NILIBAKWA NA WATU SITA NIKAPATA HIV| NIMEOLEWA NA MZUNGU | PIA NI MAMA NA HIV/AIDS ACTIVIST

  Рет қаралды 40,417

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Пікірлер: 250
@doymatata4702
@doymatata4702 Жыл бұрын
Jamani nimejiona ndani yahuyo dada natamani kuwa kama yeye kwaajili ya kuelimisha wengine ninacho faham sisi wenye VVU niwatu kama wengine nikotayari kushea historia yangu ya vvu
@salomemwankenja8824
@salomemwankenja8824 Жыл бұрын
Njoo tushauriane
@mamaafrica-kq6ni
@mamaafrica-kq6ni 11 ай бұрын
Usiope dear unaweza ukatupa moyo nass tukapime tujijue
@mamaafrica-kq6ni
@mamaafrica-kq6ni Ай бұрын
Amenipa moyo wakwenda kupima mana nilikua nahofia sn Asante dada
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 9 ай бұрын
Dada alipitia ukatili katika umri mdogo sana...Mungu wa mbinguni akujalie heri daima..
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Namuina Mungu. Kwa.macho yngu mawili..Mungu ni.mkubwa sana acha tuzidi kumtukuza uhaminifu wke ni wa ajabu sana Eemen❤ kwa hii story nimefarijika
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
Amen
@susanmshindo7593
@susanmshindo7593 Жыл бұрын
Mungu ni mwema ila jitahidi kumwamini Mungu na ufuatilie maombi kwa mtumishi wa Mungu Mwamposa wa irise and shine tz kwenye Utube utapona kabisa kwa jina la Yesu kwa Mungu yote yanawezekana ameen
@joasitz9559
@joasitz9559 Жыл бұрын
Wow she speaks very good Swahili and confident woman. Asante dada for being genuine and educating the society. Asante da Shena
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
All credits to Laila She is amazing kwakweli
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistancewe UK inch gani??
@roseswedi5274
@roseswedi5274 Жыл бұрын
Love ur Swahili n ur confidence
@QueenJames-p4x
@QueenJames-p4x Жыл бұрын
MUNGU ambariki huyu dada ampe afya njema ,aweze kuishi maisha marefu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Amen 🙏
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Amen 🙏
@benadethalupembe4596
@benadethalupembe4596 Жыл бұрын
@@leaherasto929naomba mawasiliano yako
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
Amen
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 10 ай бұрын
Amina. Bwana ampe kibali ktk maisha yake
@perpetuampita5018
@perpetuampita5018 Жыл бұрын
Leila uko vizuri, jasiri unaweza saidia watu wengine, nimekupenda
@BerthaKihanga-qd5hy
@BerthaKihanga-qd5hy Жыл бұрын
Leo mrembo wa Tz katuletea Mrembo wa Congo, appreciate.
@RahmaAli-m6r
@RahmaAli-m6r 7 ай бұрын
May the projects go through InshaAllah, and may your book shine InshaAllah sister Leyla.Be blessed too, sister Shena, for the good job. Keep it up 🎉🎉🎉❤
@brendamasao2011
@brendamasao2011 Жыл бұрын
Sijawahi comments in this platform! This lady has touched my heart ♥️, She is very courageous! May God continue blessing you!! Na Asante kwa kuelimisha jamii!! We said undetectable untransmittable!! U=U! Hongera sana
@shalibrutsch-vlog
@shalibrutsch-vlog Жыл бұрын
Wow. Nimempenda huyu Dada, ni luwazi na ni mkweli. Asante sana mgeni wetu Nimejifunza mengi. 🙏🏾
@zainabsibuma-omary7061
@zainabsibuma-omary7061 6 ай бұрын
Masha Allah beautiful Laila ❤ Mwenyezi mungu aendelee kukupa shifaa na ujasiri. Wewe ni mrembo na mcheshi sana! Asanteni sana kwa mazungumzo mazuri 😊
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 Жыл бұрын
Hongera sana Dada Shena tunazidi kujifunza sisi wenyendoto yakufika ulaya 🎉
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Shukran 🙏
@ednaabyudi8465
@ednaabyudi8465 10 ай бұрын
Nisaidie namba yake​@@OfficialDatingAssistance
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt Жыл бұрын
Wee dada.pole sana.haswa kwa ujasiri wako nimeupenda sana, kueleza hadharani yaliyokupata haswa ukiwa bado mtoto wa miaka 13 hivi. Shikilia habari za Mungu sasa zaidi ili urithi bingu.mpya na.nchi mpya tunayotegemea, ambayo haitakuwa na ubakaji uliokupata. Ubarikiwe.
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 8 ай бұрын
Waaa, may the Living God keep this smile forever!!! What a beautiful story....from Holland 🇳🇱
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Wazungu karibu na wote wanaooa wageni haswa waafrika wanakua wachumi/wabaghili na wabinafs. Kuoa wazungu wenzao washajua hawatoelewana ndio mana wanatafuta waafrika haswa waliopo Afrika wawacontrol na kuwatumia.
@Keyjop
@Keyjop 10 ай бұрын
Jmn misha bana hakuna chakuzuia hatima yako yaani mpango wa mungu ni pale pale ooh.lord! hallelujah 🙌
@Alice_Kazaura
@Alice_Kazaura 4 ай бұрын
She’s very beautiful and humble ❤
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Mungu apewe sifa May God bless her always 🥰hivi shena haujawah fikiria kuchanganya content I mean kuita watu walio Tanzania au popote sio tu lazima walio ulaya maana content nyingi zinafanana Ila hii iko tofauti I'm proud of you🥰
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hata walio Africa lakini walikutana kupitia mtandao Either wa kijamii au wa kimahusiano Kama unamjua mtu basi naomba Connection kipenzi 🥰
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceShena mtafuta dada anaitwa Jojo Gray kaolewa na mzungu tusikie nae alikutana vipi na mumewe.
@IreneNgoja-wg3ty
@IreneNgoja-wg3ty Жыл бұрын
Mungu ambariki sana sana. Nlikua naogopa kupima but sasa ntaenda kupima na nitakua tayari kwa majibu yoyote
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
Kweli kbs
@RahmaAli-m6r
@RahmaAli-m6r 7 ай бұрын
We thank God for Leyla's courage,she is one in many MashaAllah. Can she help us in getting a HIV dating sites without paying through visa cards?watched from Kenya
@enjoybenjamini4713
@enjoybenjamini4713 Жыл бұрын
Ahsante dada Shena,huyu dada amesaidia Sana hongera yake ni mkweli
@doreenniver6643
@doreenniver6643 Жыл бұрын
😢Mungu akupe maisha marefu sana akutunze kila siku
@seugingemyovela7053
@seugingemyovela7053 Жыл бұрын
She is a humble woman !!🎉
@EpiphaniaMallya
@EpiphaniaMallya Жыл бұрын
Hongera sana Dada kwa ujasiri na uthubutu wa kuwa muwazi Mungu akupiganie uwe na afya tele
@habibamura5255
@habibamura5255 10 ай бұрын
Leila mukewli Sana mashallah ❤️
@gss290
@gss290 10 күн бұрын
Thank you both ❤ I like how Laila highlighted mental health. Stigma and how we can learn from other cultures so that we can integrate and unlearn society Stigma eg from being infected and other mental diseases eg depression, ADHD... Awareness and importance of seeking information. For example when she went to the police . Right information brings light and compass in the new environment and the its makes integration a bit easy. Alot of people are afraid of the social workers in the majuu but alot of times they are misunderstanding from both parts . They only separate children from their families only in the extrêmes case for example alcohol and drugs abuse environment , sexuell abuse their other example to give but their first mission is to help families with their children find solutions to the problems. And they do use alots scientific research in dealing with those problems. The study of "attachement " shows alot of suffering and damaged when separate children from families ❤ Again this is the reason why both parents should at least stay with the baby one period...it's all about the baby should connect with both of the parents ❤ Thank you once again Laila for being vulnerable and for bringing awareness that will elevate our consciousness to awaken and embrace the diversity of all cultures, traditions and race 😊
@hopegwimile53
@hopegwimile53 Жыл бұрын
Mungu akulinde Leila .Uko vizuri sana.Wengi huficha na wanaishi kwa taabu.
@doramkolo1745
@doramkolo1745 Жыл бұрын
Woooowww nampendaaaa sana huyu dada ninamfuatilia sana tiktok...Asante shena kwa kutufunza mambo mengiii
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Shukran pia kwa Support yako kipenzi 🙏
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Anatumia Jina gani tiktok?
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 8 ай бұрын
Nakupenda Sana Dada Yangu Laila Mungu Akusaidie Sana
@ashuramdee344
@ashuramdee344 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kwa Leila amejituma piamumewake nampa hongera sana na azae mtoto Mwingine pia madame nakipongeza sana kwamahojiano
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Mungu hawasimamiA kwa kweli ubarikiwe
@tinamwasekaga9571
@tinamwasekaga9571 Жыл бұрын
Video zinajenga Sana Sana mungu akubariki uendelee kutupatia elimu zaidi na zaidi🥰🙏
@QweenChamshama-fv6fk
@QweenChamshama-fv6fk Жыл бұрын
Hongera sana dada una ujasir wa kutosha nimekupenda bure dar bigerup
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze daima mrembo ukimwi sio mwisho wa maisha
@Rashidmaganga6
@Rashidmaganga6 Жыл бұрын
Da shena nitafutie mda mimi naishi japan for 16 years now so I have some good stories about Japanese
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante Rashid, Naomba tuwasiliane WhatsApp +4367764790884
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt Жыл бұрын
Asante Sana Dada mwenyezi mungu akutangulie nimejifuza mengi kuptia wewe
@StellaA-n4i
@StellaA-n4i Жыл бұрын
Dada mimi nimekupenda naombo uwe rafiki yangu
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um Жыл бұрын
Mimi nakupenda sana mungu akupe nguvu zaidi utuletee elimu
@RozinaHamisi
@RozinaHamisi Жыл бұрын
Alafu mwajina wa mwanangu nimempenda kweli Ata haboeshi❤
@aidaanatory9330
@aidaanatory9330 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@mohamedmwavuguto8276
@mohamedmwavuguto8276 Жыл бұрын
Thanks very much . This interview is too educative .
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 Жыл бұрын
Laila so knowledgeable. UBARIKIWE.
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 Жыл бұрын
Uko vzr bibie mungu akupe maixha malefu
@NzeyimanaVéronique
@NzeyimanaVéronique 5 ай бұрын
Mungu akubariki dd uko pow
@bernadethamlundebartlett387
@bernadethamlundebartlett387 Жыл бұрын
Laila Dada mzuri sana mungu akubariki
@irenejohn8194
@irenejohn8194 Жыл бұрын
Mzungu akisema ndio ni ndio,,,na akisema hapana ni hapana,,,,,,hongera sana
@patriciammbando5870
@patriciammbando5870 27 күн бұрын
To God be the Glory 🙌
@CATHERINEKANYAGHA
@CATHERINEKANYAGHA 10 ай бұрын
Iam addicted na hiki kipindi siku haiwez pita sijasikiliza wawili 😎😎
@stellasimon8306
@stellasimon8306 Жыл бұрын
Asante sana dada,naomba no yako tuongee, mimi niko Sweden. Laila tafadhali naomba
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 7 ай бұрын
Pole sana nduguyangu inauma
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 Жыл бұрын
Leila Mungu azidi kukutunza. Asante kwa kutuelimisha
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
shemegy etu anae kiti ake mbinguni,,,!!Mungu ambariki sana sana amin
@egnelakibua4077
@egnelakibua4077 Жыл бұрын
Kabisa Yani,,,that shemeji has got thawabu for the love he offered to this dada
@bennamush4616
@bennamush4616 Жыл бұрын
Waaaah huyu dada ana story ambayo anawafanya wengi wasimame Tena Asanteh Sana 🙏
@mwanamutwa
@mwanamutwa Жыл бұрын
God bless you my sister.We thank God for you,keep telling your story.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thanks for listening
@Merciana-uh3mz
@Merciana-uh3mz 10 ай бұрын
Nimependa sana nipatiwe mawasiliano nae, tafadhali
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 Жыл бұрын
Beautiful smile. AM living positively too.Am Kenyan.plz nipe mzee mami.Am 64 years old.
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Mmmmmmh 64 years surely unashindwa kukaa nyumbani
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Mmmmmmh 64 years surely unashindwa kukaa nyumbani
@MeYesMe-FM
@MeYesMe-FM 7 ай бұрын
Hmmm
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 Жыл бұрын
I love you Leila God has never forsaken you you are blessed May God bless your husband amen I am waiting for kitabu
@witneykato2476
@witneykato2476 Жыл бұрын
Amazing interview and I loved her courage and honesty.
@salhakyande3905
@salhakyande3905 Жыл бұрын
Shennah❤
@JoyceakaJowi
@JoyceakaJowi Жыл бұрын
duh,sad part ya raping...curse all men waliombaka huyo dada..walaaniwe maisha yao yote....i hate watu wasiokuwa na Utu...
@paulinacharles8969
@paulinacharles8969 Жыл бұрын
Joyce, Mungu amemfariji Shaila, na pengine walishakufa au kuteseka zaidi. Shaifa zaidi kumwomba Mungu akuandae Kwa ajili ya maisha Bora Mbinguni
@paulinacharles8969
@paulinacharles8969 Жыл бұрын
Joyce, Mungu amemfariji Shaila, na pengine waliombaka walishakufa au kuteseka zaidi. Shaifa omba Mungu akuandae Kwa ajili ya maisha Bora Mbinguni
@mamaafrica-kq6ni
@mamaafrica-kq6ni Ай бұрын
Naomba kuuliza dada naskia mtu ukiwa na ukimwi uwezi kwenda ulaya je Kuna ukweli wwte hapo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉Mwenyezi Mungu amuweke
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 9 ай бұрын
Wao dada kaelezea kila kitu vizuri❤🎉
@lenatawinchilaus7688
@lenatawinchilaus7688 Жыл бұрын
Yaaan kiswahili chako Kiko sawa kabisa na jua hii itafanya wale wenyenye kunyanyasa wengine watajifunza
@HappySoy-zy2ep
@HappySoy-zy2ep Жыл бұрын
Mungu mwema wengi watasimama tena kupitia wewe nimekupenda sanaaaaa❤
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Жыл бұрын
🤔Norway ghali sana maisha hapo. Nilitembelea 2010 kwa siku nilikuwa natumia $100.00. Hongera sister na asante kwa elimu na taarifa
@suzanetilito8194
@suzanetilito8194 Жыл бұрын
I lover her she's very smart and strong lady❤❤
@witneykato2476
@witneykato2476 Жыл бұрын
Very beautiful woman
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
So much
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Nitakuwa mchoyo kama nisipo toa shukran kwa kweli shukran sna dafa shena❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Shukran Na Shukran nyingi tuwape wageni wetu Wamekua na upendo sana kwa wengine kuja kuzungumza hapa
@janethzacharia7967
@janethzacharia7967 7 ай бұрын
My mtag basi kipenz changu
@Diana-lf3nr
@Diana-lf3nr Жыл бұрын
❤❤❤ dada shujaa sana nimempenda bure nimejifunza mengi sana kupitia wewe🎉🎉
@annatemu4488
@annatemu4488 Жыл бұрын
Hongera sana kwa Laila,pia ana kiswahili kizuri sana
@glorymasy7687
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Leila hongera na pole sana jmn dah
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa wanaume wa kizunguzungu wanatabia ya kukumbushia history yako ya nyuma yani masimango flani so inahitaji moyo sana na kujitambua kiakili
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Very sad
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Huyu m’ke anazungumza kweli tupu si wtnz wanaoaminisha watu ati mzungu ndio utajiri au furaha.
@aikandosa
@aikandosa Жыл бұрын
Nimempenda 👏👏👏
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Nimependa kipindi hope ntaipata hiyo project na kitabu hapa hapa 😎
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 7 ай бұрын
Leo umenifiraisha ku ohi watu tofauti
@hassankhamis344
@hassankhamis344 9 ай бұрын
Hiyo kweli huko kuko powa kabisa Norway
@naomyreuben8997
@naomyreuben8997 Жыл бұрын
Huyu dada nimependa jaman yupo vizuri sana
@leahmwakapala5564
@leahmwakapala5564 Жыл бұрын
Mungu amtunze Laila
@getrudahiasint3198
@getrudahiasint3198 Жыл бұрын
Kwa kweli ametufundisha mengi. Nilishindwa kukomenti mengi nilikuwa busy darasani
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thanks dear
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Жыл бұрын
Nimempenda bule huyu dada mungu ampe nguvu hakika
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt Жыл бұрын
Hakika
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Жыл бұрын
Laila is cute!intelligence also
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Very smart
@atispesaagan3570
@atispesaagan3570 Жыл бұрын
Wow...ningependa huyo dada anihusishe nipata mume huko kwao mwenye atanikubali
@MERCYMUYABILI
@MERCYMUYABILI 21 күн бұрын
Waau
@cathypeter
@cathypeter Жыл бұрын
Ni kipenzi chetu kweli aswa
@ghislaineanifa637
@ghislaineanifa637 Жыл бұрын
God bless you Leila ❤❤❤
@boscomalangalila
@boscomalangalila Жыл бұрын
Nimepata Elimu juu ya HIV Mungu akubariki
@Manuella966
@Manuella966 Жыл бұрын
Why are u so happy Laila? I am breaking just imagining what you've gone through😢😢
@amneriyami2409
@amneriyami2409 Жыл бұрын
M/mungu ampe maisha marefu
@LucyMassay
@LucyMassay Жыл бұрын
Mungu akubarik dada tumain kubwaaa
@fridanyoni2867
@fridanyoni2867 Жыл бұрын
DADA SHENA NAOMBA NAMBA YA LEILA TAFADHALI
@celestinas_world
@celestinas_world Жыл бұрын
Tunaeza kuja hapo Norway
@fridanyoni2867
@fridanyoni2867 Жыл бұрын
Leila naomba namba yako nakupenda kuwa muwazi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Uyu Dada anafaa kupewa tuzo ya jasir kwakweli, dah, shukran kipenzi kwa hii interview, inatupa nguvu ya kutokata tamaa kwakweli.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Very true 🔥🔥
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
kabisa aseee da saumu
@akothsewe734
@akothsewe734 Жыл бұрын
Asante sana kwa hii story. Imenigusa sana! I'm your new Subscriber. Greetings from Germany
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thank you so much 🙏
@cecilliasenya4588
@cecilliasenya4588 Жыл бұрын
Sending my love to her 😍😍😍😍
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 Жыл бұрын
Nakupenda sana
@mariamtumwebaze389
@mariamtumwebaze389 Жыл бұрын
Bambiiii mwenyezi mungu ni mkubwa uganda wendi wano mukwano 😘😘😘😘😘😘😘
MREJESHO WA DADA MWENYE HIV ALIYEKUWA ANAJIUZA MWILI UBUNGO
26:02
Maximum Tv Online
Рет қаралды 65 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
ALICHANA PASSPORT YANGU | ALINITELEKEZA NIKIWA MJAMZITO KWENYE NYUMBA ILIYOISHA KODI
1:25:46
Mrembo mwenye UKIMWI akielezea stori yake
5:09
EastAfricaTV
Рет қаралды 134 М.
HIV Journey Through Tears | 2024 Recap
23:43
Raif Derrazi
Рет қаралды 31 М.
NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
29:38
DOREEN AWEKA WAZI KUISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI
5:17
Wasafi Media
Рет қаралды 17 М.