Kikubwa point 3 kuliko kupoteza naipenda YANGA daima mbele nyuma mwikoooooo 💚💚💛💛 Iman yang YANGA bingwaaaa kwa uwezo wa Allah inshallah
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Mungu awajalie wachezaji wote na viongozi wote Afya ya mwili na Roho ili mzidi kuipambania team yetu🎉🎉
@Elasmo_mwinamiАй бұрын
Kwa wale wanao fuatilia mpira wa yanga tangu miaka mingi Mbeya na Kagera tumekuwa tukipata matokeo kwa shida sana , kwa wanao jua soccer Wana fulahi yanga kushinda goal Moja juzi
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Kweli kabisa
@gervas58Ай бұрын
Na Iringa
@user-MIO5pu1iv7oАй бұрын
Kweli yani dahhhhhh sijui all in all Yanga bingwa
@LilianBitwaleАй бұрын
Kabisa aiseee sema saiv wameshtuka kwakuwa Ile mikoa sumbufu ndo imekuwa ya Kwanza kuanza nayo, nakumbuka msimu uliopita tulianza na team za kawaida tukafunga nyingi tuu hyo mikoa sumbufu ilikuwa baadae hakuna walioshtuka kuhusu matokeo kwahy mi niwaambie tuu wawe wapole yajayo yanafurahisha 🎉
@BullahSambigaАй бұрын
Sema semaji la mabingwa tunakupenda sana 💚💛💛💛💪
@MariamZanzibariАй бұрын
Allah awape afya uongozi wetu na maandalizi mema ya cku ya juma2 kmc tutawafuturu
@@Carolina-sm5ztmmechanganikiwa tangu lini magoli anashikilia mtu kazi tunayo
@ABDULAbdallah-pw9lwАй бұрын
Wanajidanganya sana yanga hua hatuna papala endeleen kujipa moyo kwamba munachukua kombe nyinyi makolo labda kombe la uji
@AllicePaulllineАй бұрын
Hatstand kubali kumachia mtu point retur. God bless YANGA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rukiakyaka1827Ай бұрын
Mashaallah nawapenda sn watoto wangu M/Mungu awalinde na mabaya Inshaallah
@perepetuajohnАй бұрын
Hongera sana benchi la ufundi na wachezaji wetuuuu🎉🎉🎉🎉💚💚💚💛💛💛💛💛💛🙏
@thobiaskasian6560Ай бұрын
HERSI NAPENDEKEZA YANGA IWE NA RADIO YAKE ILI MECHI ZA YANGA ZIJADILIWE NA YANGA RADIO MANA NAONA RADIO ZINGINE KILA SIKU N KUIPONDA YANGA ILI KUITOA MCHEZONI
@Shebe_traLoveАй бұрын
Hakika kazi nzuri semaji hakika tuna injoy kwenye app yetu uku
@sebastiansalamba313Ай бұрын
Sema usiogope sema
@monicalucas3738Ай бұрын
Uko sahihi Kamwe wachambuzi mi nawasikiliza sana kabla na baada ni vituko,ila ss haturudi nyuma na jawatutoi mchezoni.
@MustafaMapande-n6eАй бұрын
Kilubwa point 3,magoli mengi yatakuja tu
@selemanmcharazoАй бұрын
Technical bench inatokosea wachezaji hawa waaminiwe wote mchezaji akipewa game time anafanya vizuri hivyo kocha mbona anashindwa kumpa Andabwile hata dk 15, Sureboy,Magolikipa tunakoelekea kubaya kina shekhani ni kuua vipaji vyao wakati wa Nabi rotation iliwepo na asilimia kubwa ya wachezaji walipata nafasi na unbeaten.
@aminaomari2312Ай бұрын
Viwanja vya mbeya na kaitaba ni vigumu kwa yanga ndio maana Gamondi hataki kubeti na plan imemlipa msimu uliopita yanga alifungwa mbeya.
@agustinongatungaАй бұрын
unanza kulalamika hii nimechi ya pili2 alafu tupo ugenini je ingipoteza wwe ungekuwaje
@sebastianfabian-mt5whАй бұрын
Guys fans kazi yetu ni kushangilia timu ,maswala ya wachezaji tualiachie benchi la ufundi
@perepetuajohnАй бұрын
😁😁😁😁 ila wewe semaji LETU unatupa Raha sana na kuwakeraaaa waleeeee.......... watamalizia
@PaulHuncho-v3uАй бұрын
nimekuelewa sana mwenyekiti wa wasemaji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ArnoldRwegasira-hp9gtАй бұрын
Safi sana hiyo ya audio nimeipenda
@makamezubeir973Ай бұрын
Kaka Ali Kamwe Naomba Namba yako ya Simu Ahsante
@johnkamira2236Ай бұрын
That’s true.timu pekee ina laumiwa kwa ku fungwa.
@--------GEO_SPORT_EARTH_EAАй бұрын
Well said Msemaji wa #wananchi
@claratango9262Ай бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@KangombaFurnitureАй бұрын
Safiii sana brother
@KiloMkundawantuАй бұрын
Wachezaji wanapoteza nafasi zawazi za kufunga so, kocha akalifanyie kazi kwenye uwanja wa mazoezi 🎉❤❤
@GraceSamwel-y6yАй бұрын
Mungu aibariki yanga yetu naipenda yanga
@careemdulla1629Ай бұрын
Waambie Semaji wanazinguaga sana mashabiki
@aishabakari8040Ай бұрын
Wachambuzi sijui wakoje 😢 wanatowa sana code utaskiwa ukitaka usifungwe na yanga we kanyuma
@aminaomari2312Ай бұрын
Huwa wanatumwa hawa sio bure.
@theodorahcharles4183Ай бұрын
Nyuma watakaa na kufungwa watafungwa
@LilianBitwaleАй бұрын
Shangaa na wewe Yan yanasema hivo half wakikaza nyuma tukakosa magori mengi wanarud tena na midomo Yao kama panya mshushwe et Yanga haifungi magori mengi mxsiiiiiiiiuuuuu zao
@HagaiMwakarukwaАй бұрын
Mwenye group la yanga bas
@maguwarecord5605Ай бұрын
Wa Tano Leo naomba like zenu wapendwa Wana yanga
@mwajumampokileomckapela7541Ай бұрын
Semaji kama semaji 💛💛💛💛🖤🖤🖤🖤🔰🔰🔰
@moiseszacariasmoisesmoisesАй бұрын
kaka wew unajuwa kufafanua vyema 🎉🎉
@allymloti7738Ай бұрын
Kweli hata. Mm sikuangalia hiyo mechi
@MnangwaOmari1971Ай бұрын
9+4 😂😂😂😂😂! Young African Taifa kubwa! Kamwe Waeleweshe vzr hao!
@MalinoKadwame-u1cАй бұрын
Kamwe❤❤❤
@rachelcheyo-p5zАй бұрын
Love yanga
@EdwardSanareАй бұрын
Kikubwa point 3 sio magoli
@FRANKNCHEYE-wk8czАй бұрын
Daima mbele nyuma mwiko🔰🔰🔰🟩🟩🟨🟨🟩🇹🇿🇹🇿
@monicalucas3738Ай бұрын
Kikubwa points 3muhimu, Selema nawe nenda ukatafute timu uwe coacher then ukacheze na timu ngumu ufanye rotation yako achana na Yanga kafie mbele uko.
@ShabaniMussa-f3kАй бұрын
Kikubwa point
@ShabaniMussa-f3kАй бұрын
3
@FloraKamanziАй бұрын
Hii inafikirisha sana, tumeanza kufosi tena Jamani
@Shimbi-f9xАй бұрын
Yanga always is greater
@AkramJuma-b5rАй бұрын
Ahsante mwenyekiti
@AkramJuma-b5rАй бұрын
Mm nimmoja wao ckuangalia mpira jana
@eliaszephania3115Ай бұрын
Sema yanga akili mingi hongera kaka kamwe. Kwa kuupiga mwingi
@ashuramhandoashuramhando6798Ай бұрын
Semaji la Mabingwa 💚💛💚💛💚💛💚💛🙏🙏
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤asante ni
@EdinaSamwelАй бұрын
Ilaaa...kamwe eti vingunguti united na kiluvya united
@HamisiUlizaАй бұрын
💚💚💚💚 yang bigwa
@DelphinusBenedictoАй бұрын
Wapi like zenu no 1 hapa
@MwajumaOmari-t5gАй бұрын
Namba 1 asante😂
@shaibusaady2420Ай бұрын
Allaah Akbar
@joelympemba7912Ай бұрын
Gamondi awe anafanya rotation kwa wachezaji, kila mechi ni wale wale tu wakati timu inawechezaji bora wote
@mikanolmwanoАй бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@LindaMbilinyi-n3nАй бұрын
Utajifurahisha sanaaa mwaka huu mnaujua ukwel wa Simba safar hii
@henelckneatunga2720Ай бұрын
WEWE SIMBA HAWAWEZI KUISUMBUA YANGA HII YA MOTO SANA.
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
alafu kolo anavojisifu sasa hahahaha mpaka aje apigwe tena 7 xingine ndo akili ifakaa sawa
@ElizabethKimaro-v1rАй бұрын
ila ww ALLY KAMWE si useme tyu kuwa ni SIMBA na sio watu walioko juu😀🤣🤣🤣😂
@ramadhaniiddi9930Ай бұрын
Kwli kabisa
@AhmadRashid-x1iАй бұрын
Ombi langu kwa uongozi tupate msanai mmoja atutungie nyimbo ambayo utajuwa sgini yetu ambyo tunaweza kuimba uwanjani ikiwa ni moja ya njia ya kuwatia hmasa wachezaji ambpo wachezaji wakiiskia hyo wajue leo kinatakiwa kiwake kma Liverpool wanfanya hko ulaya
@siwatumpagama1404Ай бұрын
Kabisa yaani
@PaulHuncho-v3uАй бұрын
yanga bingwa
@AllyMikidadiAlly-v5fАй бұрын
Kumbuka Ihefu imewahi kututoa jasho kwenye shirikisho ikiwa haijapanda daraja mpk mikwaju ya penalt.
@matrida.lunyilija5196Ай бұрын
Hata makolo walitolewa na mashujaa kabla haijapanda ligi kuu,usijizime data
@JorvinVerdastoАй бұрын
@@matrida.lunyilija5196haha😅😅😅 nimecheka san
@fatmasuleiman3885Ай бұрын
Hayo maji mbona hatuyaoni maduka ya jumla? Tuwekeni maji tununue tuongeze furaha zaidi sambazeni wilaya temeke Lumo na yombo vituka leteni maji Daima mbele nyuma mwiko🙏
@ShebbyTrickshotsАй бұрын
Hayo maji mtuletee na moro town 😊
@rehemawamwarami3854Ай бұрын
Like tafadhali Kama unamkubali kamweee
@marthamjandwa4325Ай бұрын
Mm naomba tuwe tunashangilia kwa pamoja kama mataifa menginee tubadilike siyo kila siku tunatoa lawama tu pia kocha ampe nafasi kibwana na bareke
@alphajonathanurio1227Ай бұрын
Wambie hao makolo na ofsaid zao
@HisboneMwakipesileАй бұрын
Pulapu pulapu xemajiii letuuuu Tia neno jaman kwenye comment kuhusu semajiii le2
@ZaydShafiiАй бұрын
Mmetisha
@boscomwanisongole9173Ай бұрын
Huyu mtoto anashombo sana
@aishahaji3128Ай бұрын
Kamwe mie nataka siku moja unialike niwapikie Biriani la kinzanzibar
@johnsongerald9660Ай бұрын
Amuwezi kubeba ubingwa bila kubebwa mlifungwa refa akawa beba😂😂😂
@sharafisaidi7999Ай бұрын
Nakuunga mkono hata jana baada ya mpira kuisha nilisema Azam kuitwa daby si saw bado san ijajipange upya
@blacknighttv7148Ай бұрын
Wape wapeee midomo yao inakelele sana wanaachiana magoli wakikutana na yanga mishipa inawatoka
@MwanahamisMbegaАй бұрын
😂 umeon eee
@ZahariaKassimuАй бұрын
Bareke acheze mwambieni kocha
@LusiaJohn-mv4xdАй бұрын
daima mbele nyuma mwiko
@margarethluhanga8051Ай бұрын
True say Mimi mwenyewe sijaangalia Azam is boring ikicheza na Simba
@aminaomari2312Ай бұрын
Ni kweli huwa haina maana ikicheza na simba na wakifungwa wala hawaumii.Azam hovyo sana wala hawajui wanataka nini.
@LilianBitwaleАй бұрын
Half kweli yan michambuzi mavi ndo inafanya mech za yanga zinakuwa ngumu sana shubamit
@felistasimon4811Ай бұрын
Pokea tano mwananchi
@LukasChavalaАй бұрын
🔥🔥🔥🔥
@fatmasuleiman3885Ай бұрын
Aliy hao wanafiki hawapendi yanga ishinde tena wanatamani tufungwe
@edinamwanasenga1584Ай бұрын
Yanga mbigwa
@ashuramhandoashuramhando6798Ай бұрын
Jana walikutana Pipa na mfuniko😂😂
@HamisiLuwamboАй бұрын
Nyie mbwaa laana inawasumbua 😂mtatesekaa nahii simbaa paka mtakoma badala mzungumzie tiem yenu ally kamwe ni simbaa 😂😂😂😂
@fatumaaybu8648Ай бұрын
Umefata nini huku we mkia
@matrida.lunyilija5196Ай бұрын
@@fatumaaybu8648Anawashwa mkia huyo hahahahaha
@siwatumpagama1404Ай бұрын
Itakuwa na wewe mbwa umefuata nini huku kwa mbwa kama wewe sio mbwa
@bonifassimon7909Ай бұрын
Uzuri kwangu nilishawafuta wachambuzi badala yake nimehamia mpemba comedy na filam yake ya kina fuvu,sheikh mtoi,kitundu,bi kachala,bi mlole na wenzao kina mjomba nchumari
@philemonmasambe761Ай бұрын
👌👌👌
@PaulHuncho-v3uАй бұрын
walicheza bi mdogo na bi mkubwa ,kiufupi wanagombea bwana wao yanga.
@shafiimohamedi311Ай бұрын
Hapo kwenye taarifa tumefanikiwa
@rukiakyaka1827Ай бұрын
Inshaallah Aamina
@gabrielmchau8764Ай бұрын
Vitoto vya simba vina mdomo sana
@AlexandarmsafiliАй бұрын
Kamwe kuhusuwatu tunayowafatilia tukiwa inchizainje tunafanyeje kuhusu habali za yanga
@YusufuMwamlengaMwamlengaАй бұрын
Endeleeni kukariri hivyo hivyo,msimu huu tuna nyie😅😅,msimu huu hakuna maduka😅😅
@rich-dreamersАй бұрын
Tutanunua mpaka sanda zenu.
@YusufuMwamlengaMwamlengaАй бұрын
@@rich-dreamers mpaka mseme,na mtasema, na bado hamjasema
@leemabibaphotography8053Ай бұрын
Semaji sisi tupo na yanga mpaka kufaa
@brycesonmathias6112Ай бұрын
Kamwe Pacome aambiwe apunguzekupaka rangi akiwa na mpira atoe haraka mpira
@timamulitutoАй бұрын
ata mm sijangalia panya lod
@ZubedaHamisi-d3bАй бұрын
😂😂😂😂😂ila ali
@shku-s5jАй бұрын
Bado ujasema
@minazsaid2470Ай бұрын
Wahimizeni mashabiki na wanachama wa Yanga wavae jezi uwanja utapendeza