Hii ndio Sababu za kuwekwa kwa Picha ya Nyoka kwenye Pesa

  Рет қаралды 45,750

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

BOT wametolea ufafanuzi kuhusu Picha ya Nyoka iliyokuwa inaoneka kwenye Noti ya Shilingi Mia Tano. ya Tanzania, Kupitia kwa Mèneja msaidizi wa Idara ya Sarafu AMEELEZA SABABU HIZO

Пікірлер: 73
@linkreuben3108
@linkreuben3108 2 жыл бұрын
Huyo nyoka mnakigugumizi sana kumuelezea! Si lucifa huyo?! Mungu anawaona!
@mwitachacha4467
@mwitachacha4467 2 жыл бұрын
Dah bola ungesema utalii Sasa ukisema afya kwaiyo nyoka Ana udakitari au hapo mm umeniacha hoi
@farajangwema4663
@farajangwema4663 2 жыл бұрын
Mwanzo 3:1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? Mwanzo 3:2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; Mwanzo 3:3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. Mwanzo 3:4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, Mwanzo 3:5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya. Mwanzo 3:6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala. Mwanzo 3:7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo. Mwanzo 3:8 Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone. Mwanzo 3:9 BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Mwanzo 3:10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. Mwanzo 3:11 Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale? Mwanzo 3:12 Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala. Mwanzo 3:13 BWANA Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala. Mwanzo 3:14 BWANA Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; Mwanzo 3:15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino. Mwanzo 3:16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Mwanzo 3:17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako; Mwanzo 3:18 michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni; Mwanzo 3:19 kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi. 👆👆👆 Kiufupi hata hii laana tunayotembea mayo ilisababishwa na nyoka nyoka ni shetani na ni adui mkubwa Sana wa MUNGU wetu muumbaji.
@felixdavid132
@felixdavid132 6 жыл бұрын
Nipo uingereza toto langu limekataa shule sasa si nunui tena madaftari ngoja nikalinunulie manyoka ili liwe genius
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Alama ya huyo nyoka . Ki biblia ni alama ya uponyaji
@farajangwema4663
@farajangwema4663 2 жыл бұрын
Rafiki soma vizuri biblia, kipindi Cha Musa kweli iliponya, lakini huyo nyoka ametafsiriwa katika biblia kama Lucifer au shetani aliyemdanganya Eva soma mwazo 3 sura nzima, na soma ufunuo 12:7-11 utapata jibu la Nini maana ya nyoka
@tumainituma7691
@tumainituma7691 Жыл бұрын
HUELEWI KITU HUNA LOLOTE KAA KIMYA
@jafarahmad4408
@jafarahmad4408 4 жыл бұрын
uoooongoooooo mtuupu afya siuweke picha ya MOI mbona BOT hujaweka nembo ya kasuku au nyani
@kibabemuhidini8749
@kibabemuhidini8749 6 жыл бұрын
Hujaeleza ukweli, ivi kunauhusiano gn kati ya alama ya nyoka na huduma za afya. Hapa watz hawajakuelewa, vyenginevyo utakuwa una hidden issue.
@yusuphsimon4656
@yusuphsimon4656 6 жыл бұрын
Mmmh nyoka ni afya!!! Ni uchawi tu hakuna lolote
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
yusuph Simon kwa mantiki ip hasa?!
@aloycemabula8649
@aloycemabula8649 6 жыл бұрын
Nyoka ni kiumbe ajuaye dawa nyingi duniani, ndio maana ni alama yake inatumika duniani, pharmacy, ambulance zina alama ya nyoka
@aloycemabula8649
@aloycemabula8649 6 жыл бұрын
Kumbuka nyoka aliumbwa na mungu, kama nyoka ni uchawi basi hata mungu ni mchawi si ndiye aliyemuumba nyoka na akampa akili ya uasi
@lukasessau7457
@lukasessau7457 6 жыл бұрын
saw a bwana nyoka ni afya kwenye hospitality hiyo arama mbona haipo may be nao in wanadam wana kosea (nyoka ni shetan wakubali wakatae)
@venancebasil4656
@venancebasil4656 6 жыл бұрын
hospital ipo hiyo alama ni vile tu hujashtukia. google neno caduceus usome vizuri maelezo yake
@lukasessau7457
@lukasessau7457 6 жыл бұрын
bora umemsaidia kwa maelezo uyo wabank asant
@MiziziMti
@MiziziMti 5 ай бұрын
Bwana akamwambia Musa jifanyie nyoka wa shaba(hesabu21:8) na (Yohana 3:14)
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 жыл бұрын
Mmmh! Huyo nyoka hatari ! Anangojea kumng'ata nani?
@anastaziusfranzes6702
@anastaziusfranzes6702 Жыл бұрын
Hekima ipokwabwana mungu
@chidiboy5815
@chidiboy5815 6 жыл бұрын
Mashallah
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
Pesa zina nyoka,simba,chui,faru,tembo.kwanini mcweke pcha hta za matunda.
@farajangwema4663
@farajangwema4663 2 жыл бұрын
Ufunuo wa Yohana 12:7 Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; Ufunuo wa Yohana 12:8 nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Ufunuo wa Yohana 12:9 Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. 👆👆👆Hiyo ndio tafsiri ya nyoka wasitudanganye hata sisi tunajitambua
@user-ch4hj1cu8l
@user-ch4hj1cu8l 9 ай бұрын
2:52 yaani muheshimiwa sura yako tu inaonyesha unachokisema sio cha kweli hila nafasi imekulazimu useme hivyo, hila ukweli huko wazi naunaujua ndio maana unazungumza kwa taabu sana
@sarahjohn5687
@sarahjohn5687 6 жыл бұрын
Ni mnyoo Anaitwa GUINEA WORM au LITTLE DRAGON OF MEDINA ni huyo mnyoo kumtoa mwilini ilikua lazima uchomeke stick na kuizungusha ndio umtoe.... sasa baada ya jaribio hilo kufaulu ni alama ya ushindi kwenye sekta ya afya ulimwenguni. ila wataalamu wa udakitari na afya wanajuza vizuri kuliko mimi
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 6 жыл бұрын
huyo n nyoka na izo alama zpo mbili... pitia apa utaelewa www.google.com/amp/s/amp.livescience.com/33104-why-is-the-medical-symbol-a-snake-on-a-stick.html
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 6 жыл бұрын
Okay but am still thinking
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Subhanallah
@danielfaustine6124
@danielfaustine6124 6 жыл бұрын
Watu mnaelekezwa mnapinga inamaana hamjawahi kuona kwenye mafamasi kunaalama ya nyoka
@godymakundi
@godymakundi 6 жыл бұрын
Daniel Faustine this is the truth
@emapanga-x9z
@emapanga-x9z 9 ай бұрын
Saw saw mbona watu wanaitafuta sana
@elfacechongera7572
@elfacechongera7572 6 жыл бұрын
ubishi kweli kweli kwa waiojitambua ni mzigo...kama hukubsliani naye just make a research on the same on your own. lugha tuzitumiazo si zetu hata na alama pia jifunze zaidi maana siku izi elim ziko mikonon mwetu.
@aloycemabula8649
@aloycemabula8649 6 жыл бұрын
Mi najua nyoka ndio anajua dawa zote duniani, ndio maana alama yake inatumika ktk afya
@Baby-ps3xk
@Baby-ps3xk 2 жыл бұрын
Luminat
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Kwa tafsiri ambayo haina uwakika ni kwamba. Nyoka anawakilisha uponyaji ndiomana WHO wanaitumia
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 жыл бұрын
Kwani nini msinge weka picha ya nguruwe
@RichFeelingsForex
@RichFeelingsForex 6 жыл бұрын
Nawaza kwa sauti
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 3 жыл бұрын
Alama mojawapo ya freemason eleza ukweli,freemason wameusika apo
@JescaKaaya-up6cg
@JescaKaaya-up6cg 4 ай бұрын
Je Sina tafutwa
@lukasessau7457
@lukasessau7457 6 жыл бұрын
kama nyoka ni afya basi watu wasinge waua wage waheshi kama Yale mandege ya sokon koz ni bwanan afya
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 3 жыл бұрын
Ni Mashetani
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 6 жыл бұрын
hii ni mpya
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 6 жыл бұрын
Mbona afya mzee unaota mchana eti😁😁😁
@AffectionateBakedBread-og5ck
@AffectionateBakedBread-og5ck 7 ай бұрын
Lusifer the big 😈 in the world 😂
@abasmresa8861
@abasmresa8861 6 жыл бұрын
kwani nyoka siyo mnyama?
@j4shikiboy436
@j4shikiboy436 6 жыл бұрын
Hahahahaha Kuna uhusiano wowote kati ya nyoka na afya?... Mctuweke mazezeta cc
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 6 жыл бұрын
nyoka na afya???
@leonardoharold349
@leonardoharold349 6 жыл бұрын
Sasa afya kwenye mia tano kweli...? Sizan kama afya inastahili kuwakilishwa na 500! Na hyo nembo mbona sio asili yake tz kwann msingeweka hata nembo ya muhimbili ili tujue pesa yetu INA tangaza vilimo vya kwetu?.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
leonardo' harold afya co kwa jero co?
@asanimakamba3218
@asanimakamba3218 6 жыл бұрын
q mamae uchawi uhuu
@mabaragwantaho669
@mabaragwantaho669 6 жыл бұрын
Mimi mwenyewe mtu afya lakini nyoka bado hujanishawishi ilatakiwa muweke hata stethoscope
@levinaernest4364
@levinaernest4364 7 ай бұрын
Au microscope 🔬😀😀
@chrislikalagala480
@chrislikalagala480 3 жыл бұрын
Jaman natafuta noti ya sh. Mia tano yenye nyati, ikuru, nyoka, na nyerere
@haikaherman388
@haikaherman388 3 жыл бұрын
Mm ninayo
@winyelias2800
@winyelias2800 2 жыл бұрын
Namb
@ibrahimyassin4545
@ibrahimyassin4545 2 жыл бұрын
@@haikaherman388 vip kaka unayo noti ya mia tano?
@ibrahimyassin4545
@ibrahimyassin4545 2 жыл бұрын
kk vp
@lailathmohamed6443
@lailathmohamed6443 2 жыл бұрын
@@ibrahimyassin4545 mmi ninayo
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 3 жыл бұрын
Mh
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 3 жыл бұрын
Devoli
@mwizalubimafwele8245
@mwizalubimafwele8245 6 жыл бұрын
Anajikanyaga sana maana hajui hata anachokielezea
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
mwizalubi Mafwele umemsikiliza lakn
@sarahjohn5687
@sarahjohn5687 6 жыл бұрын
Wew tu ndo hujui kinachoongelewa
@mwizalubimafwele8245
@mwizalubimafwele8245 6 жыл бұрын
Mzava na Sara@ nimemsikiliza vizuri sana, kweli pesa mara afya Muhimbili ...., haya anaeleweka kweli
@sarahjohn5687
@sarahjohn5687 6 жыл бұрын
mwizalubi Mafwele naomba nikusaidie kitu ukigoogle utajua kwamba io symbol ni ishara ya afya duniani kote hata sehem kama muhimbili ukienda utazikuta mahospitalini utaikuta soma google for more information
@mwizalubimafwele8245
@mwizalubimafwele8245 6 жыл бұрын
Sarah @ sijakataa kwamba hiyo alama haitumiki kwenye mambo ya afya inatumika sana na ni kweli hata ukiangalia nembo ya Muhimbili Hosp utaikuta .... tatizo lipo kwenye muunganisho mambo ya Afya na Pesa🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️, Nkuruma sawa, wanyama sawa Utalii... ila nikasema nishaelewa hata nyoka kwenye kijiti ni utalii kama simba, tembo nk. Topic closed maana kila mtu na opinion yake
@shamilamanyalika248
@shamilamanyalika248 6 жыл бұрын
kizungumkuti Jamani nyoka anawakilisha afya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😯😯😯😯😯😯😯😯😯
@ismailathman3508
@ismailathman3508 3 жыл бұрын
Shida ya watanzania hanfatiliagi vitu alafu wabishiiiiiii....yani Tz tuna safari ndefu...kwaio ata Alama ya Nyoka nayo kwenye Shirika la afya duniani WHO ni wapuuzi kuweka alama ya nyoka???
@ramadhankisila452
@ramadhankisila452 6 жыл бұрын
Nyoka na afya wap na wap achen zenu nyie
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
Lakini YESU ANARUDI kuyaona haya. Shauriyao.
@valentinemteki3740
@valentinemteki3740 6 жыл бұрын
sababu hazina mashiko
@lameckymakoye4535
@lameckymakoye4535 6 ай бұрын
Uongo mtupu
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 47 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 538 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
HISTORIA YA SARAFU NA MAAJABU YAKE TANZANIA JIONEE......
13:03
BONGO TRENDY TV
Рет қаралды 99 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 47 МЛН