Kabla ya ujio wa Uislam na Ukristo Watanganyika walikuwa wakiabudu dini za asili. Daily News Digital inakuletea Historia ya Kanisa la kwanza Tanganyika na kifo cha Dr Livingstone
Пікірлер: 3
@ramazubery83965 жыл бұрын
nilijua ulikuepo au umeadisiwa kumbe umesoma vitabu kisha umekalili duh story nzuri.
@livingstoneakyoo62285 жыл бұрын
Hahahaaaa wa jina langu naona hata tabia na imani tunafanana. Tunachotofautiana tu ni rangi(race). Ipo siku nitakutana naye mbinguni na kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya hasahasa katika kupinga biashara ya utumwa na kueneza habari njema (The Gospel) za ufalme wa Mungu.