Ee BWANA YESU, naomba nisamehe, nitakase kwa uweza wa, Roho Mtakatifu, niwe na pendo lako ndani yangu, unioshe kwa Damu yako dhambi zangu zote, YESU BWANA , naomba unisamehe mimi, 🙏🙏🙏
@TumainiThomas-sg3rd20 күн бұрын
Ameni
@prudencesumbane288627 күн бұрын
Iyi imeni jenga kiroho, utukufu umurudilie Yesu, ubarikiwe
@kavirajanine489326 күн бұрын
Ubarikiwe sana umenifunza Mengi yakunijenga
@queenesther2639Ай бұрын
Nilipokuwa sijaokoka 9:34 sikuwa nasuka rasta nilikuwa nachukia mawig,nilipaka mafuta wanayopaka watoto sikuweka dawa kwa nywele zangu! Shangaa nilipookoka nilifanya yote hayo kwa imani ya kwamba mwanamke ni pambo kwa mmewe,,,NAMSHUKURU SANA BWANAYESUKRISTO SIKUFA WAKATI HUO hadi nimekutana na injili yako MtumeMaliyaBwana!
@mariahyera3737Ай бұрын
Ubarikiwe sana. Mshike sana Bwana Yesu.
@carolinederi5690Ай бұрын
Yesu nisaidie mwanao nkutumikie katika pendo lako tu😢
@DaMiriamJohn14 сағат бұрын
Amena saana basi!
@annanamuyalaАй бұрын
Yes pasuwa iyo ndiyo neno watu wajuwe kweli na kweli iwaweke huru👋👋👋
@MariamMganga-ss9mmАй бұрын
Nabarikiwa sana na hii injili utoa, mtumishi MUNGU akubariki sana
@djumahermani5312Ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumichi
@MariamMganga-ss9mmАй бұрын
BABA, umesema kweli kabisaaaaa,, neno hili ni tamu sana,, YESU KRISTO apewe sifa
@carolinederi5690Ай бұрын
Holy spirit I want to obey you please help me 🙏😢
@annanamuyalaАй бұрын
Wengine wameoga moto ndiyo wakaokoka si kwa kumupenda yesu ni makosa sana
@Josephine-v8pАй бұрын
Bwana unirehemu
@victormwanza149518 күн бұрын
May God be with you.
@asiliTz23Ай бұрын
Amen amen nimejifunza kitu
@stephanosospeter1709Ай бұрын
Ameen ❤
@MrSleepyNАй бұрын
AMEN AMEN MTUMISHI WA BWANA UBARIKIWE
@annanamuyalaАй бұрын
Amen and amen
@ShukuruDaudi-ue6inАй бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏
@JeremiahKausiАй бұрын
AMEN Mtumishi Mtume wa MUNGU
@annanamuyalaАй бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Amen amen
@UkweliTopicАй бұрын
Asante baba kwa chakula cha uzima.
@MiltraudNyagali-fw3huАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@AbedNego-c5oАй бұрын
Bwana yesu asifiwe ni ukweli mungu atusaidie
@angelanaftael7965Ай бұрын
Amen mtume wa Bwana
@paulwanyama4610Ай бұрын
Barikiwa mtume mali ya Bwana
@mmm4199Ай бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN asante kwamafundisho ya leo AMEN
@hellenmnyazi220Ай бұрын
Amen amen Mungu atuhurumie sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@RehemaMtonoАй бұрын
Mungu fungua fahamu zetu tukuelewe AMEN
@sukanasikitu742Ай бұрын
Amen amen ubarikiwe sana
@JUMAMwambeuleАй бұрын
Amina, Amina!
@YesuniBwana-sv5zdАй бұрын
Mutumishi wa mungu asante sana kwa ujumbe iyi.
@esthermuraiАй бұрын
Amen 🙏
@OwenAkala-p9uАй бұрын
Amina Mtume
@SwedyToshaАй бұрын
Amina
@queenesther2639Ай бұрын
Injili km hii ni adimu duniani
@tabithambwekaАй бұрын
Huruma
@duncantune7355Ай бұрын
AMEN
@queenesther2639Ай бұрын
Asante sana BwanaYesuKristo kutufia Msalabani
@OwenAkala-p9uАй бұрын
Bwana nihurumie
@NdeshaPaul-uz9bwАй бұрын
Asio alikuwa Yeye anaweza na anaendelea kuweza. Ukisema alikuwa maana yake Sasa hamwezi Tena
@NduguEzekielАй бұрын
Ameeen ameeen
@furahaabdallah7657Ай бұрын
Amen amen
@nancykimaru8Ай бұрын
Hakika ni kweli mtume
@cosme-h8eАй бұрын
טוב מאד רעא
@JUMAMwambeuleАй бұрын
Ni wengi sana sana sana!?
@nancykimaru8Ай бұрын
Huruma sana
@MtramaАй бұрын
Nataka number zako kaka
@Word649Ай бұрын
Tungekuwa tuna fikiria msalaba kila siku unge kuwa vigumu sana kwetu kuwaza kurudi nyuma
@fridafrancis1960Ай бұрын
Kichwa Cha habari kilinishtua baadae ya kusikiliza ndo nikaelewa
@EvangelistMathayo2604Ай бұрын
Bwana turehemu sisi wana wako
@tissabasedeke63348 күн бұрын
Je mwanadamu iko nauwezo waku acha dhambi bila kumwamini Yesu Kristo Ao kuwa na Roho mtakatifu ?
@DianaOmurungaАй бұрын
Hayo ndio mafunzo tunataka endelea kuinuliwa kiroho mtumish ili sisi nasi tufu zwe
@kavirajanine489326 күн бұрын
Kunawengi wanawaza Nakuingiya kanisani Nzoamekubaliwa Kumbehata hajakubaliwa Namungu weye peke Jiulize kama ukomunziya Gani ya mbinguni ama ya jehanamu? Kunawengi wana Hukumiyana sana tenawawo Hawajajitambuwa ole kwa Sisi binadamu
@queenesther2639Ай бұрын
Wapo waislaam ambao wana mke mmoja na hawanywi pombe hahaha