Mwenyezi Mungu nisaidie niwatunze wazazi wangu kwa kile unachonipatia katika maisha Yangu.
@addammkweta933 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor mbaga,naamini nitapata badiliko la kweli kutoka kwa mungu kupitia mafundisho haya
@anetivicent61764 жыл бұрын
Pastor Yatoshaaaaa,,,,Bwana akuinue juu kuliko dunia ,,,hata mwisho naomba tukutane mbinguni,,,,
@PeterCharles-yc7tn5 күн бұрын
Mchungaji nashukuru kwa somo zuri kila ninapokusikia unanipa moyo sana naomba mungu anisaidie nilivyonavyo viwe vyetu
@nsajigwakipembe27632 жыл бұрын
Ubarikiwe PR Mmbaga kwa somo zuri Mungu Baba akuongezee neema ya mafunuo makuu kama ilivo kwa masomo ufundisyayo
@angel-y4 жыл бұрын
Ahsante kwa somo nzuri Pastor. Nimegundua mahali nilipotea na kuanzia sasa hivi nimeanza marekebisho. Mungu akubariki.
@marykayombo90763 жыл бұрын
AMINA, BARIKIWA
@tumainingimba6829 Жыл бұрын
Yani mbaga ubarikiwe sana kwa mafundusho mazuri unayotufundisha
@alfrednamai2877 Жыл бұрын
Amen 🙏 umenigusa asanti kwa kuniamsha nilipokua nime lala
@marymwatsuma67043 жыл бұрын
Mungu akulinde akutenganishe na wanao panga mipango mibaya juu yako nainuliwa sana namahubir nainuliwa
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Ubarikiwee sanaa Pr..Mungu azidi kukutumia
@huldakirururu89504 жыл бұрын
Amina mch barikiwa kwa somo nzuri lenye dozi yakueleweka
@elizabethmambai20723 жыл бұрын
Ahsante mtumishi
@SigwaLusaja4 күн бұрын
Nabarikiwa sana
@shilungumoshi37323 жыл бұрын
Aisee Barikiwa Pastor
@selfaakinyi5124 жыл бұрын
Amen. Amen kwakeli nimekuswa sana. Eeh mungu nisaidie kufata na kushika kanuni zako, nitaweza yote kwakuwa wewe ndio unae nipa neema. Thanks pastor from qatar
@emanuelmussa57552 жыл бұрын
Amen
@kabalizasekanabomarko60638 ай бұрын
Amen, weye kabisa ni chema cha Mungu, Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi.
@ukweliwaleoministry65604 жыл бұрын
Ubarikiwe sana my pastor, neema iwe nawe na uendelee kuwa mhubiri uliye jaa neema, mkeo abarikiwe na watoto wako wabarikiwe, na mimi pia nibarikiwe.
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen asante sana mchungaji nimepata kuchua mengi na pia kujirekebisha kupitia kwa roho mtakatifu anitiaye nguvu. Ubarikiwe sana na Mungu akuinue kila kujao amina
@estherlndahi28343 жыл бұрын
Amen Amen Amen Glory to God
@beverlyseko9652 жыл бұрын
Mafunzo yako yananibariki sana uzidi kubarikiwa pr
@lindaogada87603 жыл бұрын
Barikiwa sana paster kwa mafundisho mazuri....🙏🙏🙏
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Mahubiri yako Mtumishi wa Mungu hunipendeza kwa kuwa hata hautimii nguvu na jasho kuhubiri lakini yananiingia handi moyoni 🤗🤗🤗
@everinekabakilwa73364 жыл бұрын
Amen ubarikiwe na utukufu kwa Mungu wetu kwajina la yesu kristo amen
@beatricendikumana3153 жыл бұрын
Yani mahubiri yako mazuri sana 🙏👏👏👏
@pendohumphrey75884 жыл бұрын
Mahubiri yako yananipa nguvu mpya, asante Mungu kwa kukuchagua kutupa habari njema.
@azizaaziza4683 жыл бұрын
Umenisaindi sana babangu maisha marefu 🖤🖤🖤🙏🙏
@janepherpaul62483 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji maana unayonena ni ya kweli
@angelamarlow5104 жыл бұрын
Amina pastor Ubarikiwe kwa kila jambo ulitendalo utende Sawa na mapenz ya MUNGU
@kingjosse47814 жыл бұрын
Naona MUNGU WA MBINGUNI anavonibariki kupitiaa mafundisho yako pastor Mbaga.. barikiwaa sanaaa🙏
@anetivicent61764 жыл бұрын
Yaaniiii,,,,,pastor wangu hapo kwa wazazi sina swali,,,,hata wapinge Mimi nimekubali,,,,Yesu niokoe katika hili la wazazi,,,,,,
@user-ns1jw3rl3g Жыл бұрын
I hope we're all blessed by the word of God.we pray God to bless aboundently our pastor
@mtallmedia7499 Жыл бұрын
Ninahisi badiliko maishani mwangu,,,, Asante mahubir tv. Aki Asante mchungaji. Lets God will be done.
@cosmasotienoodongo22484 жыл бұрын
Praises be to God may this message that comes from God Himself reach many as possible amen pastor ubarikiwe pia
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
Mimi hapa nimeanza kuona bundles zangu zikifanya kazi maana niko chuoni naelimika hapa maubiri TV mmbarikiwe Sanaa
@user-os3vo4sm2n8 ай бұрын
Ubarikiwe zaidi
@danielselestine47294 жыл бұрын
Ni baraka tele kusikia sauti ya Mungu kwa namna ya mwanadamu ahsante sana mahubiri tv Bwana awe nanyi natumaini ipo siku mimi nitakuwa Mhubiri Mkubwa kwa Neema ya Mungu aliye juu Mbinguni
@usowabwana54283 жыл бұрын
Amen
@elvirafesto5913 жыл бұрын
i l
@elvirafesto5913 жыл бұрын
Kmkķknnnhhhup Nkhdswt5you 0
@peninadunda63483 жыл бұрын
Amina
@t7zkc5tpxgim284 жыл бұрын
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
@daveondiek99262 жыл бұрын
Thank You Jesus
@wanjirualowa55204 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa Pastor hakika somo hili ni baraka kubwa sana kutoka Saudi
@suzanajohn7530 Жыл бұрын
Muujiza wa pili kupitia mahubiri tv niliamini Kwa niaba ya rafiki alikaa kwenye ndoa Kwa muda wa miaka7 bila mtoto na Mungu akamtendea pia Kwa niaba ya kaka yangu Bwana akajibu na Kwa mdogo wangu vivyo hivyo lakini muujiza ninaoungojea n kuhusu mume wangu kupata kazi huu umechelewa sana niombee baraka juu ya hili PR
@shimwekagwiza37314 жыл бұрын
Asante Mungu kwa Baraka zako, ubarikiwe pastor maana unatufumbua akili kila kukicha
@annaemidi59654 жыл бұрын
Wow napenda sana mahubiri yako mungu akubariki sana
@enosayuka9054 жыл бұрын
Amina pastor
@sirilimichaelpamojasana20334 жыл бұрын
We jamaaa nakukubalisana ahse mungu akubariki a!
@ireneorina35603 жыл бұрын
Nashukuru Sana, nimegundua hivi juzi tu mahubiri yako pastor, kusema ukweli sijafaidika pekee yangu, nasikiza nikiamka na kabla ya kulala kila siku. Ubarikiwe pastor. Naomba siku moja uje kenya kwa makambi yetu Mungu akikutufungulia njia
@abednegoaman78614 жыл бұрын
Thanks Pr Mbagga , God makes you high to the top
@joycejames46033 жыл бұрын
Amina mch Mmbaga
@jeremiahzacharia76554 жыл бұрын
Sikupata fursa ya kuja shirati ila nilijipa moyo kuwa nitaangali KZbin asante pastor mbaga. Nabarikiwa.
@gracemuvunyi34754 жыл бұрын
UMENENA SAWA PASTOR. UBARIKIWE SANA
@marycheupe86134 жыл бұрын
Yani mungu acha aitwe mungu tu. Cz mafundisho makuu mno
@GODisable75734 жыл бұрын
Asante sana kwa neno🙏🏾, barikiwa sana Pastor
@elizabethmambai20723 жыл бұрын
Niukweli pastor
@deboraheliakimu40054 жыл бұрын
Amina
@nipaelmsuya52614 жыл бұрын
Duuuuuuuu........kweli mchungaji ubarikiwe sana ......nimejifunza
@janethdeus21274 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@yusuph15474 жыл бұрын
Mchungaji moyo wangu unaniuma nimepungua sana,Naomba Mungu anisamehe asiniache
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
starlike tv tz vidz Mungu ni wa huruma na neema,atakusamehe na kukupa uwezo wa kushinda
Hahahah nimecheka mtumishi mtu anaemtumikia Mungu analima huku anahasira Yaan Yesu atusaidie Sana ufahamu na maarifa
@japhetmkumbwa79144 жыл бұрын
Asante Mchungaji mbaga
@agneskadzo61054 жыл бұрын
Hahaha wazungu hawana mahari.... Very true mali yatoka kwa Mungu Baba mbingun
@violetkadenyi85044 жыл бұрын
Man of God 🙏 thanks for your teaching & true Gospel.
@janetmasasi7033 жыл бұрын
Asante mchungaji kwa neno la uzima.Tunahitaji kuomba toba maana tumefanya kinyume.Mungu akubariki.
@jamesmboga73254 жыл бұрын
I'm being blessed with your educative sermons which are new every day. May the Lord God bless as you continue serving Him.
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Amen
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
JAMES MBOGA Amen
@caleboloo4894 жыл бұрын
Mafundisho mazuri, ila hapo kwa mahari ni kweli waafrika wengi wanauza wasichana wao. Mimi sitawai lipa zaidi ya ng'ombe watatu kama mahari. Ni heri ninyimwe msichana
@felysytersonduso80644 жыл бұрын
Aminaaaa
@estherkabote3714 жыл бұрын
Unazungunziaje idala ya wanawakike pasta
@matthewsathanas22674 жыл бұрын
Pastor hapo nmepona.
@billionairetz2564 жыл бұрын
👏👏👏👏
@PhebiElias-rw9ns Жыл бұрын
Niombee muchugaji nipate kujua mambo yakiloho nakumtumikia mung
@christinasenga44124 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@mariamngumbaokiponda5524 жыл бұрын
Kweli kabisa
@halasarockbreaker90873 жыл бұрын
ha!p!ngw! & ha!kat! kona unaeleweka sana mchungaj!
@hellenimmaculate59534 жыл бұрын
Somo zuri hili❤❤❤
@jonsonsylve72854 жыл бұрын
Mchungaji mahubiri yako mazuri sana unafundisha kabisa kwa kipawa cha roho mtakatifu ubarikiwe pasta
@washingtoneodhiambo20224 жыл бұрын
Hapo sawa pastor
@masanjaadam39084 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@jansidorkas27494 жыл бұрын
Asante lakini apana mimi nafatilia sana hii mubiri tivi juu uyu mchungaji uwa ananielimisha sana kwa sasa nina miaka miwili kukiangalia mafundi haya niko saudi arebia ni juzi tu ndio sauti imeanza kupotea but hii ya leo sauti yaja mwisho kama ako karibu na kumaliza maubiri
@bobog97324 жыл бұрын
😁😁😁😃😁 zowezi la mwaka ni kuka kimya nakuwa kiziwi ili tufik tunapokwnda
@josephineogise44854 жыл бұрын
AAmen wish i can get the English version of it
@mahindiumakinisa4732Ай бұрын
Hii imepenya
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
44:50 ushuhuda wa kweli walio anguka wengi wa kwao walikua hawakumbuki
@adamumjomba824 жыл бұрын
Dr '' Mmbaga mtumishi wa Mungu upo sawa Ktk mafundisho ya Mungu Nina kufuatilia sana kwa njia ya ''Mtandao kupitia simu ya smartphone au tab au laptop vote hi yo vinatumia bando (intranet )sasa Tusipo nunua bando na smartphone tutakupata vipi ? Ubarikiwe mtumishi
@ovidiokibuga10864 жыл бұрын
Mungu akubariki sana,Ila hapo kwenye mahari hapo huwa naona pana utata kabsa kwa upande wangu huwa hainiingii kichwani. Kwanini wazazi wa pande mbili wasiwazawadie vijana wao wanaoenda kuanza maisha?
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Ovidio Kibuga HILO NI WAZO LAKO,TENA ZURI! KIBIBLIA NA KIMILA ZA AFRICA A MAN IS A PROVIDER,LAZIMA AONESHE USHAHIDI KUWA ANAWEZA KUWA PROVIDER
@margaretamasa7799 Жыл бұрын
nikuli
@rihannabellion56364 жыл бұрын
Ameeeeeen mchungaji mim frida israel tupo insta nakuona kila siku..mim.nimeacha kujinunulia hata sidiria lakin wazaz wangu wawe na nyumba nzur naomba uniombee baraka ili niweze kumaliza....
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Rihanna Bellion Mungu akutendee mema
@rihannabellion56364 жыл бұрын
Ameeen Baba asante..
@kingnyamoma56964 жыл бұрын
Najivunia kuwa msabato
@gracemsukwa53214 жыл бұрын
Mungu akubariki pr ni kweli Mungu anabariki kazi ya mikono yetu kwani alitwambia tufanye kazi siku sita,na akasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,hubiri zuri,AMINA
@jansidorkas27494 жыл бұрын
Akuna sauti jamani
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Angalia comments za wenzako ndipo utajua sauti ipo. inawezekana kuna shida kwenye kifaa chako
@jeniferjohn60834 жыл бұрын
Nikweli
@jansidorkas27494 жыл бұрын
@@jeniferjohn6083 ata wewe umesikia kama mimi akuna sauti ama
@ovidiokibuga10864 жыл бұрын
Pr unaongea vitu makini sana
@suzanajohn7530 Жыл бұрын
Pr Mimi muujiza wangu wakwanza ni cm yangu kutokuzima hata kama Haina Chaji nikifungua mahubiri tv Bali Chaji hujaa ghafra Hadi 90
@jansidorkas27494 жыл бұрын
Mwanzo akuna sauti mwisho ndio sauti yasikia please
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Jansi Dorkas Sauti ipo tangu mwanzo
@geofreyakedi7597 Жыл бұрын
Mtu yeyote asiesoma anawesa kuwa mhubiri. pastor plz
@clemencelubango17764 жыл бұрын
Nahitaji muendelezo wa haya masomo kama kuna uwezekanao
@clemencelubango17764 жыл бұрын
Maana nimeliotea tu kama zari mtandaoni. Nataka nifuatilie hadi mwisho
@frankphilemon93334 жыл бұрын
Ahsante Pr. Nahitaji email yako au ya tv.
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
FRANK PHILEMON infomahubiritv@gmail.com
@sindabahabwoyaanacret6604 жыл бұрын
Kwahiyo kipimo cha kumtunza mke ni kutoa Mahali? sio kweli bro embu tujifunze kwa watakatifu walio tutangulia Issac wakati anaenda kuoa alipeleka zawadi kwa binti na sio mahali
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
sindabaha bwoya anacret Nadhani hujaelewa!! Hapo anaongelea mtazamo wa wa Africa,ila ukija kwa hoja ya Wayahudi ndo utachoka,ngoja nikupe chache!! DAUDI ALILIPA MAHARI 1 Samweli 18:25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti. Biblia ilitambua mahari kama njia ya kuhalalisha ndoa Kutoka 22:16 Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe. NIMEKUPA HAYO KWA LEO
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Mahari ni muhimu maana inafanya ajione yuko na wewe kiuharali
@miriamcharles92603 жыл бұрын
Hiyo biblia inauzwa sh. ngapi?
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Muuzaji wa Biblia huyu +255 67 388 8226
@esaumpulule88874 жыл бұрын
Amina
@edithalyimo68174 жыл бұрын
Amina
@zamdasalumu97404 жыл бұрын
Amina
@malyamasanja90804 жыл бұрын
Nakuelewa pr Mbaga
@brunokamuzora95634 жыл бұрын
@@malyamasanja9080 barikiwa mtumishi wa Mungu
@hamisamohamed35594 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akubariki sana
@alfrednamai2877 Жыл бұрын
Asanate sana pasta ni namai kutoka Kenya nauliza habari za kubarikiwa na wazazi kwa kazi yako na je kama hauna wazazi ufanyeje?