Nabarikiwa sana mtumishi wa MUNGU unamafundisho mazuri sana❤❤❤
@JulianaNdashikwaMsonga3 ай бұрын
Amen, MUNGU Aliye hai Awabariki Sana.
@jacksonmaro-b1r3 ай бұрын
Mungu ponya watoto wetu ni wewe tu unàweza yote hujawai shindwa kamwe. 🙏🙏
@FauPetroАй бұрын
Amina
@kizandume30152 ай бұрын
Asante sana baba kwa ujumbe mzuri mungu azidi kukulinda
@kizurikinaua22422 ай бұрын
Amina🙏
@dennymahika3 ай бұрын
Amen Mtumishi
@ZulehaMyagila3 ай бұрын
Ameeen Mungu akupe maisha marefu zaidi
@Aloyce-g5s3 ай бұрын
God bless you 🙏🙏🙏
@denisbongore30983 ай бұрын
Pasta abiud nakupenda sana mchungaji wangu nakupata nikiwa kenya
@LeahBahati-j8o3 ай бұрын
Mungu.akubariki
@ConsilataRobi3 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@DaudiPaul-f3d3 ай бұрын
❤❤❤
@Rashid-vm1fk3 ай бұрын
Hapo mwenye wig nae anashangilia,Ee Mungu tusaidie na kizazi hiki Cha mwisho
@jamesbenjamin-kp4xc3 ай бұрын
AMINA
@DaudiPaul-f3d3 ай бұрын
Tumebarikiwa saana na huduma Yako Mtumishi
@jamess.gazigile5916Ай бұрын
Hii ndiyo Injili ninayotamani watu waisikie, inafungua vifungo, inaokoa, lihimidiwe Jina la YESU KRISTO, barikiweni zaidi watumishi mliotumika kuandaa Mkutano huo na Mchungaji Abiudi kukubali kutumika kuwafikia watu ambao Mungu ametulidhia tuisikie Injili yake.
@daudikapange92033 ай бұрын
haha dah jichanganye kila kitu biblia inasema hhh
@jamesbenjamin-kp4xc3 ай бұрын
MUNGU TUSAIDIE PONYA TAIFA LETU, PONYA WATOTO WETU
@kingtaro-rv7sn3 ай бұрын
Sema baba tupone
@AbigailGlory-p4k3 ай бұрын
Kwanini waumini hushangilia nakuchekea ujumbe kama huu? Maana nikilio tupu kwa vizazi vyetu leo, niheri tuanguke magotini tumlilie mungu aturehemu na kutuepusha na janga hili.