MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.

  Рет қаралды 18,946

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@AminasalimKhamis
@AminasalimKhamis 4 сағат бұрын
Shukrn sheikh Allah akulipe khery mkono kwa mkono hadi peponi
@IbrahimMussa-g6l
@IbrahimMussa-g6l 2 сағат бұрын
ALLAH Akulipe ustadh ujumbe umefika na viongozi in shaa Allah M/Mungu awasaidie kupambana na izo hali
@MchaFakih-ij8kh
@MchaFakih-ij8kh 9 сағат бұрын
Well said may Allah bless you and Grant highest level of jannah
@ramzsule7678
@ramzsule7678 8 сағат бұрын
Sheikh huna hoja mbele ya Allah umefikisha na Sisi mashuhuda na tunakuunga mkono Kwa Hilo hawakutekeleza watakwenda jibu shukran sheikh
@Quran-hidayat01
@Quran-hidayat01 4 сағат бұрын
ameen
@Hussein-qq2uy
@Hussein-qq2uy 7 сағат бұрын
Wallaahi sheikh wangu Allah akulipe kheyr umeshafikisha ujumbe huna dimma mbele ya Allah watu wa serikali wanajulikana wanauogopa mfumo Kristo ulioshika hatamu Tanzania nzima mimi naamini kama Rais atatoa tamko la kuzuia uchafu huu kwa nafasi yake hakuna atakaethubutu lakini ni mtihani tuwaachie mizigo yao
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 3 сағат бұрын
Zuieni na smart phone zisiingie Wala kutumika Zanzibar bila ivyo kazi bure
@solomonadams6337
@solomonadams6337 9 сағат бұрын
Mimi niko UK mwaka wa 22 lakini naungana nae huyu Sheikh hawa waumbaji wasije kuimba Zanzibar sisi tuna mila zetu za kiislam sawa,thanks
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 3 сағат бұрын
Ishini kulingana nanyakati sasa ivi ulimwengu wautandawazi nyimbo hazitapigwa kwenye tv na redio vp kuhusu smart phone hawataangalia kwenye tv sawa je kwenye cmu pia mtazuia? Mkitaka kuliweza hili nawashauri mpige marufuku cmu kuuzwa Wala kutumika zenjy Dunia yautandawaz huwezi kushindana nayo
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 3 сағат бұрын
Unaweza kuzuaia KZbin na kila sehemu​@@joycedimoso8648
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 2 сағат бұрын
​@@joycedimoso8648we itakuwa unapenda Hawa wasanii wahuni.kinachowezekana kifanyike
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 46 минут бұрын
Acha ujinga lazima ikatazwe mtu akifungua mwenyewe nijukumu lake binafsi​@@joycedimoso8648
@abuusalum928
@abuusalum928 6 сағат бұрын
Allah akuzidishie mzee wangu , umefikisha na Allah ni shahid!!
@SuolFat
@SuolFat 4 сағат бұрын
Hongera sana shekhe umeongea ukweli mtupu
@JumbNovis
@JumbNovis 9 сағат бұрын
Allah akubariki, Allah ailinde zanzibar yetu ,
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg 6 сағат бұрын
Naam huu ndio ukweli Mzee wetu Allah akulipe
@saidbakar-x1m
@saidbakar-x1m 5 сағат бұрын
Umesema kweli shekhe wangu
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 6 сағат бұрын
Ndugu yangu katika upo sahihi allah akuifadhi
@najashdawood9680
@najashdawood9680 4 сағат бұрын
Upo sawa kabisa sheikh wetu ..hongera kwa ukweli uliowapa hao waheshimiwa .mmaana nao wanjitoa fahamu kabisa
@FathiaHassan-g7t
@FathiaHassan-g7t 5 сағат бұрын
mashallwah allwah atakulipa kila khiri
@NassorrajabJuma
@NassorrajabJuma 5 сағат бұрын
Allah akulipe shekhe wetu na wanaovaa uchi pia nao waambiwe
@ghalibelghanim1151
@ghalibelghanim1151 5 сағат бұрын
Asante Sheikh. Zanzibar imeharibika.
@KizaSelepa
@KizaSelepa 4 сағат бұрын
Allah akipe afya njema mzee wng❤❤
@alijuma8009
@alijuma8009 9 сағат бұрын
Mashaalah muungu akulipe kwa ujasiri wako
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 3 сағат бұрын
ilo baraza la sanaa lihamiye baraa sisi waislamu zanzibar uchafuu uwoo hatutaki
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 8 сағат бұрын
Mashallah Zanzibar waislam cc mambo hayo kharam kwetu tusaidien viongoz kuondoa uchaf huu
@faudhiaabdallah4361
@faudhiaabdallah4361 7 сағат бұрын
Well said❤mashaallah
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 3 сағат бұрын
Hongera sheikh ukweli umesema maana viongozi wa kisiasa wapo kidunia zaidi wanakula akhera yao duniani kabisa
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 7 сағат бұрын
Asanteni hii mada nimeipenda kwakweli
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 4 сағат бұрын
Mashaa Allah shehe wetu ushafikisha Allah akulipe heri zako
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 сағат бұрын
Na wanaovaa uchu ni wale watalii wa kiafrika kutoka Nigeria. ghana.kenya. Na south africa.na wabongo pia
@alimsellem6103
@alimsellem6103 5 сағат бұрын
Diamond asije zanzibar
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 сағат бұрын
Ungeanza na Mauzinde kumkataza aache usenge ungefanya Jambo jema sana
@alsam4881
@alsam4881 3 сағат бұрын
Wote hao wapigwe marufuku kuingia Zanzibar kuanzia Diamond na harmonize na hawara zao, Mwijaku, babalevo, gigy money, wema sepetu, whozu, lulu diva, shilole na mahawara zao na wengine wote wenye tabia chafu wasikaribishwe tena Zanzibar wapewe marufuku kuingia,
@AbdulazizElShuwehdy
@AbdulazizElShuwehdy 2 сағат бұрын
Alfatah TV Tafadhali rakibisha mimi sio mzee Andika ifuatavyo Shaikh Abdulaziz El Shuwehdy
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 8 сағат бұрын
Usiogope sema haki halafu hata wanamziki wasikaribishwe ikulu inakuaje wanamziki wanakwenda ikulu namuomba rais wanamziki niwatu wabaya wstaiharibu jsmii
@abdulatifismail4747
@abdulatifismail4747 3 сағат бұрын
Ndio wapiga kura wao na mabarazuli mashoga hai ccm oyee😅
@nurdinimzimbiri
@nurdinimzimbiri 4 сағат бұрын
Sheikhe Allah akulipe ujumbe ushafika serkali ya Zanzibar inalakijibu mbele ya Allah
@alsam4881
@alsam4881 3 сағат бұрын
Ni kweli kabisa ayasemayo hayo huyo Sheikh, Haswa hao wanaojiita wasanii na watu maarufu kutoka bara ndiyo wanakuja Zanzibar kufanya maasi na uchafu wao huo na kuvaa nusu uchi, Kwakweli wanatuharibia vijana wetu, Mie naomba Serikali ya Zanzibar isiwakaribishe tena hao wasanii kutoka bara wenye maadili mabaya pamoja na huyo binti wa kizanzibari Zuchu na hawara yake Diamond.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 8 сағат бұрын
Kiufupi wasiingie ikulu wasikaribishwe wanamziki hata kuwenda kutoa pole wanapofiwa msiwaruhusu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 7 сағат бұрын
Safi kabisa sheikh wetu Mheshimiwa amekuelewa vema
@NoufelSalim
@NoufelSalim 3 сағат бұрын
Hahah et me staki kuziona😂,hongera sheikh
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 сағат бұрын
Umefikisha kaz kwako mh mwinyi ujumbe umefika❤
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 8 сағат бұрын
Mzee ujumbe umefikisha
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 4 сағат бұрын
Hussen umelichomowa sheria za znz mnazikataa mnasingizia jamiii
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 9 сағат бұрын
Ikiwa mnaweka sharia ktk nchi lazima Raia awe na kitambulisho ataweza kupata huduma za serika halafu raia ananyimwa kwa makusudi hamumpi. Halafu mnategemea hao wataweza kusimamia maadili ya Zanzibar? Wakati vitambulisho vya Mzanzibari wanapewa machangudoa wanaokuja kujiuza .
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 7 сағат бұрын
Ndio hapo
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 5 сағат бұрын
@@nailamohd-wn6sb Nisawa wakati wa Rais Karume Airport ya znz kulikuwa na vitenge maalum akishuka ndege 2 mtalii anapewa kitenge maalum ajistiri!
@saiddgsmg
@saiddgsmg 5 сағат бұрын
umeongea haki
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 5 сағат бұрын
@@TunauzaSimu-fn2ff ndio nikasema hawezi kusimamia km alivosema brodher hapo juu mana vitu simple tuu ni kurudisha yale ya zamani na mrejeshaji ni serikali na msimamiaji ni serikali sheikh na jamii kazi yao kutoa taarifa tuu laa sio hivo basi tutakauka mate kwa kusema na hawezi kusimamia hilo chezea Muungano ww
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 4 сағат бұрын
Serikali inakwepa jukumu lake,wao ndio waliokula kiapo kuilinda katiba ya Znz,tumuulize Mh.Rais kwa mujibu wa katiba ya Znz hapo Unguja bar zilitakiwa zisidi ngap?jee! Sasa hivi zipo ngapi?,jee! Mwinyi huyajui yanayoendelea CCM mkoa pale Amani?,kuna kila aina ya uchafu unaofanyika pale,jee sio wewe mwenye mamlaka ya Zanzibar kwa sasa?nani wa kuyazuia hayo kama sio wewe!!,leo unashindwa hata kuitetea katiba ulioiapia!!
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 7 сағат бұрын
Jazaka Allah khair
@sulaimansalim8086
@sulaimansalim8086 13 минут бұрын
Masha Allah mashaa Allah huyu Mzee haya maneno yake inafaa yaandikwe Kwa wino wa dhahabu Allah ampe Jannat Firdausi Ameen
@omarhusna1766
@omarhusna1766 7 сағат бұрын
Ujumbe ushawafika fungu lako lisha malizia sasa kwazi kwao
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 сағат бұрын
Jina la raisi msiseme hamumjui ❤❤❤❤
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 сағат бұрын
Desturi na hulka za ZANZIBAR zimepotea kutokana na viongozi wanaletwa kutoka TANGANYIKA.
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i Сағат бұрын
KWELI BWANA WAO NDIO WALIYOLETA SUNSUMIA NA SAMRAT HAPA ZANZIBAR
@alifoum6236
@alifoum6236 2 сағат бұрын
Asante shekh, ALLAH atakulipa kheri kwa ujumbe
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 3 сағат бұрын
Mbona inawezekana viongozi tu wadharau lkn wanaweza kudhibiti Allah awajalie wapokee huu ujumbe
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 2 сағат бұрын
Mimi naona nyinyi ni kama watoto wadogo tu bila ya kuwa na dola ya kiislam tutapiga make time
@AwenaFeisal
@AwenaFeisal 3 сағат бұрын
Maa shaa Allah kweli jamani
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 50 минут бұрын
Safi kabisa shekh tena wafungwe hao jela kwa kukaa uchi tumewachoka mishetani na wachafu
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 сағат бұрын
hapo kuna jamaa ndiye anayewaleta kina zuxhu na yule mke wa pdidi
@Rukinho
@Rukinho Сағат бұрын
Hakika ni kweli kabisa hizi nyimbo hazifai kabisa
@KamchapeKachara
@KamchapeKachara Сағат бұрын
Wewe ndo muumin wa kweli na mungu atakusaidia na atatupa kheri inshaallah
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 28 минут бұрын
Allah akufanyie wepesi sheikh
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 Сағат бұрын
Allah awajaalie hao viongozi Wawe na masikio na masikio ya moyo wasikie.
@kunsule9261
@kunsule9261 Сағат бұрын
Hakika sheiykh umefikisha. Allah Azidi kukuongoza. Zanzibar Imeharibika inaikimbiza Tanganyika kwa upotevu wa maadili. Kila rais zanzibar ni Muislam. Mawaziri wakuu wa mikoa hadi chini ni waislam lkn hujifanya Uovu uliopo znzbar hawauoni kwa kuhofia Ajira yao. Amri Inatoka tz bara. Jipangeni kumjibu Allah.
@abdallasadik
@abdallasadik Сағат бұрын
Dah' yaani shekh umeshafikisha mahala sahihi na Allah Anasema hamuadhibu mtu mpaka amfikishie ujumbe Mh.Rais kazi kwako mamlaka unayo
@SalumKeya
@SalumKeya 2 сағат бұрын
Sahihi kabisa sheikh wetu umefikisha vilivyo na viongozi wakae chini kulitatua hili tatizo maan vijana wengi sas wameharibika sana na hii sanaa ya Muziki.Nafikili wangeondoa tu maan haina faida yeyote kwa jamii zaidi ya kuharibu vijana
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 4 сағат бұрын
Asalama aleykum warhamatu Allah wabarakatu. Bora kukatika viuno wanawake hata ktk ngoma za vikosi ni marufuku. Kidini bora Allah kuliko Sanaa.
@thehomeoffootballskills4358
@thehomeoffootballskills4358 Сағат бұрын
Alhamdullillah umefukisja Shekh ata uku bara natamani tungepata wakutisea kama wewe maadil yamealibika sana sana umefikisha Shekh nasi ni shahidi kwa hilo
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 8 сағат бұрын
Kweli hilo lishughulikiwe kiingozi asimame imara kwakweli wanaume zama hizi ndio wanajistiri mno ila wanawake wao ndio matangazi yakila kitu ipigwe marfuk tusiwasikilize wazungu wasemavyo ety haki za binaadam hizo ni njama zao tu za kupotosha watu
@w4058
@w4058 2 сағат бұрын
Kweli dada na safari ya skuli au madrasa inaanza nyumbani na sie tuanze na kwa sie wenyewe tuwache muweka ma help me kwanza na kujipamba tukitoka tuwache na mchanganyiko na kujitowa haya khasa katika siasa vyama vyote vinawashirikisha vibaya wanawake
@AslihanKhamis
@AslihanKhamis 5 сағат бұрын
Anachokizungumza mzee ni sahihi utamskia rais anawaagiza masheikh suala la kukemea maadili wakati anajua kwamba yeye anayo nguvu kubwa ya kuondosha uovu kwa mikono yake na kwa mdomo wke.
@AllyHamran
@AllyHamran 8 сағат бұрын
Zanzibar kichaka na kigenge cha wahun tu.Maana mtu anacheza uchi wa mnyama na inapigwa television ya taifa.
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 6 сағат бұрын
Nawizara ya elimu inachangia kuharibika kwa kiswahili cha zanziba imepitosha maadili
@w4058
@w4058 3 сағат бұрын
Ni kweli muwongo hana nia ya maadili hata chembe kajitowa tu kimaso aonekane kama nae hafurahuwi mwanawe siku ya harusi Subhanallah nguo alovishwa machuchu yakionekana haaa asitudanganye na kama ana Nia kweli basi mabaa yalojaa amani na miziki ayapige marufuku hatutaki sanaa za uharibifu
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 4 сағат бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤ Shukran Mh Rais Dr Hussein mwinyi umejibu vizuri sanaaa safiiii kabisaaaaa sahihiiiiiiiiiiiii.media mitandao etc zote na wazee na kila mtu ktk jamiiiii wanawajibu wa kuongozana na kuelewesha jamiiiii ❤❤❤❤ sio serikali peke yake .
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 4 сағат бұрын
Subhanallah , hakuna anaepinga hilo kwamba kila mmoja anao wajibu wa kukumbusha, lakini mtume SAW amesema kuna njia tatu za kuzuwia uovu isitendeke , Njia ya kwanza kuzuwia kwa mkono wako, Njia ya pili kukemea kama uwezo wa kuzuwia huna kama mzee wangu alivyofanya hapo . Na njia ya tatu ni ys kuchukia ingawa huko kuchukia ni udhaifu wa imani. Hivyo rais kama kiongozi mkuu wa nchi hana njia ya kukwepa sababu yeye leo akitamka tu kuanzia leo marufuku muziki Zanzibar akimaliza kutamka tu tayari Zanzibar itaanza kupiga hatua maana amri itakuaimetoka kinachofata ni utekelezaji , ukituletea mziki ni kichapo tu kila mmoja atakaa kwa heshima na adabu,
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 4 сағат бұрын
Lakini je ana ubavu huo,? mfumo utamuacha salama? Ulwa hautaki tena?
@w4058
@w4058 3 сағат бұрын
​@@NaglaSaid-jn1xo Hana Nia ya hayo aloyasema Allah atuongoze sote maana haiwi harusi tu ya mtoto wake alivyo vishwa utupu na video kurushwa kwenye you tube na sasa imekuwa fashion siyo yeye tu hapana sote tunajisahau siku hizi Allah atusaidie sote kuwacha
@w4058
@w4058 3 сағат бұрын
Usimsifu bure yeye ni uli amri atanabahishwa kajitetetea tu hapo aonekane kama anataka kuyafanya yule dada alokuwa akisema khabari za ushoga na mengine wakiwemo mauwaji mbona hatujasikia wahusika kupandishww mahakamani
@w4058
@w4058 3 сағат бұрын
Kweli kabisa ile harusi ya mwanawe tu inatosha maana sawa raia wanafanya na wao lakini Rais wa nchi aaa
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 39 минут бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 5 сағат бұрын
Sanaa hiyo unayosema ndiyo viongozi wanategemea wasanii ili kuwashawishi wananchi kukusanyika kwenye mikutano yao, " vigumu sana kwao sasa" kuwakataza! 😂
@maishadume3272
@maishadume3272 3 сағат бұрын
Hongeraaaaaa shehe ❤
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 7 сағат бұрын
😄 Atakae aje ndio hayo. Na wakati tumeungana na Watanganyika kamwe hayoondoka. Sababu hayo mambo yapo kiserikali.
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 7 сағат бұрын
Nilisema na mimi km serikali haingilii kati mashekhe mate yataganda na serikali hii ya mapinduzi hakuna litakalokua 😅 naona majibu ya Rais yy kishajitoa anakwambia tiktok hawezi kuchukua khatua mambo yataendelea km kawa
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 2 сағат бұрын
Kichwa Cha habar na markezo tofaut muandish uache uhuni😊
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 5 сағат бұрын
Nyinyi mashekhe mauzinde ana Dukani katika mitandao yule ndio anavunja maadili
@knight6757
@knight6757 Сағат бұрын
Enzi zetu hata TV hazikuwepo ...ati twende na wakati ! Mbona hao watalii hawa igi utamaduni zetu za kiafrica juu ya mawazi 🙄🤔
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 8 сағат бұрын
Serikali
@mwinyiothman5106
@mwinyiothman5106 5 сағат бұрын
Mim mwenyewe kwangu sina tv kwa sababu ya hayo hayo
@alikidungura9419
@alikidungura9419 8 сағат бұрын
Wamesema serekali haimadini ila mambo ya sanaa ni ya dunia
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 4 сағат бұрын
Hekoo Barakaallah
@SazafKiba
@SazafKiba 7 сағат бұрын
Mashallah serekal inachangia sana
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 сағат бұрын
Ccm ndio inapata pesa katika mabaa na waimbaji kutoka Tanganyika mpaka vigoma kutoka Tanganyika vimejaa kwenye mitaa ya ZANZIBAR.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 7 сағат бұрын
DR MWINYI NDIE WA KWANZA KULAUMIWA, NA NDIE ANAYEIFANYA ZANZIBAR KUA DANGURO. MIJITU YA KILA NCHI LIMEJAA ZANZIBAR NA AMEIRUHUSU KUFANYA KILA BAYA, HALAFU ANAWAITA WAWEKEZAJI!
@alikidungura9419
@alikidungura9419 8 сағат бұрын
Umeongeo kaka
@nurdinimzimbiri
@nurdinimzimbiri 4 сағат бұрын
Sheikhe Allah akulipe jumble ushafika
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 4 сағат бұрын
Shekhe usitafune maneno wambie ukweli hao viongozi katika uislamu hakuna sanaa ya muziki, ni kharamu na viongozi wanatakiwakujua kwamba kuna maisha baada ya kufa huko hakuna Rais ,makamo wala waziri kila mmoja ni mchunga na atakwenda kuulizwa juu ya alichokichunga , lakini jibu lao hao litakua rakhisi wao wamejitahidi muziki kuuundia wizara ili utambulike uwe halali, kiufupi hao mabwana wakubwa wamehalisha kile ambacho Allah amekikharamisha.
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 4 сағат бұрын
Huwo Niukweli Yule Zuchu Kaja Kaimba Hapo Rais Wa Tanzania Alikuwepo Na Hakufanya Chochote
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 5 сағат бұрын
Huyu sio mzee,hata 50 hajafika
@rashid3562
@rashid3562 Сағат бұрын
Much confident
@rashid3562
@rashid3562 Сағат бұрын
Namin hilo halifanyiwi kazi asilimia mia moja
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 3 сағат бұрын
Mzee kashiba maharage kwanza wazuieni wazungu asiingie
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 4 сағат бұрын
Maneno thabit haya Zanzibar maadili yameporomoka sana sana na SMZ haichukui hatua zozote kudhibiti uchafu unaozidi kila kukicha...
@salmaghalib5474
@salmaghalib5474 5 сағат бұрын
Yemen mwenyewe mwinyi anavunja sheria ya dini kafanya harusi ya mwanae mbali na maadili ya dini
@AliMsellem
@AliMsellem 7 сағат бұрын
nikweli znz imeisha watu watembea uchi mashoga wengi wasakaji wengi sana ww huna jukumu lolote lile
@Abdullywahidjamalijamali
@Abdullywahidjamalijamali Сағат бұрын
Allhamdullha
@memesnamatukiomuhimu8453
@memesnamatukiomuhimu8453 Сағат бұрын
Acha vijana wainjoy mmeyataka wenyew ayooo
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 5 сағат бұрын
Hakuna kitakocho kua kama serekali haijakataza.hilo beni ndio balaa mtihani mkubwa sana.usiombe kukutana na beni ukiwa na Mzee wako
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Nikweli wapigwe marufuku wapiga mziki wote wasije Znbr ndio wanatuchafualia Znbr inaonekana chafu pia wasenge wanalindwa sana na Hawa wataliiii nao
@khadijaabdulaziz8297
@khadijaabdulaziz8297 3 сағат бұрын
Wasanii wetu wanaimba uchi wanaachiwa itakuwa wageni tujiaandae kujibu Mbele ya Allah Mzee karume alikataza nguo fupi
@thamani5842
@thamani5842 5 сағат бұрын
Na wanaovaa viguo vya nusu uchi waache, hawawezi kujistiri warudi walikotoka
@nurdinimzimbiri
@nurdinimzimbiri 4 сағат бұрын
Mzee usimumunyemaneno zuchu MTT mzazibar nimiongoni mwao
@MahfodhAmeyr
@MahfodhAmeyr 3 сағат бұрын
Allah akubarik
@babazungu3180
@babazungu3180 4 сағат бұрын
Wao wanafuata maokoto tu halafu eti ni waislam
@Quran-hidayat01
@Quran-hidayat01 4 сағат бұрын
safi shekh
WAFANYA BIASHARA ZANZIBAR WALIA MBELE YA RAIS MWINYI.
8:58
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
ZANZIBAR YAFURIKA UJIO WA MUFTI MENK
8:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 236 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
HIVI NDIVYO WANAUME WANAVYOWAUMIZA WANAWAKE KATIKA NDOA ZA UKE WENZA
29:05
MAKAMU WA KWANZA AFUKUA SIRI YA HISTORIA YA ZAIDI MIAKA 100 PEMBA
19:08
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 236 М.