Allah akupe Afya na uzima hupenda kukusikiza nakufuwata professor Istambuli
@OmarOmar-sx7kn2 жыл бұрын
Masha allah mola akujaaliye moyo uwo uwo kutujuza haki zenu sisi wapwani
@dulasleyum78046 ай бұрын
Mashaallah alhamdullillah Allah akujalie afya njema ufaham zaidi na moyo wakujitolea na urirefu ili tufaidike zaidi na zaidi
@MuhammadRashid-jq7eq2 жыл бұрын
Kazi nzuri stambuli wa sheikh abdillahi nassir napenda sana kusikiza historian kutoka kwako
@africa-renaissance2 жыл бұрын
Kazi nzuri kuhifadhi historia kwa vizazi vijao
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Alhamdulilah. Kipindi kizuri sana Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera ❤ . Tupe uhondo😊
@mwinyiramadhani20292 жыл бұрын
Masha Allah Mwenyezi Mungu akuwezeshe bro
@umarmataka18572 жыл бұрын
Bravo mzee naku fuatilia kutoka nchini Malawi na amini utatupatia pia historia ya Cabo del Gado,Kisiwa cha msumbiji (Mocambique Island),Musa bin Bique na Makanjila na jami ya sheikh Mataka
@medswamedswa57472 жыл бұрын
Its worth watching and listening to hivi ndivyo ilivyo.
@mbarakali1873 Жыл бұрын
Wacha Stambuli aitwe Stambuli MashaAllah Allah akupe umri mrefu
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
AlhamduliLlah, nashukuru.
@HusseinKagesho7 ай бұрын
Asalaam Aleikum hapa ndipo sasaumegusa ndipo ....Tujuze na uzidi kutujuze huu ndio wakati muafaka shukran shukran wako Hussein mbona raha ipo....❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌹❤❤
@walidamani3532 жыл бұрын
"Ukitaka kutawala mtu yeyote basi mnyime historia yake.." They killed our history na wakutajaza fikraa kuwa hatukuweza fika mahali kama si wao..! Shukran kwa kazi nzuri Babuu Stambuli.. Tuko pamoja!!!!!!!!
@mwanakupona2 жыл бұрын
Asante sana. Nasi twaisambaza kwenye magroup yetu
@omaraliiddi14242 жыл бұрын
MashaAllah
@omadal12 жыл бұрын
Shukran Bro twasubiri kuelimishwa
@amirhemed2483 Жыл бұрын
MashaAllah,Shukran
@mahmudkombo99612 жыл бұрын
Naomba pia uendelee kujuza kuhusu Je Mwambao Uliuzwa
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Bila shaka ndugu.
@ShedadyBinRai2 жыл бұрын
Allah akuhifadh mwamba
@faithfultoyeshua45762 жыл бұрын
Historia muhimu sana
@tofytisa65762 жыл бұрын
Wonderful content. Thank you for the work behind it. It's inspiring to write books for kids to introduce this history.
@nassirsadi35252 жыл бұрын
Kutoka swiss nakuskiza makini mzee,tufundishe maana tumelostishwa.asante sana mungu akulinde
@drjumadrjuma33242 жыл бұрын
We need more history of our country
@drjumadrjuma33242 жыл бұрын
Channel yako ni ipi
@RecapAI Жыл бұрын
wanahistoria wanalinda asili ya sehemu na kuwafahamisha wenyenji kujua waliokotoka na wanachoweza kutimiza ili waishi kwa utengamano. Tulienda mpaka Oman kutafuta msaada kutokamana na wa Portuguese. Sai Tunakako kwa kwenda kuomba msaada tena. Walkah kenya haitatawala Pwani kwa miaka mia
@usamahabdullah13622 жыл бұрын
Very informative, shukran
@khadijahali48372 жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@anwarambar61412 жыл бұрын
Naam big Bro, Al Akh, Stambuli , Allah akuhifadhi uzidi kutujuza, hatuchoki Wala hatukinai kukusikiza
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Shukran.
@fatmaswalehsaid8850 Жыл бұрын
@@stambuliwash.abdillahinass8123 Assalamu alykm kaka Stanbuli Allah akulinde na kila shari akujaze kheir.
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
@@fatmaswalehsaid8850 Wa'alaykum salaam, wa RahmatuLlahi, wa Barakaatuh Dadangu. Allaahumma aamiin.
@fatmaswalehsaid8850 Жыл бұрын
Assalamu alykm tena kaka etu mpendwa Istanbul Allah akujaze kheir nilikuwa naomba kama labda una group la watsapp au naomba watsapp namba yako kidogo nataka ushauri wako kama huto jali.Shukraan
@zani_mohammed2 жыл бұрын
Ahsante shekh kwa kutuelimisha
@abumuhammad78022 жыл бұрын
MashAllah Star. Kazi nzuri
@fatmaswalehsaid8850 Жыл бұрын
Assalmu alykm naomba kujua ofisi au sehemu ya kumpata kaka Istanbul
@hustlernaturalrocks2922 жыл бұрын
Enyi waja wangu Tafadhali Tusiwe na Ubahili SUBSCRIPTION kwa Mpigo. Vasco Da gama Alitubaka hata kihistoria
@ahmedrashid76382 жыл бұрын
Mngu akupe afya njema na umri mrefu, iliutujuze mengi
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Allahumma amiin. Inshaa'Allah sote ndugu yangu.
@issajuma43242 жыл бұрын
Shukuran Allah akuweke , duuu tumepotosha xna kumbe
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Nawe pia shukran sana kwa kutanabahi. Inshaa'Allah, Mola atuweke sote na atujaaliye umri na afya njema.
@ruu65922 жыл бұрын
Sad story
@ummuabdsheikh95812 жыл бұрын
Naam shukran kwa kutupa jawabu inayokera kwa nini coast ikawa haina maendeleo zaidi ya ushindani hasira ziso na maana baina yetu sisi kwa sisi kumbe mambo haya yametoka mbali
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Nami pia nakushukuru kwa kunielewa niyaelezayo kwenye hizi kanda zangu. Kwa hakika, nakuomba (kwa unyenyekevu) usikose kufuatilia kanda hizi kwa kuwa nitaendelea kufafanuwa zaidi mambo mengi yaliyofichwa na kuyatolea ushahidi wa kina ili kila mmoja aelewe ukweli ni upi. Shukran.
@JumaOmar-v8b2 ай бұрын
Ok
@makamekhamis1501 Жыл бұрын
Na sisi wa Zanzibar, Tunaomba historia ya Zanzibar kipindi cha sultan na Uhuru wake
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Inshaa'Allah, mambo yanakuja polepole tu.
@rafaelmarquez939611 ай бұрын
Zanzibar tumetiwa sumu kuwa tulitawaliwa na sultan na alikua akitesa watu akiuwa watu
@abubakarrajab9566 Жыл бұрын
Mola akuweke Mwalimu stambuli
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Inshaa'Allah, atuweke sote.
@majidkulekule99062 жыл бұрын
Ya pili ipo tayari?
@danielarapmoi30412 жыл бұрын
tunaomba kuendeleza makala haya mapema stambuli
@hamdiabdi14202 жыл бұрын
Assalam alykum warahmtullahi wabarakatuhu shkh Istanbul je Una kitabu nakuomba nikipate kama unacho
@idrismatari5003 Жыл бұрын
Akikupatia naomba nami hicho kitabu juu ya kadhi wa lamu alieenda kuhiji
@spodo10442 жыл бұрын
Wakati huo ilikuwa wajaluo na wakikuyu ambao wanasema Kenya ni Yao walikuwa hawajafika Kenya.
@OmarOmar-sx7kn2 жыл бұрын
Zetu sisi wapwani
@NaomiKombo-bv1bi Жыл бұрын
Do you have history's by reading,?
@hamudatahir8432 жыл бұрын
nimefurahika sana na ufafanuzi wako.sasa tutajuwa ukweli maana tumechoka kuambiwa waarabu ndio waloleta utumwa walikuwa wakitesa watu.
@stambuliwash.abdillahinass81232 жыл бұрын
Ndiyo waona kuwa hakuna aelezaye kuhusu utumwa, madhila, mateso, na mauwaji aliyofanya Vasco da Gama na wenziwe dhidi ya Wazee wetu (wake kwa waume) hayafundishwi skuli, madrassa, wa miskitini hayazungumzwi kamwe! Lakini, tutayaeleza kwa ushahidi wao wenyewe! Kisha, nyinyi munaotizama na kusikiza kanda zangu mutakata shauri ni kwa nini mambo ya utumwa yaliyofanywa na Wazungu (Wareno na wengine) huku kwetu mbona hatuambiwi/hayaelezwi?!
@saidhiribae8331 Жыл бұрын
Lini utakua katika maelezo siku nyongone
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Nimepumzika kwa muda ili kujitayarisha kufanya video ya maelezo mengine hizi siku zijazo. Naomba Du'a zenu ili Mola aniwezeshe kutimiza ahadi yangu hii.
@marcoshepardson26632 жыл бұрын
Samahani mtawala WA msa sijam skia Nika imeruka Jina lake tafadhali...