Afadhali.alikataa hivyo vigari vyenu kamati ya roho chafu kaa wewe mngemsakama sana
@pamelaemmy81802 жыл бұрын
Pole sana hilo gali ndo anatumia wema kitambo tu nasiyo kama ana gali
@ibrahimnadir44902 жыл бұрын
Ebu kama kuna mtoto mzuri anateseka Hana Gari anichek tuyajenge😀
@amimaawazi66432 жыл бұрын
😄
@mwanatz59802 жыл бұрын
Hongera yako wema 😍😍😍.
@zaiiomary89702 жыл бұрын
stote umbea nyuuuuu madamu sepengaaa😍😍
@hakizimanadiamant97962 жыл бұрын
Amekonda sana pole wema umemkosowa ALLAH OMBA MSAMAHAA KILA MARA
@Mamy492 жыл бұрын
Unauhakika gani km kamkosea Allah watika Allah ndio anajua km kakosewa muache kuhukumu wezenu wakati nyie sio mahakumu wa haki
@barekesteve86792 жыл бұрын
Ukiangalia muonekano wagari hili Ni kati ya 2014 to 2016 Mercides-benz c180 ao c200
@daudiamimu40742 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo
@salumumakombo91362 жыл бұрын
wabongo bana hamkosagi dosari..braza umenifanya nicheke ujue..daaa...ebwana poa mzee
@jackmatataog54502 жыл бұрын
Lakn bado ni gar wala sio baiskeli
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Hio ni mipango ya kiki tu! Hio sio gari ya Wema! Chukua hio plet namba ingiza mtandaoni uone jina ni la nani! Hamjawajua hawa watu! Si ndo zile zile za akina diamond kukodi gari sholooom kutafutia kiki! Gari yake angeshindwa kuisajili? Gari yako yako haiwezi kuchukua hata mwezi hujaisajili! Jiengeze wabongo!
@zenadaudzena28492 жыл бұрын
Ndio maana wakaitwa wasanii usanii mwingi 🤣🤣
@aishajumanne26982 жыл бұрын
We si ushaangalia tuambie limesajiliwa kwa jina gani
@Farajahelene230312 жыл бұрын
sepenga shes verry expesive
@wanzakleruu2 жыл бұрын
Ti miangap na ngap diyupii....tuipe muda kadhaa kabla haijarud kwa wakwao. Endi ifyu donti geri iti kalale mujomba😂😂😂
@esterwakidunda62482 жыл бұрын
Huyu ndio tumchagie hera kweli acheni utapeli basi
@Callkingb2 жыл бұрын
Years from now she won’t have it again. Did I say years , I mean months
@mamumiyaskitchenvlogs58582 жыл бұрын
Hasidi!
@allymachejo29962 жыл бұрын
Kwa mujibu wa saut ya aristote hii inatw "Merceeeedez Beeeeeeenz"
@shufaaattass19202 жыл бұрын
Yakuazimaa hiyoo jemeni au tuongeze sauti
@haileyhaidar83942 жыл бұрын
😂😂😂😂 Sijuwi kaikodi wapi
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
Alhamdulillah
@zenadaudzena28492 жыл бұрын
Wema ni mjamzito
@simulizi26322 жыл бұрын
Na mafuta mumwekee maana hizi gari zinakula mafuta sana. Watu wanafikiria ishu ni gari na wanasahau kuna mafuta ili liende. Ni kama unafikiria kufanya mapenzi na kusahau kuna mimba na magonjwa🧐
@D-Man.B-Free2 жыл бұрын
Wamemchangia?
@hallin95612 жыл бұрын
Nani kampa tena, kumbe soko bado analo uyu dàda
@barakakusa76062 жыл бұрын
Nyie mnamsifia Aristote amehusikaje kupatikana kwa Gari ya Wema??
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
🤣🤣🤣 waandishi wambea
@fetychina32732 жыл бұрын
Tumewachoka kesho utaikuta isharudiswa show room
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
🤣🤣
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Hana ela wala kiki huyu
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@hannanommy96782 жыл бұрын
Si walisema hana gari? Wale walokuwa wanataka kumchangia utakuta wanatumia St midomo tu
@maryuwizeimana67222 жыл бұрын
Mfichieni her registration number… you don’t do that jamani
@magynzioka11222 жыл бұрын
Wema aja nunuliwa gari hata Leo ameojiwa akasema alikata kununuliwa gari mbona tz na roho ya korosho
@mamumiyaskitchenvlogs58582 жыл бұрын
Yes I heard her on her interview ya pads mpya she denied any charity on her name to be halted
@issrahayattv13562 жыл бұрын
ila wanadamu hamkosi chakuongea,ss tena mumeanza kumpongeza arstote khaa ukorofii huo mama Tariq kasema ,kzbin.info/door/JEB8h-HcJOACgpLhZE1ipA
@mamumiyaskitchenvlogs58582 жыл бұрын
😂
@issrahayattv13562 жыл бұрын
@@mamumiyaskitchenvlogs5858 dd a u nasema uongo, naja kw Chanel yko naomba ukaribie uku kwngu pia😃
@issrahayattv13562 жыл бұрын
@Razzy Mkali Official karibia kaka uku kwngu pia please
@mashakayella90582 жыл бұрын
Ndo hile kampen ya kumuunulia
@rehemaothman22002 жыл бұрын
Tupasheni
@levygasper74382 жыл бұрын
Nafikili kwahiri Alisitote anamchango mkubwa
@wazirmasokola59512 жыл бұрын
Kabisa
@jamesjames23682 жыл бұрын
Maskini anatia huruma! Hivi ndo yule 🤔.....
@songamberetv22192 жыл бұрын
Wapi alipo aristote aje atufahamishe 🤣🤣🤣
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Aeendee jela
@swalehesaad26922 жыл бұрын
Kimoyomoyo wema anamshukuru aristote maana ndie kawezesha hili
@agwalubifaridah70792 жыл бұрын
Wema usiwape wapuuzi Airtime baby ishi maisha yako tu..