HISTORIA YA SHEIKH UWESU ALQADIRIY (R.A) SEHEMU YA 02

  Рет қаралды 9,038

KHALIFA MPYA TV

KHALIFA MPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@MbaroukuSalehe
@MbaroukuSalehe 21 күн бұрын
Allah akupe nguvu utupe elimu khalifa namaisha maref amin
@abdulkadirhusein3578
@abdulkadirhusein3578 Жыл бұрын
Mashallah
@yusuphchuma2250
@yusuphchuma2250 Жыл бұрын
Asante shehe kwa historia. Pia tulikuwa tunaomba mwendelezo wake mpaka kufa kwake.
@abasaliomar1020
@abasaliomar1020 Жыл бұрын
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh sheikh maa Sha Allah inn Sha Allah nakuomba utuelezee kisa Cha sheikh Muhammad nassor na yule jamaa aliyekua akimuuliza maswali sheikh akarushwa Makkah al kaaba
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
Mwenyez mungu awarenhemu mashehe wetu azidishie nema huko waliko amzidishie neema shehe Muhammad nassor nimemushudia ktk uhaiwake na tabia zake zenye hekima na busara namkumbuka shehe😭
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Amiin
@othmanmallya9424
@othmanmallya9424 Жыл бұрын
Mashallah darasa nzuri
@yusuphchuma2250
@yusuphchuma2250 Жыл бұрын
Na kwa kuongezea tunaomba na historia ya shekh Abdukadir na shekh Muhammad Nassor inshallah
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
InshaaAllah
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
Nam atulete ya shehe muhamad naosor na kisha atuletee ya swahubu lmakam shehe said othman
@hajiabdul-qadir478
@hajiabdul-qadir478 Жыл бұрын
shekhe naomba umalize kiundanizaidi hii hadithi ni nzuru sana
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
*بسم الله الرحمن الرحيم* www.youtube.com/@KHALIFAMPYA-TV?sub_confirmation=1 *_SUBSCRIBE_* CHANNEL YETU ILI KUPATA VIPINDI VYETU VYA KUMTUKUZA *_ALLAH_* *اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم*
@fatmakaranja5836
@fatmakaranja5836 Жыл бұрын
Sheikh unaweza tufafanulia kuhusu kufaulu kwa wasomali kwenye biashara
@yasirshee3152
@yasirshee3152 Жыл бұрын
Hata wavutaji bangi na walaji miraa wamekataa hiki kisa sijui niwaeleze kina nani wakubali Hivi visa mwaviokota wapi?
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Kumbe wavuta bangi na wala miraa ndo Masheikh zako. Unatia aibu
@maulidomar3668
@maulidomar3668 Жыл бұрын
Lete vitu simba wa Mola
@binbadru8408
@binbadru8408 Жыл бұрын
Mnaudhalilisha uislam kwa Visa vya uongo huyu mzee sijui wa wapi
@LumolaSteven
@LumolaSteven Жыл бұрын
Haya mambo yalimshinda Nabii Mussa (A.S) kuyaelewa mbele ya Khidhiri (A.S). Mambo kama haya ni ya Elimu za Batwini Allah kaonyesha sehemu nyingi kwenye Quran Kisa cha Khidhiri (A.S) kisa cha Nabii Suleimani (A.S) yule mwanaume aliyeleta kiti baina ya kupepesa jicho kwahiyo na hivyo Visa ni vya Uongo? Na kama Kisa cha Khidhiri (A.S.) kingekuwa kwenye Hadithi basi nyinyi na maSheikh zenu mngesema ni Hadithi Dhaifu
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe Жыл бұрын
Umetumia mzani Gani kupima kuwa maneno hayo ni ya uongo, Kwasbabu sie tunacho kipimo Cha kukuthibitishia ni kweli.Ebu tupe japo kidogo Ili tujue unazo akili,ukishindwa,basi ujue una kichaa kinakuanza taratibu
@binbadru8408
@binbadru8408 Жыл бұрын
Shehe uwesu Ra !?? Karidhiwa na Allah lini!!? Kaburi la mtume limepasuka lini?
@nasraismail5367
@nasraismail5367 Жыл бұрын
Mashallah
HISTORIA YA SHEIKH UWESU ALQADIRIY( R.A) SEHEMU YA 01@KHALIFAMPYA-TV
22:24
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
Maisha Na Jamii Tv
Рет қаралды 251 М.
SHEIKH MOHAMAD DEDES AKIELEZEA WASIFU WA SHEIKH MUHAMMAD NASORO (R.A)
32:51
DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
36:42
Kisa cha Miiraj Sehemu ya 09 @Khalifa mpya tv
21:16
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 770
Wayneenta Nabi Maxamed ﷺ - Sh Mustafe xaaji ismaaciil
1:03:14
Sheekh Mustafe Official Channel
Рет қаралды 2,2 МЛН
KHALIFA MUSSA  ISSA AKIMUELZEA SHEIKH UWESU R A
32:54
Aswahabul Yamin
Рет қаралды 14 М.
JE HUYU MUHABI ALOYASEMA NI KWELI?
45:13
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 3,7 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН