Hiki Kilimo kina "PESA" kuliko vyote, Kujenga Majumba & Magari ya Kifahari, Kuvuna kwa Muda Mfupi

  Рет қаралды 50,529

RUBABA TV

RUBABA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@ZakariaJuma-wb5lq
@ZakariaJuma-wb5lq Жыл бұрын
Namna ya kuvuna rozella(karkadee)maana napata tabu sana kuichambua rozella moja moja nishauri kama kuna njia nyengine ya kutumia
@ndizundizu3151
@ndizundizu3151 2 жыл бұрын
Nimefuatilia maelekezo nashukuru nimkulima wa vitunguu mapatikana Nzega
@AbdihakimMohamedy
@AbdihakimMohamedy 3 ай бұрын
@@ndizundizu3151 vp kilimo cha vitungu kinalipa na vp changamoto zake mm naishi marekani ila nyumbani ni tabora mjini
@MbarakasadikiZegega-d5x
@MbarakasadikiZegega-d5x 19 күн бұрын
Naitaji namba za whatsApp
@nicodemshello163
@nicodemshello163 4 ай бұрын
Unasema kweli kabisa
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Congratulations br
@JamesLaizerMoko-l8t
@JamesLaizerMoko-l8t 7 ай бұрын
Biashara gani ya kilimo unaweza kuanza ukiwa na mtaji mdogo? Tafadhali nahitaji majibu ili nielewe
@RubabaTv
@RubabaTv 7 ай бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@JEFF-jr1tc
@JEFF-jr1tc 3 жыл бұрын
Rubaba bhana ......yaan hii sawa na stories za vijiweni maana saivi washauri wengi vitendo chenga tu..,😎
@RubabaTv
@RubabaTv 3 жыл бұрын
Kama unaamini hivyo ni sawa pia 🤝
@shijamalale
@shijamalale 11 ай бұрын
Hivi kilimo ni utajiri
@WahabuKombo
@WahabuKombo 3 ай бұрын
Je bamia ni matunda?
@adoumpmoussah939
@adoumpmoussah939 3 ай бұрын
Bamia ni Okra kwa english ,angalia kwa you tube,utaiona
@tedymsengezi4176
@tedymsengezi4176 2 жыл бұрын
Mbona mnatuwekea picha ya Ginimbi
@athanaskitime1484
@athanaskitime1484 3 жыл бұрын
Lubaba TV una tukosa baadhi ya views kwa sababu unaleta story Ambazo ni maneno tu, tunataka fact, kama ni ufugaji fanya interview na wafugaji live, kama ni wakulima fanya interview na wakulima sio story Ambazo kila siku hata tuki ingia kwenye magrup ya WhatsApp tunapata
@RubabaTv
@RubabaTv 3 жыл бұрын
Sawa tutalifanyia kazi 🤝
@RubabaTv
@RubabaTv 3 жыл бұрын
Lakini pia jitahidi kusikiliza kunakitu utajifunza, sio story tu kwasababi imesaidia watu wengi sana
@hafsahajiabeid5768
@hafsahajiabeid5768 2 жыл бұрын
wanaleta habari wala sio kweli kuhusu muhogo ekari moja kupata zaidi milioni 10 mimi kuna nambawaliitowa nikamuuulia sikupata majibu sahihi mana walisema morogoro kuna soko la muhogo nilipogatilia alanambia soko liko iringa.
@gilbercarlo325
@gilbercarlo325 2 жыл бұрын
Mimi naona agenda kubwa hapo ni Ku Sabsikalab ndiyo Shamba lenyewe
@davidchristian9970
@davidchristian9970 2 жыл бұрын
Nikianza na tikiti eka mbili gharama yake ni sh ngapi na production yake ikoje
@RubabaTv
@RubabaTv 2 жыл бұрын
Wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi 0764148221
@jumamussa6812
@jumamussa6812 9 ай бұрын
Unajua sometimes tuseme ukweli channel nyingi za bongo zimejaa ujinga na hii ni Moja wapo. Hivi unawezaje kuweka content kama hii Kwa maneno ya kufikirika? ingependeza sana kama ungefanya direct interview na mkulima tukaona live shambani, lakini unaongea ukiwa kwenye kijiwe Cha kahawa. Hii sio content bali ni umbea kama umbea mwingine wa vijiwe vya kahawa. Badilikeni KZbinrs wa Tanzania. Wengine tupo serious kufatilia hizi channel za kilimo lakini unakuta ni pumba tu, kama content za kilimo hauwezi Bora uache tu bro. Najua utaumia lakini ukweli lazima usemwe.
@RubabaTv
@RubabaTv 9 ай бұрын
Fungua yako mwenyewe upost ambavyo sio ujinga.
@RubabaTv
@RubabaTv 9 ай бұрын
Usiwe wakwanza kutoa maoni bila kujia unachokiongea. Kwenye channel hii kua wakulima wengi sana tumefanya mahojianl. Unakuja na bandle lako la buku unalalamika kama hata nauli ya kuwafata wakulima umetupa
@habibshamte6771
@habibshamte6771 Жыл бұрын
Tupe maelezo yenye tija tufahamishe
@habibshamte6771
@habibshamte6771 Жыл бұрын
Tufahamishe kilimo cha ALIZETI
@dittoIhano-uw8by
@dittoIhano-uw8by Жыл бұрын
Namna yakuanza kulima
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Congratulations br
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 65 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
MAZAO 3 YENYE MUDA MFUPI ADI KUVUNWA
9:25
AGALUS TV
Рет қаралды 38 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН