Assalam aaleykum sh mussa jee tunaweza kupata historia yako na kusoma kwako maana upo tafauti na masheikh wengi ama karibuni wote lkn wewe unacho kisema hua ni kweli kwa wenye kuelewa naomba tupe walau kwa ufupi historia yako
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
*بسم الله الرحمن الرحيم* www.youtube.com/@KHALIFAMPYA-TV?sub_confirmation=1 *_SUBSCRIBE_* CHANNEL YETU ILI KUPATA VIPINDI VYETU VYA KUMTUKUZA *_ALLAH_* *اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم*
@allysaidy1965 Жыл бұрын
MashaAllah
@halifasaidi6653 Жыл бұрын
Barakallah fikhii Habib
@carolinemrinji9605 Жыл бұрын
Pamoja na makarama Yao kuanzia kuzaliwa kwao utoto wao hadi utu uzima wao
@carolinemrinji9605 Жыл бұрын
Asalaam aleykum Sheikh naomba utupatie historia Kwa ulefu tafadhali
@yammuhamed736 Жыл бұрын
Asalaam alaykum shukran sana ila mi swali langu uwalii wa hawa mawalii ulikua je na je katika uwislam vipo vitu kama ivyo vya kuwa na mawali wannee
@hassanshabankombo423 Жыл бұрын
Assalamu alaykum shekh Mimi nasikia uyu shekh ni msomali
@carolinemrinji9605 Жыл бұрын
Sheikh Abdul kadir jeran na wengine wao ni ombi naomba
@hamisikiyungi8540 Жыл бұрын
ushahuri wangu sio nalazimisha nashauri wacha lenye kukutia shaka.fata lisilo kutiashaka, usihukumu kuwa hawa waaongo hapana usihukum hivyo