Shida ya hii interview ni watangazaji,hawana quality ya kumhoji Dr Slaa
@hagaimwakilembe925513 күн бұрын
Sahihi watangazaji hawana kabisa quality ya kuminterview Dr. Wanajichekesha tu
@ImaniFute7 күн бұрын
Duuuh ! Kwakua wanambana sana Dr. basi kwa mtazamo wako jibu waandishi hawana quality. Fyuuuuuu!
@goodlucknnko12804 күн бұрын
Kwa mujibu wa katiba Chama chenye wabunge wengi kinatoa Waziri mkuu. na ukishatoa waziri mkuu lazima uwe sehemu ya serikali.
@goodlucknnko12804 күн бұрын
Kwa mujibu wa katiba Chama chenye wabunge wengi kinatoa Waziri mkuu. na ukishatoa waziri mkuu lazima uwe sehemu ya serikali.
@GiftSwai-k6j13 күн бұрын
Asante mzeeee dr silaa
@PlickaChacha14 күн бұрын
Kijana unasauti mzuri sana ya utangazaji
@bukurunestory354014 күн бұрын
Kupata wazee kama hawa ambao bado Akili ziko imara hivi ni Neema Sana
@T444zhairfood14 күн бұрын
Sana M/Mungu azidi kubariki
@vickytorry10014 күн бұрын
Akili imara Za uongo? Amebanwa maswali anajibu utumbo! Pole kwa umbumbuuuu⁉️huyu ni msaliti mzoefu
@vickytorry10014 күн бұрын
Waandishi hongera kwa mahojiano thabiti. Huyu mzee nilimwamini ila leo nimemjua zaidi. Hana hoja, kumbe nae alihama chama kama sababu ya msigwa! Hajibu swali inavyopaswa. Kama wanatafuta mtu wa kuikomboa nchi Mbona badala yake wanachonganisha viongozi? Ovyo sana.
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
@@vickytorry100Kuikomboa nchi kutoka wapi?
@marieconnect638913 күн бұрын
@@vickytorry100 ama kweli akili ni nywele kila.mtu ana zake. Kuna wengine wana robo kikombe wengine nusu wengine robo tatu na wengine zero. Kitu gani huelewi hapo? Elimu yako inaonekana kabisa ni shallow shallow huwezi kabisa kuelewa lugha ya wasomi kama kina Balozi Dr Slaa. Anaongea kwa kiwango cha juu kiasi vinakupita pembeni. Unaonekana hata analysis au research hujui ni nini maana yake. IQ yako haiwezi kuelewa kiwango hiki cha mazungumzo. Jiulize ni Kitu gani huelewi hapo? Huku mitandaoni ujue kuna watu wengi wa elimu na taaluma tofauti toka mataifa mbalimbali wanasoma. Usijioneshe madhaifu IQ yako hadharani.... huo ni ushauri tu. Think before you comment.
@hagaimwakilembe925513 күн бұрын
Mapendekezo 1-waandishi wa habari mnapaswa kuwa mnafanya tafiti kabla ya kuandaa interview 2. Waandishi wa habari mnapaswa kuwa na taarifa nyingi mfano Dr. Anauliza mkuu wa usalama mstaafu wa alikuwa anatokea Mbeya mmeshindwa ata kumjua? 3. Mnasema ilitokea baada ya kukamatwa lakini Dr. Anasema hapana Hivyo mnapaswa kufanya tafiti kwa kila swali mnalouliza au jambo mnalochangia. Hii itawapa thamani na vyombo vyenu vitapata thamani zaidi
@AbdullahiNassor-i5j13 күн бұрын
Muda Mfupi tu tutafahau Inshaallah Mungu Atanyanyua Maisha yetu Yote amin
@Omba_boyoma3 күн бұрын
Hi
@kaitabacelestin77784 күн бұрын
DR. GWAJIMA NI YUPI, MCHUNGAJI AU WAZIRI
@bakermusa903314 күн бұрын
Watu mnamsema bi Chura anauza nchi ila mbowe akipata nchi ataipeleka kwenye stock market .
@SaleheNgoli13 күн бұрын
Bichura ni mama Yako mzazi
@marieconnect638913 күн бұрын
Umenena. Natamani ningekununulia bia baridi au wine expensive. Potelea mbali hata juice na lunch nzuri tu. You have spoken
@marieconnect638913 күн бұрын
Absolutely
@SaidChambi12 күн бұрын
Dr.Slaa ,urudi Tena Kwa siasa
@marieconnect638913 күн бұрын
Hawa waandishi hawana weledi wa kutosha kumhoji mtu msomi na mwelewa mwenye IQ kubwa kama Dr Slaa. Wanauliza wakiwa na stereotype kichwani mwao hawajui ku balance maswali
@dianasamson93114 күн бұрын
Huyu ndio wa kupumzika.... wazee wako Chadema hawaongei... maisha yake yamekuaje wakati Mzee huyu ni hatari sana..
@JOSEPHPETERMACHOTA5 күн бұрын
Nyie hao wandishi uchwara mbawatoa wapi😊
@jaywilz91575 күн бұрын
Kwa nilichoona apa ni kama bwana mtangazaji shsti la draft ni timu mbowe .. Na kuna mda anapanick anapouliza maswali 😅😅😅 msikilize dr. Na mumuelewe bana
@ELIAMbise-sy5ue13 күн бұрын
Dr. Tunashukushukuru sana.
@ShedrackFaustin14 күн бұрын
Kweri mbowe wenda ana siri ya mauaji
@HENRYNa-l5y14 күн бұрын
MBOWE ni mwizi sana mchaga mwenzangu huyu, hana uzalendo wa nchi bali anauzalendo binafsi
@T444zhairfood14 күн бұрын
Sana yana sitaki tena kuwa Mchaga🙆🏽♀️
@vickytorry10014 күн бұрын
Unashindwa kufichua mafisadi na wafuja mali Za UMMA Mbowe amemwibia nani?
@faustinebahenobi341214 күн бұрын
Ni kweli aondoke ni mrafi
@marieconnect638913 күн бұрын
Mambo ya maslahi ya kipesa binafsi zaidi
@marieconnect638913 күн бұрын
@@vickytorry100 fanya utafiti wako utajua.
@HENRYNa-l5y14 күн бұрын
Mt. na Nabii Mwingira alishasema wanaofaa kuwa rais Tz ni Dr.Slaa, Magufuli, Tundu Lissu na Marehemu Samweli sita hawa ndio Watoto wa Africa (
@SaleheNgoli13 күн бұрын
Hao wate hawajafaaa na hawata faaa kuwa Marais
@HENRYNa-l5y13 күн бұрын
@@SaleheNgoli Sawa coz We ni Mtz utaendlea kuwa slave siku zote cio mbaya
@HENRYNa-l5y13 күн бұрын
Magufuli hakuwa Rais mkamuuwa na kumshauri vibaya auwe watu wa upinzani badala ya kushirikiana nao, Acha ujinga Hao wote nlowataja WAMENYOOKA KAM RULA
@HENRYNa-l5y14 күн бұрын
Huyu Mzee ndio alifaa kuwa Rais 2015, RUSHWA na TAMAA za MBOWE ndio zilitumbukiza chadema shimoni
@PaschalBoi-z8h14 күн бұрын
Lisu awe mwnykt
@marieconnect638913 күн бұрын
Kwa sasa yes, ili awakomeshe chama wapinzani wanyooke wapate sheria siyo kuburuza wengine. Badaye ni maswala mengine
@nazaone907313 күн бұрын
Nilisubiri sana Dr slaa akifafanua vizuri swala la Lpwassa
@MiriamAziz-z5t14 күн бұрын
KOMREDI SLAA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@marieconnect638913 күн бұрын
KABISAA
@controlroom921013 күн бұрын
Dr Slaa aisee muongo!! Yaani upokelewe airport na uwe comfortable na watu wanakuchukua na vitu vyako, eti unasema hukuwa na mawasiliano nao. Hivi unadhani unasimulia watoto ee? Wewe uliteuliwa ubalozi na ulielezwa kila kitu na ukaafiki. Kubali ulitumika na mfumo wa ki-CCM
@marieconnect638913 күн бұрын
Hajasema alikuwa comfortable. Mbona husikilizi? Akili yako iko wapi? Fikiri kabla ya ku comment
@marieconnect638913 күн бұрын
Ubalozi siyo kazi ya chama bali ya nchi au taifa. Hilo nalo hujui? Si ujielimisha kwanza kabla ya kutoa comment? Maana unaonekana kituko mtandaoni. Jina elimu wala weledi wa maswala yaha unajitopokea tu. Acha hizo mitandaoni. Kuhu kuna wasomi wengi wanafuatilia na kusoma comments humu. Think
@marieconnect638913 күн бұрын
Alielezwa kila.kitu ulikuwepo? Unaweza kuthibitisha? You.ndio umbeya au uchawa sasa. Jilo ni kupotosha watu wale wajinga lakinj
@marieconnect638913 күн бұрын
Mwongo wewe usiyekuwa na vithobitisho. unaropoka tu. Watu siyo wajinga wana aliki zao wanasikiliza anafanya research na analysis zao wanajua ukweli. Wewe capacity hiyo huna. Hii ni.mitandao inasoma na watu wa mataifa mbalimbali. Think
@stewartdyamvunye-wz6rn14 күн бұрын
Kwa kweli kwa haya comde Slaa aliyoyaongea leo yahusuyo Mbowe "mteule" wa CCM, marehemu Magufuli, Rais Samia, marehemu Lowasa, Askofu Gwajima, kwa kujadili siri za serikali mbalimbali na hivyo kutowafichia siri (kuwaumbua) wakubwa hao ili yeye (cmde Slaa) ajisafi, ni hakika kinachofuata si kingine bali kukamatwa hata kama anaongea ukweli!
@marieconnect638913 күн бұрын
Hujaeleweka bado. Kamuumbua nani hapo? Mbona anaongea ukweli wa kawaida kabisa? Hakuna cha ajabu wengine tumeelimika, safi sana Dr Slaa. Watanzani tuijenge tabia ya kuwa wakweli na wawazi ili kujenga jamii ya watu wakweli na waaminifu. Ufichoficho mwingine ni ujinga tu hakuna faida yoyote
@stewartdyamvunye-wz6rn13 күн бұрын
Magufuli: mbabe - ili mambo yasonge mbele baada ya kuwa tumechelewa sana, weka pembeni ititfaki, "nimekuteua, kesho nataka kukuona....." Samia kasema/kapingana na mtangulizi wake kwamba yeye (Samia) ni kimya kimya itifaki imezingatiwa. Mbowe, Gwajima, Rostam Aziz; siri kali ya kuipindua CCM au CHADEMA yenyewe. Kikwetu wangeitwa "the axis of evil." Rais Samia: anavokoseakosea kuongoza nchi! Kumbuka mfano ule alioutoa Slaa kwamba alimpigia simu kumshtua kakosea na jinsi alivoeleza Rais alivohaha huku na kule kujaribu kurekebisha! Hayo mambo, wakubwa hawapendi yawe hadharani, ukiyafahamu wajibu wako ni kuyaficha siri na hapo ndo unakuwa umetumika vema, na cheo unapandishwa!
@MwangaBora3 күн бұрын
Ndumila,kuwili,huyo
@sautikuu21213 күн бұрын
Nuksi sana haka kazee
@monicamwita786513 күн бұрын
Kama mlivyo mzee wako
@sautikuu21213 күн бұрын
@monicamwita7865 kumbe
@hepsonmboka677613 күн бұрын
Huyo Dr. Slaa anajichanganya kazeeka apumzike siasa, roho inamuuma saana, hasa alivyopinduliwa na Lowasa. Aache ubishi, unafiki anamchukia sana Mbowe.
@marieconnect638913 күн бұрын
Siasa unazijua au unaropoka tu mitandaoni? Alipindiliwa? How? Kwa ufupi yeye hakuwa fisadi na hakusapoti ufisadi ndani ya chama na hadi leo hasapoti. Huyo ndiye mzalendo wa kweli mwenye misimamo mikali na hazolewi na upeo kirahisj kama wengine. Haangalii tu pesa Bali INTEGRITY.
@deven.oauditx754713 күн бұрын
Umemsikiliza vizuri au umeona title tu ukatoa comment?
@SaraSara-i1l14 күн бұрын
Yaani ndio maana chadema walikua kma mbumbu😂 kumbe mwamba anakula pamoja na watoza ushuru
@shahamzanda19378 күн бұрын
wabongo ni changamoto sana. huyu mzee hakutakiwa kusema chochote wakati huu. hawa wote ni wachumia tumbo tu wengi wenu hamjui zaidi ya kuwa mna access ya kucomment kwenye mitandao basi mnahisi mtasema tu lolote.
@ImaniFute7 күн бұрын
Kwakweli zaidi ya uchumia tumbo
@EliyaMWAIJUMBA-i1n3 күн бұрын
Mzalendo wa kweli tulikupenda sana Toka umetoka namiI nimerudi ccm
@maggiehiza588414 күн бұрын
Mimi sina chama lakini namuunga mkono Lissu atuongoze watanzania
@SaleheNgoli13 күн бұрын
Akuongoze wewe na mkeo
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
Tuongozweje na kibaraka??
@marieconnect638913 күн бұрын
Aongoze chama chake Kwanza kwa sasa na siyo Tanzania. Hayo mengine yatakuja badaye. Tuone kwanza uongozi wake kwenye chama kikubwa. Nchi so mchezo wa kuigiza ila tutaangali
@marieconnect638913 күн бұрын
@@stanleybupambambogo3334 tatizo liko hapo. Ukibaraka.
@marieconnect638913 күн бұрын
@@stanleybupambambogo3334 Kwa sasa songoze chama kurekebisha mambo muhimu kitaifa kuhusu uchaguzi. Badaye tutajua cha kufanya kana wananchi
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
Kumbe ee kwenye upadri lazima wanasoma saikoloji ili wakateke akili 🧠 za waumini/wafuasi wao 😂😂😂😂😂
@wazirisaid83266 күн бұрын
Kama mnauwezo wa kuchomeanahadi nyumba vipi mshindwe kuteka watu na kuwadhuru?
@tanzaniatouristsattraction162213 күн бұрын
Mbowe ni mjasiriamali anaenda na upepo😂😂
@ELIAMbise-sy5ue13 күн бұрын
Mtu umezunguka nchi nzima kumuita fisadi Leo unaenda kwake. Pumbafu sana
@deven.oauditx754713 күн бұрын
Hii habari imenifungua macho sana. Sikuwahi kuelewa kwa nini CDM wakiwa na support kubwa ya wananchi waliamua kumpokea mtu ambaye walimshutumu kuwa fisadi papa kwa muda mrefu. Hata ile dhana ya Mbowe ya kubadili gia angani sikuwahi kuielewa kabisa.
@Ramadhanilawoga14 күн бұрын
Mtaksmatwa kamatwa kama mbuzi nchi hii ina serikali na ina mamlaka kamili hawa ni wezi wa kujitegemea vyama vitakavyoijenga nchi hii vitakuja vyenye uweledi siyo cdm akili ya kukariri vitabu ndiyo inayoonekana hapa
@paulnyingo731613 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
Hakika 🎉🎉🎉🎉
@AbdullahiNassor-i5j13 күн бұрын
Thanks for your letter it is very much good 👍 and thanks again for your time on this matter and for your kind. I am listen you for the point first of the case case of chairma.this is something that you can be doing a lot of your stuff to be done in your Self conftobol thanks chadema😊😅
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
Mh! 😮😮😮😮😮 Hii ni lugha gani!!??
@marieconnect638913 күн бұрын
Kidogo sikuelewa. Ulitaka kumaanisha nini?
@marieconnect638913 күн бұрын
@@stanleybupambambogo3334 Hata Mimi sijaelewa alitaka kusema ninj
@marieconnect638913 күн бұрын
A letter? What letter? You must be confused somehow
@PeterManyatha14 күн бұрын
Dr. Slaa awahi kufanya mkutano mkubwa sana na waandishi wa habari uliogharim mamilioni ya shilingi, hatukuwahi kufaham ninani aligharamia mkutano ule, baada ya hapo alilamba asali ya ubalozi Canada. Ninamashaka sana na huyu mzee anawezekana anatafuta kulamba asali nyingine Kwa mfumo wa kukigawa chama anamnadi mtu ambaye alishindwa kuongoza Kanda Wana chadema tuwe macho sanaa
@marieconnect638913 күн бұрын
Huwezi kudanganya mtu yeyote kwa sasa hivi kwa maneno yako hayo. Watu wana ufahamu na akili zao wanajua kupima na kuchambua mambo wanajua kuoembus mchele na chuya, na wanajua wanachotaka. Acha watu waamue mwendo wao. Porojo na uchawa si wakati wake
@AbdullahiNassor-i5j13 күн бұрын
Asalam
@Thevineyard988914 күн бұрын
HiI story ya mwaka 2015 hakika ndo "BEHIND THE SCENE" za CHADEMA ya MWENYEKITI FREEMAN MBOWE WA MIAKA 21 - CHADEMA. It's very interesting story indeed
@alexjackson59609 күн бұрын
Duh machameboy??kumbe
@zablonmlazi441514 күн бұрын
😂😂😂hadi vyeo waligawana
@GiftSwai-k6j12 күн бұрын
Safi san dr slaaa
@HildaMhando-g3p9 күн бұрын
Hata sijui ilikuaje ukachomoka tu nakutokomea halaf vp ten uyaongele kwamud huu kwan ilikuwa wap we mzee
@Gilbert-w9e12 күн бұрын
Uyu mtanganzaji gani..asiyejua kujenga hoja!! Unahoji kama muuza kahawa!
@ABSTemu13 күн бұрын
Uelewa Mdogo Mno Hawa Watu! Khaa!
@marieconnect638913 күн бұрын
Kweli kabisa. Hawajafanya research wala analysis. Hawana weledi wa kutiosha kumhoji mtu mkubwa kama Slaa
@sebastiansalamba31314 күн бұрын
Mbowe mpigaji anapiga hel halafu anawachomesha wenzie wanatekwa
@bahatielias644313 күн бұрын
Kabisa Mimi mwenyewe. Nawasiwasi nae
@MwambaJimwamba12 күн бұрын
Huyu mzee ni tapeli. Tunajua Magufuli alikurubuni vipi. Usitake tuongee yote yanayohusisha hadi mke wako
@Ramadhanilawoga14 күн бұрын
Watanzania hatujaichoka ccm ww mzee na wenzako mtachukua miaka elfu kufikia hasira zenu
@sebastiansalamba31314 күн бұрын
Hata wanaccm tumeanza kushtuka
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
@@sebastiansalamba313Sema wewe binafsi SIYO Wana CCM!
@zamberimturi559313 сағат бұрын
Semea nafsi yako cyo watanzania, Kwani ww unaweza kuwasemea watanzania.wote na kujua nini wanapenda na nani hawapendi acha kutumika we kma kondomu
@JacobMbosalee13 күн бұрын
UKWELI NDIO,tulikuwa hatujuii UKWELI, POLE SANA Mzee Silaa
@controlroom921014 күн бұрын
Dr. Slaa hapo anajitetea tu. Ukweli alitumika na CCM. Sasa kama hakutumika na CCM pamoja na usalama, kwa nini aje akubali kuteuliwa ubalozi na mwenyekiti wa CCM?
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
Kwani wewe unafikiri yeye Dr Slaa au mwana siasa yeyote anachotafuta nini hasa tofauti na mkate wake na familia yake?? Kama mkate umesha patikana ni kwa nini aukatae wakati amekuwa akiutafuta kwa muda wote ule??
@marieconnect638913 күн бұрын
Akili yako haifikiri sawasawa. Uthibitisho unao? Kwa taarifa tu... UBALOZI WA NCHI SIYO KAZI YA CHAMA CHOCHOTE BALI ni KAZI YA NCHI. hatumikii chama Bali taifa. Elewa hiyo elimu ndogo kabla hajasema maneno mitandaoni ukashangaza watu.
@marieconnect638913 күн бұрын
@@stanleybupambambogo3334 type elimu. Made upi ameupata? Hatujui
@marieconnect638913 күн бұрын
UBALOZI NI KAZI YA NCHI SIYO YA KISIASA. MWANDISHI ELEWA HILO
@leonardmchau69966 күн бұрын
Lakini balozi anateuliwa na rais hivyo Raisi hawezi chagua mtu asie na intrest nae
@marieconnect638913 күн бұрын
Huyu mwanduishi anauliza maswali bila kufanya utafiti wa kina. Weledi wake ni mashaka. Anaongozwa na mihemko ya uwongo isiyo na mashiko. Anaudhi aisee. Please go do your homework properly before yo speak yo legends like Dr Slaa
@Ramadhanilawoga14 күн бұрын
Kundi lao halina baraka toka kwa wananchi wanapeana ulaji kwa njia za ujanja na wachangiaji wakubwa wa sauti ya umma ni wazungu wenye tamaa na raslimali za nchi hii tuonavyo wengine wakati utafika na wataumbuka mzee tapeli huyo samia haondoki na kikundi cha dr slaa
@JOSEPHPETERMACHOTA5 күн бұрын
Wandishi wajinga kama Hawa mnawatoa wapi
@roypeters982914 күн бұрын
Huyu jamaa alievaa shati la draft huwa ni likilaza la ccm tu
@ELIAMbise-sy5ue13 күн бұрын
Huitaji kumuelewa Dr. Sijui kwanini. Pengine ubongo wako
@MalkiadiNaano14 күн бұрын
Hivi kweli bado mnamwamini mtu kama huyu ,eti anajifanya kana kwamba watu wanamtaka awe rais na yeye hakuwa ana utamani .hiyo kisasi dhidi ya Mbowe inatokana na kutokupendekezwa kuwa rais
@marieconnect638913 күн бұрын
What? Akili yako iko wapi? Maneno yako hayana mashiko kabisa. Unajiropokea tu kufurahisha genge la wasiojielewa. Huwezi hata kusikiliza kwa makini ukaelewa the context? Elimu yako ni kiwango gani? Huyo Dr Slaa anayeongea siyo mchezo singeli ni msomi mbobezi mtaalam wa kiwango cha juu sana. KUWA Dr siyo mchezo wa kitoto na siyo cheo cha kisiasa bali cheo cha kisomi. Dr Slaa ameelimika kwenye kimataifa makubwa. Ufahamu wake huwezi kuupata kwa watu wa level zako. Wwwe Kajielimisha angalau ujue namna ya kusililiza, kuelewa, kupima, kuchambua na kupata majibu yenye mashiko kabla hujaropoka mitandaoni kwenye wasomi wa kimataifa wanasoma comments. IQ yako itakuwa na mgogoro lazima siyo kwa comment shallow shallow kama hizi. Mwenzio anaongea hili wewe unaibuka na lile....humwelwewi. Jitunze kusililiza kwa makini na kuchambua.
@marieconnect638913 күн бұрын
Akiondoka chadema kwa sababu ya tofauti zilizojitokeza za kiitikadi na kimalengo na kimitizamo tena dakika za mwisho. Kwani hata hilo nalo hulielewi? Mbona kila.mtu anajua? Basi hujui hata kufanya utafiti mdogo tu, unajiropokea tu mitandaoni. Fikiri kabla ya kuandika
@PlickaChacha14 күн бұрын
Ila ulisemaga una chama sasa iyo card ya ccm ya kazi gani
@marieconnect638913 күн бұрын
Kadi anazo mbili ila zote haziko hai kwa kutokulipiwa Ada. Huelewi nini hapo? Jifunze basi kukusikiliza kwa amkini? Hana uhai wa chama chochote. Ni rsia meema tu kama wengine
@PlickaChacha13 күн бұрын
Afu kama unayo kadi yao na haulipii ata ada we sio mwanachama rudisha kadi sio mali yako ni ya chama
@MussaBakil13 күн бұрын
Ww slaa mnafiki
@marieconnect638913 күн бұрын
Huyo ni msema kweli na muwazi na mzalendo kwa taifa. Hababiki wala harubimiki. Amejua maana ya INTEGRITY
@marieconnect638913 күн бұрын
Huna IQ wala ufahamu wa kutosha kuelewa wasomi wakubwa wanapoungumza hoja.
@PeterManyatha14 күн бұрын
Kwa hiyo umerudi kulipiza kisasi cha kukosa kugombea nafasi ya urais?
@marieconnect638913 күн бұрын
Hajasema hivyo wala janaonesha dalili hizo hayo ni.mawazo yako binafsi. Usimwekee maneno mdomoni haipendezi
@geofreybalyobalyo453813 күн бұрын
alafu nilichogundua ubaya huwa haujifichi..Mungu fundi sana
@PelleSamky14 күн бұрын
Msishangae Sheteni hapendi ukweli, ukweli kwashetani ni moto unamchoma usishangae wanavyo mbeza Doctor Slaaa
@dassustephen73113 күн бұрын
Hawa si waandishi professionals Bali chawa,and they ask stupid questions.
@marieconnect638913 күн бұрын
Absolutely. No enough skills.
@IsayaMika-v9e14 күн бұрын
Chagueni Kiongoz bra
@marieconnect638913 күн бұрын
Wote ni bora na wote wana madhaifu yao. Achaguliwe kiongozi atakayekivusha chama toka point hii kwenda nyingine ya maana. Mengine yatajulikana badaye
Utofauti wa mh mbowe na hawa wasaka tonge lissu na huyu mzee mpumbav mbowe kila akiongea anatumia katiba ya chadema hawa wanaropoka tu bila kutumia katiba
@ernestkhalifa141414 күн бұрын
Sawa nyumbu....utaelewa ukikua
@SylvesterMakenzie14 күн бұрын
@@ernestkhalifa1414wew ni mjinga x2
@STEVENKAJUMBA14 күн бұрын
Katiba
@tanzaniatouristsattraction162213 күн бұрын
Na alivomleta lowasa aliemuita fisadi?
@marieconnect638913 күн бұрын
Funguka macho. Mbowe foundation ndani ya chadema maana yake nini? Hiyo iko kwenye katiba?. Pesa za chadema zinatunzwa na nani na nani ana mamlaka nazo? Zinakuwa za mbowe na akitoa anakikopesha chama kinamlipa. Fanya utafiti kabla ya kuropoka tu mitandaoni. Biashara hapo ni pesa tu ndugu. Funguka la sivyo utabakia kupiga uchawa wenzio wanakula kwa akili. Open your eyes
@Gelenya-ne2ip14 күн бұрын
Huna lolote mzee! Kalee wajukuu kama unao!
@marieconnect638913 күн бұрын
Acha wivu. Unatamani mzee wa busara kama huyu angekuwa wako. Mwache huyo ni mali na dhahabu ya Tanzania. Mungu amlinde kabisa mzalendo huyu aendelee kutoa nondo zake
@maggiehiza588414 күн бұрын
Yaani nyie waandishi mbona hamjipangi? Mnauliza maswali wote wawili kwa kuingiliana! Very unprofessional. Learn how to listen!
@marieconnect638913 күн бұрын
Idiots not journalist.
@richardmakweta887514 күн бұрын
Waandishi wanafiki hamna lolote lakuisaidia nchi hii
@vickytorry10014 күн бұрын
Wanafiki kwa kuwa wamembana mnafiki mwenzio😢
@STEVENKAJUMBA14 күн бұрын
Kweli kabisa .
@stanleybupambambogo333413 күн бұрын
@@vickytorry100😂😂😂😂😂
@marieconnect638913 күн бұрын
@@vickytorry100 na wewe pia huna weledi wala IQ ya kutosha kupambanua maswala. Huelewi nini hapo?
Huyu jamaa alivevaa nyekundu please mpelekeni akajifunze kidogo kwa Kikeke hili ajue kuandaa maswali na kuyatengeneza vizuri. Mawazo yangu
@PHARM914 күн бұрын
Qmamk jambo mtampasua millad mbwa nyie
@goodluckjohnuiso-gt1fg14 күн бұрын
Ulivyo ondoka cdm wliongeza wabunge wengi sasa umerudi kwa mlango wa nyuma kuua chama, wewe mzandiki kirusi kibaya kuliko viusi vyote mnafiki mkubwa wewe
@GasperKapungu13 күн бұрын
Mzee muongo huyu.aliiponda chadema mpaka akapewa na ubalozi huyu
@tumainimwaifunga388414 күн бұрын
Sasa mbona hujui kuzungumza kama ulienda mafunzo?
@marieconnect638913 күн бұрын
Nani hajui? Labda wewe huna upeo wa hali ya juu ya kuelewa wasomi wakubwa wanapozungumza. Huyo ni Dr wa kusomea Yaani PHD holder huenda IQ yako haitoshi kumwelewa. He is very intelligent powerful and respected inside and outside. Nani hajui? Weledi wake siyo wa kitoto. Anasaidia taifa lake kwa uzalendo kabisa.
@marieconnect638913 күн бұрын
Huyo si muuza chips au mcheza kamari. Ni msomi wa hali he juu mno yawezekana huwezi kumwelewa inategemea na elimu na ufahamu wako. Weledi wajanja wote wamemwelewa tena vizuri sana. Sanasana waulize maswali hawajakomaa kuuliza maswali yenye mashiko sawasawa
@YassinRajabu14 күн бұрын
mbowe mitano tena
@marieconnect638913 күн бұрын
No way
@LaureanKajugusi14 күн бұрын
Kadi ni ganda mpaka uwe unalipia ada za chama chenye umiliki wa kadi hiyo. Km. bado unadai kadi ya CCM Unayo kwa maana hiyo,ya mali yako basi ondokana na uvuguvugu kuwa bayana mzee mwenzangu!!
@marieconnect638913 күн бұрын
Mbona unasema na.lujikanusha mwenyewe? Umejisililiza? Unajikanyaga hueleweki. Mara kadi ni ganda kama hulipiwi... mara hili mara lile hujaeleweka unataka kufafanua nini hasa.
@florianmodest621514 күн бұрын
Mzee wa hovyo kabisa huyu hana maana kabisa anakinyongo rohoni mwake!!..
Shindwa....wa hovyo wewe unayethubutu kutukanaa wazee mitandaoni. Shame on you
@PeterManyatha14 күн бұрын
Kwa hiyo umerudi kulipiza kisasi cha kukosa kugombea nafasi ya urais?
@marieconnect638913 күн бұрын
Uwezo wako wa kuelewa mambo unaonekana mdogo sana. Umemsikiliza lakini? Su hujaelewa nini hapo? Mbona anexungumza very clearly and intelligently? IQ yako iko sawa? Au man tatizo la kusikiliza, kuelewa, kutafsiri na kuelewa wasomi wakiongea? Hilo ni lako sasa. Wenzio wanaelewa safi kabisa
@marieconnect638913 күн бұрын
Kwani anagombea uraisi hapo? Ansayo haki ya kutoa mawazo na kuchangia maoni yake. Usiyeelewa ni wewe nayetaka watu wanyamaze bila kuongea.