Umefanya mengi Sana Mh Mbowe,wanaokukandya Wana uchu was madaraka.
@HanifaUrassa11 күн бұрын
Hongera Baba
@KanaufooKweka11 күн бұрын
Pamoja na hotuba nzuri ya kutukumbusha tulipotoka ila Sasa acha lissu aendeleze hapo ulipoifikisha,
@silivestreadolfnjau19711 күн бұрын
Mwamba huyooooooooo mbowe
@PeterKajana11 күн бұрын
Kwan Iko live
@imanimanimaniman-k7c11 күн бұрын
Achia ngazi mbowe
@SalumMsongera-n7b11 күн бұрын
Wajumbe Apo Kuna ccm na chadema wanagombea mkimchagua mboo mmechagua ccm mkimchagua lisu na heche ndio mmechagua chadema wajumbe tunawaamin nyie ni chadema msijisahau Kwan dhamana ya chama na watanzania wanyonge mnayo nyie uyo mzee ni msaliti
@paulojohn960811 күн бұрын
achia ngazi mbowe tuende na lissu
@MichaelMgudula11 күн бұрын
Baba inatosha mwachie lisuuuuuuuuuuu
@DalaliNgasa11 күн бұрын
Fanyen Kaz vijana Lisu au mbowe hatawapatia maisha
@barryrioba393410 күн бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️ MBOWE ❌ WENJE ❌
@ndaroGamba11 күн бұрын
Mbn ni kama kuna Konyagi kichwani tyr na anamuwaza Abdul sana🐒
@SalumMsongera-n7b11 күн бұрын
At anatoa rushwa il achaguliwe sio destur ya chadema wajumbe tutoleeni huyu mzee ni covid kirus hatar km ni mtaka haki kwa nin atoe rushwa
@silivestreadolfnjau19711 күн бұрын
Meamba huyoooooooooooo
@AgnesMakilika11 күн бұрын
Mzee panatosha kapumzike mpishe lissu
@SalumMsongera-n7b11 күн бұрын
Wajumbe pesa kulen kura kwa watu wa Haki tunamtaka lisu na heche kwa maslahi ya chama na watanzania wanyonge msiwauze kwa thaman ndogo ya vipande vya fedha
@josephmagige87410 күн бұрын
Pumzika
@ISABELLASHANDU11 күн бұрын
Baba ataukipita mwachie lisu wewe sauti yako imezoweleka