Naomba kwa mashabiki wote wa hip hop ya bongo, Dizasta vina apewe TUZO🙏🏿🙏🏿
@volcanoland95262 жыл бұрын
Dizasta namkubali
@mendradmuhile24922 жыл бұрын
Kaua🤣
@salumamiri2 жыл бұрын
tuangalie jinsi gan tunaweza kumfikia jamaa apewe haki yak kitaifa
@Donebyresbees2 жыл бұрын
HAPANA KAKA INABIDI AJENGEWE SANAMU 👑👑👑👑👑
@potimgodi57352 жыл бұрын
Jamani huyu mwamba ni nyoko sheheeeeee ni shid dizastar
@raphaelpeter68202 жыл бұрын
"Sio kila mjinga unamzidi kila kitu" naomba Rapcha atulie kabisa Kama wamemuonya kwa dakika 8:27 akijibu Basi balaa la Dizasta ni la masaa 48 naomba like kwa Dizasta heshima kwake
@Damiantuby2 жыл бұрын
😂
@uriotz_2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@christinanjovu39822 жыл бұрын
Iki kichwa rapcha hakiwez at wakiungan na lunya hawamuwez km onyo katumia dk 8 je akidis?
@deogratiasmalelo74712 жыл бұрын
Ilaa amekima akijitingisha ameisha kifo
@Vanisikaka2 жыл бұрын
Lunya left.. Rapcha Typing🤔.. Tale trip to garilaya.. Fela Muted... Kadgo Witness.. Candy Crush Uninstalling.. Mavuzi got Respect🙌🏾.. Mende got shot💥 Kanisa knows everything about Dazasta🙌🏾
@TheMint_tz2 жыл бұрын
Naomba twende tukareact hizi ngoma zote 😂😂😂😂
@emmaonalloh55152 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@comics34372 жыл бұрын
😀😀
@princegabriel37702 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aissaleekimondoboy2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@modestentwari48072 жыл бұрын
i 'm frm RWANDA there is no rap in east africa like dizasta & mwana fa ,fid q, ay ,do samething to promate this guyz is very telented ever
@bensonpeter46922 жыл бұрын
dont forget Khaligraph Jones
@bahatihamis43242 жыл бұрын
Hawez banaaa Dizasta is another level kimsingi tunamuombea msamaha tuuh
@pilipovicentkambala89542 жыл бұрын
Ujuwi rap
@GamechangerTz2 жыл бұрын
Siku Moja mualike The black Maradona ufanye nae interview brother sky ikikupendeza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mbwanatoba1152 жыл бұрын
Namfananisha huyu DIZASTA vina Na EMINEM.. Hawana tofauti kbsa yani
@safariJambo2 жыл бұрын
DIZASTA is an master art class
@nyotamy36782 жыл бұрын
Rapcha kazingua sana, cheki sasa kilichomkuta🙌
@shadiidinyo16572 жыл бұрын
Dizasta for this ni master of clarity😁 Kijana achague moja sasa
@sevystaronedancer17852 жыл бұрын
Dizasta vina ni level zingine ,mziki wake utaishi milele🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@smgfamilygroup24142 жыл бұрын
SNS BROTHER UNA JUA SANA KUCHAMBUA MZIKI TUNA ITAJI WATU KAMA NYIE MUNGU AWAPE MAISHA MALEVU TUNA INJOI UDUMA ZENU 🙏🙏🙏🙏
@smgfamilygroup2414 Жыл бұрын
@@alliymohamedalliy6524 FANYA WEWE KAMA LAISI
@hebronkibona66762 жыл бұрын
Dizasta ni kiumbe kingine kabisa. Master class .. best syory teller hip hop
@ramamtanga34822 жыл бұрын
Di zasta mtu hatari
@monicacyprian91372 жыл бұрын
Nilijua tuu dizasta hawezi kukaa Kimya😂😂😂 nilijua tuu he he he wacha niinjoy mziki mzuri I love him
@Teacher_012 жыл бұрын
Dizasta ni genius aisee ilee sio ngoma ni ngoma na nusu .. 🔥🔥🔥🔥
@fadhilinsemwa26872 жыл бұрын
Hip hop ni maisha haina kuzuga, Rapcha started it Dizasta kamaliza yaani 8:27 min joint; kwa just a single metaphor😂😂😂😂 game on lets go champs
@abdungunamla62892 жыл бұрын
Dizasta vina n mtu mnoma saana. Style yangu imenspire the culture Imeinspire the Nengos,the shaulins the maaarifa the raptcha ......
@CertifiedStoic2 жыл бұрын
Nimeacha DNA hata nikifa sina deni tena!
@Makavelithedon20862 жыл бұрын
*Siniliwaambia moto wa Dizasta vina sio mchezo haya m’meona sasa* 😂😂😂
@mohamedchundu8012 жыл бұрын
This duuuude is another level to rapcha
@Damiantuby2 жыл бұрын
Dizasta Dizasta Dizasta nakuita mara 3, utaua mtu masta😂🙌🏾
@mpendwalove43902 жыл бұрын
aise kiukweli sijawai kumskia huyu jamaa ila baada yakuskia hi track yake 8:27 nimetokea kumpenda yaan ni real rapper and bars zake zipo on the other lever....jamaa ni real nigga Rapcha nimtoto kbs. Ngoma kali sana
@westonchibwete75542 жыл бұрын
Mfatilie mwamba ili uijue hip hop vyema... Ni hatari huyu jamaa
@Priver_Jabir2 жыл бұрын
Pole sanaaaaaaa maaana hata prof Jay aliumia sanaaaaaaa Baada ya kukosa kumuelewa #the_verteller
@mejahmc92782 жыл бұрын
Mtafte utakuja nishukru baadae
@stevemwachi2542 жыл бұрын
Hivi tuzo zinapotolewa Tanzania vigezo ni gani ndio msanii kuwa mshindi.. Dizasta anastahili kuwa juu zaidi ya hao wapiga kelele...
@brandinabrandina71322 жыл бұрын
Dizasta is more than artist
@kelvinmwaibasa48252 жыл бұрын
Huyu jamaa ni Never Regular 🤯…..Rapcha kayakanyaga 😂😂
@aissaleekimondoboy2 жыл бұрын
Rapcha hawezi aiseeeh uwezo wake kama wangu tu dizasta ni jini🔥🔥🔥🔥
@bahatihamis43242 жыл бұрын
Kabsa kaka jini kubwa
@joshuamakota67142 жыл бұрын
Bora wewe mwanangu huyo rapcha ww hakupati wala nn wa kawaida sana dogo, yan kua bongo record anaajiona mkubwa sanaaaa
@jumaradhomary85912 жыл бұрын
We jamaa umesema kweli kaka
@safariJambo2 жыл бұрын
Kabisa Dogo mshamba tu na kithembe chake
@abuunyalioto17522 жыл бұрын
Kaka sky umeichambua vizur sana huo wimbo wasioelewa alichorap dizasta wemeelewa mwanzo mwisho big up sky
@bahopamontana63812 жыл бұрын
Daah!! Nimeisikiliza hiingoma kabla aujaifafanua sikuielew bt ulivyofafanua umemaliza brazaa. Ukiendelea hivi ngoma za hiphop zitakuwa high tena appreciate it
@teilencedevard94312 жыл бұрын
Dizasta n mtu safi ata katka maisha yake yakuish na co mtu wa drama yupo kwa ajili ya kutuelimisha na anaish org na mitaaa ataki kikii anazo taka rapcha na katika uandshi rapcha bado sana kumfkia dizasta kama elimu yako ya cerficate n ngumu kumuelewa dzasta nn ana andka
@bahatihamis43242 жыл бұрын
My G Dizasta kiukweli industry haijamtendea haki ana album kali kuliko hao wanaopewa tuzo za hip hop artist bora cjiu wanaangalia nini maybe izo kiki zao
@raphaelpeter68202 жыл бұрын
P hajamwambia game jela sio daycare?
@mohammedpembe92522 жыл бұрын
Dizasta Ni alien
@aziziabdulrahman39142 жыл бұрын
Kila kichwa kimepita kigoma kikasoma ni level nyingine broo dizasta namjua tokea yupo kigoma secondary ni shida huyoo Huyo rapcha n mtoto kuanzia kwenye Mdundo mpka rap kidogo sana ana being na kick za Mdundo ila dizasta shughuli ingine Yani ana ngoma zingne kama taarifa ya habar kumbe mwana ndio anarap hvoo me nadhan rapcha akasikilize Hatia 1-5 atajifunza kitu mwamba kadis kanisa huyo na family ikamtenga huyoo unalijua hlo
@Relis_talkswisdom.2 жыл бұрын
Industry ya hiphop inahitaji watu wenye swagga kwenye kurap, social media,na media zinasahau kuwa wanainfluence kubwa sana ya kuwafanya wasanii kama dizasta kusikilizwa na watu wengi ,msanii kama rapcha hawezi jilinganisha na dizasta kwa reason moja tuh ya kuwa mainstream.Dizasta is genius na mziki wake ni tiba kwa watu haswa wenye kupitia trauma problems, dizasta ni kama clinical psychologist.Hivyo rapcha dizasta kulike post ya hater wako ni utambulisho pia kuwa he is out of matrix kama kitu kilichosema ni ukweli basi lazima watu tulike but anyway battling ndio utamu wa hip-hop tunamsubiri ajibu pia.
@detlantamarooned18092 жыл бұрын
Bro wewe ni genius pia.
@afyandogo2 жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾
@shenamtukufu12242 жыл бұрын
Asante
@Jiko2662 жыл бұрын
Rapcha anakuja kumuua huyu jamaa. Watu wengi tunamjua rapcha katika upande mmoja pekee wa kufanya muziki wa burudani bt hatujajua upande mwingine wa rapcha.. tumezoea dizasta na tunamjua kiundani nd maana tunasema rapcha kayavaa ila tukumbuke miaka mitano nyuma rapcha alikua akimsikiliza dizasta that is why nawaambia rapcha anakuja kummaliza dizasta
@afyandogo2 жыл бұрын
@@Jiko266 dizasta wa miaka 5 nyuma sio huyu wa leo
@iddyshaibu37262 жыл бұрын
Tunakuomba uitafsili nyimbo ya dizasta inaitwa mwanajua
@micochazi91532 жыл бұрын
Dizasta ni namba kwenye hili game
@lucamartin65842 жыл бұрын
Simply maji ni marefu sana kwa Rapcha anyanyue bendera nyeupe..
@montanablaww16642 жыл бұрын
😂😂😂🙌 nlilijua hili mapemaa uyu vina ni wadunia nyingine🙌
@leonardmhagama58282 жыл бұрын
Kazi ilikuwa ngumu waajiri wamefanya dua site.😂😂
@mwinyimatopa2283 Жыл бұрын
Hakuna hip hop rapper kama dizasta at the moment this dude is dangerous hallooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdallahkassim3182 жыл бұрын
Dizasta, sikuwa nakujua bt leo nimesikiliza hii ngoma bro, we ni master 🔥🔥🔥
@shaddyqualityfurniture35952 жыл бұрын
Rapcha mtoto mdogo sana atulie tu
@sayronmapunda16922 жыл бұрын
dizasta 😀😀😀 akili nyingine hii ! rapcha hamuwez dizasta 🤣🤣
@lazarojuma59582 жыл бұрын
Dizasta vina & nacha mc & nash mc & bando mc wanaandika sana nawakubali
@charlesmseti34672 жыл бұрын
Akijibu hii DISS TRACK ya Dk 20 inakuja Dizasta anaisha kwenye DIMENSION nyingine kabisaa
@Swaga_boys2 жыл бұрын
DIZASTA NI MBAYA SANA 🔥🔥
@princeh.81562 жыл бұрын
Daaaaa uyu mwamba dizasta vina sio wa nchii ya hapa , aliesikiliza zaidi ya mara moja tujuanae
@uswegehamza59682 жыл бұрын
dizasta anaweza kukuua kwa kukuchana..rapcha tulia huu 🔥🔥🔥sio level zako utakufa ooh hoo shauli zako
@allymbondo1112 жыл бұрын
Rapcha kayakanyaga sana hapa😅😅😅😅, sijui atafanyaje labda atulie tu maan alichofanywa humu🙌🙌😅
@swalehbakari26672 жыл бұрын
Kaingia cha kike 😂😂
@kbmsouth2 жыл бұрын
THAT’S WHY I LIKE “ SNS “. Big shoutout skywalker unafanya kaz kubwa sana bro ✋🏾🤚🏾
@daudiflavour9132 ай бұрын
Ukiwa unachambua nyimbo naelewaga sana nataman uchambue na fanani ya dizasta
@modestentwari48072 жыл бұрын
let me ask u sky u know dizasta is best rap in east africa what did u do to support him ?????
@abdulmohd68802 жыл бұрын
Mamamae Rapcha hapa kayakanyaga Dah!!! Aseee hiii n diss track ya miaka mitatu ijayo😂
@saeedmassoud2562 жыл бұрын
Dizasta mwenyewe kasema hii sio dis track hii ni ferification tu ila akitaka bifu aseme mwenyewe kuanzia sasa
@swalehbakari26672 жыл бұрын
😂😂
@zephaniaarnold28052 жыл бұрын
This is incomparable, maana Rapcha kamataja kidogo tuu, but Huyu dizasta yeye katunga nyimbo almost nzima kumsema mwenzie. Rapcha nae ajibu tuu kwa kumpa nyimbo nzima
@leonardmhagama58282 жыл бұрын
Mdanganye tu uyo mtoto, dizasta hajamdiss mbona kamwelekeza tu akitaka bifu basi ajibu.
@kiduaalute6032 жыл бұрын
Nyimbo yenye dakika nyingi ya Raptcha ni dakika 4
@ibrahimusuphian4542 жыл бұрын
Zephania🤣🤣🤣humjui dizasta
@moziidavchonchi33382 жыл бұрын
Hapo disasta ajadiss kamuelekeza TU dogo
@emanuelgavile35032 жыл бұрын
Kagusa mavi gizani mwanenu rapcha
@jumazinga9412 жыл бұрын
Dizasta mtu hatary sn 👊🏿🔥🔥🔥
@mudrickmudrick40382 жыл бұрын
✌✌🎧🎧Dizasta Vina Pw1 Kaka🎙🎙🎙
@hastatz2 жыл бұрын
Rapcha na mandonga ni the same tofauti ni beat tu
@theswordvinamc6642 жыл бұрын
Ndugu wangu wadam ina sound adam nkwel adam aache upuuz dzasta nmkal alafu ua anjifany amfaam DIZASTA VINA POTENTIAL CLIMINAL🤴🤴🤴🤴🤴
@t.o.d72812 жыл бұрын
Dizasta Sio Wa Kumjibu Huyu Dogo Kwa sababu huyu Dogo Bado Kichwa Chake Hakiwezi Kuvumilia Tabu za lyrcs Za Dizasta.. Ona Dizasta Alivo Relax Na Tunapata Kile Ana Deliver ....THE BEST Z DIZASTA
@abdulmngombe53842 жыл бұрын
Nyimbo imepangiliwa, kaanza content nini ataongelea, introduction, main story kote humo hajatoka kwenye ishu ya ubest friend
@nillyjos12032 жыл бұрын
Rapcha hasitaili matusiyake jamaa maana hataeza kuyamdu rapcha mwenyewe bado mtoto wa mama aje abattle na mimi achane na dizasita sio hadhiyake hakuna mwana hip hop mkali ka dizasita hapa Tanzania nashangaa hapewi tuzo sijui wanaangalia nin
@allykibatz15562 жыл бұрын
My Best Friend
@lameckgunze63762 жыл бұрын
DIZASTA VINA cyo Artist tu mwamba ni zaidi ya kiongozi mwanamapinduzi wa Africa. Rapcha afanye tu mziki asichanganye files
@shenamtukufu12242 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hatari sana, namuona kwa mbali sana baada ya miaka kadhaa ijayo.
@potimgodi57352 жыл бұрын
Daaa watamuuwa wanga wang hawafai
@uriotz_2 жыл бұрын
"Kafute candy crush kwenye simu" Bonge la mstari, hii inamaana rapcha bado mdogo sana kumdis dizasta. 🤣🤣🤣
Kitu tulicho sahau wengi hiki ndicho alicho kitaka rapcha kwanini? Tuanze na jina la nyimbo ya rapcha kwanini kaiita story nyingine? Jina limebeba hichi kinacho endelea nicca hapa rapcha ka 🏆
@georgeburchard48722 жыл бұрын
Huyu dizasta hafai!! Silaha ya kutungulia ndege angani yeye kamweka mwenzake mita mia tu kamtungua! Ndio Nini Sasa!! Ana roho ngumu huyu! Na anakwambia eti hii Ni clarification tu Wala sio diss! 😂😂😂Ila jamaa Ni fundi aisee! Hiki kizazi Cha rap Cha Sasa Katu hakiwezi kukaa meza moja na dizasta! Sio level yao!
@mpendwalove43902 жыл бұрын
dogo kalalamika kisa mtu katoa top ten yake ila Dizasta kampa free education sijui akitoa diss track itakuaje🤣🤣jamaa ni genius.
@stephanomgeni17792 жыл бұрын
Dizasta fundi wa vina rapcha fundi wa urembo
@vina_mtu_flani1172 жыл бұрын
kwa upandewa rapcha nahisi kaamuwa kutengeneza challenge tu dizasta ili apate ushindani wa kalamu , ila kimtazamo wangu Mimi nahisi nitazame game litavyokwenda na kukusanya faida watazozileta
Kwa ushaul rapcha akamtafute p mawenge na mbish wamsaidie 😄😄
@eliaswegero21992 жыл бұрын
Ukiwajumlisha wote bado hawatomuweza Dizasta just fikilia jina tu Dizasta
@timothykaiza3272 жыл бұрын
Rapcha akijaribu kujibu kaumia, huyo Dizasta n hatari.
@SUNDAYMRGAMINGTZ2 жыл бұрын
Mi na enjoy saanaaaaa jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kati kaka na bwamdogo ...huu iz huu
@niyongendakosamuel8582 жыл бұрын
Umenipa ham ya kwenya kuisikiliza hip hop inahitaji hizi challenge shall out kwa Rapcha kulianzisha
@BigZhumbe2 жыл бұрын
Shout out
@raphaelpeter68202 жыл бұрын
Anaiheshimu culture akifagia hatupi ndani🔥🔥🔥
@paticotz25132 жыл бұрын
Yan komment zooote zinamuonya rapcha sasa sjui rapcha aogopi mana natafuta comment ya kumtetea rapcha siioni
@andrewsewangi87472 жыл бұрын
Nilikua cmjui dizasta..na rapcha kanifanya nimjue na niwe shabik wake disasta...maana hio best friend mhh..hapo imeweka levels tyr
@veryboyplatnumz35062 жыл бұрын
Mi no fan wa young killer na dizasta hawa wamba wanajua rapcha ata achanee ngoma mia majibu yake yatakuwepo umu
@MatugaTechnology-bx9eg11 ай бұрын
Dizasta atabaki kuwa best hiphop artist
@zainabwage46582 жыл бұрын
Sky wewe noma uchambuz shikamooo,🙌🙌🙌
@Bullah_tz2 жыл бұрын
*Rapcha umeyakanyaga 😂😂 yaani humuwei hata robo Dizasta vina*
@safariJambo2 жыл бұрын
First msikize D anavyo rhyme
@davidoscooper2372 жыл бұрын
Rapcha the next level
@starford2 жыл бұрын
This guy's got lyric talent no doubt. My only issues are: 1. Why would he say this isn't a diss song when he's clearly dissing? 2. Why would he respond to one subliminal line with a whole track? If that ain't clout chasing, what us it?
@albertkarisa86202 жыл бұрын
That's a diss but he had tu spice it with ego. Hip hop culture
@mtasma19942 жыл бұрын
He just try to clarify
@svt32 жыл бұрын
Star Ford: it's just a clarification from the beast
@hermanelikana13922 жыл бұрын
Imagine how a diss track will be ?
@Theunitedeastafrica2 жыл бұрын
Hii ndio hiphop sasa. Amekuchokoza nenda studio kajibu🙋🏾♂️
@babumwananinga10072 жыл бұрын
Kwan hiyo tweet yenywe yasemaje Mkuu, juu nafwatilia Sana hizo clips zako ila bdo sijaelewa Mkuu 🇰🇪🇰🇪💓💓💓🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@bastarbillionaire13112 жыл бұрын
my boy gini rapcha ni mbadi subiri na muone line moja metoa track subiri muone tukiandika dk 3 mtatoa album
@captenndunga67452 жыл бұрын
Rapcha hamuwezi dizasta hata washirikiane na p fank
@danstanjaphety25522 жыл бұрын
Hujui unachosema rapcha z my homy ila kwa hili anadill na senior utoto afanye na lunya😂😂
@obongotubes93272 жыл бұрын
Hata amshirikishe p funk hamuwezi dizasta😅😅
@shedrackrose63122 жыл бұрын
Achukue malapa wote tz na east Africa. Dizasta mmoja anawabaka live
@shedrackrose63122 жыл бұрын
Achukue malapa wote tz na east Africa. Dizasta mmoja anawabaka live
@valentinobabaflow19232 жыл бұрын
Nakubaliii sky wew ni mtangazaji na nusu
@danieldeogratus16832 жыл бұрын
Hii sio diss track Sky, ni clarification kama anavosema and i agree. By the way ona mtu anakasirika kisa like!, mtu unapost msiba watu wanakuja kulike 😆😆😆 Pia ukisikiza ngoma dakika ya 7:5 dizasta anamparura majani 😆 …. Nipo real kuliko godfather wako anaekuacha unasafa, real kuliko fav rapa wako i think mstari wa fav raper unamgusa Joh! 😂 Acha inyeshe
@mwinyimatopa2283 Жыл бұрын
Kama mwanaume ajibu hiyoo hahaha 😂😂 i like it respect sana dizasta
@nillyjos12032 жыл бұрын
Rapcha ni mtoto kwenye mziki bado mtoto sana
@isaacuyera69062 жыл бұрын
I'm part of raptcha to respond this guy we are not afraid with his bars
@svt32 жыл бұрын
Isaac Uyera: whatever Rapcha will respond the enswers are already in Best Friend😁😁🤣🤣 best Friends ina ma swali na majibu yote yaani Disasta ametowa bomu la nuclear
@adammagogwa85632 жыл бұрын
Akitoa hatoitaji kujibiwa imetumika akili kubwa sana kwenye best friend, raptcha anaweza kaa miaka kumi kuandika diss track lakini Best friend itajikuta ikimjibu tu.
@festopaul75492 жыл бұрын
Dizasta akili kubwa mno 💪
@emmanuelpius54792 жыл бұрын
Dizasta Vina is a master over other shallow rappers,
@raymondkanyama18902 жыл бұрын
Dis boy z genius duh
@shukurukombo46642 жыл бұрын
Ni kama 2pac amefanya remix ya Hit Em Up....hii Rapcha akae kimya, Ngoma Ndoige, akikimbia Kijijini inamfuata akikimbia kwa Majani imemfuata tu.🤣🤣🤣🤣
@samilomary19962 жыл бұрын
Dizasta vina_are the champion 🏆 Lunya🔥🔥 Lapcha👀👀
@zombiiUpdates2 жыл бұрын
God of war 🔥🔥 vinaa dizasta
@czarbloody12172 жыл бұрын
U just get what you wish for bowy Rapcha may just leylo he enot big o bigger than what he chose en wish sorry 4 him and it's just beginning da loin rows from far.........
@mbwanatoba1152 жыл бұрын
Hapo DIZASTA katoa tu onyo.. Vipi kama akiamua kumdiss kbsa
@therealdL1882 жыл бұрын
D.....ni maktaba ya tenzi, nashangaa huyu barehe sijui amejichanganya wapi aysee!! Kumdiss huyu mtu hatari ni Bora ucheze na Simba anaweza kukuonea aibu lakini sio hili balaa alilo livagaa Yani kavamia pori lenye upupu alafu ajui njia ya kutokea mameee lazima Makalio yamuwashe🤣🤣🤣
@abuunyalioto17522 жыл бұрын
Huyo ndo vina dizasta Hana maneno mengi lakin vitendo sanaaa
@shaphyvuai68052 жыл бұрын
Bro uko vizur uchambuzi wako Hadi tume enjoy uendelee kuishi kubarikiwa pia