Asante kwa kuwa nasi, katika mahojiano haya Tumegusia kwa kina namna ya kuchanganya virutubisho bora ili kupata matokeo mazuri kwa nguruwe wako. Hii ni fursa kubwa kwa kila mfugaji wa kisasa kuboresha ufugaji wake. Ikiwa unahitaji ushauri wa kitaalamu (consultation) kuhusu ufugaji wa kisasa, dizaini bora ya mabanda yanayoendana na mifumo ya kisasa ya maji, au kutembelewa shambani kwako kwa mahojiano na kuongezewa ujuzi zaidi, basi wasiliana nasi moja kwa moja! 📞+255756020665. TUPO MAPINGA BAGAMOYO. JIRANI NA BUNJU DAR ES SALAAM TANZANIA. Tupo tayari kushirikiana nawe kwa karibu ili kuhakikisha mafanikio ya ufugaji wako. Karibu kwa maoni yako, na usisahau kushirikisha video hii kwa wenzako. Mafanikio yako ni furaha yetu!
@MariamDilla13 күн бұрын
Tunaomba namba ya simu ya shamba husika tafadhali
@emmanuelmahenge0214 күн бұрын
Asante kwa elimu lakini kuweka Dcp then uweke damu, mifupa, chokaa sio matumizi mabaya ya resources??? Maana DCP inahaya madini yote
@wavetv_tz14 күн бұрын
Wow! Nice one
@EdwinBugoke-z3t13 күн бұрын
Asante kwa video nzuri Naomba kujua huo mchanganyo ni wa nguruwe kundi/ umri gan?