Рет қаралды 23,722
Vanilla village kilimo cha vanila ,kilimo cha parachichi ,kilimo vitunguu swaumu.unalipa fedha unalimiwa uakabidhiwa faida na mtaji,vanilla vilage kuna mandhari nzurii kiutalii maporomoko ya water silence falls ,lavanilla hoteli na vanilla view inayowavutia saana wengi