Mwamba mimi nakubari unapambana ndio maana mungu anakufungulia milango usisikilize wanafiki wew komaa watoto wakue
@danmaseason-gz9ig Жыл бұрын
Obd ni kweli namjua tangu kigoma alikuaga mkali sana nlienda kusoma nkitokeaga moshi, nkasoma kigoma sec basi obd alikua mwanangu sana nlimkuta pale shukran bar, mwanga sokoni, pale kulikuaga na pooltable pale ni mwaka 2007 hv
@dankhany3385 Жыл бұрын
this man he deserve some respect throne
@HakizimanaFiston Жыл бұрын
Ulikuwa mkali sana Babalevo
@joshuayasolo4199 Жыл бұрын
Pamoja sana Chawa ❤
@vokachampion597 Жыл бұрын
2
@erickkagisa833 Жыл бұрын
Kula matunda ya juhudi zako,,,umetoka mbali bro
@HakizimanaFiston Жыл бұрын
Nakubali levo
@wishjrtz Жыл бұрын
wow inavutia stor kam hiz b levo aw ana tup nying
@macksonlameck-dv9mw Жыл бұрын
Nakubali sasa home boy baba levo
@exaudluoga Жыл бұрын
Nakubari Baba level nakubari Sana
@kiezeraalfred4493 Жыл бұрын
kuna vijana wako hapa leo wanakudis na kukushambulia ukiwa kwenye majukumu yako ya uchawa, wakati huo unaousimulia wao walikuwa Darasa la pili Wailes primary school
@mnyamwezijuma1140 Жыл бұрын
Fact
@elisanteshayo3882 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba Levi ingawa una kichwa km mfuniko wa choo
@mbesherejoh4219 Жыл бұрын
Mmmh ??Na ukachanganya jina la Mungu humo?
@jemaarsen6996 Жыл бұрын
Kitambo sana kama kawa
@ranman4910 Жыл бұрын
Mm Nimoja ya shabiki yako B. LEVO BA. fundi manyumba . O B D nime mic Hip hop like Ile ngoma yako ya kitambo inayo itwa TAMBO
@xaverisunday699 Жыл бұрын
Aliye sikia mweusi apige like
@silasila3111 Жыл бұрын
B levo ba 🔥🔥
@HakizimanaFiston Жыл бұрын
Wakwanza mimi
@abednego3876 Жыл бұрын
Kabakwe basi
@faidhacute Жыл бұрын
Ila seki et ULIKUWA mwembamba alaf mweusi
@joesimba Жыл бұрын
We faidha cute cute kabisa inakuaje? Njoo basi viti virefu hapa mwana mgahawa mwenzangu
@daudmwaipasi5672 Жыл бұрын
Wa 2000 mtupishe kwanza
@coolzeddy_official9216 Жыл бұрын
Stori iendelee inavutia sn
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Kumbe bro umehastle SN bro wacha uwe chawa wa diamond tuuuu aisee km pesa IPO na unakula aiseee shikilia hapo hapo