Nimependa huu wimbo mpaka chozi likanitoka. 😭😭😭 sisi watoto wa watumishi. MUNGU atuhurumie I'm so sorry. be blessed kwaya msirudi nyuma. 💝😁😁💝
@mustaphagairo19364 жыл бұрын
Napenda sana ukiwa unasimulia habar za Daudi😀😀. MUNGU aendelee kukuongoza🙏🏾🙏🏾
@joyestherbagarura9544 жыл бұрын
I tell you; he is really a man of God!!!!!!
@amjudith Жыл бұрын
True ❤️
@dottobonaventure93884 жыл бұрын
Umenikumbusha utotoni. Mimi nilikuwa natengeneza magari ya mbao na matairi yalikuwa ni ndala zilizoisha. Kumbe nilikuwa najifunza uvumilivu. Asante pastor
@Kablizasekanabo-cd6xr5 күн бұрын
Mahubiri haya yako na myaka 4 kwa sasa. Ila leo nimesikiliza haya mahibiri, nimebarikiwa sana na kufajirika sana tena sana. Na nikasikiya kufurahi ndani ya nafsi yangu. Pr. David Mungu akulinde kila saa na dakika. ❤❤❤❤
@georgemerere60974 жыл бұрын
Asante sanaaaa mch kila uendapo nafatilia siku moja uje karibu Ilembula makambako njombe bwana tuna kiu na NENO
@jamesmedard55384 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
@vanenyanchwa47844 жыл бұрын
asante sana.God bless you Pastor. mimi ni mmoja wao wenye hawana uvumilivu naomba mungu anisaidie ata kama majaribu yamekuwa mingi.
@openmindtv46734 жыл бұрын
Uvumilivu unao sema unajishusha mwenyew " if you think you can or if you think you can't you are always right" jipe moyo usiogope
@godwinkatemi51574 жыл бұрын
barikiwa PR
@jamilahaji5764 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Wa bwana nimependa sana somo hili🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jamesshogholo82074 жыл бұрын
Muhubiri safi sana
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Pastor mmbaga ,Uendeleee kubarikiwa
@loycemgonja26344 жыл бұрын
Barikiwa kwa somo vizuri umenibariki
@nancyosoro71534 жыл бұрын
AMEN, porster umenitia nguvu sana, mungu akutie nguvu na umalufu tele.
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Amen
@esternaftari45534 жыл бұрын
Mchungaj ubarikiwe sana tunakusubilia kwenye mahubir ya Mungu kwanza 2020 karibu sana mtumishi
@ElizaBeth-fc8bu Жыл бұрын
Asante Sana miminimebarikiwa Na hayo maumbili ya leo.mungu akubariki Sana Na akupe nehema ya kuishi miaka mingi Niko Saudi Arabia amen
@carrinethebosslady96972 жыл бұрын
Ashukuriwe mung wa mbinguni somo l 2yrs nalisikiliza leo na Lina nisaidia hapa nilipo kwa wakat huu..kwel mung hujaza roh mtakatif ili atusaidie meng..asante mchungaj kwa huduma yako mung azid kukubark🙏
@kusakabuga2824 жыл бұрын
Nimepata ujasiri na saburi MUNGU MUUMBAJI Anisaidie sana Amina
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Kwaya IKO VZR SAANA 😍😍😍
@mustaphagairo19364 жыл бұрын
Hakika
@setholivier48624 жыл бұрын
True
@asooraaasooraa48163 жыл бұрын
Ameen nabarikiwa sana na somo zuri Mungu akubariki pastor
@ndetitave90744 жыл бұрын
Amina
@saighilunyangusi49864 жыл бұрын
Amina pasta
@shegymtoni65754 жыл бұрын
Pr ,roho akikugusa ongea na mimi ,0625538967 maana nimekutafuta mwezi sasa ila hatuongei kabisa.ni katika jina la yesu amina.
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Nitumie ujumbe kwa +255 755 932 283
@christophermalilah71104 жыл бұрын
Mungu akubariki neema ya uvumilivu nimeelewa
@jamesmboga73254 жыл бұрын
May the name of our Lords be praised.
@josephineogise44854 жыл бұрын
Amen i am blessed . be blessed too
@joycegesare15713 жыл бұрын
Be blessed kupitia mafundisho yako nimeoka nashukuru umenitoa mbali na kunileta kwa Bwana mahali salama
@minnehmaingi94754 жыл бұрын
Asante mchungaji ,neema ya Mungu ikatutoshe
@robartmwangomalecharnel78604 жыл бұрын
Asante sana mtumishi nimekuelewa,,nakuelewa,,nitaendelea kukuelewa.
@Kablizasekanabo-cd6xr5 күн бұрын
Amen Amen❤
@Kablizasekanabo-cd6xr5 күн бұрын
Umenifariji tena mtumishi wa Mungu. Kunifanya nitoke mahali nilipo kuwa.❤
@muyisakalengya58823 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu, ubarikiwe zaidi !!
@rwamaphajoaness88204 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@sarahsoso72024 жыл бұрын
Jehovah 🙏, tusaidie tunaishi nyakati za mwisho
@yvonneamekakaombeniwimbomu83124 жыл бұрын
Ili neno ume lipewa na Mungu kwajili yangu. Yesu ni mwema sana kwa watu wake.
@MarycianaDonald-bx1he Жыл бұрын
Da! Umenisaindia sana somo lako hili pst asante sana
@SigwaLusajaАй бұрын
Nabarikiwa sana na neno la mungu
@selfaakinyi5124 жыл бұрын
Nikweli mchungaji naona mungu ananipa neema ya uvumilivu na subira kabisa,
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Hallelujah
@margueritnyingani88444 жыл бұрын
Amen
@maheligati29364 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia sana
@great-african9032 жыл бұрын
Ijapo hatufki kanisani ila bdo unatutia moyo God bless 🙏🙏🙋
@mariamngumbao7834 жыл бұрын
Asante
@agathasamwell51204 жыл бұрын
AMINA UBARIKIWE SANA SOMO LIMESEMA NAMI.
@pendomagarya24794 жыл бұрын
Paster niunganishe kwenye group la maombi please
@juliusmantago45113 жыл бұрын
Ubarikiwe Mchungaji kwa fundisho hilo
@leonardmarco88563 жыл бұрын
Kwaya iko 🔥🔥
@Kablizasekanabo-cd6xr5 күн бұрын
❤❤❤❤😊
@asooraaasooraa48164 жыл бұрын
🙆♀️🙆♀️🙏 Amen
@watwegopnina64804 жыл бұрын
Mungu nisidie uvumilivu
@judithcherono41414 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@maxmagari87262 жыл бұрын
Uendelee kubarikiwa .
@bidafumbuka8554 жыл бұрын
hapo kwenye wanaume kufanya vitu ikiwemo kujenga kwaajiri ya wake zao nmekuelewa pastor
@aswahabinyamoye94513 жыл бұрын
MUNGU akubariki kwa kazi njema
@wegesaelias95684 жыл бұрын
Santeee
@aleroalero2772 жыл бұрын
Wanawake tunazaa kwa uchungu na tunakula kwa jasho huu mzigo ni wa kwetu hakuna mjadala