Wenye Israel yao wameporwa Israel Yao,Hawa ndio wanaoiendesha Israel kwa sasa

  Рет қаралды 19,857

Kalamutz

Kalamutz

Ай бұрын

Ijue Israel

Пікірлер: 165
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 Ай бұрын
Mimi mkristo lakini Huwa nakufatilia sana Mzee wetu na ninakupenda sana shehe stambuli ❤❤❤❤❤❤❤ MUNGU azidi kukupa Afya Ili uzidi kutujaza maarifa kama haya
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Una maarifa mapana sana.Mola akupe Afya na uzima na akupe umri mrefu
@omariselemani6578
@omariselemani6578 Ай бұрын
Wana kalam media group tunasubiria nakala hizo nyingine zije haraka in sha Allah Peace 🙏🙏🙏 from USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p Ай бұрын
Ufafanuzi muzuri saana sheikh wangu
@user-hg7cq3zz3i
@user-hg7cq3zz3i Ай бұрын
Mashallah babu unatupa darsa nzuri mashallah
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Huy mzee huyu anaonekana hatar san kw kweli tunaomb awe namuendelez wa vipindi
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Sheikh upo vizuri sana shukran sana kwa taarifa
@jelemierrasto7183
@jelemierrasto7183 Ай бұрын
Mjadara huu nimeupenda sana
@saidmoussa909
@saidmoussa909 Ай бұрын
Mashallah
@AliAdam-bz9wx
@AliAdam-bz9wx Ай бұрын
Ahasante Shekh , Tukopamoja
@HamisiGatuso
@HamisiGatuso Ай бұрын
Upo sawa unajua sana Mzee wangu
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Well done Brother
@barakachristopher2504
@barakachristopher2504 Ай бұрын
Ni ngumu sana kuelezea kwa ufasaha kama tayari msimamo wako uko upande upi.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Shukran sana
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Mwatuelisha wengine wallai asante jmn
@HusseinAbdul-is9xq
@HusseinAbdul-is9xq Ай бұрын
Walaykum Musalam warahamutullah wabarakatuhu kwema.Jazzakallahkhery
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
Utakapo toa ushahidi uingie pia kwenye unabii wa kihistoria kwa yake Mungu mwenyewe alioyasena na Ibrahimu na Musa na Yoshua ,kwa kia historia imejengwa kwa neno la Mungu.
@ahmedmakame1687
@ahmedmakame1687 Ай бұрын
Hawa ndo Quran inawajuwa kwa jina la Yaajuja-Maajuja wakifunguliwa wataenea ulimwengu mzima
@IshakaJuma-m1i
@IshakaJuma-m1i 8 күн бұрын
Assalam aliekum warahmatullahi wabaraqatu tunaomba muendelezo wa video hii kama ambavyo sheikh wetu alituahidi
@twahirshali8014
@twahirshali8014 Ай бұрын
Shukran
@user-hw3wn8ms6j
@user-hw3wn8ms6j Ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini nakukubali sana ktk chambuzi zako.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Ай бұрын
Utakua mjinga kama ukisikiliza utumbo WA Huyu Mzee, jaribu kumuuliza wayahudi halisi wako wapi? Anasema wayahudi halisi wapo Ethiopia je , mfalme daudi alizaliwa Ethiopia? Suleiman methipi? Yesu alipozaliwa Nazareth ni Ethiopia? Wakina petro yohana na wengine kule galilaya walipokua wanavua samaki ni Ethiopia?
@user-nd8pk7wt1r
@user-nd8pk7wt1r Ай бұрын
Saf sana
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Benzion Mileikowsky (later Netanyahu) was born in Warsaw in partitioned Poland, which was under Russian control, to Sarah (Lurie) and the writer and Zionist activist Nathan Mileikowsky Kiufupi Netanyahu ni mtu kutoka poland
@NicoleMakaveli-wr6mm
@NicoleMakaveli-wr6mm Ай бұрын
Sasa kaa ni mtu kutoka polad??
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Ай бұрын
Ni myahudi aliyekuwa akiishi Poland. Wayahudi waliingia hapo 1948. Hiyo haiwaondolei ukweli kuwa wao sio wayahudi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 Ай бұрын
Kama hawa sio wenyewe wenywewe wako wapi?
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Wayahudi hawawezekani sababu wale wanalindwa na Mungu achaneni nao mtaumia
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 Ай бұрын
Mzee kaongea kweli tupu kwenye uharibifu wa mila na tamaduni, watoto wa 2000 ningum kumuelewa, lkn wazazi tusiache kuwaeleza kweli ya khaki.
@jumakhamis3545
@jumakhamis3545 Ай бұрын
Asalaamu alaykum warahmatu Allahi. Naomba katika kulizungumzia hili urejee maneno ya Allah ( ما كان إبراهيم يهوديا ولا نصرانيا ولكن كان حنيفا مسلما وما من المشركين) ninakusudia kukuuliza kusudio lako UYAHUDI ni Dini au Ni UKABILA? Naomba kabla hujanijibu urejee kwenye Aya niliashiria hapo juu kwenye Tafsiri ya Muammad Ally Swàbun iitwayo (SWAFWATU TAFAASIR) ALLAH akulipe kheiri.
@jumakhamis3545
@jumakhamis3545 Ай бұрын
Samahani sana katika kuandika Aya hapo juu nimewacha neno ( كان) sikuksudia kufanya hivyo ispokuwa ni mapungifu ya kibinaadam, naomba isomekeke ( وما كان المشكين
@InterestingShows2023
@InterestingShows2023 Ай бұрын
Free Free Palestine❤❤❤❤
@mathayodaniel812
@mathayodaniel812 Ай бұрын
Hii elimu nilikuwa sijui daah
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi Ай бұрын
SASA UFAHAMU KUWA HAWA NI ]wazungu[ NA ]wote[ WANA 'DUAL-CITIZENSHIP SIO WAZALIWA WA ISRAELI'; SIO 'Wana Wa Israeli'. NA KUPAMBANA NAO (]israeli bandia[) NI KUPAMBANA NA #ULAYA# NA #MAREKANI# NA #NCHI ZOTE ZA WAZUNGU#
@AminaAbeid-mr1fo
@AminaAbeid-mr1fo Ай бұрын
Uislamu ndio dini ya haki Allah atujaalie mwisho ulio mwema
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Kama utakufa ukiwa muislamu utakuwa umepotea vibaya sana
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Ай бұрын
Nani kakuambia, Mungu hana habari na dini yako, hivi unajua nini maana ya dini? Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu lakini wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwadamu. Na hicho ndicho Mungu anataka tuwe nacho mabali na dini zetu haswaa kabla ya kuwa na dini zetu. Kabla ya dani ya kikristo ya kiislamu MUNGU anataka tuopokee wokovu wake kwanza aliouleta kupitia njia ya mwanawe Yesu kristo. Shida ya hizi dini na kuwa mwanadini ni kwamba mtu anaweza kuwa na dini yake ni mkristo au muislamu lakini ni flauni wa kutwupa, muongo hata shetani kazingiziwa, anamaneno machafu hata shetani anamuogopa, ni mfilaji , anaharibu watoto watu, mtaani akipita watu hawalali utasikia watu wakiambiana jamani mtu flani kapita hapa kuweni makini kwa kuchukua wanawake wa watu ni namba moja na mambo kama hayo na huku ajiita yeye ni mkristo au ni muislamu; madhala ya kuwa na dini moyoni mwako, dini haina msaada wowote ktk maisha ya mwanadamu; ila ukiwa na wokovu kwelikweli hayo yote hatatajwa kwako, sijui uongo kuharibu watoto wa watu kuchonganisha watu cjui ugomvi hayo yote hautayaona kwa mtu mwenye ambaye amepokea wokovu .
@VailethBugali-sr8gx
@VailethBugali-sr8gx Ай бұрын
Pole sanaaa
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv Ай бұрын
Nani kakuambia haki iko kwa mtu mojamoja anayetenda haki watu wanachinja watu unasema dini yahaki
@badruseif1318
@badruseif1318 Ай бұрын
​@@apostlemussaonlinetvNani aliechinjwa mbona wewe mpaka Leo upo hujachinjwa?
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Nguluwe ailiwi bana tunakula nyama yake😂😂
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v Ай бұрын
(BABU) profeser safi sana
@zakariaissa7574
@zakariaissa7574 Ай бұрын
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 Ай бұрын
Soma Biblia. Acheni ushabiki.
@HeboniBabu
@HeboniBabu Ай бұрын
Bibilia inafundisha sitoli ya Maisha ya yesu sio mafundisho yamungu ndio mana unamuita yeyemungu ilondio tatizo kk
@alicekarimi6168
@alicekarimi6168 Ай бұрын
You are so good in the revolation vile you narrate story basi kuja kwa yesu aki,
@HeboniBabu
@HeboniBabu Ай бұрын
tatizo bibilia imetoka ukouko KK kilasiku kinabadilishwa Na kinakuja kingine Chapapa chakufungisha ushoga
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Mmefungwa akili na mungu mpaka nnashidwa kujua wayahudi pale ndio kwao wanarudi baada ya mauaji ya wayahudi yalotikea balani ulaya nasasa wapo nchin kwao kama biblia ilivo tabil i amina
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
kula nguruwe ni dhambi ila uasherati na uzinzi na ulevi ni kawaida tu. Huwezi kuelewa mambo ya wayahudi wakati pepo la umalaya tu lakuoa wake kama mvua limekushinda. Pia haya mambo ya kisiasa hayasaidii kitu bila wew binafsi kuwa vizuri na muumba wako. Na muumba wa vitu vyote ni Yesu Kristo. Isaya9:6
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 Ай бұрын
Shetani ulie kosa rehema za muumba wako hujitambui ww samweli 😏
@omadal1
@omadal1 Ай бұрын
Pole lakini nakuliza wewe unajifahamu kweli? Sababu maoni Yako hapa hayana msingi.
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Ivo vyote unavozungumzia vimeharamisha na uo uzinzi unao zungumzia ni dhambi ya 3 kwa ukubwa
@Pablolookman
@Pablolookman Ай бұрын
Tatizo la makafiri mdandia mada zisizo wahusu Bora ungefuatia darasa za wachungaji naamini IPO makafiri tutakana mapanga nynyi walokole mmezidi upuzi
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Naipenda islaer mpaka naipenda tena❤❤❤
@simbaman3449
@simbaman3449 Ай бұрын
MASHALLA MASHALLA NAIPENDA CHANAL YAKO RAIS WA NCHI MTAFUTIE. WADIFA KATIKA SIRIKALI PLZ MTU WA IMAN NA BUSARA SANA
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Unajua kula mb😂😂😂😂
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Mwatuelimisha
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Waalabi washenzi waliwatumikisha babu zetu ila kwa waislaer awata weza watabak na chuk tu
@deusNjimba
@deusNjimba Ай бұрын
Mbona Huwahamuelezei kuhusiana. Yale walio yafanya wa labu balani afrika
@othmansaid6949
@othmansaid6949 Ай бұрын
Rudi shule kwanza ukajue kuandika
@tegemeojosia831
@tegemeojosia831 Ай бұрын
Ereza nyuma ya otoman empire kulikuwa nan
@HeboniBabu
@HeboniBabu Ай бұрын
Unakuja ushoga baba kutoka ukouko wanaleta bibilia ya ushoga sasa
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
wayahudi wamewazidi uwezo hadi mnahisi watakuwa ni wazungu. kweli nimeamini kichwa cha mjinga ni mzigo wa tikiti maji
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Pooole saana umedanganywa tangu utotoni adi umezeeka 😅
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Ili ujue Quran haitoshi ni lazima utafute ukweli kwenye kitabu cha kweli kinacho elezea tangu uumbaji hadi mwisho wa dunia
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj Ай бұрын
Kalime kama una kaziii
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Uwe na Adabu
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Na wanapo ambiwa wanaharibu wanasema wanajenga hali yakua wanafanya uharibifu ndio kama wewe kumefafanuliwa vzr bado unaleta ujinga
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Acha ikuingie yoote inauma eeh
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
​@@Awateehakuna ukweli wowote hapa ni chuki .. hamtabadilisha kitu
@rukkyxarat
@rukkyxarat Ай бұрын
Go and educate yourself ​@annasolomon9855
@reubenhizza
@reubenhizza Ай бұрын
Aiseeeh... Leo ndio nimeiskia KalamuTv kama bahati, nimemslia mzee usiku na sikumuelewa sbb ya usingizi. Mzee anauelewa mkubwa sn, nitamfuailia mpaka niridhuke.
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 Ай бұрын
Vijana tunataka kuelewa nani adui wa wa Dunia anaefanya kusiwe na amani Duniani. Mzee tunasubiri maendelezo
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 Ай бұрын
Mbona we Mzee hueleweki,iwe wazungu au waarabu,wale ni wayahudi.
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w Ай бұрын
Waloishi zaman wako wapi mbona unafumbafumba saana.
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
Kila kitu kinacho endelea Israel ni mpango wa Mungu. anaye ibariki Israel amebarikiwa na anaye laani Israel amelaaniwa
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Aya au maneno yako tu? Km ni andiko tuwekee kujisomea sisi sio makafiri wenzako kuamini kila kitu
@user-hw3wn8ms6j
@user-hw3wn8ms6j Ай бұрын
Ndio taifa lenye kushelehekea siku ya mashoga duniani. Je? Waisrael wa sasa ndiyo wale wa kwenye biblia au ndio ile mizetuni mwitu. Tuliyoambiwa kwenye biblia?. Nyongeza *# MAREKANI ametangaza kushelehekea shelehe za mashoga kwa mwezi: 1: na ndie mshilika wa Israel. Tafakari vizuri. Mimi ni mkristo pia ila naona nje ya box 📦.
@Pablolookman
@Pablolookman Ай бұрын
Ndio taifa linaloshekea ushoga duniani
@user-sp4xo9rm8l
@user-sp4xo9rm8l Ай бұрын
Kwani maadui wakubwa wa Waisraeli ni akinanani kama siyo Waarabu na Waislamu? haohao maadui wa Israeli ndio watuonyeshe Waisraeli wa kweli? mnataka Waisraeli wa kweli tuwachukie kisha tugeukie kuwaunga mkono Waisraeli wa bandia ili Waisraeli wa kweli wapigwe kirahisi siyo? HIYO NI DANGANYA TOTO.
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Ай бұрын
Ashika nazi 😂😂😂😂 dah!
@jumajuma3679
@jumajuma3679 Ай бұрын
Wakristu wa kitanganyika muache jazba, majukwaa yasiyowahusu mnapaswa kunyamaza na kusikiliza tuu.
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
Ueleze pia waarabu walichofanya Africa kabla ya wazungu kuja, hapa waislam wengi huwa wanakwepa sabab wanajua unyama uliofanywa ndugu zao waarabu kwa waafrika, au uongelee pia kinachofanywa na waarabu huko darfur Sudan dhidi ya waafrika weusi
@gervasexavery2977
@gervasexavery2977 Ай бұрын
Je mbona waarabu waliwatesa Sana mababu zetu mbona hamzungumzi ,wali watesa namna hii ,walikuwa wakiwafunga minyororo kwa kuwatoboa visigino vya miguu waliwa funga minyororo mizito shingoni mwao, waliwatia miti ya panda shingoni mwao, waliwatembeza uchi,waliwapiga mijeredi ya chuma, waliwauwa walipotaka ,waliwakalia migongoni kuwafanya viti.waliwatumikisha ,waliwauwa waliwatupa baharini waliwatupa kwenye mashimo waliwachoma Moto waliwabebesha mizigo mizito.waliwalawiti, waliwahasi wasizae, wanawake walipasuliwa matumbo ya wajawazito kutaka kuona watoto walivyo matumboni waliwapa sumu ,waliwafunga kwenye magereza kwa minyororo ya chuma...haya mnakwepa kuyazungumza. (NATAKA NIKWAMBIE MZEE MUNGU ANABAKI KUWA MUNGU NENOLAKE HALITANGUKI KILAKITU KINAKWENDA KIMAANDIKO ,,CHAMSINGI NIKUMTAFUTA YESU KRISTO AWEBWANA KTK MAISHA YAKO .UTAFUNGULIWA NAKUONA JICHO LAKO LIKITAZAMA KWANA MNA NYINGINE MAMBO HAYA BWANA AKUTUNZE MZEE .
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Watumwa kule marekani hawakupelekwa na waarabu. Usipindishe
@tegemeojosia831
@tegemeojosia831 Ай бұрын
Waraabu warikuwa ndo walikuwa wanakamata watu wanauzia waingereza
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
@@tegemeojosia831 hilo hawaliongelei kabisa, pia angalia mauaji yanayofanywa na waarabu huko darfur Sudan dhidi ya waafrika weusi
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
@@maclaudismail6606 na biashara ya utumwa Africa masharik nani alikuwa anafanya
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Ай бұрын
Kwan ukisema hiyo salam kwa kiswahili utapungukiwa nn, , sisi sio waarabu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
😂😂😂
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
wanatapeli wajinga wenzao Kwa kujifanya wanaongea kiarabu. Yesu Kristo ndiye aliye waumba hawa wote wanao mpinga
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
@@samwelmvande2396 myahudi akakuumba ? Jinga la kwanza hili
@marysanga5310
@marysanga5310 Ай бұрын
wayahudi wana wa yakobo wa isilaeli wa isaka wa ibrahimu nyi nyi waislamu hamujui bibilia mnadogo hao wazungu sio wa isilaeli ila wanahshimu taifa la Mungu ndio maana wasema kweli Nakuisadia lsilaeli Mungu ibariki lsilaeli na ulilinde taifa lako isilaeli
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz Ай бұрын
Ww hujitambui
@HusseinAbdul-is9xq
@HusseinAbdul-is9xq Ай бұрын
Wye ujitambui
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
safii
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Nn maana ya neno israel ni taifa ama ni mtu? Kilaza mmoja akili umeziweka matakoni Israel sio taifa
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon Ай бұрын
Ethopia wanaitwa wakushi
@esterjoseph670
@esterjoseph670 Ай бұрын
Uma wa muhamadi umepotea saana; na kilichofanya uma huu kupotea,ni pale walipomkubali sheteni na majini wawe sehemu ya waislamu!Mzee umedanganywa na wewe unaendeleza uongo kudanganya uma wa waislamu.
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon Ай бұрын
Mzee hao ndiyo wayaudi acheni kudanganya watu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Tumedanganywa saana na wazungu maana hao wanaotawala leo Israel si wale walioishi hapo kale
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Majini yanakuponza
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Muongo wew huezi kuubadilisha uhalisia kwa kuongopa kwa chuki..
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Ай бұрын
Inawezekana kwasababu wale wakale walikua wanamjua mungu
@badruseif1318
@badruseif1318 Ай бұрын
​@@charlesboniphace2249kama wewe unavosumbuliwa na ushoga
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
​@@annasolomon9855wayahudi hawakua wazungu chuki unazijua weye
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c Ай бұрын
Hatugombani na shetan una wivu na uislam mbwa ww mla nguruwe😂
@esterjoseph670
@esterjoseph670 Ай бұрын
Anaekula nguruwe na anaezini bora nani? Waislamu wengi ni wanzizi kwao dhambi ni kula nguruwe!
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
​@@esterjoseph670Nyie si mnachukuana tuu mnachunguzanaa tabia na mkazalishana bila ya ndoa hujaliona ilo uislam umekataza Yote ayo muislam wa kweli hawezi zini anaweza teleza na sio kuzini ukimuona mtu anazini hajaujua uislam vzr zinaa ni dhambi ya 3 kwa ukubwa ktk uislam acha kuzua zua
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon Ай бұрын
Dini ya haki nikweli hata mafisadi huwa wana haki yakutafuta wanashelia ata kahaba anahaki ndiyo maana anajiuza,Ungesema ivi Uislam ni dini Ya kweli,Haki nini mnafeli bana wajukuu wa isimaili
@simionnicholaus4875
@simionnicholaus4875 Ай бұрын
Ongelea waarabu waisrael hawakuhusu wewe
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😢😢😮😮😅😅Mzee muongo uyu anamix na ukweli
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi Ай бұрын
KAMA NI uongo, HAYA BAKI KATIKA UPOTOFU ]wako[ BAADAE UTAKUJA JUWA NA KUFAHAMU 'WAKATI IT'S TOO LATE'. SAA HII UNAONA NI MCHEZO TU!!!
@user-xs1cu7cl8y
@user-xs1cu7cl8y Ай бұрын
Mzee hapo umetuposha kasome biblia vizuri utajifunza kitu sio kuleta hadisi za kujitungia ya kidunia
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Biblia ilojaa uongo iyo iloandikwa na wazayuni biblia maneno ya ukweli machache uongo umejaa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
​@@Awateekwendraaa unadhani hata mkitumia nguvu nyingi mtabadilisha kitu..
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
​@@Awateeiyo BIBLIA iliyojaa UONGO kama unavyodai NDIO imebeba historia AMBAYO haipo KWENYE Quran,,,HATA sule akiuelezea mgogoro hutumika BIBLIA
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
@@josephwilliam5813 ndivo unavojidanganya nafsi yako Qur'aan hakuna ilicho acha Qur'aan imekuja kuweka sawa injili ilio ondolewa na kuekwa uongo kwa akili yak unafikiri iyo biblia maneno Yote ya innjil sio kweli Qur'aan ndio kitabu pekee kilicho elezea mfumo mzima wa mwanadam ata makafiri wenzio wanaitumia kwa maslah yao ya kidunia
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
​Qur'aan ndio kitabu pekee kilicho kuja kurekebisha vitabu vyote vilivo tiwa uongo ikiwemo iyo bibilia
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
wanao ukubali ujinga wa huyo mzee apo watapotea kama wasipo achana na hayo maelezo ya shetani aliye vaa balaghashia
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm Ай бұрын
Shetani ni mamaako
@amenipasanga9865
@amenipasanga9865 Ай бұрын
Du uongo mtupu
@florencekaneza7491
@florencekaneza7491 Ай бұрын
Kabisa 💯nimuongo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
mtume muhamadi ndio nani huyo?
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Huwezi kujua kwa sababu unaabudu binaadamu mwezako
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Ай бұрын
​@@abdallahsuwed65 kumbe hilo ndo jbu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@Maxpaul-oi8pw 😂😂😂
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
Yesu ni Mungu na Muhammad aliumbwa na Yesu Kristo
@davidkalama5426
@davidkalama5426 Ай бұрын
Acha uchambuzi wa kipumbavu, soma biblia utajua ukweli, kafiri mkubwa wewe.
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Biblia ilojaa uongo weye mwenyeo huijui iyo biblia ungelikua unajua kushatoka kwenye ukafiri biblia inasema na hap hao walio lala ktk ukiristo wamepotea sasa cha kazi gani kusoma mukiambiwa eti biblia haisomwi kama gazeti
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
Leo kafir wewe unamuita Muislam Kafir ?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
​@@ameirzapy1318kafiri ndio .. muislamu ni Kafiri .. akajambe mbele kule
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d Ай бұрын
Mim mkristo ila huyu mzee anaongea ukweli , nimebatizwa palokia ya mt martin de pores Mnyamala awa Wayahudi wa sasa ni washenzi hawa sio tunaowajua sisi wakina Yuda ila ni Wayahudi wanaofuata tamaduni tu za kiyahudi ambao wanafuata imani tu Ila sio uhalisia, ila hata hiyo dini unayo amini, ila wayahudi baada ya kushindwa Yerusalem walaamuru kufanya vita kokote kule
@samwelmvande2396
@samwelmvande2396 Ай бұрын
Yesu ndiye njia kweli na uzima
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Destruction instruction: Western armies learn from Gaza
25:35
The Economist
Рет қаралды 4,3 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 846 М.
Gaza: The Betrayal of the Muslim Rulers with Sami Hamdi
1:53:24
The Thinking Muslim
Рет қаралды 713 М.
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 1,3 МЛН
#LIVE MEZA YA BUSARA || ISRAEL KATIKA UNABII
1:41:14
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 1,6 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН