Kwa Wanao Mfahamu DIZASTA VINA Wataelewa Kuwa Huyo Jamaa Ni NOMA SANA🔥✊🏾
@saidcoutinhophillipe18452 жыл бұрын
huyo mwamba NI Zaid ya Moto WA shaba yaaani Noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@Arapmisemo2 жыл бұрын
Hana mfano
@worldhappiness11812 жыл бұрын
Dizasta hatotokea tz, one among the best stor teller in the world
@boemidoke082 жыл бұрын
Kabisa yule ni jini
@danielkenedy43572 жыл бұрын
Fact bro
@decotz39472 жыл бұрын
Saana bro huyu Rapcha kakosea kumtaja hapa
@amriharuna42362 жыл бұрын
Kwa Rapcha anafanya HIP HOP anarap tu ambayo hata kwenye sebene ipo pia RAP
@alfredsoso90702 жыл бұрын
kutoka panoramaaaa
@abrazo26392 жыл бұрын
Rapcha kwa dizastaa umepuyanga mzee humuwezi kabisa that guy is a genius
@xhamzy2 жыл бұрын
sawa
@mswimaboaz56572 жыл бұрын
Dizasta dunia nyingine 🔥
@cayzzertech2 жыл бұрын
Huyo dizasta ndio nan
@cayzzertech2 жыл бұрын
Mm cmjui
@alfredsoso90702 жыл бұрын
dizasta ni jini kaka
@molenialex48252 жыл бұрын
🗣🗣Kwa dizast vina ametukosea sana na ameyakanyaga kwa dizast vina ni next level kabs sio level zake hata kidogo
@callmelwizz5532 жыл бұрын
Nobody is safe 4 Style yangu ime inspire the culture ime inspire the nengos, the shoulins, the nachas, the boshos, the killer, the maarifa, the rapchas nimeacha DNA hata nikidanja sina deni tena
@yascoguidezanzibar59252 жыл бұрын
Hii ipo kw dizasta?
@callmelwizz5532 жыл бұрын
@@yascoguidezanzibar5925 yeah man iyo unaipata ndan ya nobody is safe 4 ya dizasta
@ibrahimusuphian4542 жыл бұрын
Masta na sumu Ka Kobra Simba wa wateranga na nguvu zaidi ya drogba salute
@alfredsoso90702 жыл бұрын
kaka inatosha utauaaa
@ibrahimusuphian4542 жыл бұрын
Eyo kutoka panorama nasukuma ringi kisomi mana wakufanya hivi simuoni na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni Kwa mistari mingi kushinda ata nzi sokoni
@heliudjulias77482 жыл бұрын
Rapcha namueshim kwa kazi zake kari rakini kumdisi DIZASTA hawezi zile levo noma asikie no body safe
@husseinmassawa71862 жыл бұрын
Bongo kwa showbizz mnaziweza kweli, apo tunajua wote walishakaa mezani ili wainue mziki wa Rap, ila best of rapper bongo ni mmoja tu DIZASTA VINA
@wakijivu85622 жыл бұрын
haipngiki
@hassankambwili9572 жыл бұрын
Hakuna kama zuzu
@charlesbundala65232 жыл бұрын
😂😂😂 Kama ulikuwepo
@georgeburchard48722 жыл бұрын
Huu uchambuzi umeenda shule kweli kweli! Bro Sky huna mpinzani aisee
@mudybugu79082 жыл бұрын
Kaka Sky kwanza fanya mpango ufanye interview na Dizasta maana Dizasta ni wasanii sio msanii.
@g_eazmusic13292 жыл бұрын
Rapcha naomba uombe pooo tu kwa Dizasta vinna uyu Alitaka kuwa nabii sema ana wema wakutosha 😂😂
@byronbornventure39572 жыл бұрын
Nkubar..
@saidcoutinhophillipe18452 жыл бұрын
hapo kazingua sana rapcha Bora angetulia au kuwadiss hao wengine2 ila co DIZASTAVINA hapo kakoleza Moto WA mkaa WA nawe kisha kuweka chumvi ya madonge
@yakoboesenga57542 жыл бұрын
Fans wa rap rapcha sugu from usa 🇺🇸 Portland Oregon
@eastlule20812 жыл бұрын
Am fucking dizasta fan for life
@reeckstar9312 жыл бұрын
My top ten hip-hop artists 1.dizasta vina 2.dizasta vina 3.dizasta vina 5.dizasta vina 6.dizasta vina 7.dizasta vina 8.dizasta vina 9.dizasta vina 10.dizasta vina
@nasibumwigane68542 жыл бұрын
Ehh cana
@kiduaalute6032 жыл бұрын
Naqubali
@dismasmushi93282 жыл бұрын
Kwishaa mkuu dizasta n mambo mbayaaa
@phiniasntem2442 жыл бұрын
Kama wanakataa watafte nyimbo zake hyu raia n mtu mwingne
@jrjunior9982 жыл бұрын
Hata babutale alikuwa na list
@aissaleekimondoboy2 жыл бұрын
Sio kwa dizasta vina ile ni future ya dogo rapcha dizasta ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@cosbytz23702 жыл бұрын
Rapcha kachokoza mzinga kwa Dizasta
@alfredsoso90702 жыл бұрын
atakufaa uyu
@jameschumbula73512 жыл бұрын
Dizaxta Akir nying czan kama ana muda huo🔥🔥🔥
@godwinananias53582 жыл бұрын
Kwa Dizasta Vina amejichangny sanaaaaaaa 😅😅
@abrazo26392 жыл бұрын
Kajichanganya kweli uyo dogo hamuwezi dizastaa hata aandike kwa miaka ishirini
@michaellutonjagospelsinger66112 жыл бұрын
Watu waoga nyie
@lampadshigonko30062 жыл бұрын
bro unajua kuchambua.. salute sana
@hafidhali43362 жыл бұрын
Sky✌wewe ni teacher
@patriciatumain1722 жыл бұрын
Rapcha nomaaa much respect to WANAGU 99 #RAPCHA
@xuperansu2 жыл бұрын
The best media for me SNS forever 🔥🙌🙌🙌🙌
@mudybugu79082 жыл бұрын
Album 3 za Rapcha ni Sawa na Ngoma moja ya Dizasta Vina
@alfredsoso90702 жыл бұрын
kabisaaaaa
@gregorymsetule44732 жыл бұрын
Ukwel mtupu 🤣
@magnificententertainment93282 жыл бұрын
Promising na upcoming ni vitu 2 tofauti. Huyu ni Promising....na Promising sio chipukizi....upcoming ndo chipukizi...
@starford2 жыл бұрын
I like how you break down these lyrics Sky. You really dig Bongo Hip-Hop
@etiennezango91802 жыл бұрын
Sky, for real Nipo 🇺🇸 na SNS na Millard Ayo ndio sehem mbili nina enjoy kusikiliza, big up bro.
@samwelipaul90142 жыл бұрын
State gani?
@maryammussa20022 жыл бұрын
Same as me
@shaphyvuai68052 жыл бұрын
Asante Sana brother sky... Angalau nimelewa nilikua najiuliza maswal mengi bada ya kuskiliza huu wimbo
@strong85342 жыл бұрын
Brother Sky, mbona kama unachochea kwa mbaaaaali 😂😂😂 (hapo kwa Dizasta)😂
@sevystaronedancer17852 жыл бұрын
Ila rapcha yupo sahihi ,ila hii ya kumudiss Dizasta vina hapa kapotea njia ,mana dizasta ni mkali na ngoma zake ni kal sana
@geefire88262 жыл бұрын
apo atuzungumzii ukali ingekuwa m2 akikuzinguwa bx umuache2 kisa nimkalii Eshima isingekuwepo nakilam2 angekuwa anakaa naki2 moyoni alfu ukumbuke apo hajadiss m2 apo kasema ukweli unao mkela😏
@gembesimba2 жыл бұрын
Dizasta Ni Bora Ila ameyumba Ktk Watu wanaomdis rapcha yeye Kasapot ndomana kamchana hip-hop haina Unafki
@einsteinmboje47302 жыл бұрын
Me Hata Sijaelewa Shida Ya Young Lunya Iko Wapi Hapo ...Huyo Itakuwa Ana Personal Beef
@kalziidazamba28622 жыл бұрын
Uyu babu tale nae kakosea kwa uwezo wa rapcha sio wakuwekwa kwenye hii list..uku kwetu mozambique🇲🇿 mbona tunakubali uwezo wa rapcha hasa katika ile ngoma yake ya lissa.. daah..🔥🔥
@princemichael30232 жыл бұрын
Mchukueni
@guccij62362 жыл бұрын
Napenda Sanaa mziki wa Diss
@kibwamoko87672 жыл бұрын
Katika Dunia hii hakuna Emceee kama Dizasta Vina. Hao akina Rapcha wote IQ zao hazimfikii Dizasta. Dizasta ni another level
@kelvinkomba2938 Жыл бұрын
Dizasta is the next level to rapcha so heshima kwakeeee,,,eventhaugh tunaheshm uwezo wa rapcha,,,
@Makavelithedon20862 жыл бұрын
*Rapcha kachokoza pabaya Dizasta vina sio wa nchi hii ategemee diss track back*
@raymondtsumah64102 жыл бұрын
Nikama ulijuwa😂😂😂
@charlesbundala65232 жыл бұрын
Kwakwel diss track hyoo sijui rapcha atajibu nn
@johannesjoseph74962 жыл бұрын
Daaa hawezi jibu...hakijibu atakua anatafta tu aibu
@maulidubaya2 жыл бұрын
Rapcha kauwa banaa kasema ukwel wake sio msanii chipukizi kwasas apewe heshima yake ila wabongo atuangalii ilo tunaona kama katafuta kiki lakin kwa upande wangu namtu ambae anamwelewa Rapcha na mziki wake nisahihi Aaaah mm sina shaka nawew Mwanangu 99
@abdallahkassim3182 жыл бұрын
Belle 9,song WATU, wacheni mambo mengi
@brightvatta2842 жыл бұрын
Heshima sana SKY... Respect!
@Damiantuby2 жыл бұрын
Rapcha kajitahidi, ila Kwa mtu kama Black maradona hata ikitokea kajibu diss Rapcha anaweza asielewe kama kajibiwa🚶🏿♂️
@Jitu_Lisilofikirika. Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@musicworldwide26252 жыл бұрын
DIZASTA NI MOTO MWINGINE BONGO
@GamechangerTz2 жыл бұрын
Umetafsiri Izi bars vizuri sana Anko Sky ata km vingine hujaviaddress vile Rapcha May be alikuwa ametarget viwe ila kwa karibia asilimia 90 au zaidi kilichoimbwa mule ndo kitu ulichokitafasili 🙌🙌🙌🙌🙌
@salashbooben55632 жыл бұрын
Shukran sana bro sky Yani nmeskia hii track ila skua nimeelewa kitu hata kimoja Ivi naelewa mwanzo mwisho🙏🙏
@bajosdamour23472 жыл бұрын
Swa swa niliuskia wimbo ila siku Uelewa vizuri Asante #Sns
@elibarikilukasimakala55342 жыл бұрын
Prof Tungo sio level zako kk
@duweetherapytalk46562 жыл бұрын
KWANI BABUTALE YE NANI ATOE LIST
@m___ck7992 жыл бұрын
I like this guy..I only follow him and Mwana FA katika rappers Tz 🔥
@tommytyga44172 жыл бұрын
Sema huyu chalii kama kachokoza nyuki hamjui Vina vzr
@decotz39472 жыл бұрын
Kumchama Dizasta ni kushushia heshima mistari
@taseni_vevo2 жыл бұрын
Kabisa 😁😁
@mzirairebeca99962 жыл бұрын
Brother sky hivi hata hao wanaojiita wameishi chicago wanashindwa tafasiri promising? Of course promising inaweza maanisha chipukizi ila hili neno linawafiti hao madogo hata marioo na ukali wake bado ni promising sababu ni talent kubwa zinazoonyesha ukubwa mbeleni. NB: Waambie waache jishauwa na lugha za watu ka terminologies ndogo ndogo za washinda wawe tu waswazi ka sie na huo umarekani wao.
@kijokombao53452 жыл бұрын
Hakuna maana ya hip-hop hapo tatizo ni utoto tu,lakini disaster ni bonge la mtu
@motrathefuture2 жыл бұрын
😂😂😂 chapcha bhana
@adinankojulianko2192 жыл бұрын
Show Respect Mzee, Chapcha ndo nn Kakuzidi Parefu sana huyo Jamaa 164K subscriber's. Una 20.9K Still Bado unazngua
@lutegochangarawe4122 жыл бұрын
Ahsante kwa uffanuzi brother sky umebadilisha ulimwengu wa Giza kuwa Nuru🙏🙏🙏
@zombiiUpdates2 жыл бұрын
Rapcha katoka kwa story teller songs alafu anataka ku mdiss baba ake story king
@kayjuma26292 жыл бұрын
Sky umeelezea poa kama ulitunga nae vile 🔥🔥🔥
@barakastephan94252 жыл бұрын
Hapa kwa Dizasta, rapcha kaingia chaka😀😀😃
@g_eazmusic13292 жыл бұрын
Kwa Dizasta apo kweli ame jichanganya
@richardmwabe80652 жыл бұрын
Sanaaaaaa 😅😅😅😅
@wilonjabikey82742 жыл бұрын
I love it aaaaaah
@alllymadulago72002 жыл бұрын
dizasta vina ndio future yako....dogo kuwa na heshima
@iam_INGWEE2 жыл бұрын
Eti Dizasta Vina, ni kama kujipeleka kichinjio mwenyewe
@micochazi91532 жыл бұрын
Ebu kwanza acheni kumtaja dizasta kwa vitu vya kikuma
@CosmasJoseph-p1h9 күн бұрын
😂😂😂
@MrLionVictor2 жыл бұрын
dah uchambuzi umenyooka! media bora sana
@Kingsagey_2 жыл бұрын
Sky fire kaka niuchambuzi flani mkali
@_maky262 жыл бұрын
Mzee yani huyu dogo umejichanganya dizasta siyo level zake kabisa mzee
@mzenjikichaa86952 жыл бұрын
Nakubali sana rapcha
@mtangananjia57592 жыл бұрын
Sis wengine tunamjua rapcha kitambo tokea freestyle za kisanga sasa utasemaje chipkiz tunamjua tokea mwaka majuzi
@fancebtz10712 жыл бұрын
Hawa wamemjua kwenye lissa hawajui kitu😁😁😁
@darkrhymes29272 жыл бұрын
Rapcha bado Sana kwa Dizasta! Dizasta is our culture!!
@fredymushy96742 жыл бұрын
Upo vizur Fred big up broo endelea ivi tupo pamoja....99
@asad_92532 жыл бұрын
Kukubali maoni ya watu haimaanishi ndo uhalisia uko hivyo. Huwezi kukuta Tajiri anaforce aitwe Tajiri. Ila kazi zake zenyewe zinaongea. Kama kaifanya hii ngoma kwa userious basi atakuwa yupo kwenye msongo wa mawazo na anaweza jikuta ana haribu mahusiano na watu wengi amabo yupo nao industry moja. Lkn kama kaifanya kwa target ya watu kurudi kumzungumzia na ku endelea kukaa kwenye vinywa vya watu na kuzidi kufanya kazi basi hapa naona atafanikiwa kwa hilo. Asante haya ni maoni yang t
@t3probeatz2 жыл бұрын
Mtazamo wako ni mzuri,, lakini Kwenye hiphop, Majigambo na distracks ni kawaida.. hii yote ni sanaa tu
@Mrp_manguluwe2 жыл бұрын
Sahihi boss
@saidcoutinhophillipe18452 жыл бұрын
ila huko alikokugusa kwa huyo mwamba DIZASTAVINA kaenda kubaya sana
@ernestnyoni99122 жыл бұрын
Umepita mule mule
@amnailmtulya15332 жыл бұрын
seriously 😃😃😃😃 wanakusikiliza kama President...hii ni uongo bhana
@Hashdough2 жыл бұрын
PROMISING NA UPCOMING SIO KITU KIMOJA THO!!!
@pst.AngeMwande2 жыл бұрын
Daaah umeuchambua utamuuu Sana congrats big
@yayabruce71612 жыл бұрын
Nakubali kwaufafanuzi🙏🏿🙏🏿
@worldhappiness11812 жыл бұрын
Dizasta Vina hana mfano kwa hapa Bongo na east africa nzima. Ni jiniaz yule jamaa
@Elite_Forex_Academy2 жыл бұрын
Huna akili wewe
@abeljoseph26152 жыл бұрын
Na huo ndo ukweli kwa ngoma alizoandika dizasta bado sijaona msanii mwingine anaeweza fanya ivyo
@aissaleekimondoboy2 жыл бұрын
Upo sahihi
@tabomusic36252 жыл бұрын
@@Elite_Forex_Academy wee mzima?
@shabanially10082 жыл бұрын
Hujaway kuwa na akili
@roybazigu7652 жыл бұрын
Acha Kumfananisha Dizasta Vina na watoto wasiojua Kuchana na kuandika…. 🎤✍️
@janetahmed69482 жыл бұрын
sasa huo kinyago hajulikani mimi mwenyewe namuona hapa sikukua namujua jamani akajambe huko sasa anajua nini jamani kubali kwani sarafina njo nani
@calvinmalik Жыл бұрын
Hakuna rappa wakumfananisha na dizasta vina. Nashangaa huyu dg rapcha mtoto mzuri anajaribu kutunisha misuli ya chipsi mayai
@yahyashee48572 жыл бұрын
HUYO DIZASTA HATA NMEMSIKILIZA HANA LOLOTE KABISAA, WACHENI KUMLINGANISHA KING RAPCHA NA HUYO DIZASTA.
@fredrickmatiku77832 жыл бұрын
Hip hop ya bongo inakua sana madogo wanarap kaama wakina jay z kanyewest maasta wa marekani kawaida diisss that’s is hip hop no gun shot
@conciousclement22 жыл бұрын
SnS Forever 🙌🙌🙌
@alibinali_2 жыл бұрын
Huyo dogo ata sauti yake bado sana hatoshi kwa young lunya and Conboi
@salimtabu47032 жыл бұрын
Uongo uwo..
@fancebtz10712 жыл бұрын
Uyo lunya bado sana ni hiyo kubebwa tu
@ommyfitness2 жыл бұрын
Rapcha na Dizasta wote Wanangu wasiengage Tena
@musicworldwide26252 жыл бұрын
Yani nunachana dizasta unamuweza kweli atakupiga kwa falsafa
@calvinmathiace95122 жыл бұрын
Dizasta ameshaijibu hiyo kweny #BEST FRIEND
@shavaivagefrata71132 жыл бұрын
kuna vitu vya msingi vya kuimba ila hapa umekosa vya kuimba uwezo wako tunaukubali sana kingine Lunya ni level za juu saan mdogo wetu
@saveyourgenerationtv99282 жыл бұрын
Ukichukua hiyo list ya babu tale ukijumlisha uwezo wao bado hawamfikii Dizasta vina
@davidpaschal7782 жыл бұрын
Ukovr
@nizobeatz902 жыл бұрын
we jamaa unajua sana kuelezea ngomA
@queenkanyange56162 жыл бұрын
Uchambuzi umekwenda shule Buda respect
@vibetz99912 жыл бұрын
Bora Angemueka Lavalava.
@aloyceroscher78922 жыл бұрын
Dizasta vina asiongelewe ovyo plz😎
@mullahkaposo66632 жыл бұрын
Thankyu sky🔥
@kyle-j4d9m2 жыл бұрын
Rapcha to the Top
@philemonambilikile8392 жыл бұрын
Amuache dizasta
@raymondmuga75422 жыл бұрын
Lunya ni rapper mzuri, ila dogo ameanza kuvimba, Meek mill wanna be
@kelvinissah3108 Жыл бұрын
Daah oi rapcha .we mkali illa......dizasta is like earthquake,Tsunami,flood.&etc. D vina.sio mbaya we vunga tu
@goramatz94882 жыл бұрын
@dizastavina 😂😂😂 uyu jamaa atengwe🙌🏿
@BigZhumbe2 жыл бұрын
Rapcha ana ukubwa gani??? Siku izi mtu akitoa ngoma moja akahit anajichukulia maisha kayapatia..... ishu sio kushinda tuzo He is promising artist that is a fact hajafikia level ya best rappers in Tz
@sanchostylist...97192 жыл бұрын
Ndo Maana Wasanii Wakubwa Hawawapi Support Hawa Madogo Sababu Ya Misifa Kma Hii😂😂😂
@R10_Rajab2 жыл бұрын
Rapcha hatari sana I trust him haina cha Youngkunya ,mpija picha wala Huyo majanga
@kidmikashi81782 жыл бұрын
dizasta ni moto mwingine kabisa sema tuuh jamaa hachukulii serious sana hii kitu
@phiniasntem2442 жыл бұрын
Sure mzeee wangu
@_maky262 жыл бұрын
Nadhani dizasta anafanya muziki kama kitu cha ziada tu yule Mshikaji hayko mainstream lkin ana mashabiki zake kibaooo 🙌🏻 respect dizasta