No video

HISTORIA YA MBAVU MOYA KATIKA VITA VYA DUNIA(WORLD WAR ONE)

  Рет қаралды 9,131

Tanganyika TV

Tanganyika TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 42
@congoleseyouthnetworkc.y.n1803
@congoleseyouthnetworkc.y.n1803 3 жыл бұрын
I am Mbembe pure and my dad told me about Michel Mbavu Moya
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 3 жыл бұрын
*Ahsante sana mzee kwa Historia iyo mzee wangu ubarikiwe sana*
@didierilombe5572
@didierilombe5572 25 күн бұрын
Tupo pamoja mzee wetu . Uzidi kutupa historia zaidi.
@pierremtoka9307
@pierremtoka9307 3 жыл бұрын
Uyu mzee ananifunza mengi asante sana kwa kazi ihi nzuri
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 3 жыл бұрын
Big up wabembe👍🏿💪🏿 Mimi bibi yangu mzaa baba ni Mbembe,lakini familia ilihamia Tanzania sijui ni mwaka gani,hata hivyo najivunia kuwa Mbembe👍🏿
@oredinondo-ln9zu
@oredinondo-ln9zu 2 ай бұрын
Asante sana kwa historia nzuri💪
@vumiliajuma5537
@vumiliajuma5537 Жыл бұрын
Bilemba on top ❤❤
@innocentshabani3943
@innocentshabani3943 3 ай бұрын
Very nice,i just like this.ni mwalimu wangu le roi,alinipa littéreture darasa la sita secondary,ningeomba tanganika tv muwe mnafanya tafiti kama hizi ili kusaidia watu ujuzi mwingi
@dayoyo4463
@dayoyo4463 3 жыл бұрын
Na merci sana kwa history nzuri big up
@abongyoJacques
@abongyoJacques 26 күн бұрын
Type abari nzuri ya shujaa wetu wa Dunia.
@magneticsurface5242
@magneticsurface5242 2 жыл бұрын
I love this my brother keep up the good work, Re-informant is coming
@stephenmukaabya8442
@stephenmukaabya8442 3 жыл бұрын
Could you consider an English version for those that aren't fluent in swahili? Thanks in advance.
@kingdamochuhi2243
@kingdamochuhi2243 3 жыл бұрын
asante sana jerani wetu apo c3
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Жыл бұрын
Historia yawabembe nipana sana sii congo tu hata tz wanahistoria yamda mrefu hilo sanam lililopo Posta huyo nikumbukumb ya mbavu moja .ambae nimbembe
@malkiawafizi2394
@malkiawafizi2394 3 жыл бұрын
Tunaomba historia nzima yawa bembe.najinsi walivyo ingiya kigoma.
@MalangaMartin
@MalangaMartin Ай бұрын
❤❤❤
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 3 жыл бұрын
Mahenge iko Morogoro
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 3 жыл бұрын
Ni history nzuri kwa sisi hukoo wa babembe. Ila mimi kwangu huyu mzee hangesha kuongea mambo kama haya. Haindike vitabu vitamsaidia yeye pamoja na familia yake nzima. Pia wazungu hawata mpenda kuhusu mambo, kwanza kwa sasa bado ungali kambini so hasha mambo ndugu yangu.
@muhubirimugisho2813
@muhubirimugisho2813 3 жыл бұрын
Tunashukuru kwa kumukumbuka Héro Mbavundogo Michèle...ijapo DRC ina mtupiliya mbali.kweli ime baki kweli
@vnkjproduction7898
@vnkjproduction7898 2 жыл бұрын
BABA mdogo huyo anaye toa historia hapo. Wabembe tuko juu
@dayoyo4463
@dayoyo4463 3 жыл бұрын
Ndugu journalist ,wakati ingine usikate histoire usikilize ma question uziandike utauliza akimaliza kuongeya , please
@SaleheMkololwa
@SaleheMkololwa Ай бұрын
Kk huyo baba ange fanya nguvu tupate tupate kitabu cha historia hiyo jamani
@wizztz4815
@wizztz4815 3 жыл бұрын
Baba kire 😂😂😂
@peloofficial5610
@peloofficial5610 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@demsbarber3517
@demsbarber3517 3 жыл бұрын
Vitu vya msingi sn kwel
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mkuu
@emmanuelademba7919
@emmanuelademba7919 Жыл бұрын
Wana Tanganyika TV nimewakubali kumbe neno Tanganyika asili yake ni BEMBE?!!asante mimi niwa 🇹🇿
@lucasanthony4619
@lucasanthony4619 2 жыл бұрын
Mahenge ni mkoa wa morogoro
@salumdjumabizmana0110
@salumdjumabizmana0110 2 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe kabisa kwa maana unajuwa historia ya Kongo na ususan ya inchi zetu za maziwa makuu.Ungesaïdiwa kuandika kitabu ili historia hiyo ispoteï
@robertmgaya7386
@robertmgaya7386 2 жыл бұрын
MAHENGE NI MKOA WA MOROGORO
@socratekimamura5172
@socratekimamura5172 3 жыл бұрын
Do the bafuliiru people History we want to know the the bafuliiru history bro
@TanganyikaTV
@TanganyikaTV 3 жыл бұрын
Yes we have the bafuliru documentary currently in production right now ..
@socratekimamura5172
@socratekimamura5172 3 жыл бұрын
@@TanganyikaTV you are the best g keep putting more about sub kivu
@TanganyikaTV
@TanganyikaTV 3 жыл бұрын
@@socratekimamura5172 thank you
@SaleheMkololwa
@SaleheMkololwa Ай бұрын
Mimi nahitwa Bwise'elelo naishi goma, ila nilikuwa nahomba historia hiyo mungefanya kitabu ili Sisi wa bembe tuwe nayo svp.
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
Mbavu moya ndo mnala wa posta
@benedictionkasereka1738
@benedictionkasereka1738 10 ай бұрын
😂🙏🙏🙏
@peloofficial5610
@peloofficial5610 3 жыл бұрын
baba kire🤣🤣🤣🤣C3 dah🤣🤣🤣🤣
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
Yani hata huyu SI ndio sanamu la pale posta
@innocentshabani3943
@innocentshabani3943 3 ай бұрын
Yes ndo yeye
@felicienkisasu477
@felicienkisasu477 2 жыл бұрын
Il s'appelait Mbavu Ndogo et non Mbavu Moya.
@innocentshabani3943
@innocentshabani3943 3 ай бұрын
Ulielewa kulikotokea jina mbavu moya?,ni kwa sababu Alitalia mwenye kwenye familia yake
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 11 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
NINI CHAZO CHA VIJANA WENGI KUFA KWENYE JAMII YA  WABEMBE MAREKANI
31:04
ATARI YA MANENO YA RAISI FELIX TSHISEKEDI KUHUSU JOSEPH KABILA NA M23
39:07
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku,18 Agosti 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,1 М.