RADDI TAKATIFU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN SOLOKA || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 6,767

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 178
@makamebakari7106
@makamebakari7106 3 ай бұрын
Allah awahifadhi Mashekhe zetu .kwani ukimpenda mtu kwa ushabiki hutoweza kukubali Haqi Allah akulipekheri shekh Muhammad Bachu
@AliKhamis-xb7et
@AliKhamis-xb7et 3 ай бұрын
Barakallah mwalim wangu tunanufaika wewe ndio ulonifunua macho toka unaaanza kunisomesha hadi sasa na tunanufaika jamii nami namuamba allah anipe elimu ya hakki na kuniongoza katika haki ili niwe ulamaa mkubwa hapo badae
@umarumzamidu
@umarumzamidu 3 ай бұрын
Ameen
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 3 ай бұрын
Aamina
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 3 ай бұрын
Shukran sheikh kwa elm jazakallakheir
@imperfektservantt-e8b
@imperfektservantt-e8b 3 ай бұрын
Muhammad Allah akuhifadhi kwa elimu unayotoa kwa umma wa kiislamu, kwa kiasi kikubwa toka nianze kufuatialia hizi rudud zako kwa Hasan Waziri Allah amuhifadhi pia nimegundua lengi lako kubwa ni kutaka kuondoa dhana ya salafi ni kundi fulani la watu na kuweka maana sahihi ya kuwa salafi ni kila muislamu atakayefuata Qur'an na Sunna kwa mafundisho ya wema waliotutangulia, hapo nakupongeza ila katika haya maongezi yako uwe unatumia maneno yenye kuheshimu pia unao waradd pasi na kuangalia wao wanakukashifu kwa majina mabaya kiasi gani, ukiliweza hili itakuwa umefaulu kwa kiasi kikubwa, Allaah atuafikishe sote
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xnikuulize kijana. Muhammad mafuta ALLAH subhanah wataalah.amuongoze. Ni salafi enyi watu wa red card ??
@naasibabuu
@naasibabuu 3 ай бұрын
Hichi ulichoongea ndio haki shukran sana
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 3 ай бұрын
Wallah manen yamenyook yanaelewak labda mtu awe nakibrii ...lakin naona weupe kabisa wa ubainifu ...Mwanachuoni kupewa udhuru ktk ijitihad nawala sio anapo fanya madhambi yakufuruu
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 3 ай бұрын
💯💯💯
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 3 ай бұрын
ALLAH KUPE UMRI MREFU TUNUFAIKE NA ELIM HIII
@hasnakid
@hasnakid 3 ай бұрын
Aameen
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Waislamu wenzangu naomba kujua al imaam Suyutwity Rahimahullah amepewa udhuru na ulamaa wengi wa ahlusunna au wengi wao wamemtoa katika sunna.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Shekh Mohamad bachu Allah akuhifadh na akupe Maisha marefu na akuepushe na hasad
@hasnakid
@hasnakid 3 ай бұрын
Aameen
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 3 ай бұрын
AMEEN YARABB
@maulidimuhani
@maulidimuhani 3 ай бұрын
MAJADIDA WATUMIKE KAMA UBAO WA KUFUNDISHIA ,tunakuelewa sana shekh wetu. Kassim mafuta akishindwa HOJA, anakimbilia kusema hamjibu mtu mwenye elimu ndogo ila akiwa na mwanya tu anasahau kama MASHEKHE hawa HAWANA Elimu anaanza kuijibu.😢😢😢😢😢
@binuqaasha675
@binuqaasha675 3 ай бұрын
Umeongea point kubwa sana. Hawaitambui ila wenye akili
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Naaaam umesema kweli
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Naaam Yale ni Mijadida kweli ALLAH aiongoze hii. Mihizbi salafi ilopotea
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
@@NuryaMusa wao wanamfanya qassimu mafuta kama hakosei na wameufanya usalafi ni kikundi masaafiqa waovu
@shekhmansoor5421
@shekhmansoor5421 3 ай бұрын
Alhamdulillah tunaendele kufaidika mwalimu wetu
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 3 ай бұрын
Sana ALLAH amuhifadhi sheikh
@abuuzunayrah3029
@abuuzunayrah3029 3 ай бұрын
Hawa MAJADIDA hawana elimu yaani Wanawachukia Waislamu wenzao kama hivi Subhanallah.
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 3 ай бұрын
Twende nao bachu, mpaka hakki ibainike kuwa majadida wanachafua usalafi
@SalumKarzai
@SalumKarzai 3 ай бұрын
Wachafuzi wa Dini ya Waislam
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu 3 ай бұрын
Kumpata mwalimu lever ya muhammad bachu allah amuhifadhi ni kaz kubwa saana majadida anawasugua elimu hawana hata hoja zao wanajibu kama inavyotakiwa kaz matusi tu
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 3 ай бұрын
Ushasema
@anwarsaid7627
@anwarsaid7627 3 ай бұрын
Sema sijui ndio mpango mzimaa
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 3 ай бұрын
Nyinyi ndo hamuelewi
@sadiki6576
@sadiki6576 3 ай бұрын
Pole sana
@IssaKilala
@IssaKilala 3 ай бұрын
Ukisema bachu hajui huko ni kujizima data hasani waziri hamuwezi kabisa huyu akhiy kwa kufutilia mambo Bachu atakuwa hajui kwa wale wanaojua zaidi yake sio akina hasani waziri
@abdillahsuleiman2278
@abdillahsuleiman2278 3 ай бұрын
sheikh bachu sasa muda umefika uandikie kitabu haya masail .
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 ай бұрын
Sahihi kabisa ili yajibike vzuur tukiona
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Naam swahihi tupo nyuma yake hata haya. Maswaafiqah majadidah hata yakimchafua
@abdulhamidyahya5904
@abdulhamidyahya5904 3 ай бұрын
Bora asisahau tofauti ya س na ص
@maulidimuhani
@maulidimuhani 3 ай бұрын
Naunga Mkono HOJA, shekh BACHU mutuandalie kitabu Cha HIZI Rudduud ili zibakie Kwa vizazi vijavyo. maana hawa MAJADIIDA Hapa wanatumika kama UBAO TU WA kufundishia.
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 3 ай бұрын
Jazakallahu khyrañ ....atakayeweza kunipa jawabu inshallah Allah amlipe: Nauliza ktk waliomkubali Al-imaam Ssuyutwi kuwa ni mtu wa sunnah, Shaykh Rabi'i ni miongoni mwao???
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
Hizi Raddi najikuta nazipenda bureee Muhammad bachu hem tuambiye kilabaada yasiku ngapi unaachiya miraddi kama hii niwekaribu na bando maana elimu inayopatikana hapa nikubwa mnoooo sitaki inipite
@musa123v
@musa123v 3 ай бұрын
ALLAH ATUONGOZE NA ATUTHIBITISHE KWENYE HAQI NINA MASWALI KWENYE MANENO YA IMAM SSUYUT ULIO NUKUU NIMEKUSILIZA HAPO KWENYE MANENO YA IMAMU SUYUT WEWE UNATAMKA KWA KUSEMA NI AYA KWENYE QURAN,SI KWELI BALI HAYO NI BAADHI YA MANENO YANAYOPATIKANA KATIKA AYA ZA QURANI KUNA TOFAUTI KATIKA YA NENO AU MANENO NA AYA Qurani 57:25 لَقَدْ أَرْسَلْنَا رُسُلَنَا بِٱلْبَيِّنَٰتِ وَأَنزَلْنَا مَعَهُمُ ٱلْكِتَٰبَ وَٱلْمِيزَانَ لِيَقُومَ ٱلنَّاسُ بِٱلْقِسْطِ ۖ وَأَنزَلْنَا ٱلْحَدِيدَ فِيهِ بَأْسٌ شَدِيدٌ وَمَنَٰفِعُ لِلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ ٱللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۥ وَرُسُلَهُ ۥ بِٱلْغَيْبِ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ قَوِىٌّ عَزِيزٌ Kwa hakika tuliwatuma Mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha CHUMA CHENYE NGUVU NYINGI NA MANUFAA kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mwenye kushinda. SWALI LANGU 1)JE:MTU AKITAMKA NENO HILO KATIKA SENTENSI "CHUMA CHENYE NGUVU NYINGI NA MANUFA " UNAWEZAJE KUMHUKUMU MOJA KWA MOJA KUWA KAFANYA MZAHA NA QURANI??????KAMA WEWE BACHU ULIVOMUHUKUMU IMAMU SUYUT KAFANYA MZAHA NA AYA ILIOMO KWENYE QURANI ????
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Na kuomba mayti nayo vip?? Umeona mzaha wa quruani tuuh.suyuti nani mbele ya dini ya Allah na mtume wake ww?? Kisa kuandika vitabu waweza fanya mema mengi lakini yakaporomoshwa kwa kufanya shirki I mtu mushiriki kafiri kama akifa akutubia et suyutwi suyutwi ni mtume huyu au swahaba kwamba kabashiliwa pepo akifanya mchezo na Akida au quruani utakwenda mbele ya mahakama ya Allah siku ya kiama na utahukumiwa kama wanadanu wengine, ndomana ukiambiwa siku hiyo ni ngumu sana Allah hatoagalia et Mimi suyutwi nilitunga kitabu ulimfanyia ushirika hukumu pale pale baba kwanza kuna kauli za wanazuoni zinazosema mwenye kumtetea mshirikina nae ni katika wao na asomkufurisha mshirikina nae ni miongoni mwao, kutetea kwenu hakutomsidia kitu kw a Allah kama aliomba hayo makaburi na hakutubia akutubia hukmu itabaki pale pale kama viumbe vyegine kama mtume kakemewa na Allah laiti ungenishilikisha muhammadi ningeporosha amali zako zote, Sasa sembuse huyo suyutwi
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
SHEIKH QAASIM MAFUTA HAPA LAZIMA AKIMBIE TU
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 3 ай бұрын
Hafidhwaka Allah 😊
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 3 ай бұрын
أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك
@AdamOsman-ur1lh
@AdamOsman-ur1lh 3 ай бұрын
Mashaallah ماشاء الله بارك الله فيك اخي
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 3 ай бұрын
Allah akuhifadhii na akupe umri tuzidii kunufaikaa
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 3 ай бұрын
Hhhhh yani kila ukiongea ndo wazidi kuonyesha ujinga wako eti Dr Islam ni mujtahid!! Duh
@abiabi9353
@abiabi9353 3 ай бұрын
Du huju jamaa ni jadida kweli. Wapi Bachu kasema Dr.Islam ni mujitahid?
@naasibabuu
@naasibabuu 3 ай бұрын
​@@abiabi9353amekomment bila kusikiliza
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Hawa si wapambe walovamia hiyo man hajji wakijuwa wamepatia kumbe wamepatikana walimu wao wanaelemewa hoja , washabiki kazi yenu kupiga debe ikiwa shkh wako anashindwa kujibu kuna haja gani ya kuendelea kuwepo kwenye man hajji kama hiyo?? Kwanza kibri tuh kimewajaa mngekuwa wataka hakki uthaymeen kawweka wazi kuhusu hiyo kikundi na dalili ni hizo hizo za kuwatoa waislamu kwwny sunnah wasostahiki na kuwatia upotevuni.
@husna34562
@husna34562 3 ай бұрын
Bachu tusomee Quran kuanzia juzuu aamma japo wiki mara moja
@MattarOnlineTV
@MattarOnlineTV 3 ай бұрын
Naam habiby nipo hapa kupata daawa
@AjmalTV-ng4yi
@AjmalTV-ng4yi 3 ай бұрын
Mashaallah alakhy Muhammad
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 3 ай бұрын
Siku zote batwil itatamba kwa muda mfupi kisha ipoter...lkni haqi iwe itakavokuwa itadumu biidhnillah na ndo linaloonekana hapa
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 3 ай бұрын
subiri utajibiwa
@OsamaKoja
@OsamaKoja 3 ай бұрын
Anaongea vitu havijui maskini
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 3 ай бұрын
Mbna munamkataa sheikh Rabee kama kweli munakubali maneno ya sheikh muqbil
@aishabiwott2413
@aishabiwott2413 3 ай бұрын
insha'Allah Raddi itaendelea mpaka haki ibainike...
@MariamUmande
@MariamUmande 3 ай бұрын
Nazani group la masalafiya jadidah wamelewa makosa yao
@AbulqassimAshirazy-yd7th
@AbulqassimAshirazy-yd7th 3 ай бұрын
Unadhania we kwa sabab ya fikra zako lkn Sio kabissaa. Atawateka nyinyi wasikilizaji wasiotaka kusoma dini wao kazi Yao ni kuskiliza mawaidha mitandaoni.
@MALELEMBARIMO
@MALELEMBARIMO 3 ай бұрын
Jibu hoja acha kununa😅
@IssaKilala
@IssaKilala 3 ай бұрын
​@@AbulqassimAshirazy-yd7thakhiy sisi tunasoma ila ni kweli baadhi ya mashekhe wetu wa masalafi wanayo shida ya kuwatoa watu ambao akida Yao ni suna lkn wanamuhizibisha hilo ni tatizo
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu 3 ай бұрын
Ss wanafunzi tunaina ukweli ukowap sheykhe m bachu watandike wapya hao na ufahsm wao
@babatchi9169
@babatchi9169 3 ай бұрын
Dah n7o7o wa sheikh Nasso amekwisha ni uzuni kumona m7o7o wa shekh akiwa ajielewi E7I ANA7OWA MANZILA
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Ww. Unajielewa. Pimbi ww
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Mashaallah
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 3 ай бұрын
Allah atuongoze ktk hakki
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu 3 ай бұрын
Wanajiona sahihi kumbe wanasahau kuwa hata ukiwatolea sallaam hawaitikii mpaka wakuangalie upo kwenye chama chao
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Naam. Hawa mahadadiyah ni. Sawa na misufi
@MahamuduMdoe
@MahamuduMdoe 3 ай бұрын
الله يحفظك
@pepoyangu
@pepoyangu 3 ай бұрын
The best part of all 43:58
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 3 ай бұрын
Mim hapo nilkuwa naomba mtupe faida kwani mujitahidi anavigezo gan mpaka aitwe mujtahid??
@mukhtar805
@mukhtar805 3 ай бұрын
Si ishaatajwa kwenye video
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
Et hivo vigezo ujaviona ???
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Kwahivi hawajakuelewa nawatakuelewatu nahak iwazi
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Muhammad nasoro bachu ukimcunguza umishawahi kumuona natabiayamatusi? Wanaotoa lughazamatusi? Si unawaona? Nakulingana na aya zaquran nahadidhi shekhe bachu anazotoa nakulinganisha nahaowengin Wewe mwenyew kulingana nahaa maswali utakavoajibu unawezakuona haki ikowapi na anaeiteteahaki ninaniiii
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 3 ай бұрын
hahahahahaah, majadija hamchomoki hapa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Mpaka kundi la bwana mafuta liondoke na kuacha kuwatoa watu katika uislamu na sunna
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 3 ай бұрын
Pili je haya maelezo kuhusu imamu suyutwi kwasisi awwaam haitopekea kumuona yy sichochote,pia sheikh bachu kwamsimamo huo suyutwi so muislam kwanini unasema Allah amrehem pale unapomtaja Bachu tupe msimamo sahihi tuitikadi vp kwa imamu suyutwi bainisha
@saidMahinde
@saidMahinde 3 ай бұрын
Uyo mropokaji kizabizabina hajulikani kasoma wap yy kz yak kutukana Wana zuon2 ndyo elimu ya kihzbi izo
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
Kweli ujadida ni upofu
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
​@@saidMahindena ukiambiwa kasoma wapi utafanya nini?
@saidMahinde
@saidMahinde 3 ай бұрын
@@SalimHamza-w4f usalafiy Ni mwangaza pia ndlo kundi pekee ambalo Allah kaaid kuto kuwaadhibu kwasababu ndyo wenye kuihaqiqi tauhid
@saidMahinde
@saidMahinde 3 ай бұрын
@@SalimHamza-w4f ndyo 2tagundu uhizb kautoa Wap Maana ata ajui anachokisema kina madhara gan Hana vpimo vy Sawa ata kidogo aka kajamaa haelewek
@abdillahsuleiman2278
@abdillahsuleiman2278 3 ай бұрын
Tunatak kitabu kwenye zile hoja za maulid na ktk hoja hizi vitabu viishi vizazi vijavyo vije kuvisoma
@maulidimuhani
@maulidimuhani 3 ай бұрын
Naunga Mkono HOJA, shekh BACHU mutuandalie kitabu Cha HIZI Rudduud ili zibakie Kwa vizazi vijavyo. maana hawa MAJADIIDA Hapa wanatumika kama UBAO TU WA kufundishia.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 3 ай бұрын
Really
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu 3 ай бұрын
Salafu hawana lolote is kujifanya washafika kwenye daraja la uchamungu usalafi sio chama achen kujipasisha ninyi mmekamilika?
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu 3 ай бұрын
Wameishiwa hoja majadida mwachek kijana bachu jibu maswali sio kumkejeli hayo ni maumbule yake unamdhukumu jibun maswali tuelimike sio kejeli
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 3 ай бұрын
A'fwañ na vipi kuhusu Shaykh Abdallah Humeid alipoitumia aya ya surahT Maida kuinasibisha kwa masheikh kuwa wao ndo wale wanyama walioharamishwa na Allah kuliwa....vipi hukmu ya hili jambo ni ipi ?? Mwanafunzi wake atusaidie jawabu kwa mujibu la msimamo wao
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Abdallah humeid ni pimbi. Tu. Hajielewi
@YasiniIdiba
@YasiniIdiba 3 ай бұрын
Umepanga vitabu kama vile unajipya kumbe mtoto wa ibtidai
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
🤭🤭 Mijadida kwa uzushi ALLAH awaongoze angeishia ibtidai. Urasa angekimbia 😅😅😅
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad 3 ай бұрын
IKIWA MTAMTOA KWENYE SUNNA SHEKH MUHAMMAD IMAMU KWASABABU YA KUSAINI MBONA MTUME ALISAINI MKATABA KWENYE SULUHU YA UDEIBIA ?? SASA NYINYI SIMTAWEZA KUMKUFURISHA HATA MTUME ???
@Abuusaad-uy5cx
@Abuusaad-uy5cx 3 ай бұрын
MASALAFI JADIDA WANA ILMU SANA KUKULIKO BACHU...WANAELEWA WAKIWATIA DOSARI WANAZUONI WA KISUFI ...WENU WAKIWAHABI HAWAPONEI KWA MAKOSA MENGI TU TENA MENGINE HAYASEMEKI MBELE ZA WATU...
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
🎉wew inaonekana ni jahli ha 0:22 ta dini hujui hata kinachoendelea inaonekana ni mtu ambae upo mbali na hakki kidogo.
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
Inashangaza na unasikitisha. Wote Mawahabi Mmesoma maka,Lakini chaajabu mmerudi Tanzania manaanza kutoana kwenye dini,kila mmoja anamuona mwenzake sio Mwislaam!!,sasa huko Maka ni mnafundishwaga dini au mnafundishwa kutoana kwenye dini!!? Sas
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 3 ай бұрын
Wewe kalale tu ndugu angu
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
@@ShamsudeenOmary Angalia usije ukajilipua maana hiyo itikadi yenu imepitiliza!.
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 ай бұрын
Sahizi wanatiana moton wao Kwa wao
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 3 ай бұрын
@@IsmailSanga itikadi ya nani sas!
@bacteria5184
@bacteria5184 3 ай бұрын
Majadida hawana hoja wanatengana kisa kakaa na muislamu mwenzake eti hizbii.dalili yao ni shee flani kasema.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Mpaka wakae sawa majadida Na bwana mafuta ipo siki atajibu
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Bwana katelephone mafuta yakupikia nimuoga. Awezi. Jibu anawaonea akina duktur Islam Muhammad ALLAH Amuhifadh.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Kwahiyo hizi raddi mwisho wake lini masheikh wetu? Tunajua wanazuoni walikuwa wakosoana kwa haqqi lakini saivi nyie mnatukanana sio2 kukosoana ndio maana kuna wakati mnaweza kukutana na hamsalimiani wakati wote ni waislamu Allah atuongoze katika kheri.
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk 3 ай бұрын
Mpaka MAJADIDA wakimbie😂
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk hatar sana
@azizisulay6005
@azizisulay6005 3 ай бұрын
​@@Najma_Mbarukbachu aache uhizbi, ndo itakuwa vizur
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 3 ай бұрын
​@@azizisulay6005 majadida nao wa ache ujadidaa ...
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 3 ай бұрын
Mpaka hakki ibainike kuwa majadida wanachafua usalafi
@azizisulay6005
@azizisulay6005 3 ай бұрын
ila bachu anachekesha aise eti Dr islam naye ni mujtahid, naomba kwanza bachu umutetee Dr islam katika hadith ya sheitwan na Abu huraira, eti yafaa kuchukua ilmu kwa sheitwan, haaahaaa uhizbi mbaya kweli, bachu aache ushabiki hoja zake zote zishajibiwa na Sheikh Abul Abas
@bacteria5184
@bacteria5184 3 ай бұрын
Huyo shee mafuta mbona anaogopa kujibu au kashindwa?anajificha tu.
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 3 ай бұрын
kasema hamjibu
@bacteria5184
@bacteria5184 3 ай бұрын
@@mahfoudhcalender2747 kwahyo hataki tujue ukweli uko wapi?
@OsamaKoja
@OsamaKoja 3 ай бұрын
Huyu dogo wanao msifia sio watu wa elimu ndomana wanamsapoti Ukiwa na misingi mizuri unagundua kila anavyozidi kuongea ndo ukomo wa akili yake ndogo unafkia . Akae chini sku moja ajifkirie wallah anapotea . Anaongea vitu asivy vijua Ila kwa watu wanaopenda mijadala hamna shida Ila mm naamini wallah ipo siku atakuja kukwama .yetu macho
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg 3 ай бұрын
Wew mwenye elimu darsa zako ziko wapi???
@OsamaKoja
@OsamaKoja 3 ай бұрын
@@hudhaifahsadru-xr2gg me sio mtu wa mijadala akhi lfaadhwil Endelea tuh kushabikia Me nakuombea Allah akufanyie wepesi uje uipate misingi sahihi hutakuw ivyo . Izo qadhia wakat znatokea mm nimezfwatilia kipindi kile kile ndomana nasema mtt wa bachu anaongea vitu havijui . Ila kwa sababu kataka ushekhe amna shida achkue tuh . Ila ukisoma vizuri taarikh kuanzia baada maswahaba kuondoka Utaona watu wengi ambao walikaa kimya kwenye fitna walisalimika na wale walokuw wnaziamsha fitna walidondoka NA ALLAH NDO MJUZI ZAIDI ASSALAM ALYKM
@allywaziry6419
@allywaziry6419 3 ай бұрын
Sijui kama bachu anaelewa level ya dini mpaka mtu akaitwa ulamaa au Imam kama suyutwi, sijui kabisaa kama mizani hiyo unaifaham wewe.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Akhy,Muhammad Imaam level ya ulamaa kafika lakini kufikia elimu ya Suyutwty ni kipengele kingine
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 3 ай бұрын
Tufanye hajui, haya tusaidie wewe tunasubiri
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 3 ай бұрын
​@@Hamis-ks1sycan you please explain this??
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 3 ай бұрын
Ata wakristo wana mitume yao huyu ni Ulamaa wa masufi wanaoabudia makabur na kuhuwisha bidaa km ww ni sufi tuje tu ustuhangaishe
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 3 ай бұрын
​@@mobilespecialschool4216 😅😅😅😅
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 3 ай бұрын
Duu huyu jamaa anatakiwa asome sana bado ni mjinga katika elmu hajafahamu
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 3 ай бұрын
Ebu toka hadharani tukuone ni nani na iko kiwango gan elim yako usitoe tu comment kwa kujificha
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
Mfano wap hajaelewa?
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 3 ай бұрын
ujinga wake niupi
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 3 ай бұрын
mbn shekh wenu anaandika barua km zaposa atokee tumsikie
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Hayo ni maneno ya mipasho kwa wale waliokosa hoja
@saidMahinde
@saidMahinde 3 ай бұрын
Mpotoshaji mropokaji bachu umesoma wapi kaka usalaf NA wewe wap NA wap. Wewe unafahamika kua Ni kizabi zabina unamtetea Dr islamu NA barahiyani mbona uwajibii walio ulizwa kama unania ya kuwasafisha mahbi wenzio
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
Wewe unachokijuwa usalaf ni kuendana matakwa ya mabwana zako wakina mafuta
@saidMahinde
@saidMahinde 3 ай бұрын
@@SalimHamza-w4f nachokijua nikuwaheshimu wanazuoni kwa dhaman walio pewa NA Allah mahzb mumeshindw kuwaeshim munamuwa kuwatukana sasa waz waz
@naasibabuu
@naasibabuu 3 ай бұрын
Hata masufi wakishindwa hoja na sheikh Qassim huwa wanasema hana elimu
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 3 ай бұрын
@@naasibabuu sis atujasema Hana elim
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 3 ай бұрын
assalam mbn sauti jamna au ni cm yangu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Simu yako akhy
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Bachu ww ni simba wa allaikh katika kuvunja batwil, nimekuskiliza mwanzo mwisho, wallahy majadida warudi katika hakki, yani mpk viungo vya mwili vinasisimka na vinakubali hii ni hakki toka kwa ibn bachu wallahy kama wakitaka uwongofu warudi katika mstari wa sawa waache zile hurka zao ,na kama wakiendelea mambo hayo utasema Allah kawahukuhmia upotevu kwa kufata matamanio,kulu jahaa lhaku wazaka lbawil ikija haki batwil huondoka na haki utaishi mpk kiama haviwezi dondoka, yani wamemtetea mtu alobeba kufru na bidaa kibao zinazomtoa kwenye dini huyo imamu suyutwi, na kuwatetea bidaa na yemwenyewe kuzifanya et wanamtoa katika sunnah shk muhammad imamu, salaalala !!! ! Sasa kwa maelezo ya hayo nloona muhammad imamu kosa lake dogo sana, wamemdhulumu kuliko huyu mwenye mijanga na makufuru whiiza wtu wasome vitabu vyake kwamba bado ni salafi.subuhana llah hawwa 😂watu ni matamanio ndo kinachowapelekea kuwadhulumu watu wasostahiki kudhulumiwa
@issayassin2499
@issayassin2499 3 ай бұрын
ليتك سكت إذ لم تعرف أيها الفتى
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 3 ай бұрын
Acha fitna wewe
@muhammadabushehe359
@muhammadabushehe359 3 ай бұрын
Hivi vikao viwekwe namba
@ashekhajabir2469
@ashekhajabir2469 3 ай бұрын
Mashaallah
RADDI TAKATIFU KWA MAFUTA NA KIBARAKA WAKE SOLOKA || Muhammad Bachu | 11/8/2024
1:01:58
SHEKH QASSIM MAFUTA UNAMUOGOPA DOKTOUR ISLAM HUWEZ KUMJIB#العلم_والحكمة #muhadhara #fypシ゚vira #sub
10:00
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 3,9 М.
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
TARAWEHE JUZUU YA NNE | 04 | MASJID YUSSUF MIGADINI || MUHAMMAD BACHU | 1445.
24:08
Usalama wa ndoa - Sheikh Nassor Bachu
39:31
Islamic Kindness
Рет қаралды 2,2 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 64 М.
Upungufu wa ilmu ya Muhammad Bachu kwenye funga ya arafa
17:48
Maawy Muhammad
Рет қаралды 53 М.