswa kwa namna ya kipekee na tendo hili na tukio hili. Asante sana Mhe Rais Dr Samia Suluhu Hassan. Mungu aendelee kukubariki na kuibariki nchi yetu. Balozi Prof Mbennah
@omwengajoseph42984 ай бұрын
Rais Samia Suluhu asante sana,your respected your boss former president Magufuli let God bless you so much.
@augustinsafari56995 ай бұрын
Asante sana mama raisi,una roho ya upendo.from Rwanda
@maernov42575 ай бұрын
Mama samia naomba na mm unijengee nyumba nipate kuishi na watoto wangu ❤
@user-sx2sz6sr8d3 ай бұрын
hhhhhhhhhhh
@benterokuom84644 ай бұрын
Hongera sana Rais wa Tanzania 🇹🇿 you're the best 👌🏽 👍🏾
@Chrisjosiah-xk9ds5 ай бұрын
Hongera Mama Suluhu Hassan, huyo Shujaa aliye aga baada kutumikia nchi tukufu ya Tanzania anastahili kukumbukwa. Asante kwa tendo hili last busara, hongera. Nimebubujikwa na machozi mama asante. Nilimpenda Magufuli na ninamkosa sana.
@mungaiwamungai73834 ай бұрын
I just like how things are done in Tanzania....my eyes are tearing to see how good deeds follow them that live to serve even they are dead!! This reminded me of the day the Late President Magufuli gave his predecessors ( former Presidents) Peacocks bird. Long live my neighbor country.... from 🇰🇪
@judithdonald20239 ай бұрын
Hongera sana raisi wetu mungu akubariki na mungu akakusimamie kwa Kila unachokifanya kwa ajili ya watanzania mpaka nimesikia mwili kusisimuka mama una upendo sana
@ustadhisimbula86229 ай бұрын
Mama yangu kipenz umefanya jambo kubwa kuwakumbuka walio tia mchango wao kwa serekali yetu na nchi yetu tanzania daima kaz iendelee
Dah...Mama amefanya kitu Kikubwa sana.Mungu mbariki sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan
@desderylasway98105 күн бұрын
Hongera cna mama nimelia cna kwa furaha❤
@muhetostylewilly58845 ай бұрын
God bless you Miss president to please the family of Magufuli. From Rwanda❤
@zissons36965 ай бұрын
Tz asante kwa mfano mzuri wa maadili mema na huruma kwa Mjane wa makufuli.East Africans hope you are learning sonething from our TZ counterparts
@nelsonandrew26389 ай бұрын
Ahsante mama samia! katika kulijenga Taifa ni vyema kuwakumbuka waasisi wa Taifa hili maana bila wao tusingefika hapa tulipo
@paulsavana56109 ай бұрын
Honngera sana Rais MSS ni vigumu Kwa wengine kutenda jambo kama Hilo.
@christinadominic9805 ай бұрын
Mama mungu akubariki kwa tendo hili kwa mama magufuli halijawahi tokea Mungu akusimamie popote ulipo maraika saba wainde mama yetu nuru yetu tuendelee kukuombea amina
@simionbirai78519 ай бұрын
Hakika wetu wa Taifa hakika nakupenda! Mwl.Simon Birai
@nyandwijeanbosco80415 ай бұрын
My best country in world Tanzania mungu awarinde Tanzania Tanzania Tanzania means life
@jackmsuya68429 ай бұрын
Nimekupenda mama❤
@zenakioga65679 ай бұрын
Maashaallah Mungu akuzidishie upendo na hekima raisi wetu, mama yetu mlezi
@aishaalbalushaishabalush82918 ай бұрын
kwani katoa kwa moyo wake au ndio sheria ya inchi kua kila rais akitoka madarakan lazma ajengewe nyumba au mnasahau kila rais akimaliza hua anapewa nyumba ?
@JonaTaus-gb3ep7 ай бұрын
Mama munguakubaliki sana zaidi ya sana.nimekupenda sana.RAISI wetu
@alphason60049 ай бұрын
Hatawaseme ila uyu ni mama mwenye upendo Kwa Kilatu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@richardbegga66799 ай бұрын
ACHA UJINGA hiyo ni Sheria inamtaka ajenge
@saidfhamad9 ай бұрын
@@richardbegga6679Sio sheria kaka
@user-gc1ez1yv4k5 ай бұрын
Mungu ameibariki.Tz kwa mengi tusiyoyajua.Rais anamjengea nyumba mke wa mtu !! Wanaostahili na wanaohitaji na wenye njaa hawajala achilia mbali kushiba.Mtu anampa mpita njia,bado raia hao hao wanakenua
@KhadijaSaid-vj9kh5 ай бұрын
Mashawah mungu awazidishie upendo mama samia hongera sana
@user-fm8dp7we6m7 ай бұрын
Hakika nimekubuka baba wa taïfa la Tanzanie pôle sana wa Tanzanie n'a mungu amulinde Rais wenu🇨🇩🙏
@novatuserasmi47445 ай бұрын
❤ karib Tz mkongoman😊😊❤
@idrissamustafabukenya61105 ай бұрын
Ni raisi wa inchi mwenye huruma. Laziyada sasa ni Mama. Nimependa sasa maneno haya. President John Pombe Magufuli.kaka yangu.Mulezi wangu, boss wangu.duhhh Mama asanti kwa kujali wajane na mayatima. Ubarikiwe mama
@user-ou2kw3rx3h9 ай бұрын
hamujambo Ndugu zangu wa tanzania, mimi ninapo hongeya hapa mimi ni mkongo, nikiwa Kinshasa, jamani, kipindi ninapo hona ngisi maman mweshimiwa Raisi jambo aliyo fanyizia jamaa la Raisi Pombe Magufuli, machozi yame nidondoka, si famiye katika ulimwengu huu tunayo, kupata Raisi kama Pombe Magufuli, kwakweli hayupo, mimi katika maisha yangu ya hubinadamu, kuna watu wawili walio nihacha na ubovu wa moyo, 1=} Raisi John Pombe Magufuli. 2=} Stevens Kanumba. kwakweli hao watu wawili vraiment, niwatu awalio nihacha nahubovu wa moyo,. kila mara nihendapo kanisani nawahombeya msamaha kwa mwenyezi Mungu azidi kuwaremu, na roho zao zizidi kupumzika kwa Amani ya mwenyezi Mungu, je kwetu sisi wa kongo si mutuhombeye tupate Raisi kama mzee John Pombe Magufuli ? Jameni. sisi hapa Kinshasa tuna washukuruni.
@damaspmtz10187 ай бұрын
Kinacho fanyika ni sawa lakini unafiki tulio nao ni mkubwa Sana ndiyo maana chochote mnacho kifanya akitufanyi kuacha kuumia Baba yetu Jonh Pombe Magufuri alikiwa na kundi kubwa Sana la kuwasaidia wananchi na vizazi vingi vya Tanzania kwa maono yake na utendaji wake kataika Taifa lake bila kumumunya maneno Ulijitoa kwa lolote Mwenyezi Mungu amtangulie nafsi yake hi ishi milele Amen❤❤❤
@user-in6dx2zy1b9 ай бұрын
Rais wetu Allah akupe maisha marefu❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@nyabuharajulian33065 ай бұрын
Tanzanian swahili is sooo nice .
@peteretlawe62695 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama ndio maana nakupenda Sana kiukweli inafurahisha sana
@josephinamkono51835 ай бұрын
Yani Kuna watu wanaishi Kwenye nyumba za makuti juu nachini mnaenda kumjengea nyumba magufur kwahio hawana nyumba Mungu anawaona
@user-dc1qh3nm5s9 ай бұрын
Asante mama tuko na ww ukitaja magu unaponya roho yangu
@SifaBushashire4 ай бұрын
Hooooongera mama samiya suluu mungu akuongezeye Siku zakuishi...🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@thomskasong28399 ай бұрын
God bless tanzania🇨🇩🇹🇿
@anastazialushika9 ай бұрын
Kwer mh rais unajal sana Hongera Kwa kumkumbk mama maguful
@alexandermutakha8829 ай бұрын
Inchi yenye utu,uzalendo,asante na heshima kwa viongozi.
@kennedykimaiwua19384 ай бұрын
Hakika jonn pompe makufuli alikuwa mtu wa watu ...ila mola awe nae kwa kona yy aliko watanzania wote hakika mlimpoteza kiongozi bora..ila mola awe nae...
@naishiyemollel9 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kumkumbuka mama yetu mama makufuli
@naishiyemollel9 ай бұрын
Mama Samia safiiiii sana songa mbele mama
@ramadhanhamzah28045 ай бұрын
Yaani mmuuwe alafu mrudi kumpongeza na nyumba upuzi mtupu we need magu back stop being fooled the tanzanian people
@anithawidambe75439 ай бұрын
MAMA SAMIA ASANTE SANA KWA MOYO WAKO
@Kawumah7 ай бұрын
DKT Samia Suluhu Hassan has a good heart❤.
@LuisAgostinhoMonteiro9 ай бұрын
Mungu amubariki sana raisi Samia suluh
@RajaburashidiKamsweka5 ай бұрын
Namunga mkono mama mkono kumpa nyumba mama janeti
@nkurunzizafidel20263 ай бұрын
serekali yatanzania safi ❤ wanyamulenge
@user-sg4dc3ow5x6 ай бұрын
Maashaalah hasbilah Allah akulinde mama etu Samia suluh
@GeradinaJohn6 ай бұрын
Nakupenda mama Janeth Magufuli❤❤❤❤
@shabansumaiya47704 ай бұрын
Tuangaliane nahuku vijijini hali za miundombinu nimbovu tunapata tabu mvua zikinyesha wakulima wanapata tabu kusafirisha mizigo yao inayoacha mupate kodi kwanini viongozi wachuni hawatembei kwenye vijijini navitongoji kujua hali zawananchi
@agnesmangale31639 ай бұрын
Upandacho ndicho uvunacho...Rip Magufuli❤
@LugelaMweya9 ай бұрын
Mama ame Fanya jambo jema Kwa msaada mkubwa Kwa mama janeti magufuli ame mtoa kwenye upweke ambao alikua nao Ivo basi tuwa pende wtu walio pata shida yoyote hile tuwa thamini Sana
@user-lq6hq4jr6t9 ай бұрын
Kumbe magufuli alikuwa hajajenga.mimi ni nani nijenge
@rosejohn84944 ай бұрын
we mjiga Jenga nyumba au hujui mweny nacho huongezewa hahahaha
@ImanueliNyela5 ай бұрын
Mungu.akubariki.sana
@user-jr6fc1xx6p5 ай бұрын
Huyu mama nampenda yaaan Mungu akutunze mama samia❤❤❤❤
@verombwambo37035 ай бұрын
Hongera sana mama yetu Mungu akubariki sana.
@naomiilikeyoursongmumgodbl67485 ай бұрын
Mama mungu akubarika sana kwa kukumbuka mama
@muhirebruno5 ай бұрын
Mama suluhu hassan mugu akupe Maisha malefu akumbuke mate matendo ya mikono yako ❤
@marthaanton69679 ай бұрын
Hakika hili jambo mama umefanya lamaana sn Asante mno
@ignasnyembo12568 ай бұрын
Haina maana yeyote selikali yako kujenga hiyo nyumba. Umemgeuka john halafu unadanganya uma kwa kujenga hicho kijumba
@NumberOneProductions9 ай бұрын
Mama Mungu akubariki
@davidlinerevelation34275 ай бұрын
Thank you maam
@asteriashios18525 ай бұрын
Kweli wewe ni mama mnzuri hao ma rais waliopita wakiwajengea waliopita labda makofuli
@user-lk5ln4fi8h9 ай бұрын
Kazi nzuri sana! Mama yetu.
@sifunimakongwa5 ай бұрын
Mama pokea baraka za yeah Mimi much Sifuni kutoka mkwawa chuo kikuu mwenyekiti uvccm mstaafu kilolo.
@khadijayusuph26344 ай бұрын
Siyo maamuzi ya Samia" Bali katekeleza walokwisha jipangia" k ama utakumbuka hapo nyuma alipewa Mzee Ruksa"mh Benjamin na hata Jk alishapokea yake"kwa Hy ni muendelezo
@FlorideUwamaliya5 ай бұрын
Mungu ababarikiye mama
@jumanzumbi12155 ай бұрын
Mama samia Mungu akubariki sana.
@user-ry8bx1fr7v5 ай бұрын
binadam ndiyo tunavotakiwa kukumbuka wame mungu akuweke mama😊
@hamudseif9 ай бұрын
Kwan magufuli ilikuwa hana nyumba ktk uhai wake. Ilikuwa wamepanga familia yake au nivipi
@ibel4lf9 ай бұрын
Alikuwa nazo ila sheria inataka ajengewe yeyote anayetoka kwenye uraisi kwa namna yeyote ile
@leokamil62849 ай бұрын
Hii nchi ya Mabepari weusi alafu majinga kusifia ,vitu vya kushangaza sana hivi .Raisi anatunzwa hadi kifo chake na bado familia yake itatunzwa na mda wote madarakani analipwa ati kisha anajengewa nyumba. 🚮wakati kuna watanzania wazee wanataabika huduma hospitali shida maisha magumu .Tuache kujilimbikizia mimali ambayo hamtazikwa nayo kuweni na hofu ya Mungu acheni ubinafsi nyinyi.
@hamudseif9 ай бұрын
@@ibel4lf Izo sheria wamejizitunga wao wenyew ili wajilimbikizie mali tu
@leokamil62849 ай бұрын
Wana sheria za kibinafsi na kikandamizaji na zimeshamiri Tanzania mno .Viongozi wanatamaa kupindukia hawana shida watoto wao wanaajira Serekalini humo wengine mawaziri alafu huwezi kuona ata wanaaibu wakasema hiyo ni sheria kandamizi.Hayo mahekalu mnayotujengea jengeeni vituo vya kulea wazee au watoto yatima .Kwa ubinafsi wao na tamaa za mali wanachekelea na kuona wajinga ndio waliwao .Siku CCM ikitoka madaraka tunaomba umrudishe mlivyojilimbikizia.Na hiyo ndio sababu kubwa mnapambana msitoke kwa kuwabeba wakuu wa ulinzi ili wasiwatoe lakini ipo siku watu watachoka dhulma na dharau zenu
@MariaStepheno-it5jp9 ай бұрын
Hata iwe gorofa bado naumia sana baad ya kufarki baba mambo mengi yalivurigika
@fransicmushenyera93029 ай бұрын
sasa Rais unanza kuingia kwenye hisia za watz unajua JPM anapendw na watanzania hakitokea mtu akampuuza anaumiza mioyo sasa unaelekea kuzuri
@jailosefelix63249 ай бұрын
Naomba rais wangu ambaye sijawahi kuona kasoro yake bali ni mpambanaji kila sakati kwa Taifa lake ,naomba mkumbuke mtoto mmoja wa baba yetu JPM aingie kwenye serikali ,either Ubunge na uwaziri !
@willibroadwilliam67984 ай бұрын
Kwa ilo Watanzania tumeshukuru sana.
@David-zb6kk9 ай бұрын
Naona mnavyomsifia huyo mama yenu utafikiri amemnunulia kwa pesa zake
@MaureenAdhiambo-el2ks5 ай бұрын
Huku kenya kuna chuki..sijui kama wanaeza jengea raila nyumba...
@hassanmfaume45225 ай бұрын
Kwani Raila aliwahi kuwa Rais hizi nyumba ni kwa marais wastaafu tu sijuwi huko kenya ipo sheria ya kujengea wastaafu nyumba😅😅😅
@rosejohn84944 ай бұрын
mwambien ajenge mwenywe
@kitsao-kb3qk9 ай бұрын
Nampongeza mama Samia suluu Kwa kitendo hiki
@rajabushaibu10684 ай бұрын
Yani wew mama ela za selikali ni ela zetu sasa kwann mnajengeana nyumba
@niyilagirarusibamayila10059 ай бұрын
Kwa niaba ya familia ya JPM tunakushuru Mhe. Rais kwa kutukabidhi jengo hili. Pia tunawashukuru wananchi wa Tanzania kwa kutambua mchango wa Hayati JPM kwa Taifa letu!
@mwalimumstaafu85295 ай бұрын
JPM utakumbukwa na watanzwnia daima milele.
@topfootballtrends65179 ай бұрын
Ameshindwa Kuyaishi aliyoacha Marehemu Jpm kutoa Nyumba ni Unafiki mtupu
@tomfoss96139 ай бұрын
Waouh!! Safi saana Mama Samia
@julianamwinami47395 ай бұрын
sijui nimelia Nini
@salummussa11395 ай бұрын
Pole juli
@julianamwinami47395 ай бұрын
@@salummussa1139 asantee 🙏🏿
@alexsambia30464 ай бұрын
Waooooh najiskia vzr snaa
@BalboAlain5 ай бұрын
Super sana maman
@EshaHamd-ed9yv7 ай бұрын
Peyaneni mali za umma iko siku mtajibu na masikini watunzeni majumba kibao bado munaongezana
@SifaBushashire4 ай бұрын
Mama ni mama🇨🇩🇨🇩
@AMENMUSHI-wt4li4 ай бұрын
Ubarikiwe
@channyanjen90479 ай бұрын
Unatuma😭😭Maman samia Allah azidi kukubariki kwakila jambo🙏🙏🙏🙏🙏
@donvanpierre43695 ай бұрын
hivi nyumba ya nyerer ndioo ile ile iliyojengwa n jeshi au ....