Sheikh Allah akulipe kwa kutuilimusha Allah akuzidiye akuzawadiye mwisho ulikuwa mwema akuzawadiye pepo yake kwa uruma wake na shukuru sana sheikh wangu
@AbdiIssaciilbaana-pf6ej4 ай бұрын
Masha Allah mawaidha mzr sana shekh wetu Nakupenda sana mpaka Nakuota kwa usingizini❤❤
@sakinasakku83404 ай бұрын
MAASHAA ALLAH
@abcmnbb26104 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah 😂😂😂
@MwanahawaaJuma-g7n3 ай бұрын
Hata mm jamani nampenda huyu sheikh kwa ajili ya Allah , Allah akujaalie kila la kheri hapa duniani mpaka akhera sheikh wetu najivunia kuwa Muislam