HII PIA NI DHAMBI, USIIDHARAU // 7 AUG. ANZA NA BWANA

  Рет қаралды 3,800

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Mithali 19:21
Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 94
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 Ай бұрын
Mungu mzima wewe ndiye nguvu zangu tafadhali Bwana Mungu upigane na wanao pigana Nami kiroho na kimwili 🤲🙏🧘🧘‍♀️🧎🧎‍♂️🙇🙇‍♀️🙇‍♂️💥♨️🔥🔥☄☄🔥🔥☄🙏🙏💪💪
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 Ай бұрын
Amina
@user-zg6ek5kk6z
@user-zg6ek5kk6z Ай бұрын
Nakushukuru sana MUNGU wangu kwa jinsi unavyotupambania wanao. Kwa kweli unatupenda HAUTUPUNGUKII! Zidi kutung'arisha nakuyafanikisha maisha yetu.
@jamilanjeri2173
@jamilanjeri2173 Ай бұрын
Amen and Amen 🙏
@mishikazungu8028
@mishikazungu8028 Ай бұрын
Amen Amen ❤❤
@JosephinaLeonard
@JosephinaLeonard Ай бұрын
Ni siku njema iliyofanywa na BWANA mwenyewe katika kututia nguvu AMEN 🙌🙏
@ChazkKasubi-le4dj
@ChazkKasubi-le4dj Ай бұрын
Amen 🙏
@GabinKamwanggabin
@GabinKamwanggabin Ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏
@user-vo7ss5tz1l
@user-vo7ss5tz1l Ай бұрын
Asant yesu
@maureennaliaka8936
@maureennaliaka8936 Ай бұрын
Mungu wangu wewe ndiye nguvu zangu kila kitu kwangu naomba uzidi kuwa nami 🙏🙏🙌
@adolphinemuswamba1059
@adolphinemuswamba1059 Ай бұрын
Asante sana MUNGU wewe ndiye nguvu zangu ,bwana unilinde karibu na wewe yesu
@user-xu7km4xx8u
@user-xu7km4xx8u Ай бұрын
Amen 🙏🙏
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 Ай бұрын
Asante Yesu Amen Amen 🙌
@Alexis-y8l
@Alexis-y8l Ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwa hii neema kubwa
@uwimbabaziesperance8478
@uwimbabaziesperance8478 Ай бұрын
Asante Yesu,unanitafutia ushuhuda
@JonathanKanymbo
@JonathanKanymbo Ай бұрын
Ee,mwenzi MUNGU asante san kwa uzima nakukushkru san Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Mommy4147
@Mommy4147 Ай бұрын
Amen Asante yesu kw ulinzi unao nipa
@gladysnjeri282
@gladysnjeri282 Ай бұрын
Asante yesu kwa waminifu wako
@Welema-pj4dy
@Welema-pj4dy Ай бұрын
Asante yesu
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Ай бұрын
❤❤E Mungu Nikushukuru kw kila jambo unalotenda katika maisha yangu unikumbuke familia yngu usiwache ponya magonjwa yanayo wasumbua😢
@user-wv7gt8xw3i
@user-wv7gt8xw3i Ай бұрын
Amen🎉
@laulenceakisigiro
@laulenceakisigiro Ай бұрын
Asante mbwana asante mungu kwa neema hii ya wakati huu amen
@benadethamlay3395
@benadethamlay3395 Ай бұрын
Asante Massi eeh Jehova nakushukru kwa kibali hiki cha maisha nivushee Baba mwezi huu 8 nikumbuke Baba katika Jina la Yesu
@rehemanyachuma9077
@rehemanyachuma9077 Ай бұрын
Asante Mungu endelea kunipigania hii vita ni yako peke yangu siwezi🙏
@jamilanjeri2173
@jamilanjeri2173 Ай бұрын
Asante Mungu wangu
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
Mungu ni nguvu kwangu nijaliya neema kubwa uka nishushiye roho mtakatifu
@user-sj8os4zl5l
@user-sj8os4zl5l Ай бұрын
Amen 🙌🙌🙏🙏 Amen najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia napokea ukombozi wa wangu
@rashidiabala4075
@rashidiabala4075 Ай бұрын
Asante MUNGU
@assfmam9373
@assfmam9373 Ай бұрын
Mungu nipe guvu niweze kushida shetani
@Milca-g5d
@Milca-g5d Ай бұрын
Asante MUNGU kwa uhai tusiyolipia ninayo sababu ya kukuabudu
@GeorgeNdalawa
@GeorgeNdalawa Ай бұрын
Ameen
@Welema-pj4dy
@Welema-pj4dy Ай бұрын
Yesu asante endelea bwana kunilinda pamoja na familia yangu
@user-xu7km4xx8u
@user-xu7km4xx8u Ай бұрын
Eeee mungu Asante kwa uzima na ulinzi siku ya yaleo
@oman5875
@oman5875 Ай бұрын
Amen,Asante Mungu kwa ajili yangu juu maisha yangu maan bila wewe mi si kitu chochote 🙏🏿🧎
@MnyabiGang
@MnyabiGang Ай бұрын
🙏🙏🙏 asante MUNGU
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
nikweli Mungu ni mwema sana kwangu
@user-ld1uj2gz4z
@user-ld1uj2gz4z Ай бұрын
Aksante saana kwa mema yote Mungu Baba amenitendea
@EsterMapesa-sq5xf
@EsterMapesa-sq5xf Ай бұрын
Asante Mungu kwa kila hatua ninayopitia
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 Ай бұрын
Asante sana Mungu nakushukuru kwakuwa nitabaki nawewe kwenye maisha yangu 🙏💪💪💪💪💪💪
@MwanaishaYaa
@MwanaishaYaa Ай бұрын
Amen 🙏
@user-xy6wb5vw1f
@user-xy6wb5vw1f Ай бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya afya yangu na ushindi unaonipa kila siku
@biannapiter554
@biannapiter554 Ай бұрын
Amina mungu ni mwema San🙏🏻
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
yeye kwangu amenitendeya mambo isiyo ya esabu zaidi iyi uhai,na mambo mengi ya sapristi
@mechasabina4672
@mechasabina4672 Ай бұрын
Mungu wangu nisaindie kuyashida majaribu 😢😢😢
@ZaifathAhmadnapokea
@ZaifathAhmadnapokea Ай бұрын
Asante mungu
@daliaangelo3242
@daliaangelo3242 Ай бұрын
Asante Mungu kwa kunisaidia
@salomemwangi406
@salomemwangi406 Ай бұрын
Glory to God 🙏
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga Ай бұрын
mungu tusadiye🧡❤️💙🙏💛🎉🫣😃🩷♥️🤲🥰😭🙂‍↔️
@user-xu7km4xx8u
@user-xu7km4xx8u Ай бұрын
Eee mungu pigana nawanao pigana nami
@edwinamele-lu2ss
@edwinamele-lu2ss Ай бұрын
Amen 🙏 nisaidie ee Bwana nikushukuru kila wakati
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 Ай бұрын
Ameeeeeen sana Mungu akubariki sana Pastor. 🙏🙏
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
Thanks for Reminding us Ubàrikiwè sana "
@uweraclotilde8837
@uweraclotilde8837 Ай бұрын
Amen Mungu niwezeshe katika hili
@victoriaaman6628
@victoriaaman6628 Ай бұрын
Amen Mtumishi Asante sana Mtumishi 🙏
@ReyMichael-y1x
@ReyMichael-y1x Ай бұрын
Amen Asante Mungu Kwa afya njema
@rebeccabrown5135
@rebeccabrown5135 Ай бұрын
Amen asanti Mungu yu mtetezi wangu kila wakati ❤❤
@VioletMgonja
@VioletMgonja Ай бұрын
Asante sana mungu bwana ulinzi wako
@florencenshimi9353
@florencenshimi9353 Ай бұрын
Mimi namshukuru Mungu maana angetuonyesha yote tupo ambao tungekufa kabla ya wakati wake.
@IlhamMwankuga
@IlhamMwankuga Ай бұрын
Kwel mungu n Kila ktu jmn Asante bhn umentenda makuu
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Ni kweli kabisa mm binafusi bila MUNGU NISINGEKUWEPO YAANI USIKU KUNA VITA KUBWA SANA LEO NIMEAMUKA NIPO VIBAYA ILA NIKAOMBA NIMEPONA
@sophianelson7986
@sophianelson7986 Ай бұрын
Sophia ❤
@PaskaziaVidastus
@PaskaziaVidastus Ай бұрын
Asant Mungu kwa uzma
@FlorenceIrakoze
@FlorenceIrakoze Ай бұрын
Asante mungu kwa néema yako kwangu
@adolphinemuswamba1059
@adolphinemuswamba1059 Ай бұрын
Shalom
@user-we4dp3ge3i
@user-we4dp3ge3i Ай бұрын
Asante mungu wangu hata kwa pumzi unayo nipaa vita nia kubwa sanaa mpaka sasa sielewi nipigane na nan? Nasema asante kwa kupitia mtumishi wako kwa neno la barakaa
@uweraclotilde8837
@uweraclotilde8837 Ай бұрын
Asante Mungu kwa siku ya Leo
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 Ай бұрын
Emeeen
@setds-ey2qs
@setds-ey2qs Ай бұрын
Asante mungu nisaidie kwa maisha yangu
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga Ай бұрын
Mungu upiganenaopinganan o
@ezekielwilliamtz
@ezekielwilliamtz Ай бұрын
Amina mtumishi
@GodfreySadiki-e1p
@GodfreySadiki-e1p Ай бұрын
🙏
@waitheramwangi3558
@waitheramwangi3558 Ай бұрын
🙏🙏
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga Ай бұрын
Asantesana
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo Ай бұрын
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 Ай бұрын
Amen amen 🙏 🙌 👏 ❤
@kelvinsinkamba5835
@kelvinsinkamba5835 Ай бұрын
naamini yupamoja nasikila wakatu MUNGU nimwema nyakatizote❤❤
@user-zg6ek5kk6z
@user-zg6ek5kk6z Ай бұрын
MUNGU USIYESHINDWA,NINAKUSHUKURU KWA KILA NA JAMBO. msaidie binti yangu NASALI apate na mkopo,lkn ya pia Scolastica Jaspa JAGADI apate na nafasi Nafasi CO this time
@isakatito2276
@isakatito2276 Ай бұрын
Barikiwa sana pastor innocent
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo Ай бұрын
3:13 3:16 3:17 3:18
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga Ай бұрын
🙏🤲😆🙂🙏🥰💝😀😆😀
@MerryMwailoka
@MerryMwailoka Ай бұрын
Amen
@LucieGolden
@LucieGolden Ай бұрын
Amina
@bithwangi1008
@bithwangi1008 Ай бұрын
Asante yesu
@tunuhaji
@tunuhaji Ай бұрын
Asante mungu 🙏
@user-xu7km4xx8u
@user-xu7km4xx8u Ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 Ай бұрын
Amen 🎉
@DelaneyWambui
@DelaneyWambui Ай бұрын
Amen amen Asante MUNGU kwa ujumbe huu mzur
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
Amen
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
Amen
@suzanmungai7373
@suzanmungai7373 Ай бұрын
Amen
@user-xu7km4xx8u
@user-xu7km4xx8u Ай бұрын
Amen
@SaraMpozi-nf1yk
@SaraMpozi-nf1yk Ай бұрын
Amen ❤
@CalistaMichael
@CalistaMichael Ай бұрын
Amen
@JosepherHerman
@JosepherHerman Ай бұрын
Asante Yesu
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 67 М.
LIVE: MAOMBI YA VITA // KUPAMBANIA HAKI YAKO
46:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 17 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
NJIA SAHIHI YA KUSHINDA VITA INAPOINUKA // BE SMART ENOUGH
9:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4 М.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 179 М.
TAMBU NDOTO HATARI ZA USIKU // UNAOMBAJE
7:39
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,4 М.
SIRI NZITO YA KIROHO NYUMA YA SIKU YAKO YA KUZALIWA // BIRTHDAY
9:01
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 19 М.
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 124 М.
#LIVE: KWA ISHARA HIZI, MTAFUTE MUNGU KWA BIDII  // Monday 24,2024
1:18:53
#LIVE: MAOMBI YA REHEMA,MSAMAHA NA TOBA  // Saturday 25,2024
1:18:10
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 5 М.
Jomireso voices Tz - Sheria (Official Video)
3:52
Jomireso voices Tz
Рет қаралды 101 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14