Inshallah mwenyezi Mungu akubariki Sana ipo siku katika uhai wangu nitakuja kuongea na wewe uje sehemu moja morogoro inaitwa mlimba uje uwapatie wa Islam wenzetu mawaidha hakika wewe ni mwalimu mzuri Sana asiye kuelewa hatakuja kumuelewa yoyote
@zamaradikipingu26282 ай бұрын
Jazakallah kheir Shekh wetu Allah akujaalie umri wenye kheir
@AndulHida-hs5py7 ай бұрын
Tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe mola akulipe Kwa Niya yako inshaallah
@halimaramadhan20007 ай бұрын
Jazzakah llahu kheir sheikh Othman
@Kmaryam7 ай бұрын
Shukran kwa darsa hili, Mwenyezi Mungu Swt akulipe malipo mema Allahumma Aaymin 🤲
@apexmombasa68097 ай бұрын
Ma sha Allah jazakallahu kheir
@husseinibrahim54387 ай бұрын
MAY ALLAH AZZA WAJAL REWARD YOU ABUNDANTLY SHEIKH UTHMAN MAALIM ALLAHUMMA AMEEN ♥️♥️♥️♥️ .
@husseinibrahim54387 ай бұрын
♥️
@AmiriHumudi-hn6pt4 ай бұрын
Mashalaah sheigh tunakupenda sn baba.
@shamzone3886 ай бұрын
Mash allah tabarak rahman Umetufundisha umetupa mawaidha mazur sana… Kweli maneno yako allah akuzidishie elmu zaid utueleweshe zaid na zaid Allahuma amin
@MuddyBenye6 ай бұрын
Maalim Allah akupe umri mrefu tuzidi kupata elimu
@RajabuLesali7 ай бұрын
Alah akupe umri mrefu utupe elmu mashaalah
@jamilahali-jg8er7 ай бұрын
Ma sha Allah
@Nora-v1m3p7 ай бұрын
Shukran jazaka llah kheir sheikh wangu nakupenda saaaana kw ajili y Allah
@a.8567 ай бұрын
Jazakallah khayran
@SudyTupa1Күн бұрын
Allah akupe umrimrefuwenye manufaa
@KassimMaulid-fb9pv6 ай бұрын
Innshaalla mwalimu mungu akulipe kwa darasa zuri
@19ddr7 ай бұрын
Mungu akubariki sheikh Othman maalim
@husseinibrahim54387 ай бұрын
ALLAHUMMA AMEEN
@KhadijaMbwana-kb8ib6 ай бұрын
Subuhhanallah mungu akubariki kwa ukumbusho ustadhi wetu
@amissishauri-eq7sl6 ай бұрын
Manshallah mungu azidi kukuifadhi my sheikh
@MwajumaKidaya6 ай бұрын
Allah akulipe kwa elimu unayotupa
@BiubwaPondo7 ай бұрын
Mashaallah
@AbdallahSalum-vi3tw6 ай бұрын
Manshaallah. Shukran jazila Hongera ķwa elimu unayotugea. Hapa Kinshasa nishawapa waislamu jina lako wale wajuao kiswahili wakutafute kwa U tube. Shida hapa wengine hawajui Kiswahili. Allah akuzidishie umri na akujalie thawabu Amiin.
@AmusedCanoe-vp3mq6 ай бұрын
Mashallah
@SaidKessi-be2gd7 ай бұрын
Sheikh Wang Allah ajalie mkuone live kabla kufa
@azizayassin36237 ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@azizaramdan58797 ай бұрын
Mashaallah mimi nammba Allah anikutanishe nae kwani inakuwa furaha sana
@AbdullahOmar-be4wy6 ай бұрын
Njoo Zanzibar
@ummysaabersaeedy81527 ай бұрын
Naipataje hii video kama ipo tiktok niambie
@SaidSaid-wh4ky7 ай бұрын
Hujataka tu ukitaka utaipata
@SaidSaid-wh4ky7 ай бұрын
Bonyeza share itume kwako kama what's app au unapotaka kuituma utaipata
@jamilahali-jg8er7 ай бұрын
Record kwa Sim yko
@AbdullaKhalfan-j3t3 ай бұрын
Sheikh osman naomba namba zako
@mustafamasudi80937 ай бұрын
Kwa nn wakristo wakianza kuelezea visa vya mitume wananyooka na wanaeleweka lakini waislam sisi tunachanganya mambo mengi mpaka mtu unashindwa kuelewa
@makenaOG7 ай бұрын
Usituzingue wewe hata hiyo historia ya yesu mwenyewe kwenye biblia haieleweki
@AbdallahMhandomwaimu7 ай бұрын
Kwanza ww sio muislam.ndomna huelw Sisi waislam.tuna elewa
@zuhoor-mc7hq7 ай бұрын
😢😢 subhaanallah...una jina zuri lkn ume comment pumba kabisa astaghafiru llah... Mawaidh ya shekh anaelewesh vzr na hatoki ndani ya mada ...anabaki haphp ..Sasa mtu km amegusia mfano swahaba Fulani ..humjui Ndio maan unaona anamuelez kidg ili mpate kuelewa lkn hatok ndani ya mada ..
@MaryamIssa-y7vАй бұрын
Hamia unakokuona kunakufaa au kunufaika kidunia na akhera
@MaryamIssa-y7vАй бұрын
Kwani uyo YESSU mbona hakuelezewa kwenye iyo bibble maisha yake kuzaliwa utotoni makuzi yake hatuwa na kwa hatuwa,mnaficha nn kwamba kondoo wenu watazinduka maisha yake yote yalifanana na Uislaam ndio maana kina Paulo wakawaletea matoleo mengine ya bibilia msiione haki.ata bibilia ilochakachuliwa Bado inaonesha YESSU aliosha uso wake na miguu kuingia Sinagogi na kusujudu mbona hamfundishwi makanisani.
@hamwetwese7 ай бұрын
Sasa bendera ya Tanzania ya nini na tena apo ni burundi 🇧🇮