Huyo sheikh Muhammad bin Abdurrahman Dedesi nampenda kutoka moyoni kutokana na ikhlaasw
@MohamedMgwami-nw6bl5 ай бұрын
Amiin amiin amiin
@sulimounsulimoun6998 жыл бұрын
Allahuakbar. Allahuma barik mashekhe wetu
@zubedajaffer14768 жыл бұрын
Suleiman Dahir
@zubedajaffer14768 жыл бұрын
Suleiman Dahir
@sharifjuma12208 жыл бұрын
sheikh Abdulrahman Mohd Dedes. Jina la sheikh.
@fatmasaid58647 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rahman shukran kwa historia ya mashekhe znz tulikua hatuyajui
@aishaomar50192 жыл бұрын
M
@salaamclinicoftraditionalm36417 жыл бұрын
Maa shaa Allaah
@MohamedMgwami-nw6bl5 ай бұрын
Ndugu zangu ninaomba kwa yeyote aliyekaribu na sheikh dedes ninaomba anikutanishe naye ili nimjuze yangu kuhusu mabwana wakubwa zetu ambao ni mawalii wa allah swt,
@saidabdala49803 жыл бұрын
This is ZANZIBAR .. PAWER fuul contre in the Word
@masoudnassor28528 жыл бұрын
Asalam alaikum. Naomba jina la Sheikh.
@dodomikleni92998 жыл бұрын
masoud nassor sheikh Muhammad Abdul Rahman Dedes
@abdulazizimohamad59097 жыл бұрын
achauongouwooo utakupeleka motoni
@salaamclinicoftraditionalm36417 жыл бұрын
Abdul Aziz Mohamad toa dalili kama huo ni uongo,na usipo toa wewe ndie muongo mkubwa kabisa
Hakika sheikh Abdul rahman bin mohamed mwinyi a,k,a dedes sheikh umeyasema mambo mazito sana kuyafahamu kwa mtu mwenye mwenye ufahamu wa kutosha haitaji hoja za kijinga,mimi binafsi nimeyaona mambo kwa mabwana wakubwa hawa,allah swt awarahamu masheikh zetu kwani wao dunia waliipa nyongo na walijikita kutafuta radhi za allah swt naye aliwaridhia amiin amiin