Simba wanafafuta new signing ya golikipa haraka iwezekanavyo, ally salim ni mzuri kwa vipindi sio wakati wote
@adrianorayner6551Ай бұрын
Niambie mechi ngapi alizo haribu ?
@CeomadmaxАй бұрын
@@adrianorayner6551zote muhimu klabu bingwa ameharibu lile goli alilojifunga akaliingiza mwenyewe tukafa 1-0 sijui ilikuwa wydad ile tukatoka mapenati dogo anamawenge sanaa ndo shida ila alikuwa anakuja vizuri
@Philosophy219Ай бұрын
Sio kweli
@stevekassanda5303Ай бұрын
Golikipa BRO Salimu apo utakua umeuwa, Daah! Umenipangia kikoc kama umeme! WEE BALAAA💕❤️💪🔥🔥🔥🔥🔥
@elibarikilaizer5676Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ ayubu 1
@FreddyGatiАй бұрын
Tunashukuru mungu
@ricardomichael5065Ай бұрын
Ubaya Ubwela ❤️😂.
@edwardmizambwa237Ай бұрын
Soccer Data, kweli ni wa mpira hashwa. Unafaa kuwa kocha kuanzia na Ndondo Cup.
@musamkembela1395Ай бұрын
Safi sana
@BADILIJUSTUS-fs3ooАй бұрын
😅😅😅 soccer data umebugi leo tunapinga kabisa Joshua mtale ni chaguo namba moja la kocha kama haujui, mwenyewe kocha amesikika akimkubali kuliko ata ahou ,
@SoccerData.Ай бұрын
Kwani Mutale kawapa nini?😂
@BADILIJUSTUS-fs3ooАй бұрын
Kaendana na anavyotaka kocha coz kocha mwenyewe alisema kuwa ameadapt mfumo kwa haraka, namnukuu kocha alisema Joshua mtale anaskills speed mzuri kucheza one angainst one pia anasaidia ulinzi akamalizia kuwa "he is a good player with everything"
@BADILIJUSTUS-fs3ooАй бұрын
Lakini binafsi yangu nakuapriciate sana sana kwa uchambuzi pia nakufatilia sana in short shorts I love what you do so don't be angry to me, all the best
@johnjoseph9596Ай бұрын
Uchambuzi mzuri brother
@rahimjuma5894Ай бұрын
Hussein abeli au shekh
@SoccerData.Ай бұрын
Au sio?!
@Abdulhamisi-xm4ogАй бұрын
Wa kwanza nipen like zangu
@antonymodestus2872Ай бұрын
Debora felnandez nje umezingua unazeeka broo
@SoccerData.Ай бұрын
Ndio uanze kunisalimia sasa,,, maana nina Mvi
@abubakarjuma443Ай бұрын
Ali Salim
@tenendeabdallah2755Ай бұрын
PAMOJA NAWE
@asifiwemwasimba4933Ай бұрын
Leo mchambuzi umefeli sana yan kiufupi umeniangusha mutale akar nje are you serious
@SoccerData.Ай бұрын
Tujipe muda kwanza,,,, modern football na mawinga ni kazi ngumu kuweka imani 100% kwao
@AbdallaKhamis-m6iАй бұрын
Hussien abeli
@samponews1689Ай бұрын
Fanya ata mtu akiwa wa kwanza unamtag kwenye uchambuz ujao🎉😂
@husseinpetro8615Ай бұрын
Ni kweli
@SoccerData.Ай бұрын
Sasa hapa wa kwanza ni yupi?😂
@samponews1689Ай бұрын
@@SoccerData. Si mm mkuu au hauon😂😂
@hamisimtente2126Ай бұрын
@@SoccerData. Kwani kua wakwanza na mm kua wamwisho inakuje wote tumeo jiwe ulioshusha bro
@SoccerData.Ай бұрын
@@hamisimtente2126 haya nimekupa ukwanza😁
@nelsonbaregu8942Ай бұрын
Abel
@yasini6027Ай бұрын
Amakweli ndoto imetimia kwa usajili huu
@rodgersmwagu239Ай бұрын
Uhakika
@Shemahonge-ku7xxАй бұрын
Alisalimu
@ZawadielNyauАй бұрын
Cjapenda kumwita chamou kuni kenedy juma aliyechangamka😂😂😂
@ricardomichael5065Ай бұрын
Uchambuzi Mbovu.Nakwataarifa Yako Sasa Huyo Fred ,Ngoma Na Onana Wote Out.
@bone102Ай бұрын
Sawa msajili wa Simba
@husseinpetro8615Ай бұрын
Lete uchambuzi wako Kwa takwimu
@triplea3463Ай бұрын
Duh mpka Ngoma tatizo hujui ubora wa Ngoma
@CeomadmaxАй бұрын
Ngoma hapo hatakiwi kabisaaa yaan una mtu kama Bruno fernandez box to box ile inafaa sanaaa apo kati ila ngoma kupata juu sio mwepesi mda mwingi anakaa nyuma na kutoa pasi ndefu basi ila debora fernandez anaweza kudribble akapanda juu na kutoa pasi pia mwepesi na mnyumbulifu sanaa kama ni mtu mzima naiman sana na zimbwe na che malon fondoh
@BADILIJUSTUS-fs3ooАй бұрын
@@Ceomadmaxpia naona mtale akianza so soccer data kazingua leo😅😅😅
@hamisimtente2126Ай бұрын
Abel anze
@scollamwanisisi2739Ай бұрын
We piga kazi tu watu hawadhamin wanataka watajwe😂😂😂😂
@sailoo5722Ай бұрын
😂😂😂😂
@abakuriatv3351Ай бұрын
Tumeanza kuchoka na ww sasa kila content Simba Simba simba
@frayy5595Ай бұрын
Em kanywe maji mbona siku nyingine anachambua yanga usituchoshee apa😂
@abakuriatv3351Ай бұрын
@@frayy5595 angalia chambuzi zake 10 za mwisho
@DBIRoboticsАй бұрын
Simba ni tamu kuliko yanga
@abakuriatv3351Ай бұрын
@@DBIRobotics amka naona utakojoa kitandani
@johnjoseph9596Ай бұрын
Mbona anachambua zote ww ndo hufuatilii chambuz zote anazotoa